NIMESILIMU NA WATU WAFWASI WENGI SANA NATUKABADILI KANISA YETU KUWA MSIKITI..BY SHEIKH YAHYA ISSA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 107

  • @husseinmwenja4398
    @husseinmwenja4398 4 ปีที่แล้ว +6

    MASHALLAH ...NURU JUU YA NURU KAZI NZURI MA IKHWA ALLAH AWAPE KAULI DHABIIT NA ISTIQAMA ndugu zetu hao wanaojiunga na uisilamu dini pekee ya haqi

  • @lacroquetalacroqueta6813
    @lacroquetalacroqueta6813 4 ปีที่แล้ว +1

    MashaaAllah...Michango ifanywe zaidi kama COMMENTS zetu na pia sio lazima mpaka uwe tajiri kutoa hata hio shilingi tano,kumi,ishirini na mia moja ukitoa pia itasaidi kwahivyo waisilamu tushikamane kujenga akhera hapa duniani,kupitia kuwapa misaada ndugu zetu wapi waliongia jwa uisilamu, mashekhe zetu wametuekea chakula mezani haya nduguzanguni tufanyeni michango pia unaweza kuchukua fone number hio ya sheikh ukaisambaza kwa kuitisha michango ya kuimarisha dini ya Allah..fajazakumullah kheyran

  • @francinensavyimana5601
    @francinensavyimana5601 4 ปีที่แล้ว +6

    NUSURA YA ALLAH takbirriii karibu mukutane NA tukutane NA YESU AKHEIRA.

  • @saidabdullah7273
    @saidabdullah7273 4 ปีที่แล้ว +1

    Allwahu Akbar M.mungu ni mwingi wa rehma alhamdulillah

  • @alhaddajmohammed4768
    @alhaddajmohammed4768 3 ปีที่แล้ว

    Nusra ya Allah imeshakaribia (Kiama kimekaribia) imeshabashiriwa kuwa mwisho wa dunia watu wengi wataingia ktk Uislamu na kuiwacha Ukafiri.
    Chamsingi yujitambuwe, tubadilike, tufanye touba sana na tuwache mazowea.

  • @mariamali1887
    @mariamali1887 4 ปีที่แล้ว +5

    MashaAllah mashaAllah Allah barik. Kila nikitazama youtube kipindi chako. Naskia raha wallahi Allah awahifadhi na awaongoze. Na jamiya islam.

  • @mwabwagizojaytummumwabwagi7182
    @mwabwagizojaytummumwabwagi7182 4 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah mashee wetu kazi nzuri ALLAH awasimamie kwa kila atuwa InshaAllah

  • @mjitahidiomary8733
    @mjitahidiomary8733 3 ปีที่แล้ว

    Na utaona watu wakiingia katika dini ya mwenyezi mungu makundi kwa Makundi ,fasabihi bihamdi labika wastaghafiluh basi hapo mtakase mungu wako pamoja na kumsifu umuombe msamaha

  • @hijjahbintmardhya6613
    @hijjahbintmardhya6613 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashaa Allah 🌼Mashaa llah🌼 Mashaa llahu 🤝mkono kwa mkono mpaka pepon Kenya dahawa ✊

  • @mishibakarikanwa3055
    @mishibakarikanwa3055 4 ปีที่แล้ว

    Ma sha Allah...Allah atufanyie wepesi sote tuende dini yetu

  • @najmamohmad6348
    @najmamohmad6348 4 ปีที่แล้ว +1

    Al Kabir Amna anaeweza kudra za Allah.mola azidi kuwapa subra mashek mzidi kueneza dini ya aki

  • @asdfnfmd5466
    @asdfnfmd5466 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mashallah tabarak rahman ya Allah kama ulivo wachagua ukawaleta kati uislam bac waongoze wasirudi nyuma inshAllah

  • @aminabdi7530
    @aminabdi7530 4 ปีที่แล้ว +3

    AllahuAkbar AllahuAkbar AllahuAkbar...

  • @user-nh5hi7wr4g
    @user-nh5hi7wr4g 4 ปีที่แล้ว

    Tunao uwezo,Utafika Inshaallah,niko uswizi,pikipiki yangu imelala kilifi sheikh fanya ipelekwe huko inakohitajika

  • @fazkirtube1329
    @fazkirtube1329 4 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllh....sheikh wetu tunaendelea kuwaombea mungu kwa kazi yake...🙏🙏🙏🙏❤️

  • @swalehiddy2468
    @swalehiddy2468 4 ปีที่แล้ว +2

    Tuko pamoja inshaaallah

  • @salimomary2726
    @salimomary2726 3 ปีที่แล้ว

    Mashaa Alla nafulhi sana kuona kenya uisilam unazidi kukua kwa kasi kubwa

  • @abujamalaalghammawiy7470
    @abujamalaalghammawiy7470 4 ปีที่แล้ว +2

    Allah awathibitishe katika dini amin

  • @fatumahamis9206
    @fatumahamis9206 4 ปีที่แล้ว +1

    Takbir takbir takbir

  • @shukurukoll7269
    @shukurukoll7269 4 ปีที่แล้ว

    Alhamdulillah ... Allah SW Awabariki sana.

