KISA CHA NABII MUSSA NA SALA YA KUOMBA MVUA SHEIKH KIPOZEO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 32

  • @ismaelkambale3024
    @ismaelkambale3024 2 ปีที่แล้ว +2

    Manshallah

  • @alisaleh2507
    @alisaleh2507 2 ปีที่แล้ว +6

    ALLAH AKUSAMEHE MAKOSA YKO NA AKULIPE UJIRA WA JITIHADA YAKO.

  • @abdulbogoyo1243
    @abdulbogoyo1243 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 2 ปีที่แล้ว +5

    Profesa kipoozeo!!!

  • @lulunabdallah
    @lulunabdallah ปีที่แล้ว

    Allah Akbar Jamil

  • @abdulhakimhasan7673
    @abdulhakimhasan7673 2 ปีที่แล้ว +2

    Ndugu Rajabu Twalha , hapa sio pahala pa kumzungumzia sheikhe . Sio heshima au uadilifu wa uisilamu . Desturi ni uongee naye ana kwa ana , au umuandikie .

  • @hamzaforogo
    @hamzaforogo ปีที่แล้ว

    Maashallah fundi kipozeo

  • @sidisoumare6214
    @sidisoumare6214 2 ปีที่แล้ว +1

    machaa allah Baka llah flk

  • @mohamudmohamed7245
    @mohamudmohamed7245 2 ปีที่แล้ว +1

    Jazakallah

  • @donedaddy4561
    @donedaddy4561 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @shahaabedy2368
    @shahaabedy2368 2 ปีที่แล้ว +1

    MashaAlla

  • @ahmadally9160
    @ahmadally9160 2 ปีที่แล้ว +4

    🤣🤣🤣 ila huyu sheikh, Ma sha Allah

  • @rajabutwalha2313
    @rajabutwalha2313 2 ปีที่แล้ว +3

    As Salam alaykum warahmatullah wabarakatuh samahan sana napenda kusema kuhusu sheikh wangu huyu nampenda kwa ajili ya ALLAH ila sasa hivi amekuwa sio kama zamani maana zamani alikuwa hafichi haqqi ila sasa hivi siyo yule sijui vip

    • @rajabutwalha2313
      @rajabutwalha2313 2 ปีที่แล้ว +1

      As Salam alaykum warahmatullah wabarakatuh samahan sana ndugu yangu Abdul hakiim Hassan nikwambie tu kwamba umesema kuwa humu sio sehemu ya kumkumbusha je nikuulize tu mimi kukosa kumuona humu ningejuaje kama sasa hivi siyo yule kumbuka kuwa hata yeye mwenyewe alimkosoa sheikh mmoja hivi kupitia humu humu mitandaoni sasa ukumbusho ni mahala popote pale hata ww ukikosea bas tutakosoa au mm vile vile nilikosea nitakosolewa.

    • @abdulhakimhasan7673
      @abdulhakimhasan7673 2 ปีที่แล้ว +1

      @@rajabutwalha2313 Ndugu Rajabu Twalha , Mola Mueza amempa ilimu sheikhe, na kufaidi viumbe vingi sana duniani. Na mwalimu, heshima yake, hairuhusu kumtangaza au kumsemea hadharani. Fanya taabu ya kutafuta anwani yake. Mtu hufanya makosa, lakini huwezi kurekebisha makosa kwa makosa .

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 ปีที่แล้ว

      Wewe usiyeficha haki inatosha,,,,Sisi tuachie sheikh wetu mawaidha yake Tu yanatutosha

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 ปีที่แล้ว +1

      @@rajabutwalha2313 inaonekana Una chuki binafsi na sheikh,,,,kwasababu sheikh toka miaka ya 1980 's mpaka leo amefanya juhudi kubwa katika kuusukuma mbele uislam, sasa wewe mtaka haki sijui umeufanyia nini uislam mpaka sasa?

  • @mwassamwassa7264
    @mwassamwassa7264 2 ปีที่แล้ว +1

    Imani ya uongo na kutunga mambo

    • @abdulhakimhasan7673
      @abdulhakimhasan7673 2 ปีที่แล้ว

      Ndugu Mwassa , endelea kufuata ilimu ya sheikhe, hakika hamna hasara , burudika .

    • @mohamedimohamedi8933
      @mohamedimohamedi8933 2 ปีที่แล้ว

      Do research about Islam brother

    • @twahakhamis6520
      @twahakhamis6520 2 ปีที่แล้ว

      Iv kati ya uisilam na dini zingine zipi zinaonekana za kutunga. Ndugu hata iyo biblia yenu iliteremshwa na mtume yupi wa mungu. Ama ni watu walijiandikia kupiigia hela😁😁. Kaa uitafakari hio dini yene usidanganywe na miujiza ambayo nyuma ya pazia ni demon ndo wanafanya kazi

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 ปีที่แล้ว

      Unateseka ukiwa wapi?

    • @idrissamustafabukenya6110
      @idrissamustafabukenya6110 ปีที่แล้ว

      Hawuna ilimu kaa kimya wewe mwasa

  • @mathiasmageni8568
    @mathiasmageni8568 2 ปีที่แล้ว

    Musa alikuwa myahudi msidanganye Sana watu hamwogopi hata Moto ?

    • @mrwideputin2038
      @mrwideputin2038 2 ปีที่แล้ว

      Uislamu ni kujisalimisha kwa Mungu. Tangu mtume Adam na mitume wote walikuwa waislamu.

    • @aliabdallah8456
      @aliabdallah8456 2 ปีที่แล้ว

      Huyaudi ni kabila dini ni muislamu kabila muaya dini islam

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 ปีที่แล้ว

      Unateseka ukiwa wapi,,,,,maana alichosema sheikh ndio ukweli

    • @idrissamustafabukenya6110
      @idrissamustafabukenya6110 ปีที่แล้ว

      Kasome rafiki yangu ndo utajuwa ukweli. Huyo ni sheikh kabisa siyo masiyara

  • @sady_khan
    @sady_khan 3 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @najmakiria7164
    @najmakiria7164 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @jumamohammed5378
    @jumamohammed5378 2 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah