Lema kuhusu wabunge CCM waliokwenda kumsalimia mahabusu kuitwa wasaliti

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 63

  • @hassanihussein4479
    @hassanihussein4479 7 ปีที่แล้ว +3

    kaz kaz lema upoo sahihi

  • @ratochetikakaachamanenoban5229
    @ratochetikakaachamanenoban5229 7 ปีที่แล้ว +5

    dah lema uko vizuri saana

  • @atheistblood8568
    @atheistblood8568 7 ปีที่แล้ว +2

    yeah nimekuelewa uncle.....una ufiri mzuri.

  • @marblebaswige614
    @marblebaswige614 7 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana mh godless kwa ujasiri wako, I think this one is also Mr Right of Tanzania. Mengi ningesema naongopa kufungwa

  • @ayubusanga5861
    @ayubusanga5861 7 ปีที่แล้ว +1

    Thanks Ayo tv, for hinting us

  • @tumainimanga9409
    @tumainimanga9409 7 ปีที่แล้ว +2

    hee! jaman Mungu atusaidie aisee....

  • @agustinnocent9841
    @agustinnocent9841 7 ปีที่แล้ว +10

    SIASA SIO UADUI ....UKO SAWA LEMA

  • @lucasmallando3996
    @lucasmallando3996 7 ปีที่แล้ว +1

    hongera lema kwa ujasiri

  • @claudiamoses6665
    @claudiamoses6665 7 ปีที่แล้ว +2

    Mungu aweke hekima na busara kwenye vinywa vya wakuu wa nchi, Mungu aweke akili timamu na za kiutu uzima kwao

  • @janethmathew945
    @janethmathew945 7 ปีที่แล้ว +2

    Umemcort MH Rais,,, vibaya mh lema

  • @AlexAlex-eo7hj
    @AlexAlex-eo7hj 7 ปีที่แล้ว +1

    safi sana

  • @anthonykimbwene7503
    @anthonykimbwene7503 7 ปีที่แล้ว +1

    Lema yuko sawa kabisa Mheshimiwa rais anafanya vitu kwa kukamia sana
    atulize mkali anapo ongea vitu kiukweli hiyo kauli Rais amechemsha uongozi
    ni hekima ajitahidi kuwa na hekima anaropoka sana

  • @mangiclaus
    @mangiclaus 7 ปีที่แล้ว +6

    muheshimiwa mwenye nchi.. sisi sote tunatumia pumzi ya mungu na akiamua sasa hivi kuikata hata ulindwe na majeshi yote.... tutakuona kwenye mbao sasa ivi...so haina haja ya chuki mzee

  • @tumpiliksye
    @tumpiliksye 7 ปีที่แล้ว +1

    kwa bahati mbaya ndio Rais wetu huyo.... Siasa sio uadui...!!

  • @joxeesetty1980
    @joxeesetty1980 7 ปีที่แล้ว +2

    Ongea jembeeeeeeeeeee

  • @lawsofsucces5784
    @lawsofsucces5784 7 ปีที่แล้ว +2

    Hata mimi nimesikitika sana. Tuupinge ubaguzi popote tulipo

  • @justinemgomi9561
    @justinemgomi9561 7 ปีที่แล้ว +1

    Lema uko sahihi hatutaki visasi na uadui

  • @altonkanjolonga2380
    @altonkanjolonga2380 7 ปีที่แล้ว +1

    unachoongea Lema ni sahihi

  • @hassankayla4076
    @hassankayla4076 7 ปีที่แล้ว +1

    SISHANGAI KWA #MAGUFURI KUTOA KAULI HYO MAANA HATA WEWE ULISEMA #MAGUFURI ATAKUFA. USILALAMIKE SANA HIYO NDIYO SIASA MLIOICHAGUA, BILA KUSAHAU UPINZANI UNAOENDELEA KWASASA NDIYO UNAPELEKEA RAIS KUFANYA MAAMUZI MAGUMU NA KAULI NZITO KAMA HIZI.

