Alisema tuachane na yule wa zamani tumzingatie huyu wa sasa huwezi lazimisha kuuza bamia wakati nyanya zinalipa hebu tuwaache watafute mkate wao lakini mkitaka wagumu wapo akina Dizasta Vina😂😂
Yohana 9:25 [25]Basi yule mtu akajibu, Kwamba yeye ni mwenye dhambi sijui. Najua neno moja, kuwa mimi nalikuwa kipofu na sasa naona. Luka 15:10 [10]Nawaambia, Vivyo hivyo kuna furaha mbele ya malaika wa Mungu kwa ajili ya mwenye dhambi mmoja atubuye.
Huu wimbo nimeusikiliza mara+100 zaidi hapa maskani kwangu,hii ni zaidi ya ngoma kaka....Chemistry yenu imenoga kama ya mavoko rich,kijana chino BORA MBINGUNI TU haya mapenzi yalishindikana kweli tokea bustani ya Edeni.👋
Kama unasikiliza hii ngoma mwaka huu 2024 like hapa❤❤❤
Ngoma hiii umeiweza tofauti na Ile ilopitaa🎉🎉🎉
Safi mbona goma kali tu
One love Sana wanetu hamtmii ngvu japo so pw najua mnatmia ubnifu mkbwa na akili nyng
Hongera Chino Kidd, umefanya vizuri sana pia. Kupitia Fid Q, utajifunza vitu vingi sana. Mtumie ipasavyo.
Endeleeni kutuletea mziki mzuri. Ahsante.
Oyah weeh,nimechelewa sawa ila mnipe tu likes bn😢🔥🔥🔥
Hili goma ni🔥🔥🔥💐🚀🚀
Ngosha the don wakilisha bongo hipop
Haya mapenzi bora niyaongeze kwa yesu kesho niend mbinguni💥💥💥💥
AmaHipHop Big up kilichobaki ni kwenda na soko linataka nn chino wana man#Achana na Fid wa zamani mzingatie huyu wa sasa let' Go
tshamzingatia wa sasa atuna namna kaka wana man😀
@@novertsirgent8564 enjoy Bro
Miondoko kama hii anaiwezea Ngosha wana man peke yake emu gonga like za kutosha hapa kama nawew umeikubar....🔥🔥🔥
Bora Fidi Karudi alikua amepoa sana
Kwa mara nyingine teena😂😂😂🙌🙌 NGOSHA WANA MAN ft CHINO WANA MANA🎉🎉
Mhmhmh kama naona vile jinsi itakavyotrend hii Ngoma dadeki 😍😍😍🥰
Respect saana wanangu mmetisha 🥰🥰😊
Bora haya mapenzi niyaongeze kwa yesu kesho niende mbinguni🙌🏼🙌🏼😅
Ata mm Bora niyaongeze Kwa uyo yesu Kwa binadamu duuu ngori
Farid Kubanda💯💪 Kama unamkubali gonga like hapa
Bora haya mapenzi niyaongeze kwa yesu kesho niende mbinguni🙏
Msiuache umoja wenu mapema, mkitulia na kuendelea kuwa pamoja mtafika mbali
This man is incroyable!!! Umenikosha sana mkubwa Fid ❤❤❤love from Lubumbashi
My real brother from another mother.
Ngosha forever.
Tanzanian Hip Hip G.O.A.T
Huwa nasema Fid Q hajawahi kubahatisha. Profesa wa ghetto ni hardcore rapper. Best flow.... Huo ni mstari wa kwanza kwenye wimbo wake "ujio".
Bongo HipHop ni FidQ na hakuna mwingine ❤❤🇹🇿🇹🇿
Wengine waimba kwaya sio au ndo ushabiki mandanzi🙂
🏌️♂️🎱kashakua mlaini
Alisema tuachane na yule wa zamani tumzingatie huyu wa sasa huwezi lazimisha kuuza bamia wakati nyanya zinalipa hebu tuwaache watafute mkate wao lakini mkitaka wagumu wapo akina Dizasta Vina😂😂
th-cam.com/video/O0IALZfelFc/w-d-xo.html
@@sosomokobiasharamgaya3020fid Ni Yule Yule tunaoijuwa hip-hop tunajuwa kasimamia misingi kama kawaida,,still hardcore mzee
Chino you kill It💯
Ngosha much respect🔥
aiseee... big creativity
Hakuna GOT like u Fid yani kwa hili goma 100 / 100
Michano ya master na kuruta ni so far away different ,,fid ni master wa michano asee
Fid q hujawah niangusha rapper wangu salute kwako
Bora nishi mbali mbali eeeeh tusijuane nimechoka bora nishi mbali mbali eeeeh nimechoka❤❤
Bora haya mahaba niyaongeze kwa yesu kesho niende mbinguni ooh ooh ooooh😂😂😂 mpak majivu yamebaki 😅😅😅kwa huo moto
Rispect bloo hi imeeeeeeeeeeenda
Uyu chino yupo serious bhana🤑
Ngosha amapiano ndo mziki utakaomlipa kuliko ngoma zake zotee
Fid anapotea mwana ..
