Kurasini SDA Choir - Haja ya Moyo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 มิ.ย. 2020
  • In the loving memory of our beloved father Mwl. Samson Kibaso, This is one of the songs he composed and he really loved so much, "The desire of my heart is to see Jesus". Kwa kumkumbuka mwalimu wetu mpendwa Samson Kibaso. Huu ni moja ya nyimbo alizotunga na kuupenda sana nyakati za uhai wake! "Haja ya moyo ni kumuona Yesu"!
  • เพลง

ความคิดเห็น • 684

  • @amossagara805
    @amossagara805 หลายเดือนก่อน +4

    Wapendwa tuwe na tumaini Bwana wetu Yesu Kristo Maisha mwetu.

  • @alphayomogunde7828
    @alphayomogunde7828 14 วันที่ผ่านมา

    Nina Imani kwamba mimi mbinguni tutakuna nyanyi nyote,akiwemo marehemu Kibasu. Amen. I'm following you From jamuhuri international show ground Ngong Rd Nairobi Kenya.

  • @nyutwaclassic
    @nyutwaclassic 4 ปีที่แล้ว +99

    Tunao Sema kando ya Bahari kibaso Tutakutana Nae weka like hapa

  • @waridi7932
    @waridi7932 5 หลายเดือนก่อน +9

    This song always reminds me of my nephew Brian Kombe Kithi who died in Feb 2022. He sang this song even on his ailing hospital bed till death came for him 😢. It was so 😭😭. Dance with the angels son coz you saw your death coming and dedicated your life to God. I miss you so much son 😭😭😭😭

  • @khaldn7409
    @khaldn7409 2 ปีที่แล้ว +10

    Napenda kurudia rudia huu wimbo unaniguza sana moyoni mwangu be blessed.

  • @peterodukowitioduk4877
    @peterodukowitioduk4877 ปีที่แล้ว +5

    Sda.wins souls with gospel songs in africa.oduk

  • @ChesterKalinda
    @ChesterKalinda 3 ปีที่แล้ว +17

    Mwalimu was such a rare talent who revolutionized music. Was introduced to Kurasini in 1998 and I have never stopped loving their music. Had to cover a thousand kilometers to go and see their live performance in Dar es Salaam.

  • @sharonamon3638
    @sharonamon3638 3 ปีที่แล้ว +20

    I was a child when I started hearing and singing your songs Kurasini,,now I am a parent and still hear empowering me with new and strong messages daily,may God give you more energy to spread His word,,,,

  • @bellimarwa5454
    @bellimarwa5454 ปีที่แล้ว +4

    Haja ya moyo wangu rafiki nikuketi pamoja na yesu kristo Aminaaaa sana Mungu awabariki sana kwa mahubiri yenu jina la yesu liinuliwe

  • @jakipingi
    @jakipingi 3 ปีที่แล้ว +48

    Yaaanii, composition ya Kibaso....nyimbo za kipekee, nikama alikuwa akitabiri kuhusu maisha yake. Walipouimba wimbo huu alipokuwa akiteremshwa kaburini, singeweza jizuia machozi.... very touching song, makes you loose taste with the world

  • @fridahmosiria3944
    @fridahmosiria3944 4 ปีที่แล้ว +11

    Song of the yr who else is watching this song while shading tears of joy kuwa one day will meet with our beloved ones rip mwl song to recall

  • @obillaezra6205
    @obillaezra6205 2 ปีที่แล้ว +11

    I’m happy to see Kurasini SDA has never adopted style of Ambassador of Rwanda, just like other Tanzanian Choir did” this is how kurasini can distinguish himself with others” Big up

