ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Nampenda sana huyu kaka, safi sana ame hustle bila kukata tamaa, very smart💪🫡
Ukiambiwa tuchekeshe ktk interview na wew ni comedian, tayar ushafeli. Wengine wajifunze hapa. Tom is the best comedian.
Asante sana sky kwa mahojiano mazuri na kijana wetu
This host's voice is the best I can listen to him all day
Our very own son Tom daktari keep winning bro man
Tom hapa kajitahidi sana asichekeshe, he is a true comedian
😂😂😂😂😂 aki Daktari.. hapana.. I love how he cracks up at his own jokes..😂😂😂 big fan!
bonge moja la interview, nimecheka sana asee
Namkubali namfatilia toka anaigiza Mwl Tom akiwa na Sam Kioko.Pamoja sana
Nimecheeeekaaaa sana hii interview
Jamaa smart sana
Ila Tom asantee sky kwa interview nzuri 😅😅😅😂😂😂
Watching from USK @ united states of Kisii
brooooo nakukubali sanaaaa tom dr
🧭🤳 nawapata nikiwa Msumbiji Mozambique 🇲🇿 showwwwww like zangu jamani wa pili mimi
Mnazungumza kiswahili
@@Qqambaa kwa watu wa pwani waliopo kaskazini mwa Tanzania wanazumza kiswahili vizur sana na kuandika pia
Best interview ❤❤🔥🔥
Eti mvua inaenda inaamua nabeba hii😂😂😂😂😂huyu kaka anachekesha sana😂😂😂😂
😂😂😂, nimefurahiaaa saaaana kumsikiliza Tommy, mwenzake Sammy kioko, mwanafunzi wake mchanja kuni😂😂😂😂
Uyu jAmaa n fundi sana aisee
🔥tom dr
mwalim mkora wa hesabu😘😘😘😘😘😘😘😘😘
Daah! Kiswahili chetu cha kenya si mchezo😂
Tom sema ukweli hataki kawiia kule sababu ya bey ya room ya Tz😂😂😂😂.Great job
Nakubal
Tamthilia.. vitabu kama shamba la wanyama, things fall apart.. etc
Nice Interview!!!!
Huyu jamaa ni 🔥🔥🔥🔥👏🏾😂😂😂😂. Nimecheka sana na biashara yake ya mayai!!
Tom Mzee wa kazi
Interview ya Kizaziiii🔥🔥🔥
Namkubal sana Tom daktar
Ulijaribu kutumia kiswahili ya tanzania bro
nzuri
Kizazi sana
Tunajivunia😊
Tom Daktari ❤
Excellent interview
best interview ❤️🔥
Nimecheka sana eti unauza Mayai za watu😂
uyu jamaa anajua sana, ani jinsi anavyoongea2 na akicheka2 ni vichekesho toshaa😅😅😅😂😂
Tom Daktari,unachhoma bro na hizi gari ..ni Yako Haina mafuta😂😂
😂😂😂😂 Tom Daktari is that you with swahili ? or is it swahili with you ?
Aaha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂tom daktari
Nimecheka kwenye story ya mayai😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Apo kka sky jamaa kazingua anakunywa hill
That is Kenya... Hatuna nidhamu ya uoga... Rais akizengua anakula za uso.
Niko burundii bujumburaa 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
inasaidia nini sasa
This individual is poised for considerable advancement or progression.
Tom bwanaa😂
Mwalimu wa hesabu uko poa sana
Mwalimu wa mathematics hapa ni wapi😂😂😂😂😂
mtafuteni kioko naye aje hapo interview
Mbona ameacha kufanya kazi ile ya kwavonza high school
Uko poa pro
ungemuuliza habari za kioko😂
❤❤❤
Mvua Inaamua nabeba hivi😂
15:00 😂😂😂😂
sauti ya mamlaka
NAKUJA NYUMBANI USIPIKEE😂😂😂😂😂
😂
😂 😂 😂 😂 😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
kumbe Tom ulifanya vizuri kiswahili shuleni ndo maana unaongea vizuri sana,umetupata watz maana wakenya wanakiswahili kibovu weeeeeee😂😂 kuwaelewa wakati mwingine nishida.
inategemea ila watu wamombasa they are in kiswahili nisiseme uongo watu wa nairobi ndo changamoto
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😅😅😅
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂
Tafadhali tutatie @willypaul aje kwa Interview
Kweli
Nampenda sana huyu kaka, safi sana ame hustle bila kukata tamaa, very smart💪🫡
Ukiambiwa tuchekeshe ktk interview na wew ni comedian, tayar ushafeli. Wengine wajifunze hapa. Tom is the best comedian.
Asante sana sky kwa mahojiano mazuri na kijana wetu
This host's voice is the best I can listen to him all day
Our very own son Tom daktari keep winning bro man
Tom hapa kajitahidi sana asichekeshe, he is a true comedian
😂😂😂😂😂 aki Daktari.. hapana.. I love how he cracks up at his own jokes..😂😂😂 big fan!
bonge moja la interview, nimecheka sana asee
Namkubali namfatilia toka anaigiza Mwl Tom akiwa na Sam Kioko.
Pamoja sana
Nimecheeeekaaaa sana hii interview
Jamaa smart sana
Ila Tom asantee sky kwa interview nzuri 😅😅😅😂😂😂
Watching from USK @ united states of Kisii
brooooo nakukubali sanaaaa tom dr
🧭🤳 nawapata nikiwa Msumbiji Mozambique 🇲🇿 showwwwww like zangu jamani wa pili mimi
Mnazungumza kiswahili
@@Qqambaa kwa watu wa pwani waliopo kaskazini mwa Tanzania wanazumza kiswahili vizur sana na kuandika pia
Best interview ❤❤🔥🔥
Eti mvua inaenda inaamua nabeba hii😂😂😂😂😂huyu kaka anachekesha sana😂😂😂😂
😂😂😂, nimefurahiaaa saaaana kumsikiliza Tommy, mwenzake Sammy kioko, mwanafunzi wake mchanja kuni😂😂😂😂
Uyu jAmaa n fundi sana aisee
🔥tom dr
mwalim mkora wa hesabu😘😘😘😘😘😘😘😘😘
Daah! Kiswahili chetu cha kenya si mchezo😂
Tom sema ukweli hataki kawiia kule sababu ya bey ya room ya Tz😂😂😂😂.
Great job