  • @bisimwashamboko5713
    @bisimwashamboko5713 4 ปีที่แล้ว +3

    Frst view. Mambo mazuri sana. Allah awalinde

  • @abdullmalik7847
    @abdullmalik7847 4 ปีที่แล้ว +1

    In shaallah tutaji tahidi bi ithnillah

  • @ramadhanihudhaifani4376
    @ramadhanihudhaifani4376 4 ปีที่แล้ว +1

    Wow! Umenifurahisha sana Sheik.Allah Akuongoze na Akusimamie katika kazi yako hii ya kuwaita watu katika dini ya Allah.Amiin!

  • @mwajumamwajuma3756
    @mwajumamwajuma3756 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah wisilam ala nurumumhamadi mungu awasamehe nangoma 🙏🤝❤️

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 4 ปีที่แล้ว

    ALLAHU AKBAR....wameiona haki’ ..!
    Wako wapi wale wanaosema tunawanunua..?...

  • @zainabuyusuf7730
    @zainabuyusuf7730 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @barakashaban9698
    @barakashaban9698 2 ปีที่แล้ว

    Maashallah Allah awahifadhi na awadumishe katika dini ya haki

  • @fatmafmly
    @fatmafmly 4 ปีที่แล้ว

    Pongezi mashekhe kwa kazi yenu mzuri allah awajalie kila la kheri

  • @moustarpha.9086
    @moustarpha.9086 4 ปีที่แล้ว

    Masha'Allah mungu awabariki na awabakishe katika diniyetu.

  • @daudimmary3965
    @daudimmary3965 4 ปีที่แล้ว

    Allah Akbar wallah allah awalipe kwa jihad mnayoitenda wallah, nafrahi sana hadi machozi yananlenga kwa fraha vile watu wanavyoingia ktk dini makundi kwa makundi

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 4 ปีที่แล้ว

    Wafundishe kuoga janaba akifanya mapezi yake n'a mkewake mungu yakubariki

  • @ashajuma8686
    @ashajuma8686 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah...mola atuongoze sote

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 4 ปีที่แล้ว

    MashaAllah.

  • @mangeraalbert7982
    @mangeraalbert7982 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah karim

  • @abdullmalik7847
    @abdullmalik7847 4 ปีที่แล้ว +1

    Maashaallah tabaraqllah baraqkallah fikum

  • @fatmafmly
    @fatmafmly 4 ปีที่แล้ว

    Wamefanya mzuri kujiunga na dini yake dini isiyo dulumu dini inayo tambua mayatima na maskini inshallah cku ya kiama ndio watajua kweli walifata mahali pazuri wala c kwa hasara

  • @ambbabu4122
    @ambbabu4122 4 ปีที่แล้ว +1

    MASHAA ALLAH

  • @guwileguwileyasini758
    @guwileguwileyasini758 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah allah amuongoze in shaallah

  • @abuhajaranwar558
    @abuhajaranwar558 4 ปีที่แล้ว +1

    MashashaAllah tabaraqallah

  • @kizamaulidi6004
    @kizamaulidi6004 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah allah awaongoze daima

  • @faisalyusuf8986
    @faisalyusuf8986 4 ปีที่แล้ว

    LAA ILAHA ILLALLAH MUHAMMAD RASUULULLAH

  • @hassanabdalla2741
    @hassanabdalla2741 4 ปีที่แล้ว

    Wallahi mmependeza sn maashallah, Nuru yenu inang'aa ktk vipaji vyenu vya uso. Mungu atuzidishie uongofu kwa sote. Amina

  • @ashamohammed5593
    @ashamohammed5593 4 ปีที่แล้ว +1

    Ameen

  • @hubaamuj5129
    @hubaamuj5129 4 ปีที่แล้ว +1

    Allahu Akbar Allah Akram 🕋🙏🕋. MAA Sha Allah.Deen Haki... Allah atuongoze... Husnul Khattimah Yaa Rabby 🙏🕋🙏

