Nafasi ya lati yaani lati anaitendea haki Yuko vyema Sana nimempenda bure Yuko sirias uhalisia umbo na sauti ana tendea haki safi Sana Tina kwisha hapo so Kwa Kend na mama kelvin waliolea chawa kiunoni ikawang'ata Sasa hapo Kwa lati kikomoo Hadi kupika na Bado kama umeipenda hiyo kama mie like ❤
Maskini Candi kapata kijana mzuri kweli lakini je vipi kuhusu afya yake.na loveness ndoanaejua ukweli wote naje wataanzaje kuwaweka wazi family pamoja na rafiki wa candi😢😢😢 pole sana candi usikate tamaa.kama unampenda candi mpe pole❤❤❤
Hivi mbona n mtoto wa boss na dada wa Kazi pekeake hakuna movie nyingne jaman coz kuna watu nmewamiss kama james,wembe kunambi na wengineo wanawake wengine siwajui majina ila wako wengi na uyu viky arudi kwetu jamani mbona alihamia kwenye hakuna furaha kama DONTA TV ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
By the way nishamaliza zote imagine kwanza ile ya kesho yangu na nyinginezo but napenda ya chozi langu hio haijaisha nimeishaisubiria na hailetwi yenye sikuiangalia kwa DONTA TV n hio ya before I meet you hio ndo siangalii kabsa, but najua Kuna ile ya DONTA family pia, ila hakuna shida yenye itanipendezea nitaangalia ok thanks 🙏
Jamani mwalala hapa dontatv 😂😂😂😂,wenye wanakubaliana na lovenees wagonge like hapa ,lovenees hongera dada unakaa na moyo wa utu unatumia kauli nzuri atakama mtu anajiona mpweke unahisi uko haii😊😊🎉❤❤
DAAH NAMUONEA HURUMA TINA ANATESEKA 😢 SIJUI NIMSAIDIE??
Acha hayo mambo mbaya analipwa ubaya kaka hayo ndo malipo yake
😂😂😂😂 kwangu Mimi namutaka hapo
Wewe Tena kaka
Umsaidie ukubuki vile alikusaliti Acha huruma 😂😂😂😂😢😢
Kitakuramba tena oooh we msaidie uone😮😮😮 acha ateseke mwisho wa ubaya aibu......
Ubaya ubwela😅😅😅😅
Watu wa Latifah hoyeeeeeeeeeeee kuja uku tuko n meeting nyuma y tent 🎪 😄😄😄😄😄😄😄😄😄🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸
Anae Soma hii coment Mungu ampe maisha marefu❤🎉
Amiina
Amina 🙏
Amiin
Amina🙏
Amina
Wana @DoNTA TV Wangapi wamefatilia hii drama Toka mwanzo adi sasa like hapa tuwatambue 🙏🤲🙏❤
🎉🎉
@jamilashabani8580 hongera
Nawapenda 🎉🎉🎉🎉🎉
Mh,, nawapenda sanaa
Tupo hapa
Lati my best actress ever❤❤❤🎉🎉wacha nimpe maua 💐💐💐
yuko poa sana
@allymwashambwa5920 kabisaah
Leo nimejalibu kuwahi jaman naombeni like 100 from Burundi 🇧🇮to Kenya 🇰🇪
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮@@AlexNsavyimana
Kazi safi, mapema do best
❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Uko wapi nije kukusalimia 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤣🤣
Hii move inatakiwa kuwekwa azam TV maana inafunza sana wanao pendwa iwekwe gonga like 🎉🎉🎉
sio azam tv tu iwekwe kabda ya taarifa ya habar 😂
@DaniKisitu umeona ee
Azam tv wanazingu
Duuu 😂😂😂😂😂@@DaniKisitu
Waweke hio Azam yenu channel ya Kijiji alafu sisi Kenya tuone aje
Walio Shuhudia kuona Mzee gamba anajinasisha Kwa Hard trap , ili kimrambe kupitia uaminifu Kwa Denis Mwaga like 🤸🤸
🤸🤸🤸🤸
Na kitamramba tu😂😂😂😂😂
Acha anazwe kabisa 🤣🎉🎉❤❤🇰🇪
