Kurasini SDA Choir - Kando ya Bahari

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • Kando kando ya Bahari ya Kioo marafiki watakapokutana...natamani na mimi niwepo!
    Along the sea of glass where friend will meet, I wish to be there and I don't have a reason to miss!

ความคิดเห็น • 79

  • @saumumohammed5630
    @saumumohammed5630 3 หลายเดือนก่อน

    Kurasini roho wa mungu na azidi kuwatumia; mungu atukuzwe kwa uimbaji wenu

  • @innocentakama4846
    @innocentakama4846 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiweni zaidi wapendwa hadi tutakapokutana ngambo ile ya bahari Mungu wetu mwema na mwaminifu anapotuneemesha vile Kwa wana wa Israeli.Amina.

  • @phinawatwego7260
    @phinawatwego7260 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina ,namimi natamani na mimi niwepo. Kwanini nikosekane. Mungu awabariki

  • @OAtalaiaOficial
    @OAtalaiaOficial 4 ปีที่แล้ว +3

    Ndugu zangu wapendwa.
    Neema na Amani ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe pamoja na kila mmoja wenu.
    Ninawaomba ndugu wapendwa kuongeza sauti za wimbo ulioimbwa kwenye maelezo ya Video ili sisi na ndugu wengine ulimwenguni tuweze kuwa na furaha kamili, kutafakari, kuimba na kumsifu Mungu kwa lugha yetu na ndugu tunapotazama video ya nyinyi watu. Tunataka kuimba pamoja na wewe unapoimba kwenye video. Amina
    Mimi kutoka Brazil - Lugha: Kireno cha Brazil

  • @edwinokoth1909
    @edwinokoth1909 10 หลายเดือนก่อน

    My brothers and sisters in Christ Jesus you sing so wonderful i really love your songs from the bottom of my heart.
    May God blessings be upon each one of you andyourfamilies,may He show mercy unto you,may you be United in one Spirit as you continue to spread the everlasting gospel of Jesus Christ.

  • @carolineomori1032
    @carolineomori1032 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen. Hata mimi natamani niwepo, kwa nini nikosekane. The lead singer is so on point. May the choir continue to be blessed even in the absence of mwalimu kibaso. It is well

  • @GomelliaNgoie
    @GomelliaNgoie หลายเดือนก่อน

    Aleliyaaleluya

  • @yonamatola9854
    @yonamatola9854 4 ปีที่แล้ว +1

    Sina hudhuru kabisa,kwanini nikosekane mbinguni,Bwana naja kwako unisheke mkono,nabarikiwa sana na nyimbo za kurasini

  • @danielchemwor9895
    @danielchemwor9895 4 ปีที่แล้ว +1

    Poleni kwa msiba, natumai mungu atawapa faraja ya kweli. Twaiombea kwaya pamoja na familia yake marehemu mwalimu kibaso neema na amani.😭

  • @lillianpeter1501
    @lillianpeter1501 ปีที่แล้ว

    Mungu awabarik

  • @YOMYSTUDIOS
    @YOMYSTUDIOS 4 ปีที่แล้ว +2

    Leo mmenibariki sana msonge mbele kwa kazi ya Mungu .

  • @georgeabot4860
    @georgeabot4860 3 ปีที่แล้ว

    naomba hata Mimi niwepo katika meza ya kioo

  • @obadiansato1898
    @obadiansato1898 4 ปีที่แล้ว +1

    Sina udhuru wala sababu, natamani namimi niwepo bora nikose yote ya dunia nipate uzima wa milele

  • @Obkerry
    @Obkerry 4 ปีที่แล้ว +3

    Too much love for this beautiful song. Najitahidi nami niwepo pale.
    Thank you Choir for this song.

  • @benjaminabimabenjaminabima516
    @benjaminabimabenjaminabima516 4 ปีที่แล้ว +5

    Kaaaando...Amen. Nimebarikiwa...

  • @frankmchomvu1797
    @frankmchomvu1797 4 ปีที่แล้ว +3

    I love this Choir!One of my favorites. Keep up the good work. Mungu awalinde na kuwatunza.

  • @gloriousn6425
    @gloriousn6425 4 ปีที่แล้ว +2

    Amen
    Hakuna hudhuru kwa kweli
    🙏🙏🙏🙏👌👌🇹🇿
    Maandalizi mema ya Sabato

  • @mtipemupatwa8817
    @mtipemupatwa8817 4 ปีที่แล้ว +3

    I love your songs so much. From Zambia

  • @priscaroduya3252
    @priscaroduya3252 4 ปีที่แล้ว +1

    Mko smart sana hii ni choir yangu kuanzia utotoni. Mbarikiwe sana

  • @senbon8693
    @senbon8693 4 ปีที่แล้ว +3

    Amina, mbarikiwe kurasini wimbo wenu umeiinua kukaza mwendo!!

  • @josephngara8909
    @josephngara8909 2 ปีที่แล้ว

    mbarikiwe

  • @rosenyawata5314
    @rosenyawata5314 3 ปีที่แล้ว

    nawapenda

  • @sirfranq
    @sirfranq 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @philipchumba1074
    @philipchumba1074 4 ปีที่แล้ว +2

    Woooooow kurasini may God bless u much am listening nd watching from Doha Qatar happy sabbath

  • @naomisiriba3516
    @naomisiriba3516 3 ปีที่แล้ว

    It's beautiful to be in the presence of the LORD JESUS💜💙❤🙇🎹🎵🎵🎀

  • @WalliamAtaka
    @WalliamAtaka 2 หลายเดือนก่อน

    Mko mbele kwa injili

  • @eugeniamsilikale8687
    @eugeniamsilikale8687 3 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @adelinarutale2876
    @adelinarutale2876 4 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda sana Kurasini SDA mbarikiwe

    • @gidionluhomela4861
      @gidionluhomela4861 4 ปีที่แล้ว

      Amina yote kristo kamaliza ya nn tuwe naudhuru? Haaha

  • @vickybwire4049
    @vickybwire4049 4 ปีที่แล้ว +3

    Mbarikiwe sana kurasini, km vile nawaona live 😘

  • @magendamabamba5749
    @magendamabamba5749 4 ปีที่แล้ว +3

    Waooo for nice song my lovely choir God bless u

  • @knowledgemashonganyika7216
    @knowledgemashonganyika7216 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiweni kwanyimbo nzuri. Amina.

