- 1 069
- 479 582
ALIBAANA TV
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 28 ก.ย. 2023
💥HAPA NI SEHEMU SAHIHI KWAKO , UTAFAIDIKA NA :
-FATAWA ZA SHAREEF ABDUL-QAADIR AL-AHDAL.
-DARSA ZA FIQ-HI, SIIRA, TAWHIID NA KUFAHAMU MISINGI YA KUPATA ELIMU YA KISHERIA.
-KUJITAMBUA KI AFYA.
-KHUTBA NA MAWAIDHA MBALIMBALI.
-VISOMO VYA QUR-AN TUKUFU.
♻Karibuni nyoote..
📢Like , subscribe na share chanel yetu.
💎---ALIBAANA TV---☂️
📚🖊ELIMU NA MAARIFA🖊📚
-FATAWA ZA SHAREEF ABDUL-QAADIR AL-AHDAL.
-DARSA ZA FIQ-HI, SIIRA, TAWHIID NA KUFAHAMU MISINGI YA KUPATA ELIMU YA KISHERIA.
-KUJITAMBUA KI AFYA.
-KHUTBA NA MAWAIDHA MBALIMBALI.
-VISOMO VYA QUR-AN TUKUFU.
♻Karibuni nyoote..
📢Like , subscribe na share chanel yetu.
💎---ALIBAANA TV---☂️
📚🖊ELIMU NA MAARIFA🖊📚
JIBU LA 338 | NAMNA YA KUZILIPA SWALA ZILIZO KUPITA.
FATAWA ZA SHEIKH ABDULQADIR AL-AHDAL (ALLAH AMUHIFADHI).
มุมมอง: 35
วีดีโอ
JIBU LA 337 | MKE KUDAI TALAKA KWA SABABU MUME AMEOA MKE MWENGINE.
มุมมอง 477 ชั่วโมงที่ผ่านมา
FATAWA ZA SHEIKH ABDULQADIR AL-AHDAL (ALLAH AMUHIFADHI).
JIBU LA 336 | HUKMU YA WANANDOA KUONESHANA MAHABA HADHARANI.
มุมมอง 10410 ชั่วโมงที่ผ่านมา
FATAWA ZA SHEIKH ABDULQADIR AL-AHDAL (ALLAH AMUHIFADHI).
MAHASIMU WAKO SIKU YA KIAMA USIO WAJUA.
มุมมอง 782 ชั่วโมงที่ผ่านมา
SHEIKH ABDUL-QAADIR AL-AHDAL , ATOA TAFSIRI YA KHUTBA YAKE YA IJUMAA - 15 / 11 / 2024 .
MANENO BORA YA KUOMBA MSAMAHA KWA ALLAH MTUKUFU.
มุมมอง 502 ชั่วโมงที่ผ่านมา
USTAADH ABDALLAH MTOTO WA SHEIKH ABDUL-QAADIR AL-AHDAL (ALLAH AMUHIFADHI YEYE NA BABA YAKE) , AKITOA TAFSIRI YA KHUTBA ILIYOTOLEWA NA SHEIKH AHMAD BIN HASSAN ALMUALLIM, KHUTBA ILITOLEWA KWA LUGHA YA KIARABU, 08/11/2024 MKOANI MWANZA.
خطبة الجمعة بعنوان : خصوم لا تعرفهم.
มุมมอง 472 ชั่วโมงที่ผ่านมา
هذه الخطبة، للشيخ عبد القادر الأهدل (حفظه الله ورعاه). ألقاها في مسجد أنبياء - دار السلام - تنزانيا ١٥/١١/٢٠٢٤ م الموافق١٣/جمادى الأولى/١٤٤٦ه.
خطبة الجمعة - بعنوان : فوائد من حديث النبوي عن سيد الإستغفار.
มุมมอง 182 ชั่วโมงที่ผ่านมา
هذه الخطبة، ألقاها فضيلة الشيخ أحمد بن حسن المعلم (حفظه الله ورعاه). ألقاها في محافظة اموانزا - تنزانيا ٨/١١/٢٠٢٤ م - الموافق٦/جمادى الأولى/١٤٤٦ه.
