TUNDA MAN - Neila Ilinitambulisha Kwenye Bongo Fleva | Ilibidi Nifanye na Profesa Jay - Part 2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Msanii Khalid Ramadhan Tunda anaendelea kutoa visa na mikasa kwenye safari yake ya muziki na maisha. Leo amezungumzia maisha yake ya shule na jinsi alivyokuwa mwanafunzi bora kwenye masomo ya Sayansi na jinsi alivyokuwa mtukutu shule. Ameelezea kutoa ngoma yake ya kwanza kabisa iliyomtambulisha, na pia kusimulia juu ya wale waliofanikisha safari ya muziki mpaka sasa. Kuna vingi vya kufurahisha kwenye mazungumzo haya...fuatilia...
    #tundaman #tiptop #bongofleva #bongoproject
    Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
    --------------------
    WEBSITE
    --------------------
    bongoproject.org
    --------------------
    SOCIAL MEDIA
    --------------------
    Instagram: / bongo_project
    Facebook: / bongo-project-10256641...
    --------------------
    CONTACT
    --------------------
    Email: info@bongoproject.org

ความคิดเห็น • 11

  • @misapinamiswi5751
    @misapinamiswi5751 2 ปีที่แล้ว +1

    Bro mleteni spack pia big love from kenya

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 2 ปีที่แล้ว +2

    Ah, ungekua daktari Ungewapa sana watu SUMU, Bora ulivyokua msanii...!

  • @damianpangani1513
    @damianpangani1513 2 ปีที่แล้ว +1

    Kipindi kizuri sana aisee! Keep it up

    • @bongo_project
      @bongo_project  ปีที่แล้ว

      Shukrani sana Damian. Endelea kufuatilia...vingi vinakuja

  • @honorathshirima9552
    @honorathshirima9552 2 ปีที่แล้ว +4

    Tunamtaka na spack kaka kipindi chako kizuri sana

    • @bongo_project
      @bongo_project  2 ปีที่แล้ว

      Sawa. Tutamleta. Stay tuned!

    • @bongo_project
      @bongo_project  ปีที่แล้ว

      Tumemleta hapa: th-cam.com/video/quGLd97-ZdM/w-d-xo.html

  • @danielgeorge7404
    @danielgeorge7404 2 ปีที่แล้ว +1

    Mjitahidi muwe vzr kwenye kuuliza maswali yaan kuna vitu nyingi watu wangependa kujua Lkn unapita juu juu tu kwamfano hapo kwenye upande wa mpira ujamuuliza vzr afunguke

    • @bongo_project
      @bongo_project  2 ปีที่แล้ว +1

      Shukrani mzee. Vya kuzungumza ni vingi mno...Tunajaribu kupata vingi iwezekanavyo ila muda hautoshi kwenda ndani kwenye kila mada. Ni swali lipi la mpira ulipenda azungumzie zaidi?

  • @silvergold5855
    @silvergold5855 2 ปีที่แล้ว +1

    kipindi kizuri sana