King of hihop we shori(diamond) sigombanii mpira kama Sina uhakika was kupata goli hahaha nikitakanunua kitabu nasikiliza nyimbo za fid Q tu you are King of rap music 🐐🐐
Fid q Ni habari nyingine! Mwacheni ashashindikana kitambo! Sina hata kuongea juu Yake! Ila huyu Rosa Ree khaaa! Mtoto sumu Sana huyu! Yupo very flexible! Anajua na level zake si za hapa Tz! Goma la hatari Sana hili! Combo matata
Kali sana,ii ya Rose na Q atary sana. Like zao
Na this time ni kama kipofu mwenye pistol,,,niatari akikoki jua ni kifoooo. ✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼 Hey bigman
Mke wangu anajua mahesabu haitafuti thamani ya X 🔥🔥🔥
Tanzanians don't know how much we Kenyans love them...Tanzania🇹🇿 Kenya🇰🇪 loves you❤
You guys don't know we love you 😊
We love you too Kenyans
Ngosha wa mbasa a.k.a mzee mbuzi wabheja sana home boy kwa dude la moto
Usiache kufanya ulichokitaka maishan ghafla tu kufata kile ambacho umetaman ❤❤
Bonge la mzuka hapa , much love and appreciation from the 254 🇰🇪🇰🇪👊🏾💪🏾
Ukisikilza pini ya kubanda unajaribu kutaja na unapotoka ili tufahamu wap kubanda anasikika zaidi japo ni dunia ila tujuane kikuuuu 💥🔥... R chugaaaa
Kenya namjua kaligraph wengne tuna waskiza af Tz kuna fid q.... Descendant wa Ngwair... Wengine waskilizwe king karud
Na hii ni hatari km kipof mwenye pistooo, ni hatari akikoki jua no kifo........ Alafu sisi hatugombanii Mpira km hatuna uhakika wa goli
Kwa hapa nilipofikia ni kwa ajili ya kufikiria sana deeply kwa kukusikiliza fid cjawahi chukia kila drop ya vibe LA line zako ❤
Kama unaamini fid ni best rapper of the all time gonga like apa
Huyu ndie ngoshaaaa sasa,,kama na ww ni ngosha weka likes hapa💪💪👊👊
Alfu nasikia Billnas kawa msani bora wa Hip Hop,Fidddddd Q
Hii ni Mbupu kabiiiiiiiiiiisa💥💥💥💥💥goma la kunywea whisky gheto hili📌
"Sigombanii mpira kama Sina uhakika wa kupata goal".......From KE, Fid Q never disappoint 🔥🔥🔥🔥👊
Ngosha unajua mpaka unaboa
"Mke wangu anajua mahesabu haitafuti thamani ya X." King as always @Fid Q👑BIGman.🔥🔥🔥🔥🔥
MKE WANGU HAJUI HESABU SO HATAFUTI THAMANI YA X , is that what i had🙌🙌🙌🔥🔥
explain meaning
Nakukubari tangu nasoma Hadi leo ... ..mke wangu anajua hesabu hivyo hasumbuki kutafta thamini ya X 😃😃 the best line of the year.
Nyonyoma ametuwakilisha mbeya city big up fid Q bless mbeya city niggaz#mwaisa_mtumbad
On behalf of my family ,my village people,my ancestors and also my wicked landlord,I approve this HIT!!💯💯🔥🔥🔥we love it💯 🇰🇪🇰🇪💯
Which ancestors and village dj, can u breaf explain
On behalf of wicked landlord 😂
🎤🎤🤣🤣🤣🤣
😂😂😂 your wicked landlord
wicked neighbour 😂you forget him is here!
“Hey shori, sigombanii mpira kama sina uhakika wa kupata goli.” This line hits big time 💯
Farid ni mmoja tu toka Rock City
King of hihop we shori(diamond) sigombanii mpira kama Sina uhakika was kupata goli hahaha nikitakanunua kitabu nasikiliza nyimbo za fid Q tu you are King of rap music 🐐🐐
Kama Roma kaomba Maua mm naomba like tu
Sasa ivi sisi bado tunamsikiliza Roma
Kaombe like kwa mm ako.
