Jamaani waimbaji wetu mungu azidi kuwalinda na kazi mnayoifanya kwa kutangaza jina la bwana ,sadaka ya kwanza ni yesu kriston aliye na masikio anasikia tufuate jina lake tu
Jinalake ni pendo kulijua hakika kunafanyasafari kuwanyepesi , endeleeni vivyo hivyo wimbo una sisimua Roho MUNGU awatienguvu sana msijichanganye huduma isiyokoma ya milele Asante watumishi wa MUNGU
Halo dada. Tunashukuru kwa Maombi yenu ambayo yanatuwwzesha kuifanya kazi ya Mungu kwa mafanikio. Hivi tuko kigoma mjini kwaajili ya vivuli vya Album yetu ya Pili. Ubarikiwe
Amina Bwana Yesu asifiwe sana. Kama Mungu alikutoa mbali mbali sana sambaza kazi yake kuanzia leo na hata milele, Mathayo,28:18-20, 11:28-30, Yoh,4:24, 3:16, Mathayo,3:1-2,11, Waef,5:8, Waebr,10:23-25, Ufunuo,20:11-13, Mark,10:27, Mhubiri,8:1-8, Mithali,14:12, na Mungu atusaidie sana katika yote na jina la Bwana litukuzwe siku zote za maisha yetu ahsante sana amen.
Emungu liye mbinguni unastahili sadaka kwamaana wewe nikilakitu kwangu ❤❤❤❤❤❤❤❤
amen 🙏bless you guys
Jamaani waimbaji wetu mungu azidi kuwalinda na kazi mnayoifanya kwa kutangaza jina la bwana ,sadaka ya kwanza ni yesu kriston aliye na masikio anasikia tufuate jina lake tu
Yani eeeeeh ,,,sijui niseme je ju ya wimbo uhu kweli,wimbo unagusa moyo bila mchezo kabisa,,Mungu azidi kuwa baraka kwenu.
Asante ndugu yetu
L
Jinalake ni pendo kulijua hakika kunafanyasafari kuwanyepesi , endeleeni vivyo hivyo wimbo una sisimua Roho MUNGU awatienguvu sana msijichanganye huduma isiyokoma ya milele Asante watumishi wa MUNGU
Yani huu wimbo na upenda sana m barikiwe watumishi wa mungu
Nyimbo hizo kweli zinagusa moyo,mnapendeza kwa mavazi inayompendeza Mungu,waimbaji wa injili wanafaa kuiga mfano wenu.
Mwimbo zuri❤❤❤
Upendo wa Mungu aulinganishwi na chochote kweli kweli , sifa zimrudie Muumba wetu amen
Jamani ninavyo wapenda ni Mungu tu
Ubariki dada Echa na asante kwa kutupenda
I am so blessed tena over and over. It is on repeat. I love you ndugu zangu. Acha tukutane mbinguni. Musirudi nyuma
Amina dada yetu. Mungu akubariki na ukutunza ili siku moja, kweli, tukutane Jerusalem mpya.
Halo dada.
Tunashukuru kwa Maombi yenu ambayo yanatuwwzesha kuifanya kazi ya Mungu kwa mafanikio.
Hivi tuko kigoma mjini kwaajili ya vivuli vya Album yetu ya Pili.
Ubarikiwe
@@GroupeAlleluiaGEA bhhh
Yes Shanga
Heavenly melody ❤
Yaani kweli Mungu aliwasaidia kwa kuandaa wimbo huu! Mliimba mkitulia kweli kama wa Pentecost wa zamanı siyo wa leo!
