NOTHING COULD APPEAR ON MY WAY IF YOU DON'T DECIDE AND LET IT HAPPENS @NAYE AKAMWAMBIA,KAMA NIMEPATA KIBALI MBELE YA MACHO YAKO, BASI NIONYESHE ISHARA,YAKUWA WEWE NDIYE UNAYESEMA NAMI.waamuzi 6:17
Habari za uzima wateule wa Mungu Kama yasemavyo maandiko kwamba tazama ilivyo vyema nakupendeza ndugu kukaa pamoja kwa umoja na kushirikiana kwapamoja. nami Nachukuwe fursa iyi kutoa shukrani zangu zadhati kwa ushirikiano wenu mkubwa juu ya kazi ya Mungu. Baba Mungu tumtumikiaye awabariki sana zaidi.lakini pia naamini kuhusu NEXT, yeye alie tufanya kuwa vipaza sauti vyake ,basi atahagiza roho wake mtakatifu kuleta ujumbe kwangu iliniupaze kama apendavyo.AMEN
Kitu ambacho uwezi tegemea bubu. Kutoa sauti. Na kuli taja jina la MUNG. KWA SAUTI NA KUSEMA. HASANT EEEEEH. IMETIA UTUKUFU NA MAMLAKA. YA MUNGU KUJULIKAN. KWA MATAIFA.
Siku awezi Kwisha bila kusiliza wimbo mara tano ❤❤❤ my favorite song 🎉🎉🎉
James nimeona kazi ya mikono ya Mungu inahendelea kabisi
Unajua himba ndug yangu umenibarik sana
Mungu akubariki sana usiniangush ndug towa mangoma kama yote
Mungu wambinguni nimwema kabisa awalinde katika uduma zote y
Nimeipenda san bro endelea nakukubali San by:Memorize
Umetisha sana bro barikiwa sana❤❤❤
Full upako , full mafutaa WA Karne ya 21 Mungu alikujuwa kabla ya kuwa hivo
amena sana kaka ubarikiwe
Barikiwa sana
Naitwa Steven Ibra nipo Tanzania nimebarikiwa sanaaa kwa huu wimbo Aminaaaaa!!! 🎉🎉🎉❤❤❤❤
Oooh ninaposema allelujah mbingu ziseme amina 😍🤲
Kaka nia abedi hapa kaka kweli nimefurahi sana ndugu yangu ❤❤❤
My favourite song 🎵 ❤❤❤
Ohh Alellujah Alellujah Mbarikiwe sana na BWANA ❤
Imekuwa faraja mno, kipaji kikubwa wimbo mkubwa, production kubwa sifa na utukukufu kwa bwana wetu Yesu kristo
Ubarikiwe
Nakukubali sana bro, kazi nzuri. Glory to God💪🙏🔥🔥🔥🔥🔥.
Yep Vocals Za kwenda 🔥🔥🤲🏿
Mubarikiwe sana watumishi wa Mungu by THE KING 👑 MAVOCAL 👑🎙️👑
Wimbo mzuri sana 🙌🏽🙌🏽
Mungu awabariki sana 🙏🙏🙏
Habari za uzima wateule wa Mungu
Kama yasemavyo maandiko kwamba tazama ilivyo vyema nakupendeza ndugu kukaa pamoja kwa umoja na kushirikiana kwapamoja.
nami Nachukuwe fursa iyi kutoa shukrani zangu zadhati kwa ushirikiano wenu mkubwa juu ya kazi ya Mungu. Baba Mungu tumtumikiaye awabariki sana zaidi.lakini pia naamini kuhusu NEXT, yeye alie tufanya kuwa vipaza sauti vyake ,basi atahagiza roho wake mtakatifu kuleta ujumbe kwangu iliniupaze kama apendavyo.AMEN
Tikeketi ❤❤ mungu awa bariki
Wow good kbs Mungu azidi kualinda
Mbarikiwe sana
Wimbo mzurikweli Mnatisha sana ❤
Mbarikiwe
Baraka tele 🥰🔥
Amina ubarikiwe sana ndugu
Powerfull message, be blessed.