USUULUL-FIQHI -SEHEMU YA - 09.
มุมมอง 352 ชั่วโมงที่ผ่านมา
HUU NI MTIRIRIKO WA DARSA LA USUULUL-FIQHI - LILILOTOLEWA NA SHEIKH ABDALLAH MTOTO WA SHAREEF ABDUL-QAADIR AL-AHDAL (ALLAH AMUHIFADHI YEYE NA BABA YAKE). USIKOSE KUFUATILIA MUENDELEZO WA DARSA HIZI KUPITIA CHANEL HII YA "ALIBAAN TV" ILI UPATE FAIDA NYINGI NA KUONGEZA MAARIFA KATIKA ELIMU YA FIQHI NA MISINGI YAKE.
JIBU LA 335 l HUKMU YA DAKTARI ALIYE SABABISHA KIFO KWA MTOTO ALIYE TUMBONI.
มุมมอง 584 ชั่วโมงที่ผ่านมา
FATAWA ZA SHEIKH ABDUL-QAADIR AL-AHDAL (ALLAH AMUHIFADHI).
JIBU LA 334 l HI NDIO MAANA YA NENO SALAFI NA MAKUSUDIO YA KUJIITA SALAFI.
มุมมอง 4864 ชั่วโมงที่ผ่านมา
FATAWA ZA SHEIKH ABDUL-QAADIR AL-AHDAL (ALLAH AMUHIFADHI).
JIBU LA 332 l MAMBO AMBAYO HAIFAI KUYAFANYA NDANI YA NDOA.
มุมมอง 2124 ชั่วโมงที่ผ่านมา
FATAWA ZA SHEIKH ABDUL-QAADIR AL-AHDAL (ALLAH AMUHIFADHI).
JIBU LA 331 l NAMNA YA KUSWALIA JENEZA LA MWANAMKE NA MWANAUME KWA PAMOJA.
มุมมอง 1117 ชั่วโมงที่ผ่านมา
FATAWA ZA SHEIKH ABDUL-QAADIR AL-AHDAL (ALLAH AMUHIFADHI).
JIBU LA 330 l NI LAZIMA KUMFANYIA WEMA MZAZI WAKO HATA KAMA SIO MUISLAMU.
มุมมอง 377 ชั่วโมงที่ผ่านมา
FATAWA ZA SHEIKH ABDUL-QAADIR AL-AHDAL (ALLAH AMUHIFADHI).
JIBU LA 329 l MUME HAWEZI KUFANYA TENDO ,JE NINI AFANYE MKE WAKE ?
มุมมอง 3467 ชั่วโมงที่ผ่านมา
FATAWA ZA SHEIKH ABDUL-QAADIR AL-AHDAL (ALLAH AMUHIFADHI).
JIBU LA 328 l UMUHIMU WA KUTOA ZAKA NA SADAKA .
มุมมอง 717 ชั่วโมงที่ผ่านมา
JIBU LA 328 l UMUHIMU WA KUTOA ZAKA NA SADAKA .
JIBU LA 327 l IMAMU ANAPO KOSEA , NI LAZIMA IMAMU AMFUATE IMAMU ANAPOLETA SIJDA YA KUSAHAU.
มุมมอง 1867 ชั่วโมงที่ผ่านมา
JIBU LA 327 l IMAMU ANAPO KOSEA , NI LAZIMA IMAMU AMFUATE IMAMU ANAPOLETA SIJDA YA KUSAHAU.
JIBU LA 326 l NI NANI WA KUMPA MAHARI ? NI MZAZI AU ANAYEOLEWA ?
มุมมอง 1039 ชั่วโมงที่ผ่านมา
JIBU LA 326 l NI NANI WA KUMPA MAHARI ? NI MZAZI AU ANAYEOLEWA ?
JIBU LA 325 l QUR-AN IMETAJA SIFA ZA WATU HAPA DUNIANI.
มุมมอง 1709 ชั่วโมงที่ผ่านมา
JIBU LA 325 l QUR-AN IMETAJA SIFA ZA WATU HAPA DUNIANI.
