HIYO SIYO HISTORIA YA DAR ES SALAAM!! Ndugu yangu ktk utanzania umejitahidi kujieleza lakini hiyo siyo historia ya Dar es Salaam (labda uzungumzie historia ya ujio wa kanisa ndani ya Dar es Salaam). Ifikie mahali tuwe wakweli kwa manufaa ya umma wetu wa kitanzania, tutadanganya mpaka lini?! wamishenari hawakuwa wajenzi wa Dar es Salaam. Mjenzi wa Dar es Salaam anajulikana ni Sayyid Majid. Hebu. Hebu bofya hapya uifahamu historia halisi ya Dar es Salaam, th-cam.com/video/DY-qbiNs0m0/w-d-xo.html
@@alexsuleiman185 wewe peke yako unayeporomosha mitusi ndiye mwenye adabu. Acha kukaririshwa na kuaminishwa visivyokuwa na ushahidi (wazungu sio watu wazuri, mazuri yote ni ya kwao na mabaya yote ni ya waafrika, we hushituki tu!!) angalia kwa kugonga link hii uufahamu ukweli juu ya historia ya Dar es Salaam th-cam.com/video/DY-qbiNs0m0/w-d-xo.html na pia gonga link hizi kuangalia unyama wa wazungu th-cam.com/video/RO3W5U0ryYw/w-d-xo.html na th-cam.com/video/62JPpzC-koc/w-d-xo.html aliyekamatwa na ngozi ndiye mla nyama angalia hizo link utajua nina maana gani ushahidi wa kidhalimu dhidi ya mwafrika na nani aliyeutenda upo Zanzibar chini ya kanisa la Anglikana Mkunazini. Tusitetee waliyotuandikia wazungu kwa kuwakumbatia wao, bali tuzifate na tuzitumie imani zetu ili zituunganishe kama waafrika badala ya kutufarakanisha!!
Padri mosha mungu azidi kukuongoza katika utume wako
Historia nzuri
Kumbe majimbo makubwa ni mawili tu Tanzania ,dare es salaam na tabora
Nme furai nimeipenda Sana historia
Nipenda historia na mazingira
St.Ottilien ( German )🙏🙏
Nimefurahi kuijua historia ya st Josefu
HIYO SIYO HISTORIA YA DAR ES SALAAM!!
Ndugu yangu ktk utanzania umejitahidi kujieleza lakini hiyo siyo historia ya Dar es Salaam (labda uzungumzie historia ya ujio wa kanisa ndani ya Dar es Salaam). Ifikie mahali tuwe wakweli kwa manufaa ya umma wetu wa kitanzania, tutadanganya mpaka lini?! wamishenari hawakuwa wajenzi wa Dar es Salaam. Mjenzi wa Dar es Salaam anajulikana ni Sayyid Majid. Hebu. Hebu bofya hapya uifahamu historia halisi ya Dar es Salaam, th-cam.com/video/DY-qbiNs0m0/w-d-xo.html
M nawaangaliatu na wafuasi wanaitikiatu Kama FUNZA😆.
ww kwel ulibemendwa huna adabu
@@alexsuleiman185 wewe peke yako unayeporomosha mitusi ndiye mwenye adabu. Acha kukaririshwa na kuaminishwa visivyokuwa na ushahidi (wazungu sio watu wazuri, mazuri yote ni ya kwao na mabaya yote ni ya waafrika, we hushituki tu!!) angalia kwa kugonga link hii uufahamu ukweli juu ya historia ya Dar es Salaam th-cam.com/video/DY-qbiNs0m0/w-d-xo.html na pia gonga link hizi kuangalia unyama wa wazungu th-cam.com/video/RO3W5U0ryYw/w-d-xo.html na th-cam.com/video/62JPpzC-koc/w-d-xo.html aliyekamatwa na ngozi ndiye mla nyama angalia hizo link utajua nina maana gani ushahidi wa kidhalimu dhidi ya mwafrika na nani aliyeutenda upo Zanzibar chini ya kanisa la Anglikana Mkunazini. Tusitetee waliyotuandikia wazungu kwa kuwakumbatia wao, bali tuzifate na tuzitumie imani zetu ili zituunganishe kama waafrika badala ya kutufarakanisha!!
@@rayisadesigns2646 itakuaje binadam wenzio uwaambie funza?
@@alexsuleiman185 mwangalie ni nani aliyeisema hiyo kauli, na kama yeye amekosea na wewe ndio umuige kukosea?!