@@isdorchuvu6280 😂😂
Penda kuomba omba utakuja ombwa kinyeo
Oyah @Roma like hiyo hapo👊🏿
M mzaz Kama dddddddd daimond kwa vionjo hatar Sana kapita chibu kwa mbali🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯✌️
Big maaaaaaaaaam
Rosa to the Rrrrrrrr.... Fire 🔥🔥🔥🔥karibu Kenya 🇰🇪🇰🇪... We love our Neighbouring countries...
Big Man ni Hatariiiiiiii sana Dah!!
Nomaa, Ngosha ni wa 🔥🔥
“Hey Shawty, sigombanii mpira kama sina uhakika wa kupata goli.!”🎙
Much love for Rosalee, I'm watching frm South Africa 🇿🇦 Cape Town Claremont
Danga danga bye bye DaDa.😊
Nyimbo nyimbo Kwl ,,King Wa Hip Hop Tanzania Sema Ili Dude La Kikubwa Sana Kwel Broo Umekua Na Unaonyesha N Kwel We N Inspiretion Ya Watu Kbao 🙏
Sigombanii mpira kama sina uhakika wa kupata goli📌
Fidq ata ukifa leo pengo lako halizibiki hip hop ya Tanzania ww ndo mfalme wao wakitaka wasitake good song$
BIG MAN KING MAN Kijana WA Mzee kubanda rock city tuna like Kwa hapa
Extremely talented souls. This sounds so amazing.
Loud and clear in Nairobi, Kenya.
Fid Q good artist and a humble one, from Kenya 🇰🇪🇰🇪keep up the good work
Namuona chafu yangu dullastar kwa mbalii nae anawaka🇺🇸🙏
Flow
Lyrics
Beat
Video
Yani kila kila kitu kiko safi sana
Na izo dance za Amapiano kwenye mdundo wa hop hop daaahh Ume uwa bro
Hoyiii! Mwamba huyu namkubali kinyama! From Bdi
Ngosha wote naombeni like
Baba Ni Baba Ukiskia Bongo Hip Hop Ndo Hii Salute Sana Big Man
Fid Q nizadi ya wanaofanya 💪✍️
Fid q na Rosa Lee hii chemistry ni ya moto sanaa💥💥 congratulations broh
Kubwa sanaa Fid na Rose kazii hii Moto Big Man
Yow kubanda 🫡🔥🔥 naomba challenge nifunguke😂👊
Hili beat moto alaf na hook ya aaaah goddess, rosa ree🫡
Ebwana toka kenya 🇰🇪 nakukubali sana, wee ni kio🫡
Fid q Ni habari nyingine! Mwacheni ashashindikana kitambo! Sina hata kuongea juu Yake! Ila huyu Rosa Ree khaaa! Mtoto sumu Sana huyu! Yupo very flexible! Anajua na level zake si za hapa Tz! Goma la hatari Sana hili! Combo matata
Wote kama tumemuona mzee wa marekani, mzee wa Viza
Kama kipofu mwenye pistol.. Ni hatari akicock jua ni KIFO!!! 🔥🔥🔥
Bonyeza picha kisha SUBSCRIBE usipitwe na Habari zote zakijanja hapa town
Ni time ya KING to be at the TOP,,, tuendelee kutizama zaid music nzuri hii, BIGMAN ..... tizam maranying ndio UZALENDO
🔥🔥nice flow Fid Q....still relevant in the game 🙌
For sure still he is
Woof woof big up Sana 💪 i ngoma mmeuwa ile laana
2nao kubaliana Kuwa Fidiq Nikama Jey z wa Bongo Naombeni 2juane🙌
Nikiacha kuwapenda FID Q NA ROSA REE sishabikii tena mzik
Fidi q kwenye hipohop make wako n Rosa Lee
Mkifanya kakikundi Mara moja moja Kam vle rostam mnaweza kuwa mnaua sana