    • @deborahkemunto1433
      @deborahkemunto1433 2 ปีที่แล้ว +1

      I think that's a bit unwise of you to say so...the reverse can be said and solidly so, Ambassadors of Christ has never adopted the style of Kurasini of Tanzania
      Your statement seems to imply that Kurasini, is the standard of good music, and Ambassadors sing the wrong thing, and that is not true because your reasoning is the same as these guys who shove classical music down people's throats as doctrinal truth about the right music...
      However God says something different: Paul in Acts 17: 26-30 says an interesting point, that God made all people different by His own wisdom, and for Him, and seeks that in all our weaknesses manifested in our differences, we will search for God albeit haply, and find Him, because in every system and culture, the same blood runs in all peoples, and thus the same fundamental truth principles apply. The Psalmist speaks time and time again about being the maker and lover of all things beautiful, and beauty isn't found in things being the same, but in the differences-Gaither vocal band speaks something powerful in their song 'Love can turn the world,' saying it's the same God who made all people in all their colors and sizes because He knows what a little tan can do. Even Paul in Romans talks about the unity of the church in 1 Cor 12 by emphasizing the differences in body organs-why you ask, unity is not uniformity.
      So really, if we think slooooow, you realize that the two choirs have different composers, who have undergone different circumstances that have shaped their thinking around things, who come from different cultures, therefore their output of work will be different. Of course, from the lesson study guide for one of the quarters in 2020, 'The Bible and how to interpret it', it should be the second quarter, one of the weeks dealt with what affects our experience with God and our interpretation of the Bible- experience, culture and a few things were highlighted, however one thing was lifted up, that the truth and the Spirit of God should be the ultimate reason scale. In a sense, if we were to judge anyone, any singer, any preacher, any choir, the truth not our preferences should be the scale we use, and of course all the grace we have been given should be shown in our judgement because we ain't any better, and the truth is if we would be given the job to compose, arrange and produce the same music, only God knows.
      For Ambassadors and Kurasini and every other adventist choir to sing the same thing would only be a tragedy, but it will also mean, each one of these choirs and singers loose their identity and unique experience and take up one way of thinking around the same thing basically selling themselves out-that is called slavery and colonialism, but in theological language, Ellen White speaks of such a kind of people in steps to Christ as 'mere automatons.'
      This is my point really:
      Different doesn't equate to bad or wrong- and once that truth sinks in, tribalism, racism and such hatred against fellow humans for just them being them will cease.
      The only standard we have is Christ, and His truth, not our feelings about things.
      Loving one thing more should not equate hating the other
      Unity is not really uniformity
      We need the differences for life, there is not beauty in 'sameness' unless that is perfecting the character of Christ...there's just a lot
      And now since truth is the standard, are Kurasini and ambassadors both singing the truth, yes, we're different and so we will like one than the other, and it's okay, so long it doesn't translate to talking down the other. If we let truth be our guide, then if there's any excesses and deviations from the truth, for any choir or person, that we can raise it up, but with prayers and humility as well for only that way is God's way.
      Otherwise, we have been greatly blessed as adventists for the music we have, we should take advantage of how the truth we have is brought out differently by all these people to learn more about our God instead of playing pharisees.
      Besides the devil is against us, the world is against us, do we really need to fight against ourselves as well-we're family bana, and let us treat each other so, escpecially when differences arise and people make mistakes otherwise our claim to have God as our Father will not stand

  • @purityruwa6536
    @purityruwa6536 4 ปีที่แล้ว +16

    Huyu mzee alijua atatuacha huu wimbo its all story of his death. .....yalopita yameshapita we will meet siku moja tuimbe wimbo mpya. We loved him

  • @releiabby6201
    @releiabby6201 3 ปีที่แล้ว +14

    Hii Album jamani! So uplifting, I can't pass a day without playing these songs. Do what you do best people of God. Everything is amazing in this choir, true adventism bila madoido. Humble natural appearances. God bless you. Msibadilike Kurasini, even without teacher Kibaso. You treat wounded and helpless sauls with your amazing songs!

  • @emmanuele.2141
    @emmanuele.2141 4 ปีที่แล้ว +37

    Nyimbo hizi zinanifanya kutoa machozi kutokana kifo cha Mwalimu Kibaso. Siyo siri kuwa nyimbo hizi zilinifanya nimtafute Yesu kwa nguvu zaidi.
    Naamini kuwa alimaanisha kila alichoimba na kuimbisha. Hebu iwe haya ya mioyo yetu sote kumwona Yesu.
    Poleni sana ndugu zangu Kurasini SDA Church and Choir.