Vijana wetu Fanyeni kazi yake yehova Mungu Kwa bidii ... Musi fazaike na mazingira kwani anaona atainua watu kuwapeni mkono ... Asante
Amina dada yetu Roda, Kwa kututia moyo. Mungu akubariki pia
Amen Amen watumishi wainjilisti wa bwana Mungu
Mungu azidi kuwa pamoja na nyie amena 🙏🙏🙏
Asante Baba Mungu ❤🙌🙌😭
Congratulations
Mmbarikiwe sana watoto wa Mungu 🎤wimbo unabariki ❤🙏🙏
Amina Brother Stephano. Ubarikiwe kwa kusikiliza Wimbo huu. Hubiri pamoja nasi kwa ku Share na wengine
Stephano iddy ubarikiwe mtumishi uwa unatowa SAPOTI kwa waimbaji wenzako sana❤️🙏🙏
@@africanentertainment2124 Amen❤🙏❤❤🙏
Naomba mnitafute ili tubarikiwe pamoja Mungu awabariki kwa nyimbo zuri
Amen Amen watumishi wainjilisti wa bwana
Hii nyimbo imenikumbusha mbali sana.
Amina dada Nene. Ubarikiwe kwa kusikiliza Nyimbo hii. Hubiri pamoja nasi kwa Ku Share na wengine
Amina mubarikiwe Sana nahipenda sana
Pendo lake nila pekee❤️
Bwana yesu awabariki waimbaji wetu
Amina Dada Bikyeomba. Ubarikiwe pia kwa kusikiliza Wimbo
Jinsi navyopendaga huu wimbo nasikilizaga mpaka mwishoni naanzaga kuliya bila kujuwa naliya nini ❤❤❤
Amen kubwa, Mungu awabariki sana
Tumtolehe tulivyo navyo ALAMA YA UPENDO 🎶🎶🙌🙌🙏
Ubarikiwe nawe mtumishi wa Mungu kwa kusikiliza
Ubarikiwe sana ndugu yetu Bisengo
Que lindo é louvar ao Deus que nos enviou seu único filho e tem nós abençoado estão lindos nunca se desafastem da presença do pai por nada nesta vida
Mungu azidi kuwa bariki daima 🙏🙏
Amina dada Famy. Ubarikiwe kwa kusikiliza. Share na kwa wengine ili tuhubiri pamoja na Wewe
I’m repeating this song again and again, what a beautiful song 🔥🥰 may God bless us 🙏
🙏Amen
Mubarikiwe tena
Amen dada J. Ubarikiwe nawe kwa kusikiliza Wimbo Huu. Hubiri pamoja nasi kwa ku Share na wengine
Nawakubari sana watumisha wangu ❤❤❤❤❤❤
Ina bariki San
Anastaili sifa yatupasa tumpe maisha yetu iwe zabihu makatifu
Mungu wambinguni akubariki sana nimebarikiwa sana
nimebarikiwa sana na huu wimbo
Mubarikiwe nahuyopendo alie pendokuu
Amina amina kubwa
Daaaaah nipo amerika uku sijuw kama nitawaonaje
mubarikiwe ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Wimbo nzuri sana , inabariki
Mungu awabari san pia nawapenda sana
Mubarikiwe sana watumishi wa BWANA wimbo wenu umenibariki sana🙏🙏🙌📖👏🙏👏🙏
Amina. Ubarikiwe nawe dada
Baraka tele chimbuko ya Ivi tulivyo
Muendelee vivyo hivyo, Mungu awabariki sana.
Amina
Mungu awasaindiye sana watu wangu wanguvu
Aman hoyesu mungu awa bariki saaaaaaaaana tena sana kabisa
Amina
Amen amen 🙏 inabariki Moyo 🥰🥰🙏
Amina. Ubarikiwe dada
Amen ❤❤❤
Amina amina amina.Yesu asifiwe
Amena mubarikiwe sana tu
Amina. Ubarikiwe nawe dada yetu Martha
Mbarikiwe sana nawapenda sana💕💕💕💕💕💕💕💕
Amina Brother Raymond, Mungu akubariki kwa kusikiliza Wimbo huu. Hubiri pamoja nasi kwa ku Share na wengine.