Mm naona anamchelewesha😂😂
I coment you from kenya good job 🎉
Nakupenda sana rati gongeni like wanampenda rati kama mimi
❤❤❤❤❤
Sio rati ni lati😊
Rati namupeda sana
Rati namupeda sana
Rati namupeda sana,,,,,,Kwanza venye alimugoga tinna good work
Japo wa mwisho... Sijachelewa sana. Asante sana Wana Donta Tv kwa kazi nzuri. Mwenye unasoma hii comment Mola akujalie maisha marefu ya heri ❤️🥳
Lati, lati, lati, nmekuita mara tati kusisitiza upendo wang kwako, really your the good actress, unajua kuvaa uhalisia, naomben like zang kwa hili jmn
Ndagukunda ravu uri umwana mwiza ndi irubavu
Hakuelewi hajui kinyarwanda
@@ABCDArina na kwel cmwelew jmn
@@MuwenimanaLeoncie translate plz
Jamn Candy pole mwaya ni hali ngumu sanaa😢😢😢 Ila Loveness big up sisy uko vizurii snaa good advisor ❤❤
kenya🇰🇪waonaji kelv hatuchelewi na hii move hasa ya penzi 🎉🎉🎉🎉🎉tena❤❤❤❤❤ perfect.like bona sipatiii....
Oooh mimi hapa Mtoto wa bossi wa Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 naomba}Like kutoka watu wabongo na Burundi na Kenya nipeni Like ata 3 tuuu tashukuru
😂
Kwa hyo na wewe tukutaftie dada wa kaz au😂😂😂
Naomba nikutunuku Tina
@@oystellaoscar5151😂😂😂😂😂❤
@@oystellaoscar5151 Nitafutie sasa
😂😂😂😂
Nimekua bored lakin kaka kelvin asanti,wenye mumefatilia hi movie toka mwanzo tujuwane kwa likes much love ❤️❤️❤️ from Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Tunaoipendaaaa hiii bongo move tupia like zako hapaaaaaaa
Nafasi ya lati yaani lati anaitendea haki Yuko vyema Sana nimempenda bure Yuko sirias uhalisia umbo na sauti ana tendea haki safi Sana Tina kwisha hapo so Kwa Kend na mama kelvin waliolea chawa kiunoni ikawang'ata Sasa hapo Kwa lati kikomoo Hadi kupika na Bado kama umeipenda hiyo kama mie like ❤
Tuko pamoja lati anajuwa❤❤❤
Ndo kudonjo Maua yangu mnipe baana🎉❤ nawapenda kutoka Kenya🥰
Wangapi hatujajutia mabadilishano ya ratifa,ananikoshaaa❤❤
Wa kwanza Toka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 humuu tu ❤❤❤
😂😂😂 ni humu tu
Congrats
Loveness nimejifunza mengi kutoka kwako may gd bless you and keep up❤❤❤
Haya mm wa mwisho nipeni like zang ❤️❤️
Mapema sana nishafika nusu nijikwae nilivyo kimbia😂😂😂
😂😂
TURIOTOKA KWENYE SIRI YAHUBA SEASON TU NAOMBA TUJUWANE KWA IIKE 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Lati😅😅mpeleke🎉🎉unavyotaka😅😅😅huyo tina nakupenda sana na ww kendi😮mwambie ukweli bonny🎉atakuelewa❤❤kwenye penzi la kweli hakuna pingamizi dadaa❤❤❤
Loveness my best actor,mtoto mwenye hekima kweli🌹🌹🌹🌹(flag🇰🇪🇰🇪🇰🇪)
Maskini Candi kapata kijana mzuri kweli lakini je vipi kuhusu afya yake.na loveness ndoanaejua ukweli wote naje wataanzaje kuwaweka wazi family pamoja na rafiki wa candi😢😢😢 pole sana candi usikate tamaa.kama unampenda candi mpe pole❤❤❤
😢siwez ish bila yey
Mnajua sana kila mtu kavaa uharisia wake jmn donta tv lati congratulation loveness onger kwa sir kubwa na ushaur mzur
Leo nime wahi namimi mnipe ata maua yangu jameni 🎉🎉🎉nawatakia maisha marefu🎉🎉
❤❤❤
