LEONEL ATEBA GOALS AND SKILLS MCHEZAJI MPYA WA SIMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 239

  • @afanikiwechaula1347
    @afanikiwechaula1347 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mchezaji mzuri sana shida ya watanzania wanaharaka na wamejaaa dharau wanafikiri kilakitu in siasa ndo maana hats timu yetu ya taifa haifanyi vizuri

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena KLIK HAPA TV na Usisahau Kusubscibe channel yetu kama Bado

  • @tebelehondo8268
    @tebelehondo8268 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wakuu uyo mchezaji mzuri tu January yanga walimlia Sana wakapgwa bao na warabu yanga wakaenda chukua guede tuombe mungu mchezaji angaliw TH-cam waku

    • @princeleesimba353
      @princeleesimba353 2 หลายเดือนก่อน +3

      @@tebelehondo8268 hawa mashaniki wengn sijuw wakoje au hawajawahi kucheza bolii huyooo dogo chafuu asaa wee sbr atuwee hp msimbaz nnd watajuwa tuu maana mchezaj haangaliwii n kuthminiwa youtube

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena Klik Hapa TV

  • @AndyRashid-dw8gv
    @AndyRashid-dw8gv 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hapa litakufa jitu good control, high pressing, speed the good player

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Tusubirie

  • @selemanairtel
    @selemanairtel 2 หลายเดือนก่อน +4

    washabiki wabong ni wasenge kwel mnataka mchezaj wa aina gan yanga walimludisha makambo alafu wakamleta na mayele ila alie kua ikiibwa sana alikua n makamb japo aliondoka kaacha jina ila alipotea mashabiki wasimba hamna utuliv sijui mmelogwa

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Watu Wanataka mtu mrefu ikipigwa Haruki
      . Anafunga waaah

    • @MusaMshana-t5l
      @MusaMshana-t5l 2 หลายเดือนก่อน +1

      Washabiki wa simba tulieni tunajenga timu tulieni msiwe na araka kama Cha kwanza

  • @jacksabho
    @jacksabho 2 หลายเดือนก่อน +3

    Yaani wabongo ni shida...kwahiyo hapa mmeishaona mchezaji na kumhukumu!

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena Klik Hapa TV

  • @ambitiousholyspirit395
    @ambitiousholyspirit395 2 หลายเดือนก่อน +2

    Atakaa benchi sana na dirisha dogo atatoka atasemwa sana Simba team kubwa.

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena KLIK HAPA TV na Usisahau Kusubscibe channel yetu kama Bado

  • @IsayaNassary
    @IsayaNassary 2 หลายเดือนก่อน +1

    We nae mr @klik hapa Tv unatuzingua bhn badala utuwekee skills za mchezaj na magoli alofunga short and clear unatuekea had sehem anafnyiwa faulu alafu unarudia mara kumi, mchezaj ana magoli 23 msimu ulopita hapa umetuekea moja tukuelew vp ss

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      kaka Umeangalia mpaka mwisho lakini?

  • @MaryamSeif-ns3tr
    @MaryamSeif-ns3tr 2 หลายเดือนก่อน +3

    Simba siyo kwamba inaleta wachezaji wa bovu ni wazuri sema wanalogwa na kina mzee mpili upande wa pili ogopa,,wanatumia kila mbinu namuna wanavyotaka simba kuiharibu ,marefa,uchawi ,kununua timu na kuzizamini kwenye ligi ili mradi simba apotee ,,,viongozi wasipokua makini hata kama wamulete ronado atakuja kuwa mbovu ,

    • @allymwashambwa5920
      @allymwashambwa5920 2 หลายเดือนก่อน +1

      🎉

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน +1

      Duuuuh

    • @michaelCmichael255
      @michaelCmichael255 2 หลายเดือนก่อน

      Acha zana za ovyo mtu kama unajua unajua tu. Kama huyu dogo apo hamna anacho cheza akija hapa unadhani atafanya nini. Mbona halogwi azizi ki. Akina kagele wamecheza mpaka wakaisha aliwaloga nani. Ama chama.