    • @dorikamasatu7746
      @dorikamasatu7746 3 ปีที่แล้ว

      Nyegezi SDA

    • @ndayishimiyexaverxavier9866
      @ndayishimiyexaverxavier9866 3 ปีที่แล้ว

      Wenze eti tunawapenda kwetu hapa Rwanda wa SDA tuko wengi

    • @toneyongugo9023
      @toneyongugo9023 3 ปีที่แล้ว

      I too pray that I may sit with my saviour Jesus Christ
      Where shall not have power anymore ....Thank you my Jesus

  • @isaiahstadius2383
    @isaiahstadius2383 2 ปีที่แล้ว +13

    Listening to this song in 1january 2022 remembering my fellow who passed away in 2021.Thank you GOD for am still alive by your Grace.

  • @danielragira4761
    @danielragira4761 ปีที่แล้ว +2

    Kindly Kurasini brothers redo this song for me......the zilizopendwa version....it goes like this...kwa imani kwa imani twatumaini kumuona yeye aliyetufilia kwa kugusa alama za misumari alama za ukombozi X2...... je we mwenangu? je uko tayari siku ile yaja kama mwivi ni usiku ni mchana hakuna ajuaye bwana twakuomba tuhesabie haki ya utukufu wako damu ilimwagika tupate kuitwa wana wa nuru........pliz do!!!!!!!twas such a nice song and if possible redo the whole set of songs from volume one to the latest into the current digital era....the songs were such an inspiration.Thanks big.

  • @johnsonoyugi1773
    @johnsonoyugi1773 4 ปีที่แล้ว +13

    It hits me that I will never wait for any new releases from Mwalimu Kibaso again. 😭😭😭😭 Oh Lord, deliver us from this body of death.

  • @ivygondwe4354
    @ivygondwe4354 3 ปีที่แล้ว +43

    From Malawi, Mwalim Kibaso was our beloved father, may he rest well. This choir came to malawi, you are a blessing to me. I have learnt kiswahili thru ur songs.may God give you more strength. Pokea sifa bwana. Your songs keeps me going, the songs wipe away my tears, gives me hope. May God bless you all. Amina!

  • @habelkalume9011
    @habelkalume9011 4 ปีที่แล้ว +5

    Ishould say my good friend is gone,,,,,,nlimpenda sana kibaso,,,,,,japo sijafanikiwa kukutana naye,,,lakini nafuatilia sana kurasini

  • @kellsmarowe5929
    @kellsmarowe5929 4 ปีที่แล้ว +3

    Tunashukuru Mungu kwa maisha ya mwalimu Kibaso.

  • @elctemmanuelchoirkariakoo3991
    @elctemmanuelchoirkariakoo3991 ปีที่แล้ว +1

    From Kariakoo tunamkumbuka sana, tunazienzi nyimbo zake na Mungu aikumbuke kazi yake aliyoiweka ndani ya mtumishi wake. Amina. Kando ya bahari marafiki tutakutana.

  • @jeanmjimmy
    @jeanmjimmy 4 ปีที่แล้ว +3

    Hawa ndiho wanyachoir wa Yesu Kristo hapana waimbaji wale wanawake na wanaume. Ambao wanawake huvaa masuruali na nguo fupi, hupakaa make up kama vile jini, nywele zao kama vile mapepo. Wanaume hupaka nywele rangi.
    Kuimba na kucheza kwao kama vile waimbaji wakidunia lakini hujidai kuwa waimbaji wa injili.

  • @alexcharles4888
    @alexcharles4888 4 ปีที่แล้ว +1

    m,barikiwe nyote waimbaji wa kwaya ya kurasini sda,kila nisikilizapo nyimbo zenu napata faraja moyoni mwangu ,karibuni mbarali ikiwezekana mje mfanye mikutano ya injili .najua watu wengi wata mrudia mungu.amen

  • @alexnabibia4423
    @alexnabibia4423 4 ปีที่แล้ว +61

    Listening to latest compositions for Kibaso..all points to his readiness to meet his creator..
    Fare thee well mtumishi
    You fought a good fight and finished the race

    • @herickouma1085
      @herickouma1085 4 ปีที่แล้ว +4

      I don't know if anybody noticed the chorus to this song is almost like a summary of a number of his songs. He was prepared to exit. May he RIP.