  • @zulficarbacarsuale6877
    @zulficarbacarsuale6877 4 ปีที่แล้ว

    Laillaha Ilallah
    Allah que lhe abensoe

  • @jumamsembe1213
    @jumamsembe1213 4 ปีที่แล้ว

    Allah azidi kumuongoza INSHAALLAH

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 4 ปีที่แล้ว

    Taqeebr Allahu Akbr

  • @hawaamkubwa2020
    @hawaamkubwa2020 4 ปีที่แล้ว

    Allah akbar Allah awaongoze kwenye dini isiokua na shaka mashaallah tabaraka Allah

  • @ayshaayush8539
    @ayshaayush8539 4 ปีที่แล้ว

    Masha Allah tabarakallah

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 4 ปีที่แล้ว

    TakbiriAlla 😢😢

  • @rashidkeke9462
    @rashidkeke9462 4 ปีที่แล้ว

    Allah Allah wanjalalie gheri duniani na mbinguni inshaalla

  • @ashurar2721
    @ashurar2721 4 ปีที่แล้ว

    سبحان.الله اذجاء نصر الله والفتح تكبير

  • @zainabonyona9109
    @zainabonyona9109 4 ปีที่แล้ว +1

    Thafadhali muende ata mbaka Kuli bunyore inshallah

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  4 ปีที่แล้ว

      InshaAllah

    • @zainabonyona9109
      @zainabonyona9109 4 ปีที่แล้ว

      Mungu Mfalme Allah amubariki kwa iyo kazi mnafanya. Aamiin.

  • @omarabeid1363
    @omarabeid1363 4 ปีที่แล้ว

    Allah huakbar 🙏

  • @hashimmoote3587
    @hashimmoote3587 4 ปีที่แล้ว

    ماشاء الله تبارك الرحمن

  • @maryambintukhadija1604
    @maryambintukhadija1604 3 ปีที่แล้ว

    Mashallahh

  • @bambelmos8635
    @bambelmos8635 4 ปีที่แล้ว

    MashaAllah

  • @rkenea4262
    @rkenea4262 4 ปีที่แล้ว

    subhaanah Allaah

  • @abdinasirmohamed2238
    @abdinasirmohamed2238 4 ปีที่แล้ว +1

    🙏💪🙏💪🙏

  • @jumakoga2179
    @jumakoga2179 4 ปีที่แล้ว

    Allah akbar

  • @charlesmashaur4487
    @charlesmashaur4487 4 ปีที่แล้ว

    Mungu na malaika wanamswalia nabii .Wacha nao wakamswalie

    • @faisalyusuf8986
      @faisalyusuf8986 4 ปีที่แล้ว

      Muhammad swalallahu alaihi wasallam

  • @mashakabundala9955
    @mashakabundala9955 4 ปีที่แล้ว

    ALLAHU AKBAR

  • @hotnews2637
    @hotnews2637 4 ปีที่แล้ว

    Allahu wakbar

  • @zainabonyona9109
    @zainabonyona9109 4 ปีที่แล้ว

    Aamiin

  • @saeedabunajash6235
    @saeedabunajash6235 4 ปีที่แล้ว

    Allahu akbar

  • @mtipulaiddy6694
    @mtipulaiddy6694 4 ปีที่แล้ว

    Wakiona haki wanaifata

  • @rkenea4262
    @rkenea4262 4 ปีที่แล้ว

    ALLAH AKBAR

  • @asdfnfmd5466
    @asdfnfmd5466 4 ปีที่แล้ว +2

    Sheikh mbona huja weka number zenu za mpesa ili mwenye anataka ku wachangia awapate kiurahisi

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  4 ปีที่แล้ว

      Tumeweka mwisho akhuy Jazakallahu khyra

  • @fazkirtube1329
    @fazkirtube1329 4 ปีที่แล้ว +2

    Everything is okay with the interview kindly look into the editing side of the video...just opinion masheikh wetu

  • @raphaelkatanga5335
    @raphaelkatanga5335 3 ปีที่แล้ว

    Uyomkriisto au mganga

  • @asdfnfmd5466
    @asdfnfmd5466 4 ปีที่แล้ว

    Na hizo piki piki ni shilling ngapi

  • @salamakhamis8092
    @salamakhamis8092 4 ปีที่แล้ว +1

    EEE ALLA WALINDE NA UWAHIFADHI WAJA WAKO HAWA UWATIE NURU YA UISLAM KTK NAFSI ZAO

  • @najmamakame9881
    @najmamakame9881 4 ปีที่แล้ว

    Wakirsto mko wap

  • @zulficarbacarsuale6877
    @zulficarbacarsuale6877 3 ปีที่แล้ว

    LAA ILAHA ILLALLAH MUHAMMAD RASUULULLAH

  • @moanasaboud4399
    @moanasaboud4399 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @bethefirstonetoknow4407
    @bethefirstonetoknow4407 4 ปีที่แล้ว

    Allahu akbar