  • @zagambojy4027
    @zagambojy4027 2 หลายเดือนก่อน +1

    Fund la mpir lionel Christian ateba

  • @DanielKapandila-is8ve
    @DanielKapandila-is8ve 2 หลายเดือนก่อน +2

    Calm down,Kuna watu ndo wamemuona Leo af washa Anza kucoment.mchezaji haangaliwi hivo

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Sure

  • @ashambozu6038
    @ashambozu6038 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kwanz ww mshabiki huchangii chochote kaa kmy au uhame timu nyooo kelele tu Simba tunaipenda😊

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Daaaah mbona unahasira sana

  • @ahmed_mwarabu
    @ahmed_mwarabu 2 หลายเดือนก่อน +2

    Tatizo la simba ni namba 10 sio stereka

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน +1

      kwanini unasema hivyo

    • @mirajichima969
      @mirajichima969 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ahmed unajua Mpira, Simba ya Sasa ilikuwa inamuhitaji yule Charles ahoua awe sawa ili atengeneze nafasi sio streka, hatuna shida na streka lkn kwa sababu wao ndo wameamua it's okey

    • @ahmed_mwarabu
      @ahmed_mwarabu หลายเดือนก่อน

      @@KlikHapaTV ashakujibu miraj hapo chin

  • @winfredngaeje6969
    @winfredngaeje6969 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wanangu mbn tunachezewa Akili zetu mm sijaona Cha Ajabu hapo😢😂😂😂

  • @kingofrich6813
    @kingofrich6813 2 หลายเดือนก่อน +2

    Daaah bora mose phiri

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena Klik Hapa TV

  • @IddrisaIbarahm
    @IddrisaIbarahm 2 หลายเดือนก่อน +1

    NYINYI WAPUMBAVU AMBAWO MMETUMWA SHENZ ZENU TUACHIE NA MCHEZAJI WETU PUMBAVU

  • @Raphaelyusufu123
    @Raphaelyusufu123 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kasajiliweni nyie sasa mnaojua maana mnatupigia kelele tu

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      😂

  • @princeleesimba353
    @princeleesimba353 2 หลายเดือนก่อน +4

    Huyo ni mzuri tena sana, tatizo letu shabiki wa simba tunataka striker awee anashinda tuu no hio so boli realmadrid kulikuwa na ronaldo kisha benzema wakati benzema ndo striker basi mbna alikuwa anapitwa idady ya magoli . Tuacheni ushabiki wa kisenge
    Huyo huyo mzuri sn tuu kwanza anaweza kuficha mpira kuondoka na beki sasaa tunataka nini jengn tuacheni ushamba hebuu ikiwa kocha kamuamn ww nan usimuamin

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน +1

      Asante kwa maoni yako. Karibu tena Klik hapa TV

    • @princeleesimba353
      @princeleesimba353 2 หลายเดือนก่อน +2

      @@KlikHapaTV 😃😃😃 uswaazee mzeee hawajuwii kuwa huyo wanaemtaka wao mayele nae kwenye nafsi 4 aweza pata 1 au 2 zilizobak akakosaa me nhs ni chaguo sahihi piia kwa7b usm alger ligi yao ni ngumu mnoo tofaut n yetuu

    • @Dully_star
      @Dully_star 2 หลายเดือนก่อน

      Nyooo Tanzania ndo ligi ngumu mnoo huyu jamaa m najua wachezaji Yan Bora Yule mukwala wetu Yan kwa hio pesa borea watoe sadaka kumamamke hamna mtu humo

    • @princeleesimba353
      @princeleesimba353 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@Dully_star kumbe we mpumbavu at unakaa wap kwanza stk kubishna n mpenz viaz mm

    • @gracemtango
      @gracemtango 2 หลายเดือนก่อน

      Mashabiki jamani wasimba tunaongea mno hebu tunyamaze tuwaombee wachezaji mbona wenzetu utopolo hawawasemi wakwao, tuwaombee pia nguvu za giza zipo,huwesi mjaji mchezaji utube bwana

  • @kostantinomhagama8973
    @kostantinomhagama8973 2 หลายเดือนก่อน +2

    Bonge la mchezaji huyo, punguzen maneno kila ht Hawa ambao walikichafua daby ya kariakoo juzi kipindi wanatambulishwa mliongea sana

    • @kareemibrahim1892
      @kareemibrahim1892 2 หลายเดือนก่อน

      Mchezaji au mchezeweji huy 😅😅😅😅

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena Klik Hapa TV

  • @anorldlema742
    @anorldlema742 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mchezajii hewa huyu daah cjui scout ya simba inafelii wap