    • @mokayapatrick1370
      @mokayapatrick1370 4 ปีที่แล้ว +4

      Indeed most of his songs was looking up for the coming Messiah,new Jerusalem

    • @ochiengcollins1386
      @ochiengcollins1386 3 ปีที่แล้ว +3

      That chorus sums up most song . Always thought of heaven. May we also think of heaven brothers and sisters.

    • @keaganramson3801
      @keaganramson3801 3 ปีที่แล้ว +2

      adithi

    • @damah8431
      @damah8431 3 ปีที่แล้ว

      Mwalimu Predicted his death throw songs RIP mwalimu

  • @leonidasbuntu789
    @leonidasbuntu789 3 ปีที่แล้ว +1

    Kando kando ya Bahari malafiki tutaktana...Mambo atakua mafya kinyonge hakitaingia.Amina

  • @obedgetuno1672
    @obedgetuno1672 4 ปีที่แล้ว +1

    Yalo pita yashapita..mambo yatakuwa mapya. Kando kando ya bahari tutaonana na ndugu wetu wapendwa walotutangulia. Amina na mbarikiwe

  • @athumanimkwama5403
    @athumanimkwama5403 3 ปีที่แล้ว +2

    kila nikisikiliza hii nyimbo moyo wangu unasisimuka kuna ujumbe fulani mzito upo ndani yake , nimeipenda sana nyimbo hii ------------haja ya moyo --------------------

    • @gloriousn6425
      @gloriousn6425 3 ปีที่แล้ว

      Sanaa, ni mzito hauelezeki
      Naiona mbingu ikikunjwa kama karatasi siku ile , mwana wa Adamu atakaposhuka
      Wapendwa waliolala mauti katika Kristo Yesu wakiamka toka makaburini
      Naaaam, huo ndio ufufuo wa kwanza .......Haja y amoyo wangu NAMI NIWEPO PALE 😢😢🙏🏿

  • @okumuken9309
    @okumuken9309 3 ปีที่แล้ว +8

    A place has been prepared in Heaven ,we are just sojourners of this world one day we shall be together

  • @redemptornthoki3500
    @redemptornthoki3500 ปีที่แล้ว +1

    This song blesses me so much na napenda kuusikiza kila wakati kwasababu unanipa matumaini ya kukutana na bwana wetu yesu kristo.Mbarikiwe Sana waimbaji mnapoendelea kumtumikia mungu kwa njia ya uimbaji

  • @abudumwaikambo8815
    @abudumwaikambo8815 ปีที่แล้ว +1

    Kwaya SDA Kurasini kwa wimbo huu, mmemtendea haki mwl Kibaso,Mungu awabariki

  • @chepngetichsheila8840
    @chepngetichsheila8840 4 หลายเดือนก่อน +1

    One day i will surely meet my dad😭😭

  • @criticalthinking2019
    @criticalthinking2019 ปีที่แล้ว +7

    I love this choir, I have been listening to their songs since the time back. Happy to see the old faces and I missed their signature, These guys have a unique tenor...
    Just by their tenor, I can always tell that its Kurasini

    • @GerryMapower
      @GerryMapower 9 หลายเดือนก่อน

      nice song God's people

  • @siloalapei2448
    @siloalapei2448 2 ปีที่แล้ว +5

    We need the old classics that made us fall in love with Kurasini

  • @odenyshadrackochieng6966
    @odenyshadrackochieng6966 3 ปีที่แล้ว +9

    I can't stop listening to this song. It gives me hope of the new Jerusalem. May God continue to bless Kurasini Choir even in the absence of Mwalimu Kibaso whom we are hoping to meet someday when Christ will come for His servants who worked tirelessly in His vineyard.