  • @kirotostima9973
    @kirotostima9973 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbalikiwe wapendwa ktk bwana kiroto stima rukwa Tz

  • @betherodhiambo
    @betherodhiambo ปีที่แล้ว

    great song. I really enyoyed the song

  • @benardisaya2284
    @benardisaya2284 3 ปีที่แล้ว +1

    This is great. His mercy and grace be on you guys you always sing good.

  • @roseomari2801
    @roseomari2801 3 ปีที่แล้ว

    Golden voices wanakurasini crown kwenu

  • @anetfaida721
    @anetfaida721 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwakweli nawapenda sana kurasin

  • @habelkalume9011
    @habelkalume9011 4 ปีที่แล้ว +2

    Happy Happy preparation day.....Kurasini always my favourite

  • @jafarisimfukwe4413
    @jafarisimfukwe4413 3 ปีที่แล้ว

    Love kurasin sda Choir GOD bless all

  • @makorijunior474
    @makorijunior474 4 ปีที่แล้ว +1

    Mzidi kubarikiwa

  • @jamesmiyungo7596
    @jamesmiyungo7596 4 ปีที่แล้ว +1

    Love ur songs

  • @emmanuelmhina1983
    @emmanuelmhina1983 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe sana

  • @luhanyamipawantobi6888
    @luhanyamipawantobi6888 4 ปีที่แล้ว

    Mmejitahidi Sana video NZURI...rangi nzur👏👏👏

  • @oscarkamanda3301
    @oscarkamanda3301 4 ปีที่แล้ว +4

    As always you guys never fail me.

  • @kiandamedia2634
    @kiandamedia2634 4 ปีที่แล้ว +2

    Siku zote kurasini itabaki kuwa juu kiukweli nawaelewa sana

  • @jrscommunications4494
    @jrscommunications4494 4 ปีที่แล้ว +1

    Aminaaaaaa

  • @ezragodlove679
    @ezragodlove679 4 ปีที่แล้ว

    mungu awariki kurasini

  • @frankmaganga8930
    @frankmaganga8930 4 ปีที่แล้ว

    Safi,safi sana mbarikiwe Kur.Sda choir.

  • @fancymercy814
    @fancymercy814 4 ปีที่แล้ว +1

    Welcome back 🙏 🙏.

  • @honbinaishaokeyo1163
    @honbinaishaokeyo1163 4 ปีที่แล้ว +1

    Nawependa bure jamani.

  • @echoesofmercy3821
    @echoesofmercy3821 4 ปีที่แล้ว +3

    Finally,
    🙏🙏🙏🙏

  • @patrickomondi9155
    @patrickomondi9155 2 ปีที่แล้ว

    amen great song

  • @RehemaSesinga-si6xu
    @RehemaSesinga-si6xu ปีที่แล้ว

    Mnanibarikisana

  • @marygandi5412
    @marygandi5412 4 ปีที่แล้ว

    Kurasini choir mbarikiwe sana

  • @asooraaasooraa4816
    @asooraaasooraa4816 4 ปีที่แล้ว

    Ameen sana 🙏💞

  • @newtonotecko1042
    @newtonotecko1042 4 ปีที่แล้ว +1

    amen

  • @nangakelvin2699
    @nangakelvin2699 4 ปีที่แล้ว

    Kwaheri mwalimu Kibaso

  • @adaoarmandomutamonamuta4553
    @adaoarmandomutamonamuta4553 4 ปีที่แล้ว

    GRANDES LOUVORES MISTICOS FEITOS PARA DEUS. VIVA VIVA LOUVEMOS.

  • @joicemiyayeagness5317
    @joicemiyayeagness5317 4 ปีที่แล้ว

    Rest in peace.. Mwl Kibaso

  • @francejonas8766
    @francejonas8766 3 ปีที่แล้ว

    Mpo vizur

  • @safarikitsao3579
    @safarikitsao3579 3 ปีที่แล้ว

    Good 🥧 of music

  • @realreen2349
    @realreen2349 4 ปีที่แล้ว

    Amen 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @timbafabian2266
    @timbafabian2266 4 ปีที่แล้ว

    album mpya tunaipata wap

  • @mwitamtengi8574
    @mwitamtengi8574 4 ปีที่แล้ว +2

    mmejitahidi bt saivi sauti haziko level hasa ya kwanza sijawazoea hivo kuna sauti moja inazidi nyingine

  • @icojadiel8024
    @icojadiel8024 4 ปีที่แล้ว

    Kwa nini nikosekane??????

  • @nuhuirigo1648
    @nuhuirigo1648 4 ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @pamelajarona5376
    @pamelajarona5376 4 ปีที่แล้ว +2

    Amen

  • @joycejoseph8632
    @joycejoseph8632 4 ปีที่แล้ว +2

    Amen

  • @maigabarikiwasanamtuwamung5712
    @maigabarikiwasanamtuwamung5712 3 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @carolyneogutu2070
    @carolyneogutu2070 4 ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @nyachirangimlengwa
    @nyachirangimlengwa 4 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @judithcherono2595
    @judithcherono2595 4 ปีที่แล้ว

    Amen