    • @fredshayo
      @fredshayo 2 หลายเดือนก่อน

      scout ya simba kweli inafeli MO inabidi alijue ilo wachezaji tunaoleyewa ni wa ovyo sana

  • @revocatustano9081
    @revocatustano9081 2 หลายเดือนก่อน

    Hapa hamna mshambuliaji 😮

    • @zagambojy4027
      @zagambojy4027 2 หลายเดือนก่อน

      Kaka hilo chezaj let nyie wachezaj wet mliwaita wazee kumbe mlikuwa mnawataka kwahy kaa kwa kutuliaa UBAYA UBWELA

  • @christophermpogole4944
    @christophermpogole4944 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mangungu asipotoka simba, simba sahauni ubingwa!

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena Klik Hapa TV

  • @Zondomkali
    @Zondomkali 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nafikiri Mpanzu ndiye mkombozi pekee aliyekuwa amebaki ukweli ndio huo

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena KLIK HAPA TV na Usisahau Kusubscibe channel yetu kama Bado

  • @lazarokajole5454
    @lazarokajole5454 2 หลายเดือนก่อน

    Dah...watu tunajua kuharibu Pesa aisee

  • @adamuyusuph827
    @adamuyusuph827 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa mara ya kwanza TH-cam imeonesha ukweli namna mchezaji alivyo😂

  • @SwailaMbaruku
    @SwailaMbaruku 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amna mchezaji hapa

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena KLIK HAPA TV na Usisahau Kusubscibe channel yetu kama Bado

  • @robertchazya2351
    @robertchazya2351 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hamna kitu hapo 😂😂

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena KLIK HAPA TV na Usisahau Kusubscibe channel yetu kama Bado

  • @danieldavid4733
    @danieldavid4733 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa body yake mabeki wataita maji mmaaa

  • @akiduManyamba
    @akiduManyamba 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mtuonee uluma mashabiki du tunaumia😢😢

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena KLIK HAPA TV na Usisahau Kusubscibe channel yetu kama Bado

  • @Jonathanbugumba
    @Jonathanbugumba 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bone la striker cjawah ona

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena KLIK HAPA TV na Usisahau Kusubscibe channel yetu kama Bado

  • @Emanueli-vz6fd
    @Emanueli-vz6fd 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yipe alo changamka😅😅😅

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Tusubirie muda

  • @RajabuhamisHassan-v6b
    @RajabuhamisHassan-v6b 2 หลายเดือนก่อน +1

    Niwa jinga kwakuona siklls

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena KLIK HAPA TV na Usisahau Kusubscibe channel yetu kama Bado

  • @barakamallya-ix3dz
    @barakamallya-ix3dz 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hapa hamna mchezaji viongozi simba upigaji mwingi

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน +1

      mwaka huu Mo alisema anaingia mwenyewe kwenye usajili

  • @RahimuHassan-r9n
    @RahimuHassan-r9n 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mh mh mh mh napita me pia nimeujulia mpira ukubwan

  • @onesmothimos2635
    @onesmothimos2635 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kama mna leta chezaji wa ivi siafadhali muache kusajiri fact afai kabisa

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      😂😂

    • @Dully_star
      @Dully_star 2 หลายเดือนก่อน

      Kweli baba

  • @MohammedHamss-mf3yc
    @MohammedHamss-mf3yc 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mmezidi kila kitu akifanya simba kwenu nongwa kwani ni wakwenu uyu achaneni na msimbazi bnaa

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa Maoni yako

  • @lusanikaseke3065
    @lusanikaseke3065 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amna mchezaji apa

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena Klik Hapa TV

  • @BASILCHENGULA
    @BASILCHENGULA 2 หลายเดือนก่อน

    Mh mbona celew hapo amna skills zozote magoli Amna nn hicho ukwel cjaelewa chochote mchezaji mzuri tuongeona magoli kama yote hapo😂😂😂😂

  • @martinmaneno4049
    @martinmaneno4049 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwambieni gemu ijayo ni tarehe 19 mwezi wa 10,2024!