  • @washykhasera8374
    @washykhasera8374 4 ปีที่แล้ว +2

    Amina! Na Amina tena! Fumbo litakapofumbuka! "Yeye mwenye kuyashuhudia haya asema, Naam; naja upesi. Amina; na uje, Bwana Yesu." - Ufunuo wa Yohana 22: 20.

  • @pmamos
    @pmamos 3 ปีที่แล้ว +6

    Mungu ni mwema!!
    Haja ya moyo na itimie kwa watu wote na iwe moja yenye imani moja.

  • @kelvinkent1167
    @kelvinkent1167 ปีที่แล้ว

    mwalimu samson kibaso was my favourite music teacher kurasini congratularion

  • @erickwanjira142
    @erickwanjira142 4 ปีที่แล้ว +9

    What a wonderful song in a Sabbath and a time we are mourning our beloveth Br, TEACHER Kibaso. Assuredly this earth is not our home. Our focus amidst all griefs, is our home that LORD has prepared for us all who have faith in Him.

  • @perezokeyo4083
    @perezokeyo4083 4 ปีที่แล้ว +5

    Oh Lord ,help me to know how to
    count my days in this world.fare thee well mwalimu

  • @stevemeshack6705
    @stevemeshack6705 2 ปีที่แล้ว +7

    You guys sing from your hearts. Your voices angelic..My prayer....we will all be singing together in heaven tukiongozwa na Yesu!

  • @mariehkwamboka6243
    @mariehkwamboka6243 3 ปีที่แล้ว +3

    I can't hold back my tears just on meditation Mwalimu knew his time had come.It really bothered me how but when your time has come nothing can stop it.He met Jesus ametutangulia mbele ya hakimu.

  • @nickybii
    @nickybii 4 ปีที่แล้ว +1

    Hakika dunia hii si kwetu!
    Haja ya moyo wangu ni kuketi pamoja na Yesu!
    Rafiki na mwalimu wetu, Kibaso, tutaonana katika jiji lile kwenye alfariji ya ufufuo.

  • @user-hz1se4qr1s
    @user-hz1se4qr1s 8 หลายเดือนก่อน +2

    wow love the whole crew of christ, be blessed kurasini haja ya moyo wangu ni kuketi na kristo.

  • @isayawaluse
    @isayawaluse 3 หลายเดือนก่อน

    2024 ngoja tuendelee kumngoja Yesu Kristo nikiwa KURASINI

  • @WestKenyaUnion
    @WestKenyaUnion 3 ปีที่แล้ว +26

    Haja ya moyo yangu kweli ni kuketi pale na Yesu. Wimbo mzuri ajabu
    Still on repeat on our playlist...

  • @novesnuhunathan6105
    @novesnuhunathan6105 ปีที่แล้ว

    Kinyonge hakitaingia, oooh Haja Ya Moyo Wangu Nikuioana Mbingu

  • @cenanojunga-1
    @cenanojunga-1 4 ปีที่แล้ว +9

    Kurasini SDA church leadership kindly build a music school in memory of Mwl. Kibaso. I love to participate.
    Dakt. Ojung'a from Kenya

  • @aliceringera-4048
    @aliceringera-4048 ปีที่แล้ว +3

    Amen 🙏 for sure it's my desire is to sit with My JESUS, along side my beloved Mum.

  • @soloartist_ivanvespalusind1609
    @soloartist_ivanvespalusind1609 3 ปีที่แล้ว

    In love with you kitambo. Be blessed much.
    Kitu niseme, album karibu zote nimekuwa nikizisikiliza tangu utoto kama Baba yangu alivyokuwa anazitendea haki, naweza sema tangu audio Vol. 4 hadi hizi za 40s, zote ni nzuri hadi kuchagua inakuwa ngumu. Lakini sijajua ni kwanini; audio album Vol. 10 inausugua mno moyo wangu na mara ya mwisho kuisikiliza ni miaka zaidi ya 19 sasa. Sababu kubwa ni ujumbe mzima wa hiyo album na radha ya muziki wake iliyotofauti, nyimbo za mguso. Ilikuwa na nyimbo kama Miguuni pa Yesu, Rudi nyumbani, Kazi njema waifanyayo ya uzee wa kanisa, Nimekubali kumfuata Yesu, Bwana Harusi Bi harusi, n.k. Kwakweli mwenye hizo nyimbo nazihitaji haraka. Najua zipo nyingi tu kali kama vile: Najivunia Yesu, Usiku mtulivu, Msifadhaike mioyo, Samartan, kisa cha Lazaro, juu ya mkuyu, Bustani ya Edeni n.k lakini Vol. 10 wacha niipe tu nafasi hiyo. Mbarikiwe sana Kurasini SDA.

