INTERVIEW NA MWL NDACHA, USTADHI SHAFII NA SHEIK MAZINGE BAADA YA MDAHALO HAPA TP GROUND

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • BAADA YA MDAHALO TULIPATA NAFASI YA KUFANYA MAHOJIANO NA WAHADHIRI WA NENO LA MUNGU HAPA NI MCH. NDACHA, USTADHI SHAFII NA SHEIK MAZINGE

ความคิดเห็น • 37

  • @user-rf1nb5iz2i
    @user-rf1nb5iz2i 19 วันที่ผ่านมา

    Ndacha kazi yako manen
    Wewe ni kuni tu!
    Ngoja ufe ukachomwe tu, huna jipya

  • @randomclips5474
    @randomclips5474 19 วันที่ผ่านมา +2

    unaulizwa simple and clear watu tunasubir andiko ila unakuta mchungaji anazunguka mwisho hatoi ata andiko anaona kamaliza😂 me naskiliza kwa umakini ila sioni wakristo wakijibu maswali. sasa mtatu-convince vp kuja kwenye dini ya wakristo?

  • @user-pt6bh1jj1k
    @user-pt6bh1jj1k 19 วันที่ผ่านมา

    Kumbe makafiri ndio wanakata Muhammad sio mtume ni wakristo

  • @AndrewShikari
    @AndrewShikari 19 วันที่ผ่านมา

    Sule tulia upate kibano😢

  • @mwanafbii7
    @mwanafbii7 19 วันที่ผ่านมา +5

    huyu shaffi mwoga kakimbia mwalimu ndacha huyu mwoga wa mwisho huyo

    • @randomclips5474
      @randomclips5474 19 วันที่ผ่านมา

      ndacha "sijapata mda wa kutosha wa kupambana na hoja zao" 😂 wenzako wala hawajatenga mda kupamban na we😂

  • @AndrewShikari
    @AndrewShikari 19 วันที่ผ่านมา

    Kwahakika ndacha yuko sawa ela Waislamu nimayahudi moto jehanamu ndio tarajio lao

  • @FadhiliMagana
    @FadhiliMagana 19 วันที่ผ่านมา +1

    Tangu lini waislam wakakimbia makafiri, uyu ndacha anatetea fungu la kumi na haliko ndani ya bibilia

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 19 วันที่ผ่านมา

    Mmmm!Ndachaaa.

  • @AndrewShikari
    @AndrewShikari 19 วันที่ผ่านมา

    Natoka kenya mm mcha Mungu Andrew chivatsi, mm ni mwamuzi wacha Yesu aje

  • @AbasHabimana
    @AbasHabimana 19 วันที่ผ่านมา

    Ndacha ww hata ukishindwa huezi kukubali mada ya uungu wa yesu Docter Sule alikushinda kwa hoja ulishindwa kusibitisha uungu wa yesu

  • @AndrewShikari
    @AndrewShikari 19 วันที่ผ่านมา

    . Ona mazinge alia kwa unafiq😂😢

  • @mwinyiswaleh8388
    @mwinyiswaleh8388 19 วันที่ผ่านมา

    Shafii hajakimbia ulikua mjadala wa waisilamu haukuwa mjadala wa shafii pekeyake.shafii siyeye aliepanga nanianaaza.Nndacha kamawamtaka shafii pekeyake ungeandika barua ya kumtaka shafii pekeyake.ukae meza moja na shafii ndio ujue KOBE hapimwi joto.

  • @basilejuma
    @basilejuma 18 วันที่ผ่านมา

    Huyu shaffi aezi ndacha ata aje na majini, ikiwa kina maxinge,sulle walishindwa,huyu shaffi ni kama chai kwa ndacha

  • @bustedislam3578
    @bustedislam3578 19 วันที่ผ่านมา +2

    Wafuasi wa marehemu Muhammad wameshindwa kabisa. Poleni. Mazinge, Dr Sule wameshindwa kabisa. Ndacha ni Mwalimu kweli kweli.