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Tunashukuru kwa maoni yako, Karibu tena KLIKHAPA TV

    • @JumaaKombo-fm1fz
      @JumaaKombo-fm1fz 2 หลายเดือนก่อน

      Hatuogopi

  • @SimonimatoneyusuphMatone
    @SimonimatoneyusuphMatone 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hiyo mashine nyie

    • @beackerchikomo2322
      @beackerchikomo2322 2 หลายเดือนก่อน

      Amna kitu

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena Klik Hapa TV

  • @PROPHETPCANTENA
    @PROPHETPCANTENA 2 หลายเดือนก่อน +3

    Skauti ya Simba 😂😂😂 Sasa huyu n Koblan Nani zaidi 4:46

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน +1

      😂

  • @damasmayanja2930
    @damasmayanja2930 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mpira una mambo mengi kuna kuendana na Mfumo wa falsafa ya uchezaji wa timu pia.

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena KLIK HAPA TV na Usisahau Kusubscibe channel yetu kama Bado

  • @Bahatimsaki
    @Bahatimsaki 2 หลายเดือนก่อน +1

    Anazurura tu uwanjan nikama jobe😂😂😂

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena KLIK HAPA TV na Usisahau Kusubscibe channel yetu kama Bado

  • @KelvinPhinias-m2k
    @KelvinPhinias-m2k 2 หลายเดือนก่อน +2

    Simba kama machoko😢

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      😂

  • @Mbarakaselemani
    @Mbarakaselemani 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hamna mchezaji hapo😅

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Kuna nini

  • @hidayajuma7946
    @hidayajuma7946 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mzuli jamaa subilini muone anajua

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena Klik Hapa TV

  • @danielsemkiwa9802
    @danielsemkiwa9802 2 หลายเดือนก่อน

    Viongozi waliopo simba wengi ni madalali

  • @oneegraphy8285
    @oneegraphy8285 2 หลายเดือนก่อน +1

    garasha

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena KLIK HAPA TV na Usisahau Kusubscibe channel yetu kama Bado

  • @Mandojo-o7f
    @Mandojo-o7f 2 หลายเดือนก่อน +1

    🤣🤣🤣🤣🤣aseee simba tunautanii huyuuu bora htaaa jobe

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena KLIK HAPA TV na Usisahau Kusubscibe channel yetu kama Bado

  • @salimmbilu4524
    @salimmbilu4524 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wawastan ila siyo mbay

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena KLIK HAPA TV na Usisahau Kusubscibe channel yetu kama Bado

  • @hgki313
    @hgki313 2 หลายเดือนก่อน +1

    highlights za ovyo, si usngepost, au huwez kutafta, kupotezeana muda tu

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Weka za kwako kaka, ili Upunguze Makasiriko

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 2 หลายเดือนก่อน

      Ndio uwezo wake huyo mchezaji ulitaka aonyeshwe anafunga magoli? Au

    • @hgki313
      @hgki313 2 หลายเดือนก่อน

      @@damianmcba9525 Acha shobo babu, Mvp anaoneshwa magoli mawili unasema ndo uwezo wake, tumia akili we fala

    • @hgki313
      @hgki313 2 หลายเดือนก่อน

      @@KlikHapaTV we umeweka

  • @VyamanaAbdallah
    @VyamanaAbdallah 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa hajanivutia hata kidogo labda aje abadilikie huku

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Anaweza kubadilika labda

  • @kassmkassmdady
    @kassmkassmdady 2 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅😅

  • @LightnessDeus
    @LightnessDeus 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo nigalasha Bora fredi maick

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน +1

      Fred inaonekana Kocha hamkubali kivile

  • @jonathansirkintungi3440
    @jonathansirkintungi3440 2 หลายเดือนก่อน +2

    Simba hiyu si mchezaji tafuteni mwingine.