JIBU LA 324 l ALIYEISHI KIPOFU HAPA DUNIANI.
มุมมอง 419 ชั่วโมงที่ผ่านมา
JIBU LA 324 l ALIYEISHI KIPOFU HAPA DUNIANI.
JIBU LA 323 | MAAMUMA KULETA SIJDA YA KUSAHAU PEKE YAKE BAADA YA SALAMU.
มุมมอง 1909 ชั่วโมงที่ผ่านมา
JIBU LA 323 | MAAMUMA KULETA SIJDA YA KUSAHAU PEKE YAKE BAADA YA SALAMU.
JIBU LA 322 | TOFAUTI KATI YA EDA YA KACHWA NA EDA YA KUFIWA.
มุมมอง 359 ชั่วโมงที่ผ่านมา
JIBU LA 322 | TOFAUTI KATI YA EDA YA KACHWA NA EDA YA KUFIWA.
JIBU LA 321 | UTARATIBU WAKUTOA ZAKA KISHERIA.
มุมมอง 3412 ชั่วโมงที่ผ่านมา
JIBU LA 321 | UTARATIBU WAKUTOA ZAKA KISHERIA.
JIBU LA 320 |HUKMU YA MWANAMKE KUJIFUNZA QUR-AN KUPITIA MITANDAO NA WANAUME WANAMSIKILIZA.
มุมมอง 17012 ชั่วโมงที่ผ่านมา
JIBU LA 320 |HUKMU YA MWANAMKE KUJIFUNZA QUR-AN KUPITIA MITANDAO NA WANAUME WANAMSIKILIZA.
JIBU LA 319 l BABU KUMUITA MJUKUU WAKE MKE WANGU AU BIBI KUMUITA MJUKUU MUME WANGU.
มุมมอง 55012 ชั่วโมงที่ผ่านมา
JIBU LA 319 l BABU KUMUITA MJUKUU WAKE MKE WANGU AU BIBI KUMUITA MJUKUU MUME WANGU.
JIBU LA 317 l HAIFAI KUIFANYA QUR-AN KAMA BIASHARA.
มุมมอง 22514 ชั่วโมงที่ผ่านมา
JIBU LA 317 l HAIFAI KUIFANYA QUR-AN KAMA BIASHARA.
JIBU LA 316 l AKITUBIA MZINIFU ATASAMEHEWA NA ALLAH.
มุมมอง 30116 ชั่วโมงที่ผ่านมา
JIBU LA 316 l AKITUBIA MZINIFU ATASAMEHEWA NA ALLAH.
JIBU LA 315 l MANENO YASIYOFAA KATIKA ADHANA YA ALFAJRI
มุมมอง 43416 ชั่วโมงที่ผ่านมา
JIBU LA 315 l MANENO YASIYOFAA KATIKA ADHANA YA ALFAJRI
JIBU LA 314 l KUTUMIA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO.
มุมมอง 21416 ชั่วโมงที่ผ่านมา
JIBU LA 314 l KUTUMIA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO.