    • @Mrlover8435
      @Mrlover8435 19 วันที่ผ่านมา

      😂😂 unajifariji sana😂

    • @bustedislam3578
      @bustedislam3578 19 วันที่ผ่านมา

      @@Mrlover8435 pole sana kwako

    • @mwinyiswaleh8388
      @mwinyiswaleh8388 19 วันที่ผ่านมา

      Shafii nimsomi Nndacha hamuwezi.kamaunabisha Ndacha kaameza moja na Shafii.ndio utajua Kobe hapimwi joto.

    • @bustedislam3578
      @bustedislam3578 19 วันที่ผ่านมา

      @@mwinyiswaleh8388 Shafi anakwepa Ndacha sana. Huu mhadhara ulikuwa uwe kati ya Ndacha na Shafi. Kuna videos Ndacha ameomba mhadhara na Shafi na huyu amekubali. Lakini kwa mhadhara ni wengine, na nyinyi waislamu acheni kuomba omba pesa kwa kupoteza wakati...

    • @user-rf1nb5iz2i
      @user-rf1nb5iz2i 19 วันที่ผ่านมา

      Unakijuw unachosema au ndo unajifariji tu😅😅😅😅

  • @IMRANITV1
    @IMRANITV1 19 วันที่ผ่านมา +1

    Hoja gani munayo NYIE makafiri yakufanya shafii akimbie

    • @henrysizya239
      @henrysizya239 19 วันที่ผ่านมา

      Hata maana ya kafiri hujui

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 19 วันที่ผ่านมา

    Hedayaaa mwenyezimngu humuhidisha mjaa wake Amtakayeee …ndacha mwenyezimngu haja mtakaa kumuhidishaa

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 19 วันที่ผ่านมา

    Shafi si muogaa haogopi ela anamuogopa mwenyezimngu …..ndachaa manenoo afuwatee ukwelii

  • @jjtm164
    @jjtm164 19 วันที่ผ่านมา

    Shafi mwoga

  • @randomclips5474
    @randomclips5474 19 วันที่ผ่านมา

    me sioni wakristo wakijibu mada kama wanavyoulizwa. sjui kwann yani 🤔

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 19 วันที่ผ่านมา +1

    Shafii kakimbiaaa😂😂😂

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 19 วันที่ผ่านมา

    Ndacha maneno mengi hatumii maandiko anapaparika Tu ,,,tangu lini Mtu anafuta mavi kwa tishu akawa na akili

  • @CharlesMbise-hc2sz
    @CharlesMbise-hc2sz 19 วันที่ผ่านมา

    Hawamuwezi ndacha kamwe ndacha ni genius

  • @alhajijeremiah5834
    @alhajijeremiah5834 19 วันที่ผ่านมา

    kambia hoja

  • @jjtm164
    @jjtm164 19 วันที่ผ่านมา

    Mwoga shafi siasa pembeni

    • @user-fy4op1sw2f
      @user-fy4op1sw2f 17 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂shafi na waadhir wa kiislam wana wachapa kwa hio hio bibilia yenu inatosha kuwachapa nayo 😂😂😂😂ndio mujue hamuna jipya mukiambiwa mutoe andiko muna zunguka zunguka tu kukaidi maandiko ya bibilia yenu😂😂😂😂😂😂😂

  • @AndrewShikari
    @AndrewShikari 19 วันที่ผ่านมา

    Vile mutume muhammed kasilimisha majini kapawa zawadi na Mungu yakuishi Jehanamu poleni Waislam

  • @shyneafya2468
    @shyneafya2468 19 วันที่ผ่านมา

    Shafii umekimbia bhana kwan hukujua ww si ndo ulitangaza mkiwa pamoja tena ilikuwa Alhamis nenda pale kwa discussion au debate usijifiche

  • @jjtm164
    @jjtm164 19 วันที่ผ่านมา

    Shafi mwoga