Nampenda Latifa ssa😅unajuw kumkomoa Tina😂
Leo nimewahi mapema kenya 🇰🇪 like 10 wakuuu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hivi mbona n mtoto wa boss na dada wa Kazi pekeake hakuna movie nyingne jaman coz kuna watu nmewamiss kama james,wembe kunambi na wengineo wanawake wengine siwajui majina ila wako wengi na uyu viky arudi kwetu jamani mbona alihamia kwenye hakuna furaha kama DONTA TV ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Ingia kwenye hii acaunt zipo nyingi mno ni wewe tu sema hii ndo ipo 🔥🔥🔥
Mulete victoria
By the way nishamaliza zote imagine kwanza ile ya kesho yangu na nyinginezo but napenda ya chozi langu hio haijaisha nimeishaisubiria na hailetwi yenye sikuiangalia kwa DONTA TV n hio ya before I meet you hio ndo siangalii kabsa, but najua Kuna ile ya DONTA family pia, ila hakuna shida yenye itanipendezea nitaangalia ok thanks 🙏
Jamani mwalala hapa dontatv 😂😂😂😂,wenye wanakubaliana na lovenees wagonge like hapa ,lovenees hongera dada unakaa na moyo wa utu unatumia kauli nzuri atakama mtu anajiona mpweke unahisi uko haii😊😊🎉❤❤
Glad nimefika mapema 😊
Mimi Léo jamani nimewai kweli ❤❤❤❤🎉🎉🎉 naomba like zangu kutoka kwa donta tv pamoja na washabiki wote munaowo fatiliya movie yatu mzuri 😊😊😊😊😊
Musichoke na kazi zemu inafundisha watu wengi kabisa❤ mimi hapo LUBUMBASHI 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 ninamifwata kila hatuwa zemu
Jaman me Leo wakwanzaaaa naomba like
🎉❤❤❤😂 hongeleni Sanaa Kwa kazi nzur sana munazidi kutupa Raha wallah 🎉❤❤😂😂
Always my favourite🎉❤❤❤❤❤❤
Naomba likes jaman from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Wanomkubali kelvin gonga like hapa hata kumi❤
😊
@@PreciousKizwingx kelvin namkubali sana
Lati yani tangu tina awe karibu na wewe haweza kunywa maji yashuke, wew nikiboko🎉 Kelvin # lavenes ❤ kendy jikubali hy ni hali yakawaida sn❤ my
Wakwanza Leo from 🇲🇿🇲🇿
Jameni huyu lati ana mipasho mizurii😂😂au mwaonajee
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉good job 👏
Sauti ipo chini sana wana Donta Tv
Karibu episode inaisha na hata sitawaipata like eeeh jamani😢
Hzo like zinakusaidia nin
@@JapanDullahBoy mbona unauliza Ivo lambda niulize
Asante Kwa likes jamani
Mtuongezee dakika jamani mchezo mzuri ❤
Jmn wa kwanz leo🎉🎉🎉😊
Loveness wangu nakupendaa sanaa an kastaarab kenyewe adi rahaa❤😊😊
Much love from kenya 😢
I know nimelate but latiiiiii unamkumbusha mwenzio machungu jmn Ila ni vzr dada lati🎉🎉❤❤❤❤
m wakwanza leo🎉🎉🎉
Jameni 2mins😢 natayari kuna watu wamenitangulia😅😅😊hongerani sana😊
Kevin kendyy asimupe ukimwi uwo mwanaume ntaumia jaman😔😔😔🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Watu mko serious an shwaaaa shwiiii mko ndani 🎉🎉🎉
Mnachelewesha sana movie 😢😢😢
Kazi safi Lati maua yako mpka kieleweke tuu jwa Tina😂😂 kadi ya clinic hana na alikua na mimba
Kama unapenda loveness na roho yake ya uvumilivu,ukamilifu,na utu ambao binadamu wengi hatuna,nipe laiki,Mimi hapa toka KENYA ❤
❤❤❤❤