Kumbe siku hizi anaongea kiswahili maana siku za nyuma alokuwa azungumzi kiswahili,alikuwa anamtu anaemfanyia tarjama,
Shukran Sheikh
Fir au ni salafi kwa muktadha wa neno
Salafi ni kila ni kila alokutangulia kiumri awe babu yako baba yako, kilugha tunasema salafi kila alokutangulia, Ana kisheria ni wema waliotangulia maswahaba, matabi, na matabihina, hawoo ni masalafi swaleh, na kila mwenye kufata mwendo wao Hawa, kwa mafuhumu ya kitabu na sunnah anakuwa salafi,Sasa cha ajabu mna sema ni ninyi masalafi lakini mnawapiga vita usalafi, mnaita chama Al alama shekh fawzan, aliulizwa kuhusu hilo wanapiga vita salafi kusema ni chana shekh kasema hizo ni nususi za watu wa batwili kukupiga vita salafiya, lengo lao kuwatowa watu na njia ya sawa wakieneza makala, mbali mbali, kusema safi ni kikundi salafi ni chama hiyo so kweli, answari sunnah mnajiita salafi lakini mnampiga vita huo usalafi na masalafi kuwazuia watu wasijiite salafi wakati kauli za ulamaa mbali mbali wamenukuu kuwa ni wajibu kila mwislamu kujinasibisha na usalafi, na hakuna aibu kwa mtu kujinasibisha na njia hii ya usalafi, sasa unajinasibisha kivitendo jina mnalikataa inaingia akilini hiyoo? Kila anae jiita ahlsunnah atakuwa salafi? Wakati masufi nao wanajiita ahlsunnah wal jamaa lakini akida yao iko mbali na ahlsunnah wal jamaa hawaabudii makaburi, ahlsunnah wa kweli ambao ni hawaongozi kwenye dini ya allah, wala hawapunguzi, sasa masufi wanaomba makaburi, wanapinga sifa za Allah wanasema yupo kila sehemu, hiyo so itikadi ya ahlussunah wal jamaa salafi, ninyi mtapiga vita na kusema chama lakini daawa inaenea kwa uwezo wa Allah kila kona, watu wanakubali daawa mtabaki kusema chama mpk kiama kije, man hajji salafi ndo hakki mlezi wetu shekh fawzan, anatunasihii kushikana na njia hii japo kuna maneno ya batwili yanaenezwa lengo kuipiga vita hii man hajji
Leo kuna watu wamejitengezea kundi wajiita salafi wajiona kama dini yote wamepewa wao
Amna alotengeneza kundi ila tunajitenga na makundi ya batwili ndiomana inaonekana salafi kikundi, hiyo so kweli hatuwezi shurikiana na makhurafi, watu wanaabudia makaburi, hatuwezi shurikiana, na watu wanasema Allah yupo kila mahali, hatuwezi shurikiana na watu wanao watukana maswahaba, na mama aisha, hatuwezi shurikiana na maibadhi, hatuwezi shurikiana na makhawariji, hatuwezi shurikiana na answari sunnah, wamepinda man haji yao mseto wanajichanganya na masufi, wengine wanawasifu masufi, kuwatetea, sasa huyo so usalafi salafi dawaa yao inatayamizi, inabaguwa huwezi shurikiana na makundi ya batwili hata siku moja
Shekh anatumia kitabu gani??? Nataka nikinunue NIWE nacho ili iwe rahisi kufatilia darsa...
Ndio ni waislam na wao ndio wako mstari wa,mbele kupambana na maadui wa uislam nyinyi mmebaki kuwatukana mitandaoni ni waongo na wazushi wakubwa wao wanapigana na mahahidi nyie ni midomo tu
Asallamu alleikum Vipi inafaa Kwa ndoa mpya wakaenda Kwa shehe wa ruqia wakasomewa ili kujilinda na shali za viumbe?
Asallamu alleikum Vipi sheh kuchanjwa ili nipakwe dawa y kienyeji inafaa
جزاكم الله خير 🎉
Huyu sheikh yuko sawa kabissa Kasoma kisawasawa machallah Allah amhifadhi
Machallah
Inshaallah
Shukrani jazzak Allah kheir
SHEIKH tukiweka mjadala nahuyo atadondoka kabisa
Mbona ww vitabu vyako vimemchafua mtume ww je
Sheikh nimjanja mjanja
Mashia ndio waislm wakweli acha kumun'ga midomo izo nikanzu tu sisi tunasema mashia ni waislam haswa
Amin
Shukran sheikh
Sheikh Abdul Qaadir Naona Anazunguka zunguka Tu
Mashaallah 🥰 jazakallahulkher
Aamiin
Walaykm salaam Amn thuma.Amn
Sheikh twakushukulu tunastafidi
Takbiry ❤
Inamaana hizi aya zilizo wahukumu wazinifu hazifanyi kazi {zimefutwa si ndio?
Hakuna aya iliyo futwa
@alhabibismail3031 Kwanini Toba ya mzinifu mnaifanya ni ya matamshi tu!! {alafu mnajisahaulisha hukmu alizo zitoa Allah juu yake} mnajipofoa macho kabra hamja pofolewa
suali liloulizwa ni kwmba mtu kazini bila kujua watu, bc nikufanya toba, ss ww unaona anze kuwatangazia watu kama kazi, na hiyo vile vile ktk dini haifai...