Bado tunasubiri wengine wimbo kaka
Barikiwa na Bwana kwa wimbo nzuri
Mungu akubariki sana mtumishi
Mungu akuimuwe ❤❤❤
Amen ❤❤❤❤❤ sifa nizake tu milele yote
Lumona ndule, asante Sana kwa wimbo mzuri Sana, Niko Congo fizi mboko secteur de Tanganyika,na niko mushilomona mlala
Excellent
Amina sana kwa kazi kubwa unayoifanya Mungu akubariki sana kweli pia awe mwaminifu kwako
Wow! mu haswe kazi mbinjzo
Amen kubwa ❤
Iko POA kaka
Wimbo wa bien sana
Napenda Uimbaji wako tokea Power Of Angels - Yesu Wa Moyo
Ur No 1 fan
Naipenda hiyo pia nakubali sana kazi ya mungu wambinguni 🙏🙏
Congolais Ndulist , namkubali 1000%
Nice song my twin 🔥🔥
Nimeipenda
Lumona ulikuwa wapi Kijana,, mbona masikiyo yametoboka na nyimbo zisizo bariki rafiki yangu..Mungu awabariki nyote🙏
Kumbe kigoma tulikuwaga na Mercy Chinwo na hata amniambihi duuuh,, sijapenda.
Mungu awa bariki sana wimbo mzuri mno❤❤❤
Kitu ambacho uwezi tegemea bubu. Kutoa sauti. Na kuli taja jina la MUNG. KWA SAUTI NA KUSEMA. HASANT EEEEEH. IMETIA UTUKUFU NA MAMLAKA. YA MUNGU KUJULIKAN. KWA MATAIFA.
By Mr methelo moja
Nice song❤️
Napendaga sana Melody zao 🥰❤️
Mwenyezi Mungu azidi kukuza kipaji chako kweli wimbo mzuri
Lomo ndulo yoooooóooh kaka
❤nimependa ongereni sana
Congratulation guys ❤
Ubarikiwe mdogo wangu
Ubarikiwe zaidi na zaidi
Amen frère ndulist be blessed
You can sing ❤️❤️
Amen toza ba congole
Good job 👏 🎉🎉🎉
Mungu wetu wambinguni awabariki 🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Mubariliwe sana ❤
Never Disappointed 🫡🫡
Nice
Safi sana wimbo unabariki
Mbingu sema amin siku zote mumaisha Yang
Ubarikiwe sana 🙏
mubarikiwe sanaaa literally my favorite song!! 🔥🔥🔥
Ubarikiwe kijana wa yesu
Kaka barikiwa sana ndugu yangu 🎉
Amina saaaana rafiki angu Mungu akubariki 🙏
Amen 🎉
Amen
Hallelujah 🙌 mbarikiwe sana
Good job
Good job brother 😢😮🎉❤😊
Kali hii mwanetu lumona
Courage , la bonne musique j'aime ça
God bless you ❤️
Ndule
Amina Amina ❤️🙏🫶
Brother sauti yako uwaga inanibariki sana kweli Mungu azidi kukubariki 🙏🙏
Sifa kwa bwana kabisa
Wimbo mzurii kweliii
𝗠𝘂𝗻𝗴𝘂 𝗮𝘄𝗮𝗯𝗮𝗿𝗶𝗸𝗶❤❤❤❤🎉
Ibrahim Daniel 👀
❤❤❤
Nice sing 🎶 be blessed 🙌🙌!!
AMEN 🙌
Amina
Nice 🎉🎉
Fv song 🙏🙏🙏
Amen sana nimbarikiwe ❤
Amen 👏🏾👏🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Lumona
Nice voice good Quality image
Claps to him
👍👍👍👍👍👍👍♥️♥️
Great message 😭😭