    • @simonhosea8220
      @simonhosea8220 7 ปีที่แล้ว

      hao vichwa vya kuku wamesahau hayo yote sijui wanafikiria Rais hana maumivu ya moyo ya kuambiwa atakufa kabla ya 2020? au waliona ni sawa tu.
      tambua Rais pia binadamu sasa ww Lema tulia kaa kimya. Muosha uoshwa

  • @markosamuel6490
    @markosamuel6490 7 ปีที่แล้ว

    lema huwa simkubali lakini kwa hapa jamaaa ameongea saaaana na ni sahihi kabisaaaa nimemkubali saana yaaani

  • @godfreymbwambo4460
    @godfreymbwambo4460 7 ปีที่แล้ว +4

    SI HUYU LEMA ALIYESEMA RAISI ATAKUfA ? SASA ALIKUWA NA MAANA GANI? KITU GANI KILIMWEKA JELA? SIASA ZA UFISADI NDIYO ZINAZOUWA UPINZANI WA KWELI TANZANIA. BAADA YA KUJENGA HOJA WANAINGIZA SIASA ZA MAJI TAKA.

  • @janjarovicent2055
    @janjarovicent2055 7 ปีที่แล้ว +11

    Magufuli acha chuki na wananchi wako ulitaka wote tuwe akina ngosha

  • @frabomdemu4767
    @frabomdemu4767 7 ปีที่แล้ว +3

    huyu nae sasa ni pumba tupu kumsalimia mtu ni lazima awe ccm au awe wa dini yako?

  • @alfredzunda4655
    @alfredzunda4655 7 ปีที่แล้ว

    Hii hapana, siasa sio uadui, ila kimtokacho mtu ndicho kiujazacho moyo wake

  • @yusuphbalali9037
    @yusuphbalali9037 7 ปีที่แล้ว

    Piga kazi.

  • @mkwavi
    @mkwavi 7 ปีที่แล้ว +2

    Rais kakosea nime muelewa sana Lema siasa ni siasa na Utu ni utu

  • @sebastianngimba4850
    @sebastianngimba4850 6 ปีที่แล้ว

    Rais wetu ni mtu ambaye nimemjua kama anasahau pale alipo na ukuu alionao.mengine kweli anakosea sana kama kiongozi. Ushauli apunguze hasira na jazba,sisi tunajua ni mtu mzur

  • @davidmosha3545
    @davidmosha3545 7 ปีที่แล้ว +1

    Yesu!!!

  • @ubajumanne5665
    @ubajumanne5665 7 ปีที่แล้ว

    mungu atunusuru

  • @sundaytembo1705
    @sundaytembo1705 7 ปีที่แล้ว

    good

  • @renaldakamugishazeramulake940
    @renaldakamugishazeramulake940 7 ปีที่แล้ว

    ama kweli sikio me kufa hatusikii dawa

  • @frabomdemu4767
    @frabomdemu4767 7 ปีที่แล้ว

    miaka kumi sio mingi tuvumilie tu

  • @maxzitatu1617
    @maxzitatu1617 7 ปีที่แล้ว +4

    Sijawahi kusikia duniani kokote ambapo kiongozi mkuu wa nchi anahamasisha utengano kuliko unity. Itakua inapatikana Tanzania pekee

    • @rosehillary8742
      @rosehillary8742 7 ปีที่แล้ว

      Kama kweli kasema ni vibaya sana sana

    • @noeltheson2750
      @noeltheson2750 7 ปีที่แล้ว

      Max Zitatu fuatilia kauli ya rais Wa kenya

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 2 ปีที่แล้ว

      @@rosehillary8742 hawa ni waongo sana hajawahi kusema...tunaomba tumsikie ndo tuamini...!!!

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 2 ปีที่แล้ว

      @@rosehillary8742 kama unaongea pumba uachwe....acha mwenye hoja za msingi kusaidia wananchi aongee..!!!

  • @emmydzoo8729
    @emmydzoo8729 5 ปีที่แล้ว

    Jinga nyie wabunge mnatakiwa kujadili mijadala yakujenga taifa ,sio kugombania taifa

  • @zompasevenludovick51
    @zompasevenludovick51 7 ปีที่แล้ว +2

    Daaah Magufuli ana lipeleka wap taifa jaman?? ajue tyu kuwa nchi cyo familia yake..tanzania ni ya watanzania wote vizazi na vizazi hvyo asi tujengee chuki

  • @jamilapatrick1135
    @jamilapatrick1135 7 ปีที่แล้ว

    muungwana lake moyon mtwana lake sokoni

  • @nyanda427
    @nyanda427 7 ปีที่แล้ว

    LEMA ACHA UCHOKO WEWE..!! NI LINI UMEMSIKIA AKISEMA HAYO? MMESAHAU KUWA CHADEMA NDO MNATANGAZA CHUKI DHIDI YA SERIKALI!! ACHA KUTENGENEZA ISSUES ZA KICHOKO; TAFUTENI SERA ZA KUWAKOMBOA WATU WA MAJIMBO YENU INSTEAD OF KUISHI KWA MATUKIO.