@@ibnusleyyum9743 Ina maana kipindi wewe unazini hujui hukmu yako ni nini ili Allah akusamehe? Nawale maswahaba walio jipeleka wenyewe kwa Mtume {s.a.w} ili wapingwe mawe hadi kufa walikuwa hawaijui istighfar ya matamshi!? Inamaana nyinyi mmefahamu zaidi kuliko wao?
Shekh nataka kujua husu kutunza udhu Nini hasa unatakiwa kufanya ili usitoke udhu nataka kujua shekhe wangu biidhin llah
Waalykum salaam
HILO HATA SIO SWALI LA KUULIZA. HATA MTOTO WA MADRASA AWEZA JIBU SIO LAZMA MASHEKH MITANDAONI. Ni DHULMA YA WAZI HIO YA UDANGANYIFU
جزاك اللهُ خیرا
maashaAllah 👌❤️..... that's true 💯💯
Wanajitoa ufahamu wanaofanya maigizo ktk dini
Nilikaa na kadian mmoja alinichanganya sana.
Ni kweli kbs shekh.
Wallahi sheikh ameongopa Waahmadiyya ni waislam tena ndio waislam safi kabisa Amepata wapi maneno hayo kwamba Mtume mtukufu Muhammad (s.a.w) yupo daraja moja na Mirza Ghulam Ahmad(a s) Mimi ni Ahmadiyya maneno hayo yote ni chuki TU dhidi ya Waahmadiyya Nipo tayari kwa mjadala anionyeshe wapi tumetafsiri Qur'an tukufu tunavyotaka sisi
Swali, mzinifu anaweza kusameheka bila ya kupigwa fimbo mia /100?
Ikiwa alifanya kisiri , baadae akastukia na kujua alikuwa anafanya dhambi kubwa Afanye haya 1:- Ajitoe katika ile Dhambi 2:- Ajutie ile dhambi, 3:- Atubie Kiukweli Ukweli kwa Kuazimia Hatorudia Tena , HAPO ALLAH ATAMSAMEHE KWA REHEMA ZAKE.
@@Aymanland Inamaana hizi aya zilizo wahukumu wazinifu hazifanyi kazi?
@@ImanSaid-q4i Kama unataka ufafanuzi kuhusu hilo nitafte nikuelekeze . Hapa kuandika nachoka Ila ni hivi:- Mwenye kufanya dhambi yeyote katika Madhambi Makubwa anatakiwa atubie haraka Na ikiwa atakamatwa mfano Mzinifu apigwe fimbo 100 kam hakuwahi kuingia kwenye ndoa, au apigwe mawe mapaka afe kama aliwahi kuingia kwenye ndoa. Ama kama hawakujilikana hawa lakini wakatubia kwa Allah na wakajutia dhambi zao na wakaazimia kutorejea basi Allah In Shaa Allah atawasamehe. Ama ikiwa ameekufa bila Kutubia huyu anakuwa katika matashi yake Allah , Allah akitaka atamuadhibu, akitaka atamsamehe.