  • @knowledgemashonganyika7216
    @knowledgemashonganyika7216 4 ปีที่แล้ว +5

    Kurasini sda choir Again my sincere condolences, Please dont give up on your musical ministry ,
    continue ministering in the way of beautiful songs that Mwalimu Samson Kibaso taught you. You
    touched and still touching a lot of souls. Amina.

  • @adriennesmith4516
    @adriennesmith4516 ปีที่แล้ว +5

    Beautiful people singing, the Lords, heavenly music🙏🏽❤️🙏🏽

  • @yonamatola9854
    @yonamatola9854 4 ปีที่แล้ว +1

    Kurasini baba ya musiki wa kiadventista Tanzania,nyimbo za kutia matumaini ya kumwona mwokozi wetu ajapo

  • @Omosemia_JM.Isaiah
    @Omosemia_JM.Isaiah 3 ปีที่แล้ว +4

    "The desire of my heart is to see Jesus".
    When I listen to this EPISODE I get the assurance that God has something in store for US.
    Hakika Mungu huchukua marafiki zake.
    Oh Lord God in Heaven help me know how to
    count my days in this world.Fare thee well Mwalimu

  • @CarbonChriphord-pv1wf
    @CarbonChriphord-pv1wf ปีที่แล้ว

    Amina sana nabarikiwa kupitia kwaya mngu awaongeze nguvu..

  • @gilbertkuvunza7211
    @gilbertkuvunza7211 ปีที่แล้ว

    Amen,amen,Jiji hlo tutaingia,ila kinyonge hakitaingia

  • @petermusya1247
    @petermusya1247 3 ปีที่แล้ว +7

    Its a mastered, articulate, profound, professional, versatile and superb mile in kamba music industry. May god enrich your artisan.

  • @RobertOmondi-oj2yo
    @RobertOmondi-oj2yo 4 หลายเดือนก่อน

    This song was played on my dad's night to burial ,,all my siblings cried with my mum😭😭

  • @Leo200981
    @Leo200981 4 ปีที่แล้ว

    Yaani haya maneno ya huu wimbo yamekuwa maneno yake ya mwisho yenye ujumbe mzito... Baba Mungu aifariji familia, kanisa na wote walioguswa na msiba huu....

  • @abigaelkenyanya1594
    @abigaelkenyanya1594 4 ปีที่แล้ว +3

    Rip Mwalimu Kibaso 😭. Kando ya bahari tutakutana tena 🙏🏾

  • @user-xh9cz7ts3f
    @user-xh9cz7ts3f 6 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda sana kurasini injili isonge mbele

  • @cindydecinyo4115
    @cindydecinyo4115 4 ปีที่แล้ว +13

    I can't get enough of the song,amazing, word of encouragement,,,,
    This is one of my favorite song
    It gives me hopes in my daily struggle

  • @elviceomondi3191
    @elviceomondi3191 4 ปีที่แล้ว +1

    Haja ya moyo wangu ni kuketi pamoja na Bwana Yesu, kando kando ya bahari marafiki tutakutana...

