Asante sana bro. Umeeleza process yote vzuri na nimefanikiwa kuapply. lakini naomba kuuliza. Kama unahitaji kutumia cheti hicho ambacho kishapigwa muhuri na rita kwa kuombea mkopo wa HESLB, je unahitajika tena kupata muhuri wa mwanasheria au kinatosha
Kk mimi nimekwisha maliza lakini bado hawaja nirudishia majibu kwani nYPat wapi maana leo siku ya tano bado alafunaomba mkopo stashahada sinitakuwa nimechelewa
Mimi nimefanya zoezi lote kwa usahihi, mpaka kulipia na ikaonyesha paid lakini mpaka leo sijatumiwa cheti zimepita siku 20, au ndio sijui ni wapi pa kupakuwa hicho cheti ndugu?
Upo vizuri mkuu kwa elimu. Na mm natoa hii Hii huduma
Asante sana bro. Umeeleza process yote vzuri na nimefanikiwa kuapply. lakini naomba kuuliza. Kama unahitaji kutumia cheti hicho ambacho kishapigwa muhuri na rita kwa kuombea mkopo wa HESLB, je unahitajika tena kupata muhuri wa mwanasheria au kinatosha
Muhuri WA Rita unatosha
Superb
Good lesson
Mbona mm naishia tu hapo kweny birth application haikubali ku tap kuliletea kuchagua
Kali mkali
Mimi.nimemaliza lakin hainiletei control mamba
Mimi mpaka sasa hv n week ya pili sasa nimetuma na nimelipia elfu 6 lakn majbu hawajatoa
Baada ya kusubir izo siku tatu icho cheti nakidownloadia wap xaxa kwenye account yangu?
Yaan haikubali tu tap hapo kweny birth applications
Nimefika kwenye attachment na nine select choose file hata Hailey be sehem Chet kilipo shida nn et?
Hi, kwangu inakataa Ku choose file nikiclick inakataa kwend kweny file
Inaandika Invalid name kwenye hayo majina matatu, nini tatizo?
Braza ni mm niki attach cheti kinaandika error na nimekisave in pdf tyr na kina 234kb
Afu mbona picha ya guaranteer inajikata kwenye fom yang
Nikweli hata Mimi ILO tatizo nimeliona Ila halina shida maadam details kwenye mfumo ziko SAHIHI.
brother unajua kufundisha
Asante Sana
Mim.control namba imegoma
Mimi email confirmation inaandika failed kwanini?
Special character ni ip mbn sielew
@#£&/*
Kwenye attachment kwangu inagoma
Compress chetichako kifikie chini ya 500kb
Mbn mm imeniwekea elfu6
Ilishapanda maelekezo ya kwenye video niyamuda kitambo
Sasa nikishakamilisha icho cheti nakitumiaje kupata mkopo
Wakati wakuomba mkopo WA elimu ya juu kuna sehemu utahitajika ku_upload cheti cha kuzaliwa kilicho thibitishwa na Rita
Kaka mm nimelipa elf 6 na sijakosea control namba ila status bado inaonyesha not paid
Wkt Mwingine huwa zinachelewa vuta subra
Hello, je Kama nimepoteza Cheti na sina number yake? Naandika nini? Itawezekana.
Kama umepoteza cheti nenda halmashauri ofisi ya usajili WA vizaz na vifo toa taarifa na uprocess cheti kingine
Kaka mbon mim nikifika hapo kweny ku upload inakataa inaniandikia error
Hakikisha cheti Kiko katika mfumo WA pdf
@@dmginfo2470 na mm kiko kwenye pdf ila bado inaandika error na pdf ina 234kb
❤❤
Je unaweza kutumia akaunti moja kuhakiki vyeti viwili rita?
Vyeti viwili Kwa maana ipi? Vyote vyakwako au unamhakikia MTU Mwingine?
Mbona mi hawajanitimia namba yangu ya rita
Namba ya Rita ipi? Au unamaanisha control number yakulipia?
@@dmginfo2470 hiyo nimepata na nishalipa
@@dmginfo2470 ni ile code ya kuweka kwenye form ya heslb
Ainiletei control number tatizo nini mkuu
0800 117 482 customer care
Kk mimi nimekwisha maliza lakini bado hawaja nirudishia majibu kwani nYPat wapi maana leo siku ya tano bado alafunaomba mkopo stashahada sinitakuwa nimechelewa
Cheti watakituma kwenye hiyo hiyo account ya eRita
Nakitumaje
Na kila kitu nimefanya kama ipasavo
Ile rita certification number
Pls help
Chet changu ni cha zamani vipi kitakubali
Bila shaka
Kiongozi hiyo verification namba hujasema inapatikanaje mwishoni pia baada ya mda gani?
Ni baada ya cheti kuhakikiwa yaani kikagingwa muhuri
Mimi nimefanya zoezi lote kwa usahihi, mpaka kulipia na ikaonyesha paid lakini mpaka leo sijatumiwa cheti zimepita siku 20, au ndio sijui ni wapi pa kupakuwa hicho cheti ndugu?
Bila shaka yamkin kilishatumwa
Kaka mm nimelipa elf 6 na sijakosea control namba ila status bado inaonyesha not paid