@Aymanland Unadalili kutoka kwenye kitabu na Sunnah "Toba ya mzinifu nikuomba msamaha tu nawala si kupigwa mawe au mijeledi mia? Au ndo wale mnao leta Dini yakidemokrasia
Tatizo hayo mambo masufi wameyabeba hawataki kuelew kwakweli allh awafnyie wepesi waijue sunn kwa usawa waachw hii itikadi ya kila jambo ni uwhabi waitafute sunna iliosahihi
Mashia wote wai slam allah awajalie janat firdaus kwa jihad yao ya kuwanusuru raia wa felestine
@@heriurio6410 Allah awaraani awa kafiri wa kishia wao wanavyo mraani mama aisha na afsa, wakeze mtume, awaraani makafiri wa kishia na ni watu wabaya na wamemfanyia uadui, mtume na uadui uislamu wamemnafikia mtume, Allah atawaraani dunia na akhera wawe wenye hasara, wamemdharirisha mtume, kwa kumtukana mama ayisha, kuwa ni mzinifu, kumtukana afsa, mke wa mtume, Allah atawapiga raana na kiama waww wenye hasara
@AbdulIssa-o7e mtume anasema unaweza kutenda mema sehemu kubwa ya maisha yako ukabakiza robo jeraha kabla ya kufa kwako ukaanxa kutenda maovu Kisha ukafa utaenda moton bila kujal mema yako ya nyuma pia unaweza kutenda mabaya sehemu kubwa ya maisha yako ukabakisha robo jeraha kabla ya kifo chako ukaacha kutenda mabaya utaingia pepon bila kujal mabaya yako yaliyo pita Ivo mtume ametuhasa sana tuombe mwshomwema na akatuhimiza tuswal san sababi swala itatusaidia kupata mwsho mwema.katka kitabu Cha imam shaffii fiqh juzuu ya nne katka mlango wa swala ameweka Hadith ya mtume akisema swala Tano zmefaraz shwa na allah kwa atakayekuja na swala Tano ana ahad mbele ya allah ya ataingzwa pepon na kwa ambaye hatokwenda swala Tano mtu huyo Hana ahad mbele ya mwenyezmungu hivo allah ataamua mwenyewe kumsamehe au kumuazibu. Izo ni Hadith sahh atahao wanaosema mashia sio waslam Hadith izo wanazjua kwaio Pepo na moto ni rehma zake mungu atamuingiza amtakaye .tunashudia Kila siku wakina mama na watoto wasio kua na hatia ghaza wanakufa lakini sio saudia sio Qatar sio Dubai wapo kmya kwa tamaa za Dunia coz wanazjua Israel ni mtoto wa marekan na usa inawasaida. Lakin shia wote dunian wote wanaosema tupo teyar kufa wote lakin tutawatetea waislam wa palestina ambao sio mashia ao munawaona waislam wanapesa Wana silaha lakin hawafany chochot Kila siku mashia wanakufa kwa jihad vta ya palestina ni jihad kwa sababi wayahud wakishawapga palestina Yale maeneo wanajenga makaz Yao na lengo la wa yahud kubomoa alksa kijenga ekalu na wanakalibia kuifkia aksa anayewazuia sio mwngne ni haoshia yaan kwa akil ya kawaida allah awaache kuwaingiza pepon wanakufa kwa ajil ya waislam wenzao aje awaingza waraabu ambao kutwa kujipost wakiwa wanakufa vyakula vzur nenda kasome allah sio wa ivo
Bismillah
MaashaAllah alayka, umejibu swali bila chuki, uaduia wala midadi ya ushabiki
Kwanza iyo sharti yawo iko kinyume na sheriya wamekoseya kwamara ya kwanza
Yeyet mweny kumtukan mke wa mtume s a ww huyo ni kafiri murtad
Unashangaa Mtoto kupewa Jina akiwa Tumboni!?? Saiv kuna Masalaf Jadida wanajipa majina ya Watoto wao hata KUOA HAWAJAOA....hujiita Abuu fulan. Sheikh unazunguruka saaaana. Kwani Kipindi Hicho UMAR ALIKUA MMOJA TU, NA WATU WALIGOMEA KUWAPA MAJINA YA UMAR WATOTO WAO. CHUKUEN MDA MWINGI KUTAFITI SIO KURISHANA MANENO HAYO KWA HAYO YASIO NA UTAFITI. SUALI JE? KHALIFA UMAR WAKATI ANAOA MTOTO WA ALI ALIKUA NA UMRI WA MIAKA MINGAPI? 2.HISTORIA INAONESHA TOKEA AFARIKI MTUME ,BI FATMA NA KHALIFA ABUUBAKAR WALIKUA NA MZOZO...KIAS AMBACHO MIEZI SITA ILIPITA MPAKA KUFA BI FATMA HAKUNA SULUHU ILIYOPITA. IFIKE WAKATI MUSIWAZUGE WAUMINI KAMA KWAMBA KUELEZEA YALIOJIRI BAADA KUONDOKA MTUME NI DHAMBI. NA KAMA HAKUNA MABAYA YALIOJIRI KWANINI MAULAMAA WENU WASEME YALIOPITA KWA MASAHABA YANYAMAZIWE!!!?