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena Klik Hapa TV

  • @josephmkongwa3321
    @josephmkongwa3321 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani simba cjui tuna mkosi gani tokea alivyo ondoka kagele hatuja wahi kupata 4wad wa uhakika

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena KLIK HAPA TV na Usisahau Kusubscibe channel yetu kama Bado

  • @Stevenhimba9289
    @Stevenhimba9289 2 หลายเดือนก่อน +1

    daah wakawaida tu sion maajabu anyway ngoja tutamuona

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa Maoni yako

  • @philemonnestory4239
    @philemonnestory4239 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sijamkubali

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena KLIK HAPA TV na Usisahau Kusubscibe channel yetu kama Bado

  • @aberemanwer2939
    @aberemanwer2939 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani chama wakati anakuja si mlimuona kituko

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      sidhani kwa Chama kama ilikuwa hivi

  • @SimonJoseph-h4e
    @SimonJoseph-h4e 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nyie utopolo acheni kelele

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน +1

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena Klik Hapa TV

  • @IsmailiAyubutandi
    @IsmailiAyubutandi 2 หลายเดือนก่อน +2

    Apo tumepigwa

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      APEWE Muda

    • @BarakaProtas
      @BarakaProtas 2 หลายเดือนก่อน

      Umeona😂😂😂

  • @MsuyaMgeta
    @MsuyaMgeta 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bora wangeeacha tu

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena Klik Hapa TV

  • @BarnabaJaphet
    @BarnabaJaphet 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ngoja tusubir tuone

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena KLIK HAPA TV na Usisahau Kusubscibe channel yetu kama Bado

  • @anatorihamisimlewa1094
    @anatorihamisimlewa1094 2 หลายเดือนก่อน +3

    Simba siyo wajinga kulipa 520M

    • @mcmc3445
      @mcmc3445 2 หลายเดือนก่อน

      Usm Algiers sio wajinga pia kumuachia , huku wakipata hasara ya mil.200+ , kumbuka nao malengo yao ni kufanya vzur kwenye cafcc

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena Klik Hapa TV

  • @ashambozu6038
    @ashambozu6038 2 หลายเดือนก่อน

    Unajua mashabik wang wasimba nashindwa kuwaelewa

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      kwanini kaka?

    • @DanielJimmy-w4h
      @DanielJimmy-w4h 2 หลายเดือนก่อน

      hawajui mpira hata kidgo ndo shida😂

  • @AllyAlex-ie8fu
    @AllyAlex-ie8fu 2 หลายเดือนก่อน +1

    ange ondoka ayubu kwakua majelui abak vnja bey

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena Klik Hapa TV

  • @FrankbonifasiBulilime
    @FrankbonifasiBulilime 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ngoj tuon uwanjan

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena KLIK HAPA TV na Usisahau Kusubscibe channel yetu kama Bado

  • @christophermpogole4944
    @christophermpogole4944 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna hela ndio maana!

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena Klik Hapa TV

  • @MohammedHamss-mf3yc
    @MohammedHamss-mf3yc 2 หลายเดือนก่อน +1

    Alafu nyie watu wa yanga kwanini msikomenti kwenye timu yenu uyu sio mchezaji wenu anajua ajui ni wasimba embu fanyenyi yenu ss simba atufatiliii wachezaji wenu nyie viherehere vimewadi achaneni na simba yetu nanyi mbaki na yanga yenu

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa Maoni yako

  • @FelixMiyamini
    @FelixMiyamini 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ninyi Simba Nan katuloga 😳😳😳

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂 kwanini

    • @barnabasyamseo980
      @barnabasyamseo980 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @JemsiJuma
    @JemsiJuma 2 หลายเดือนก่อน +1

    APA tume pigwa

    • @marshangeka712
      @marshangeka712 2 หลายเดือนก่อน

      Umepigwa ww

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena KLIK HAPA TV na Usisahau Kusubscibe channel yetu kama Bado

  • @beackerchikomo2322
    @beackerchikomo2322 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hakuna straika hapa kwanza mzito Bora ya koblan, wakituletea huyu viongozi watafeli

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena Klik Hapa TV

  • @EmanuelMakalla-wu1zu
    @EmanuelMakalla-wu1zu 2 หลายเดือนก่อน

    Hapo tumepigwa tena hakuna mchezaji hapo

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Ni vyema Kusubiria muda uzungumze

  • @AbubakarOthuman
    @AbubakarOthuman 2 หลายเดือนก่อน

    Mpira nyinyi mmeujulia ukubwani sio kila mchezaji mzuli mpaka afunge watu wanaangalia umiliki wake wa mpra mbwa Koko nyie kubwe kila wakati

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 2 หลายเดือนก่อน

      Tulisikia simba wanatafuta mtu wa kutupia nyavuni,,, kuwa tatizo ni goli,, kumbe wanatafuta mtu wa kumiliki mpira?