  • @taramajane200
    @taramajane200 หลายเดือนก่อน

    Nimebaki nalia tuu, hakika mnanibariki sana

  • @user-sj6hm7mv2l
    @user-sj6hm7mv2l ปีที่แล้ว

    I love that man who says "wote" in that song
    But you guys are amazing

  • @jewelmichael1186
    @jewelmichael1186 2 ปีที่แล้ว +3

    As Messianic I love kurasini songs they got deep messages. This song never gets old

  • @bellahrakiro1778
    @bellahrakiro1778 4 ปีที่แล้ว +6

    Fare thee well Kibaso...
    Resurrection morning is assured

  • @Geekdom403
    @Geekdom403 12 วันที่ผ่านมา

    Best song from kurasini

  • @norahotunga8938
    @norahotunga8938 3 ปีที่แล้ว +3

    And it is his wish to carry on with his good work. RIP Mwalimu kibaso.....kurasini my all time favorite❤❤❤. God bless u

  • @jakanyaluo
    @jakanyaluo 3 ปีที่แล้ว +23

    Can you please record old songs like "Kama Ndugu Yako Akikukosea"

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 3 ปีที่แล้ว +1

      Yes..i used to love ths song a lot...kama ndugu yako akikukosea umwite kwa upole mzungumzee

    • @angelakemunto2923
      @angelakemunto2923 3 ปีที่แล้ว +2

      @@masalakulwa7601 à

    • @gidionisekibaha5811
      @gidionisekibaha5811 2 ปีที่แล้ว +1

      Ukisamehe mungu Nate atakusamehe

  • @benardolumbe1992
    @benardolumbe1992 4 ปีที่แล้ว +6

    It really pains me so much that the next visit of this choir to Nairobi,Kenya most specifically Mathare North Camp Meeting Mwalimu Kibaso will miss in the team.Once again my sincere and heartfelt condolences to the immediate family of Samson Kibaso and entire Kurasini sda church family.

  • @ericnehemiah9872
    @ericnehemiah9872 3 ปีที่แล้ว +9

    what a song! beautiful message delivered in angels voices. God bless you Kurasini. Lots of love from kenya still mourning mwalimu kibaso.i feel like i lost my family member

  • @dukemauti-jd2th
    @dukemauti-jd2th หลายเดือนก่อน

    Naupenda huu wimbo .May we meet in that bright morning with our teacher Samson Kibaso..His music will 4ever be alive tho not with us .

  • @samsonwaanda7568
    @samsonwaanda7568 8 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli huu wimbo sichoki kuusikiliza!!

  • @magrethbisaku1299
    @magrethbisaku1299 2 ปีที่แล้ว

    Amen jaman kurasini ninyi niwasraeli kweli kweli Mungu anawatumia sana ,najionaga nipo mbinguni nikiwasikliza polen kwa kupoteza waimbaji wenzenu kando kando yabahar marafiki tutakutana na hatutatengana

  • @omollohbaraza5229
    @omollohbaraza5229 4 ปีที่แล้ว

    Kwa kweli dunia hii sio kwetu, Mungu azidi kuwaongoza hata wakati mnavyo pitia wakati huu mgumu ambao mmepoteza kiongozi wenu, shujaa wa Imani bwana Kibaso. Poleni Sana.

  • @loyceackim4296
    @loyceackim4296 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwakweli mmepoteza mtu muhimu Mungu awatie nguvu.

  • @benjaminachuti5872
    @benjaminachuti5872 4 ปีที่แล้ว +3

    Haja ya moyo wangu rafiki ni kuketi na bwana yesu...

  • @user-rm6ly7ff7i
    @user-rm6ly7ff7i 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba unisaidie niwe miongoni mwa wateule

  • @chriskavunja2951
    @chriskavunja2951 10 หลายเดือนก่อน

    Nsimire Hébron panzi ameen mubarikiwe nabwana yesu

  • @joynzota8410
    @joynzota8410 4 ปีที่แล้ว +1

    Poleni sana kwaya ya kurasini nimeumia sana lakini ninachojua mungu atabaki kua mungu .jina la bwana libarikiwe

  • @jasminngoya110
    @jasminngoya110 9 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😭😭😭😭oooh! Mwalimu Kibaso kwaheri hakika mambo yatakuwa mapya na kinyonge hakitaingia😭😭😭😭😭😭

  • @harrunochieng6355
    @harrunochieng6355 4 ปีที่แล้ว

    Haja ya Moyo wangu nami nimuone aketi pamoja na Mwokozi. Mwl. Kibaso was a role model to me. Hope he is one of the choir masters together with our lord Jesus Christ

  • @ellieclasen6886
    @ellieclasen6886 4 ปีที่แล้ว +3

    My family and I listen to the song and dance non-stop, you left us with a remarkable song that settles deep in our hearts,.Indeed we shall meet on the beautiful shore. Thank you Mwalimu Kibaso and Kurasini SDA choir!