  • @mottofoundationinc.3492
    @mottofoundationinc.3492 7 ปีที่แล้ว +1

    dah mjamaaa kaongea kwa huruma saaaaana....sio kawaida yake this is very serious

  • @masumbukosiyougomvi7900
    @masumbukosiyougomvi7900 7 ปีที่แล้ว +2

    jenga hoja sio kutembelea matukio

  • @saidiselemani2481
    @saidiselemani2481 3 ปีที่แล้ว

    Nikwer

  • @shabanhafidhu1951
    @shabanhafidhu1951 7 ปีที่แล้ว +4

    We kwendraaaa, wadanganye wasiojua wala kufuatilia mambo yanayohusu nchi hii angalau kwa uchache bro.Waliotimuliwa walifanya makosa tangu mwaka juzi wakati wa kura za maoni hadi kwenye kampeni wewe leo unasema walikuja kukuona wewe ndo maana wakatimuliwa unadanganya uma wa watanzania.Taarifa zinasema uchunguzi wa swala hilo ulianza mwaka mmoja uliopita haya wewe tangu ulivyokamatwa umepita muda gani?Nimeshtuka, Sidanganyiki.

    • @amazingswahili5025
      @amazingswahili5025 7 ปีที่แล้ว

      Halafu... hata hawajui hata kama ni kweli magufuli alisema hivyo... Unamwona anavyochochea? anahamasisha makanisa, misikiti, taasisi nk kuungana naye.

    • @suleimanabeidmkongwamkongw7627
      @suleimanabeidmkongwamkongw7627 7 ปีที่แล้ว +1

      Shaban Hafidhu acha ushamba wewe umekunywa Maji yabedera nini kauli gani hizo zakijinga?hatakama yeye nirais lakini kaulinyingine anazotoa sionzuri,Najuta kumpa kura yangu huyu

    • @JerryNsimbila
      @JerryNsimbila 7 ปีที่แล้ว

      Hajasema waliofukuzwa, .Anasema kuhusu ile kauli ya Rais aliposema wabunge wa CCM walikwenda kumuona Lema Mahabusu. Fuatilia

    • @noeltheson2750
      @noeltheson2750 7 ปีที่แล้ว

      Shaban Hafidhu wewe ndio ufuatilie vizuri kabla kuongea, hajazungumzia waliifukuzwa! wakiienda kumtembelea wamepewa onyo

    • @ugaboy4736
      @ugaboy4736 6 ปีที่แล้ว

      wewe ni kiziwai nini hata kusikia hisikiii rudi shule kaka

  • @emmyleonard5939
    @emmyleonard5939 7 ปีที่แล้ว

    poleee lemaa

  • @vumimlyakado6128
    @vumimlyakado6128 7 ปีที่แล้ว +1

    hapa hatuna mtu ila tujiulize sisi watanzania tulimkosea lini rais mpaka aonekane mwenye hasra na chuki kwa wananchi kias hiki yangu iman tutateseka sana mpaka kuimaliza awamu hii isiyogawanyika kwa 2

  • @godelivamuhumuza8304
    @godelivamuhumuza8304 7 ปีที่แล้ว

    wewe uliwekwa gerezani kwa sababu ya kupinga uongozi na shughli zake vya chama cha Mapinduzi na unfanya hadhalani.

    • @mangiclaus
      @mangiclaus 7 ปีที่แล้ว

      Godeliva Muhumuza wote tutakifa siku moja. na wasiotenda haki watakufa kifo kibaya zaidi. sisi sote ni ndugu

    • @loisafelix373
      @loisafelix373 7 ปีที่แล้ว

      Godeliva Muhumuza ni haki kikatiba kwa uko tz gani ucjue kama una Uhuru wa kutoa mawazo, mawazo hayo yanaweza yakawa ya kuunga mkono au kupinga kwani hata mzazi anaweza kukosolewa na mtoto kwani hata anaweza kuwa na mtazamo na maono kuliko baba kumbuka UKUBWA WA PUA SIO WINGI WA MAKAMASI broooooooo

  • @shabanijoseph682
    @shabanijoseph682 7 ปีที่แล้ว

    nice