  • @MaryamSeif-ns3tr
    @MaryamSeif-ns3tr 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mkwala no mzuri niambie Hana hata goli akifika ndani ya 18 anapiga ovyo viongozi kuweni makini

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena Klik Hapa TV

  • @anorldlema742
    @anorldlema742 2 หลายเดือนก่อน +8

    Bora valentino mashaka kuliko huyo... Sijui viongoz wa simba wamelogwa huyo wanampeleka wap hana hadhi hata ya kuchezea coastal union

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน +1

      Kwamba Huna Imani naye kabisa

    • @princeleesimba353
      @princeleesimba353 2 หลายเดือนก่อน

      Weee tena shika adabu yako mashaka na huyoo au ww kumbee hujuwi boli at yule mashaka sijuwi hata kwa nn amesajiliiwa kwa kweli ni mbovu hatariii

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 2 หลายเดือนก่อน

      @@princeleesimba353Mmeanza mapema ligi haijaanza, wakt juzi tu mlifungwa na Yanga goli moja mkasema wachezaji hamuwadai leo tena siwo jamani!

    • @princeleesimba353
      @princeleesimba353 2 หลายเดือนก่อน

      @@mussammanga7791 wewee huyo ateba so wa kumbeza kisi y kwamba unamfananisha na mashaka ndio nikasema mashaka kwa huyuu ni mbovu sn ateba n mzur sn

    • @princeleesimba353
      @princeleesimba353 2 หลายเดือนก่อน

      @@mussammanga7791 kwanza mm sina mashaka na timu yangu mzeee sjuw umeelewa hpoo eeee inapaswa ukumbuke hata barselona ilikuwa n yamoto asaiv wap huuo ndo mpira mzeee ... au ww unatizama mpira wa simba n yanga eee kama unakaa mikowani hukoo usibishne kuhusu mpira tafadhali

  • @onesmothimos2635
    @onesmothimos2635 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ovyo akuna m hezaji hapo

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      😂

  • @MuksinBakari-gf8jb
    @MuksinBakari-gf8jb 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kama ni huyu du😅😅

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน +1

      Ananini kwanini?

  • @johnnamkwahe6959
    @johnnamkwahe6959 2 หลายเดือนก่อน +4

    TUKIRI KWAMBA HATUNA TEAM NZURI YA SCOUTING..AFRIKA INA VIPAJI VINGI SANA KWENYE MAENEO YOTE UWANJANI, NI SUALA LA HELA TU KUPATA QUALITY PLAYERS. TUACHANE NA HAWA WACHEZAJI AMBAO HAWANA LOLOTE. TUJIFUNZE KWA YANGA LINAPOFIKA SUALA LA KUSAJILI WACHEZAJI WAZURI NA WENYE MSAADA KWA TEAM

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน +1

      Asante kwa maoni yako kaka, Karibu KLIK HAPA TV

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 2 หลายเดือนก่อน +1

      Nyinyi si wakubwa kwanini mjifunze kwa Yanga?

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      @@mussammanga7791 hahha

    • @Dully_star
      @Dully_star 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@mussammanga7791Tujifunze kwasabab matako yako ya macho hayaoni sasa NI misimu mi 4 yanga wanatuzidi kusajili kubaaabako elewa bhacy Acha ukuma wakichawa kabaabako

    • @desolz3809
      @desolz3809 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mfumo wako wa fahamu umeungana na mfumo wa mavi 😂😂

  • @bahatimakenzi
    @bahatimakenzi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mnapoleta mchezaji kama huyu caocher mmemshirikisha af mbona ka vile hamna mchezaji hapa

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Taarifa zinasema ni pendekezo la kocha

  • @ahmed_mwarabu
    @ahmed_mwarabu 2 หลายเดือนก่อน

    Hamna streka hapa

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน +1

      kuna nini

  • @kareemibrahim1892
    @kareemibrahim1892 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hamna kitu wote na Fred ndio hao hao tuuuu

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena Klik Hapa TV

  • @mudtwak7489
    @mudtwak7489 2 หลายเดือนก่อน +1

    Simba haina viongozi jman asa wanamsajili huyu ndgu ake na jobe da

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂 Huwezi kujua labda yaliyomo yamo