  • @samsonwaanda7568
    @samsonwaanda7568 8 หลายเดือนก่อน

    Amina ( haja ya moyo wangu) ni bonge la song, sauti zote zimetulia, vyombo ndiyo sisemi!! Mungu awabariki kwa kazi nzuri

  • @eliahthabit3059
    @eliahthabit3059 4 ปีที่แล้ว +1

    Hakika tudumu ktk kuvipiga vita vizuri vya imani,hatimaye tuwe miongoni mwa Watakaorithi ufalme wa Mungu.

  • @muzemalongoza1189
    @muzemalongoza1189 ปีที่แล้ว

    Wimbo huu unanibariki sana. Mwal. Kibaso japo amelala usingizi wa mauti lakini angali akinena. Mbarikiwe sana Kurasini SDA Choir

  • @ArnoldArgertta
    @ArnoldArgertta 3 ปีที่แล้ว

    Siku moja...ile siku Bwana atakapourejesha ufalme wake, bila shaka tutakutanaa na mwalimu Kibaso. Tutamkosa lakini wacha mapenzi yaa Mungu yawe.

  • @KisukaMasokero
    @KisukaMasokero หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe watoto wa Baba tukutane kandokando ya bahari aise

  • @josephinebakano6255
    @josephinebakano6255 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen . Ndilo haja la moyo wangu pia. Mwenyezi Mungu awa bari.

  • @ongubocyrus6066
    @ongubocyrus6066 ปีที่แล้ว +2

    Kurasini Choir, you've always touched, taught many Souls.
    Be blessed.

  • @zephaniahgiftedbygod960
    @zephaniahgiftedbygod960 4 ปีที่แล้ว +4

    Wimbo umenifariji sana huu wakati huu wa majonzi

  • @winifridambaraka5713
    @winifridambaraka5713 3 ปีที่แล้ว

    Barikiweni sana kurasini nawapenda mnooooo nabarikiwa sana na nyimbo zenu kinachonifanya niwapende mno hamna matengenezo yasoyoleta utukufu kwa Mungu hamna mapambo ya kusuka kama wengine kakika ninyi mnawatangaza wasabato wakweli

  • @brownwell959
    @brownwell959 4 ปีที่แล้ว +4

    Am not an adventist but Kurasini songs always uplift my heart.I feel near to the feet of our God.I will miss Mr Kibaso in person.I have never missed their presence as long as they come to Kenya to spread the work of God.I was with the choir last year at Mathare North sda camp meeting.The teacher seemed jovial not knowing is the last time to see him.Will miss him.RIP teacher

  • @phiniasbiseko9981
    @phiniasbiseko9981 2 ปีที่แล้ว

    Wasabato mnaimba aiseeee, Mungu awabariki sana

  • @asiyoedward3511
    @asiyoedward3511 4 ปีที่แล้ว +2

    Fare thee Well Mwalimu Kibaso, may our Almighty comfort your family friends and Kurasini SDA choir. Your songs will live with us forever

  • @roselusenaka7548
    @roselusenaka7548 3 ปีที่แล้ว

    Kaa ndani ya Yesu kitambo kidogo tutanyakuliwa

  • @alfred4925
    @alfred4925 3 ปีที่แล้ว

    Kibaso ako mbinguni akiimba pamoja na Malaika wa mbinguni ni huzuni kweli lakini mambo yatakuwa mapya tukikutana na marafiki Amen

  • @theresamutale2017
    @theresamutale2017 3 ปีที่แล้ว +2

    I am inspired by this song.i from Zambia

  • @arnmh7435
    @arnmh7435 4 ปีที่แล้ว +2

    Aisee imenigusa Sana Mungu na Amrehem, machozi yanitoka 😭😭