Ngoma Kali nimependa hiyo combination , hizo lines Kali ,beat Kali nahizo floo zakinyamwezi
Hii ngoma kali mazee...huyu Rosaa huaga namkubali sana ...much love from 🇶🇦🇶🇦🇶🇦
Jaman hii camouflage ilikua wap ya fid na rosa ,rosa ni noma sana dada wa hiphop ,mwamba mwenyew fid hatar sana
Moto kama pasi fid q baba yao
Hii nayo ni kali. If you feel the same way angusha like
Fid Q #Ngangari 💥
Sigombanii mpira kama sina uhakika wa kupata goli✊✊
Kama Kontawa kwa Mistari ya FidQ "me nachekanga tuu" 😂😂...yani mistari juu mabawa🔥
Mwenye hip hop yake sasa 🔥🔥
Manyoka tutulieni Kwanza wazeee #bigMANtings
Fundi fundi tu…barikiwa Ngosha
Ziki zito sana,Khaligraph jones angeingiza verse pia 🔥 🔥
...huyu ndo fid Q Mwanza Icon
Bonge la Style la Uchanaji...🎤🔥🔥🔥🔥🔥 Salute to u #FidQ ft #Rosalee 🙌🙌🙌💥💥💥💥💥
Ngosha the swagger don 🔥🔥🔥💸💸💸✈️🈲✅
We jamaa bhana huwa ni waki sana na wasiojua mziki wanakuaminia umehamia kwa A.K.A tena
Niiiteee mwanzaa mwanzaa soo poa Brack Fd Q anadawa ya cheusi dawa
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
Hit nakupata sana mze faridi kubanda all the way from 🇧🇮
🔥🔥🔥🔥🤝 ngoma hii inakita mpk dunia inatikisika unyama mkari
Unawafundisha madogo wengi sana maana ya Hip Hop. You are the best at this.
jama balaaaa anajua mpaka anakeraaaaaaaaa
Sigombanii mpira kama sina uhakika wa goli 🔥🔥🔥
Ngoma ya ki-utu uzima,noma sana #KINGNGOSHA,tupe ingine na Khaligraph Jones itapendeza👌,much luv from 254💪
Big Man Productionz bad tupo brother! LOL Good to hear Ngosha Tena! Much love kaka
The swagger Don haukosei. Tuishi humo
Big man umetisha sanaaa 🔥🔥🔥 #MwanzaKwanza
Boa musica irmao Fd Q, voce é melhor repista de Tz. De Mocambique receba meus parabens
bongo kama mbelee
ma ichi ichi ichi dumba/ anga banga! kali sana kamanda!
Real King!! Big Man huna mpinzan ndan ya Hip hop Bongo!! ''TRUE KING''
Kiufupi goma lenyewe tu ni BIG
Oya ngosha umeua umeau mbwa hawa 😢😢 mnaendana sana rosa ree dah collabo zenu ni kisu
Now this is what we call a Collabo! Noma Sana🔥🔥🔥🔥...#haijalazimishwa.
Big🆙️ #BIGMAN.
Bonge la #Vibe.
Always #Creative.
#HipHop King Forever.
#MoreLoveMoreLife...❤💛💚
Fid q huzeeki mzee baba Kila ukija unakuja upya!
Ni time yakuifanya BIGMAN kuwa at the TOP.. I BELIEVE FID YOU WILL BE NO 3 or 4 In TH-cam MUSIC HIT HIPHOP SONG OF THIS YEAR.... i trust the process
Ma Ichi Ichi Dumba Dumba Anga Banga vile Abbas anaroganga.!!
Ebwana eeeeh si mchezo umeua mzeeee
Aminia Fid q,roza maua kama yote kwenye chorus
Nakubali ngosha the swagadog
Bonge la ngoma fid ww nimbishi zaid ya wabishi rosa ree katisha ebana ee big up sana herry mbishi from qatar oi
Kama umeskiza zaidi mara mbili gonga like apa