  • @johnnamkwahe6959
    @johnnamkwahe6959 2 หลายเดือนก่อน +1

    HAKUNA MCHEZAJI HAPA...KAMA NI KWELI VIONGOZI NA KOCHA WAMEMPENDEKEZA HUYU NDIO AONGOZE SAFU YA USHAMBULIAJI, BASI TUSITEGEMEE MAAJABU YOYOTE. HIZI HELA SI BORA WATAFUTE MCHEZAJI WA NDANI MWENYE UZOEFU NA LIGI

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน +1

      Wa ndani kama nani?

    • @josamjoel2079
      @josamjoel2079 2 หลายเดือนก่อน

      Mzize

    • @Dully_star
      @Dully_star 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@KlikHapaTV watanzania NI wengy wanaojua kukoemesha kama wale wakina lusajo bonge za wachezaji ila wamekosa team kubwa Tu Yan team yetu mafala kweli yan

  • @charleschao9809
    @charleschao9809 2 หลายเดือนก่อน

    Hakuna mchezaji humu

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      hahaha

  • @mwanju3981
    @mwanju3981 2 หลายเดือนก่อน

    Hakuna mshambuliaji hapa....Bora hata ya mugalu

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Tunashukuru kwa maoni yako, Karibu tena KLIKHAPA TV

  • @stephanombughi6177
    @stephanombughi6177 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kiukweli viongozi wa simba kila siku watakuwa wanavunja mikataba ya wachezaji unasajili mchezaji hata takwimu hana alafu unaenda kumsaji viongozi wameja siasi tu na projo.

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena Klik Hapa TV

    • @mnyetipeter109
      @mnyetipeter109 2 หลายเดือนก่อน

      Kwa akili yako USM walinunua mchezaji mbovu, walivutiwa na uchezaji wake ndo maana walimupa miaka 2.5 kwa kiwango chake.

  • @RashidiMwiga
    @RashidiMwiga 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa usajili huu makombe tutachukua ndotoni furkin kabisa

    • @godwinmartin4084
      @godwinmartin4084 2 หลายเดือนก่อน +2

      Hujui chochote

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena Klik Hapa TV

  • @JonhChengula
    @JonhChengula 2 หลายเดือนก่อน

    Dilisha dogoo hatoboi daa ilaviongoz wet hawa daaaa😢😢😢

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Tunashukuru kwa maoni yako, Karibu tena KLIKHAPA TV

  • @BabaPana-w4b
    @BabaPana-w4b 2 หลายเดือนก่อน

    amna kitu hapa tushapigwa tayari

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน +1

      Kwanini?

  • @lullebolle808
    @lullebolle808 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwenda zako utopolo wewe

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Punguza hasira

  • @GervasiSafiel
    @GervasiSafiel 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tusiwe wajinga huyo mchzaji wa hovyo bora fredy maiko kuliko huyo

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako, Karibu tena Klik hapa TV

    • @HabibuMuhunzi
      @HabibuMuhunzi 2 หลายเดือนก่อน

      Sasa ww unasema wa ovyo mwambie baba yako amsajili anefaa ili umpeleke unabwabwaja tuh hata mia hauna pusi ww

  • @barnabasyamseo980
    @barnabasyamseo980 2 หลายเดือนก่อน

    Jobe mtubu tunapigwa hapa kwani viongozi hawajui kuhusu mabululu na fiston mayele hiki kiaz kabisa

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน +1

      MAYELE kwasasa Pyramids wenyewe hawataki kumuachia?

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 2 หลายเดือนก่อน +1

      Utaweza kuvunja mikataba yao?

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 2 หลายเดือนก่อน

      Utaweza kuvunja mikataba yao?

    • @Dully_star
      @Dully_star 2 หลายเดือนก่อน

      Sasa borea waache kuliko kusajili kituko

  • @abdulayzertv3514
    @abdulayzertv3514 2 หลายเดือนก่อน

    Sio mbaya, atakaa bench, atacheza mukwala, kama akiendelea kuwa hv

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  2 หลายเดือนก่อน

      😂

  • @AggreyFINGAboy
    @AggreyFINGAboy 2 หลายเดือนก่อน

    Sijaona maajabuw