HILO SUALI NI GUMU. USIONE ANAZUNGURUKA BURE
swali ni kuwa je suni ,ibadhi,answaru sunna ,shia ni WAISLAMU? uislamu ulioletwa ma mtume saww haukua na madhehebu IWWJE LEO MTU ANAJIITA SUNI AU IBADHI AU SALAFI, NA ANAJIITA MUSLAMU ILIHALI ANAWAHOJI UISLAMU WA WENZAKE?HUU NI UPUMBABU KABISA
Allah akuhifadhi
Watu wamemuingiza motoni hadi mtume na matusi makubwa kwa mtume bado unazunguka zunguka bainisha hakki, usifiche hakki ni halali kuambiwa kutukanwa mtume?
Huyo ambae ememtukana Mtume ni yeye kivyake na sio mashiha wote. Hata sisi masuni kuna makundi ambayo yanafanya bid'a na hiyo haimaniishi kama ni sunni wote.
Naomba kukuliza kwan? Uislam ulikuja kwa zehebu gan? Or mtu alikua zehebu gan? Hebe nishaidie kdgo
@thenlion4260 mtume aliacha uislamu zama zake haikuweza tokea hivyo kwakuwa mtume mwenyew yupo, yeye aliacha uislamu na wanafiki, baada ya kufa yeye yalipoanza, makundi kujitokeza, zama za Othman wakitokea MAKHAWARIJI, mashia, ndo makundi ya kwanza kuzuka, na Shia itikadi hii alileta Myahudi mmoja, alosilimu kiunafiki zama za Othman, Abdul llah bin sabaha myahudi huyu na hakuwa na lengo la uislamu alikuwa na lengo la kuongiza fikra zake potofu ndani ya uislamu, ili kuwatoa watu na uislamu wao, ndo akaanza kueneza itikadi yake hiyo akaanza kupata wafuasi, na katika kundi Hilo akaanza kuwashawishi watu wakitokea wanafiki wakamuuwa Othman, sababu kubwa ni yeye, wakitokea MAKHAWARIJI, walomuuwa saidina ally pia, yalipozuka makundi baadhi ya swahaba walobaki wakati huo, akiwemo ibn abasi ili sisi tubaki na uislamu sahihi alotuachia mtume, ilibidi waanze kubaguwa hata upokeazi wa hadithi wakawa wanatazama imetoka kwa nani ili wasijichanganye na makundi potovu yalozuka na kuanza kuleta itikadi zao kinyume na mtume, ndo ibn abasi akazitazama hadithi za mtume, akapata jina ahlsunnah Wal jamaa ni watu waloshikamana na sunnah ya mtume na jamaa, alitoa jina hili kujitenga na makundi potofu, kwahiyo hata mtu akija na hadithi wanatazama imepokewa na ahlsuna wali jamaa kujitofautisha na filka dhwala, hivyo ukitaka hivyo zama za mtume halikuwepo, makundi yamekuja zama za swahaba, uislamu ulikuwa mmoja na itikadi yao moja ilikuwa ni kitabu na sunnah Sabu mtume mwenyewe yupo
@sofunnystars5557 bidaa zao hazijafikia kwenye ukafiri wa Hawa mashia, ninyi watu mnakampeni gani, mahizbi na ninyi skuhizi mnawatetea mashia, au sufi ikiwa ww ni sufi wale na Shia ni ndugu wanafichiana ouvu wao, tunasema kwa kinywa kipana kwa namna ya kutusi quruani, kumtuhumu utume wa mtume, kumtuhumu, jibril, kumtuhumu Allah, kumtukana mama aisha, kumtukana mtume,,, kwa kinywa kipana mashia ni makafiri kuliko wakristo na mayahudi ukafiri wa Hawa mbaya zaidi Sabu umefunikwa na uislamu kwa nje kumbe wanaumalixa uislamu na kuwatoa watu kwenye dini yao endelea kutafuta, ilmu ninyi ndo wale mashekhe mkipewa vipesa kidogo toka Irani huko mnanyamazia ukafiri wa Hawa watu, tunasema hivyo Allah awaraani mashia wote na wasaidizi wao wanaowatetea awaraani pia duniani na kesho akhera raana ya Allah iwaangukie wale wote wasaidizi wa dini hii na itikadi hii chafu na mbaya awaongoze watakao ongoka wasilimu upya, awaangamize watakaoendelea kufia itikadi hiyo na dini hiyo
Tulia dawa ikuingie
Ahl twarika huyu, msufi hawezi ona ukafiri wa shia ni rafiki zao hawo, shia na sufi ni ndugu ndiomana huyu shekh hawezi wakufurusha shia
Shia sio kafiri kwa sababu wanaamini: Laa Ilaha Ilaallah Muhammad rasulullah Wanaamini nguzo 5 za uislam na nguzo 6 za Imani. Kuna wenye wanatukana maswahaba na nikosa kubwa lakini hilo kosa haliwezi likawatowa katika uislamu kama hawajamshirikisha Allah.
