Matangazo ya Dira ya Dunia TV Ijumaa 09/08/2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili
    #BBCSwahiliLeo

ความคิดเห็น • 35

  • @loyaltytv6330
    @loyaltytv6330 หลายเดือนก่อน +3

    Jameni before mutangaze fanyeni utafiti kwanza huyu bingwa wa Botswana 🇧🇼 hapo huja sema ukweli wakwanza ni Frankie Fredericks winning 2 silver medals from Namibia 🇳🇦 1996

    • @GastoJohn-s1p
      @GastoJohn-s1p หลายเดือนก่อน

      Hiv wew kama haukiamini hicho chanzo cha habari useme mwenyew unataka ukiamin chanzo gan?

    • @JacobZawadi
      @JacobZawadi หลายเดือนก่อน

      Nakumbuka kuangushwa na Team kubwa la Utangazaji fulani
      (Staki kutaja jina)

  • @WILLIAMLUKUMAY-n4b
    @WILLIAMLUKUMAY-n4b หลายเดือนก่อน +4

    Nawapata mubashara nikiwa luansha Zambia

  • @JacobZawadi
    @JacobZawadi หลายเดือนก่อน

    Kinachoni Chukiza, pale nakuta Sauti ya Makaribisho yame badilishwa. Hatari sana tena Mfumo wa kuPeperusha Matangazo

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu yukrane sasa ataipata sawa sawa
    Atamalizwa moja kwa moja

    • @masweto
      @masweto หลายเดือนก่อน

      Hayo mawazo Yako Putin anahaha

  • @hassanmnyonge3155
    @hassanmnyonge3155 หลายเดือนก่อน +2

    mbona ukreini ikipigwa hamsemi

  • @JosephJunda
    @JosephJunda หลายเดือนก่อน

    Tuko pamoja ndiye afande Paulo Muvumba kutoka Pahari ya Uganda Mbarara

  • @faisalikabarabara9473
    @faisalikabarabara9473 หลายเดือนก่อน

    Mimi bbc namfahamu vzr ni mdau toka miaka 2000 nawajua vzr

  • @lucasmollel9699
    @lucasmollel9699 หลายเดือนก่อน

    Jamani tuwe makini. Mimi natokea AFRICA mashariki

  • @EdwardKisota
    @EdwardKisota หลายเดือนก่อน

    😢

  • @peterbayo4677
    @peterbayo4677 หลายเดือนก่อน

    Sayansi ipi bro Filbert ilhali wakenya uliowatikisa 1974 wanafanya vema kwenye mazoezi yayo hayo hata leo mkashindwa kuwaandaa wa kwetu ipasavyo wasifikie rekodi yako!!!

  • @mohamedbedui9486
    @mohamedbedui9486 หลายเดือนก่อน +1

    Wanajeshi wote waliotumwa zaidi ya elf1 wameshauliwa nyny bado mwatuficha

    • @PenuelDaniel
      @PenuelDaniel หลายเดือนก่อน

      BBC wako nyuma sana ktk taarifa

    • @masweto
      @masweto หลายเดือนก่อน

      Uwe unataangazaa wewe

    • @PenuelDaniel
      @PenuelDaniel หลายเดือนก่อน

      @@masweto sawa mkuu

  • @WilbertChambilo-yl1kc
    @WilbertChambilo-yl1kc หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna watu wa ongo kama vyombo hv vya magharibi hasa Dw, VOA, BBC. Kuweni wakweli tu

    • @newgarden8036
      @newgarden8036 หลายเดือนก่อน

      Sana

    • @masweto
      @masweto หลายเดือนก่อน

      Kama ni waongo uwe unataangazaa wewe maana tumwamini nani ukiona wanatangaza Gaza imepigwa au Hezbollah au Irani au urusi hupendi ila wakisema hao napiga na kuua adui zako basi hapo unafurahi na utawaona wakweli tulia putiy wako ayaoge na hao ni NATO miamba hao

    • @IssacNtacho
      @IssacNtacho หลายเดือนก่อน

      Anzisha chombo chako ,ili ukiamni,,yan wakitangaz habar unazopenda,wewe wakwel lkn Kama nihabar mbaya kwako tayar niwaongo,,unatakiwa ukubarian na habar zote ,

    • @masweto
      @masweto หลายเดือนก่อน +1

      @@IssacNtacho ndivyo walivyo waswahili brother

  • @godefroidm741
    @godefroidm741 หลายเดือนก่อน

    Tunashukuru kwa matangazo,ila SAUTI TUNAOMBA IONGEZEWE

  • @shirimabenedict5431
    @shirimabenedict5431 หลายเดือนก่อน

    Wakipigwa Ukraine hamsemi

  • @Lemalali85
    @Lemalali85 หลายเดือนก่อน

    Filbert uko sahihi kabisa porini vijijini wapo watu wanakimbiza upepo balaa.

  • @ManaseBuhanza-cl1lc
    @ManaseBuhanza-cl1lc หลายเดือนก่อน

    Kumekucha jumamos leo baadhi ya nchi kuomba sampuli ya nafaka zisizo na kemikali ikiwemo ,uganda ,Congo,& burundi ili kuomba ujuzi nao wa uhifadhi wa nafaka bira kutumia kemikali kali

  • @Elizabeth-gq9kl
    @Elizabeth-gq9kl หลายเดือนก่อน

    Afadhali hivo.

  • @JosephSozi
    @JosephSozi หลายเดือนก่อน

    Acha wakome

  • @ManaseBuhanza-cl1lc
    @ManaseBuhanza-cl1lc หลายเดือนก่อน

    Vorecano tena kutoke uganda wananchi na rais kutaharuki vikali tukio hilo na kusambabisha vifo zaidi wakazi 250

  • @doubletapkama3901
    @doubletapkama3901 หลายเดือนก่อน

    Russia imepigwa imesskia uzito ya Ukraine,they thought watapiga Ukraine na 2weeks wapi 1 year down the line , russia wamepigwa imekaliwa ngum kaka wacha waskie vle wengine wanaskia

  • @Haruniiibareee
    @Haruniiibareee หลายเดือนก่อน

    Acheeee uwongo hiyo propaganda tuu

    • @user-lx4xm3rs9r
      @user-lx4xm3rs9r หลายเดือนก่อน +1

      Ila nyinyi watu mnafurahisha kweli kwahiyo wewe unaona una habari ya ukweli zaidi ya bbc Ingia kwenye mitandao tia ya kwako then tuone watu kama mamiluki

    • @masweto
      @masweto หลายเดือนก่อน

      @@Haruniiibareee huo ni uppuzi wako wa kiubishi wewe kenge wa mtaani una Nini mpaka useme BBC ni waongo

  • @rasammudmar5455
    @rasammudmar5455 หลายเดือนก่อน

    Propaganda engine is here.