Tangu nilianza kufatiliya iyi serie sijawayi pata hata like moja, nafata Uganda🇺🇬
Today I'm the first
Nipitie na like jamaniii 😅
Naomba like ata kumi kutoka kenya ak nafuatilia tangu mwazo sijapata like ata moja❤❤
Leo nimewahi jamn likes ndugu zangu 🎉🎉🎉
Blaza kazi mzuri blaza umetisha sana from Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Mungu awabariki wote mnao ifuatilia hii movie amen🎉🎉🎉❤
Good nice one story brother Kelvin 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
Leo nimekula wa kwanza mungu awape maisha marefu wote watakao like ❤
Umekula au umekuwa
@@LatifaMatayo hahahahaha kumbe nimechapia
@@AnitaMsigwa ndio
🇰🇪hii drama nzuri sana❤❤❤
Ila Tina n mzr jmn apew maua yak 🎉🎉🎉❤❤🎉🎉
Ana Uzuri Gani kashakongoroka sjuwi hata ana shida Ganii
Lati uko vizuri 🎉🎉🎉
Leo sijachelewa Sana jamani naombeni like hata Tano 5 tuu 🙏🏻❤️🎉🎉
Nakupenda sana loveness una maneno mazuli sana ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Mimi Ndo wakwanza maomba like zangu tafazali nawapenda sana Donta tv
Tunapenda hii nyimbo zote zimetuliya na movi yaje na kibosh media kuwandika mesji kusapote kujahapa kuliko juwakali ❤❤❤
Wa kwanza from Kenya likes zikam yawa
Waaa LATIY nakuamini sana yaani hii movie unaecheza kama weww ukomakinj sana upewe mauwa yako🎉❤❤ MUNGU akuogoze ufike mbali dadangu🇰🇪
Kuchelewa na dakika 40 Dio inasababisha mkose kunipa likes jamani😢
Naomba likes pia... kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪nimetazama kutoka mwanzo Hadi Sasa... nawapenda loveness na Kelvin
Hata mm nmewah npeni like zangu jamaniiiiiiiiiiii
Vipande vya “yaliyopita”ni virefu sana punguzeni jmn 🙏☺️
Kelvin hongera sanaaa 🎉
Candy kw izi nguo za ushwazii nd ametoka poa aky💋💋💋🎉🎉
Lati wa Sasa kiboko ya madoa sugu🤣🤣🤣kuliko kali ka mwanzo 🤣🤣🤣 nawapenda Wana donta tv 🎉
wakwanza leo wanangu nipeeni like zangu🎉🎉🎉🎉🎉
Mmepunguza dakika naona
Hingern wote nawapend❤❤❤❤❤ lati maua yako🎉🎉
🎉🎉🎉❤❤❤mubarikiw kabsa
Big up Donta tv 👏👏👏kwa filamu nzurii mauwa yako kelvin n wahusika wote 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Jamañ namm Leo wakwanza nipen🎉🎉🎉🎉
Unataka za nini
Keddy I love you keep strong don't cry😭 Nawapenda jamani from Rwanda 🙏
Tina maviii makubwa teseka sana
🇨🇩🇨🇩🇨🇩 pamoja sana Mungu azidi kuwajaliya mzidi kuelimisha jamii zaidi na zaidi sina maneno mengi ila mbarikiwe🙏🙏
Wakwanza leo atao nipa like mungu amubaliki🎉🎉
Leo nimechelewa kidogo lakini naomba like 👍 Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🙏🌹❤️❤️❤️🔥💐🍎🍎🌹🌹🌹
Kila mtu yeye ni wakwanza haya namm leo nimewahi nipeni like hata tano bas
🎉🎉🎉🎉❤❤😊 nazikubali izo movie donta 😊😊😊
Haya sasa kitu Hicho ❤
Bonnie ni handsome ❤❤ much love from 🇰🇪🇰🇪ila kelvin next movie utuletee Rashid, Victoria na James nmewamiss sana
Nawakubali sana yaani toka picha ilivyo hanza mpaka ivi bado tunawafatiliya tu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Congratulations keep it up good job 💞❤💕♥️🥰😍😘
Jamaniiii mpo vizuri