Alienzisha ushia ni Abdallah ibn Saba wakutoka Yemen ilikuwagawanyisha waislamu na kuwatia fitna wasielewane wapigane wao kwa wao
Yaan zama hizo BORA ZA MWANZONI, WAISLAM WALIINGIWA NA MTU AKAWAFATINI NA KUWAANZISHIA MADHEHEB YA SHIA!!! DUH!? FANYENI UTAFITI WA KUTOSHA KABLA KUSEMA...ITAKUA HAWAKUUJUA UISLAM WA KWELI ILA NYINYI WA SASA
Ww unamjua Abdullah bin sabaa ni nani? Na riwaya hizo unajua zimetoka wapi na sahihi riwaya hizo si sahihi, Unatakiwa kuisoma kujua mrorongo mzima wa riwaya hizo
@abdallahmtula9467 abdullah ibn saba ni myahudi wakutola yemen mpumbavu wewe
Subuhana llah shekh, una talbis sana na siku zinapokwenda unazidi, kuporomoa kiitikadi, unauliza swali unazunguka zunguka sana, tosha kusema shia ni makafiri, unawatetea kuwaita makafiri huoni wao, wamewaita maswahaba makafiri, hilo mbona huwaoji shia kwaninini watetea ukafiri wao , na utetei swahaba kutukanwa shekh mche Allah usijibu swali kuziangatia maslahi
Sheikh amejibu vizuri swali nawe unamkashif hata adabu na heshima hauna muugope Allah
Abdullah una safari kubwa sana ya elimu Dini si jazba Hayo maneno anayo yasema sheikh ni maneno ya wanazuoni waliotangulia na wanazuoni wetu wa sasa . Dini si mihemko
@SWABRASWALEH-nc2lf amejibu vzr vipi zaidi ya kuvilinga vilinga hakki,na ndo shida ya mahizbi, hiyo yeye anaona makadiyani makafiri, mashia analeta siasa nyingi tamka wazi Hawa ni makafiri, kwani yeye haoni wamemtusi mama aisha matusi na ndo itikadi yao? Kuwatusi wakeze mtume, kuwatusi maswahaba kama anaogopa kuwaita makafiri mbona hashangai hawoo shia kuwatukana maswahaba na kuwaita makafiri, hii dini usiongee kutu kwa matamanio ya watu unavyotaka ww, arafu waniambia muogope Allah mbona yeye amuogopi Allah kutetea kufru za mashia yeye ndo amuogope Allah, kwani hajui kama shia wanashahada zaidi ya moja?? Amuogope Allah na yeye basi watu walokitusi kitabu cha Allah na kumtusi mama aisha na swahaba zake wanakuaje waislamu.
Ijmaa ya umma ni waislam bali kakundi kenu ka khaawarij ndio wanaona tofauti usimlaumu sheikh
@@AbdulIssa-o7ehaki ni Allah kwahiyo usidhani unayo wewe