Asant
Wimbo mzuri Sana watumishi. Barikiweni na Yesu 🙏🙏 i
Amena ❤️
Tumebarikiwa sana
Amina
Glory be to God
Amen. You realy did good job
Baraka nyingi
Ubarikiwe sana Kanya.
Mubarikiwe sana 👏👏
Sadaka❤❤❤
Mungu azidi ku wabari
Amina dada Ana. Ubarikiwe nawe kwa kusikiliza Wimbo Huu.
Asante sana kweli mungu
Amena ❤️🕊🥰☮️ kubwa
Ubarikiwe dada Apolina
@@GroupeAlleluiaGEA Asante sana❤️✊
Uhimbaji wa mbinguni🙏
Amen 🙏
Ubarikiwe ndugu Isaack kwa kusikiliza Nyimbo hii
MUNGU wetu wambinguni awabariki sana
Amina Ndugu yetu Mechel. Ubarikiwe nawe pia
Mungu awabariki sana
Daaaaah iyo nikweli sadaka yakwanza ndio upendo
Okay good job
ooh yesu 💓💓🔥🔥🎤Amina, God bless you all.
Amen
Amen🥺
Ubarikiwe
@@GroupeAlleluiaGEA Asante
Mubarikiwe sana kazi nzuri.
Amina. Ubarikiwe nawe Ndugu yetu
Asante sana mungu awa bariki sana, awalinde awashindie
Amina Ndugu yetu Byamungu. Ubarikiwe pia
Bwana na awazidishie jamani
Amen 🙏 🙏 🙏 mubarikiwe sana 🙏 😢
Amina dada
Amen 🙏
Ubarikiwe dada yetu kipenzi
❤️🔥👏🏻
Ubarikiwe
Mubarikiwe sana
Amina.Ubarikiwe pia ndugu
Abeca a’hangibwe
Mungu awabariki
Amina
Beautiful song Amina👏👏❤❤❤Be blessed my beloved Men of God.
Nimebarikiwa sana na wimbo huu.
Amina
asante sana
Mu barikiwe
Ahsante
Mubarikiwe 💕🥰
Amina sana. Ubarikiwe sana. Hubiri pamoja nasi kwa ku Share na wengine
Usijali sana❤️
Mungu awabariki❤️🙏🏽
Amina. Hubiri pamoja nasi kwa ku Share na wengine
Mubarikiwesana
Amena
god bless you
Amina
Halleloya!!! ❤️
Amina Brother Samweli. Ubarikiwe kwa kusikiliza Wimbo Huu. Hubiri pamoja nasi kwa ku Share na wengine
Amen 🙏🏻 Mungu awabariki sana kweli
Amina dada yetu kipenzi Badeux. Ubarikiwe pia. Hubiri pamoja nasi kwa ku Share na wengine
Aleluya,asifiwe
Good song 🎵
Amen brother
Nimebahatika kuwa wa kwanza kubarikiwa na wimbo huu . Mungu awabariki
Ni kweli. Na Mimi Nimekua wa pili
Ubarikiwe sana Brother Chris kwa kua mtu wa kwanza ku sikiliza wimbo huu. Asante kwa kufanyika mwanafamilia wa Groupe Alleluia
Amen ✝️❤️
Ubarikiwe sana
Amen Mungu awabariki Sana
Ubarikiwe pia dada Esther
Atukuzwe mungu wetu
Na awabariki sana tena sana
Amina Bwana Yesu asifiwe sana. Kama Mungu alikutoa mbali mbali sana sambaza kazi yake kuanzia leo na hata milele, Mathayo,28:18-20, 11:28-30, Yoh,4:24, 3:16, Mathayo,3:1-2,11, Waef,5:8, Waebr,10:23-25, Ufunuo,20:11-13, Mark,10:27, Mhubiri,8:1-8, Mithali,14:12, na Mungu atusaidie sana katika yote na jina la Bwana litukuzwe siku zote za maisha yetu ahsante sana amen.
amen
Such a blessing song 🛐 🙏
Amen sister Marguerita
ameeeeeeeeen