Mashabiki wake tunataka ngumu za hip hop
Hii Tunaipa Asilimia 5000%🙌🏽😇🇹🇿
Chino kumbe bana yuko vizuri bana hili ndio goma ambalo ametisha kinyamanyama
Ngomaaaa hiii umeuwa sana @fidq💥
Hujawai nifelisha king fid q milele
Ngosha ameemeimba mpaka kisukuma ety kangalamena
🔥🔥Mzee mbuzi u are a Hiphop Legendary …🫡icho kiitikio chino katisha
"WENA" Kama umeukubali huu Wimbo Tukutane kwenye LIKES🇹🇿🇹🇿
I like the beat and song from 🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Hii sawa Mzee.....imeenda hii
Bora haya mahaba niyawekeze kwa yesu kesho niende mbinguni
Ngosha Wana man😊
Blessing san ngosha na brother chinno wena man tuna wakubari san wanetu ✍️💯💯
Fid q ndani ya bit la amapiano
Ngosha wanama,, kitaan now ni vurugu kwa hili piano
This flavor is something else more than just Bongoflavor neither Bongohip hop I bet Ngosha should give us the name of this sweet flv
Fid Q, long life 2 you LEGEND ✅💯✅🔥🔥🙌🔥🔥
Yohana 9:25
[25]Basi yule mtu akajibu, Kwamba yeye ni mwenye dhambi sijui. Najua neno moja, kuwa mimi nalikuwa kipofu na sasa naona.
Luka 15:10
[10]Nawaambia, Vivyo hivyo kuna furaha mbele ya malaika wa Mungu kwa ajili ya mwenye dhambi mmoja atubuye.
Nakubali sana mkali gonga like twende sawaaa...🤸🤸🇹🇿🇹🇿
Uyu dogo kashatoboa 🤝
Goma Hili lisikilize bar ndo utalielewa vizur yaaan ni 🔥🔥🔥
Huu moto nani anaweza kufuataa,,, 🔥🔥🔥🔥
Goma la kusikiliza mara nyingi zaidi ya doz ya panadol. Big up Ngosha ✊
Ngoma Kali sana
Ngosha ni hiphop htr sana
very nice work kila saa nasikiliza hii ngoma
its cool
yakwanza imegoma at least hii inaweza penya kdg 😅😅😅😅😅😅
Natania bhn zote kali 🙌🙌🙌🙌
Fid kaua sana hii ngoma
Fid mnyama, genius!!!😅😅😅😅umeuaaa
Wow I like the content 😢I was hurtbroken but I think Bora mbiguni😢
Hivi mmesikiliza Mara ngapi flow ya fid verse ya kwanza🔥🔥
Fid qnakubal Sana mzeeee pga ngma Kama vile huerewiii ❤❤❤❤❤❤
Nabeba hizi verse mbilli tuu vinlivyobaki nawaachia wenyewe wenye umiliki wao wa ngoma, asante😢😢
Fidq papa na chino wana man bonge la hit song 🔥🔥
Chino wan man ....eweee💥💥🔥🔥🔥
🙌🙌🙌🙌🙌ngoja n nomaaaaa
Bora nirudi kwa yesu ❤😊
Collabo la kibabe,mmefanya zaid ya vizuri...like it like my comment💪
Tanzanians🔥🔥🔥🔥🔥. Much love from Kenya🇰🇪♥️♥️♥️
Much love from kibaha🔥🔥🔥🔥
Kali sana good and unique idea
Mdundo ni amapiano. Alafu mziki ni hiphop🚩🚩🚩
Deserves billions of paper 👑😍
Ankol Faridi ndio umeamua kutupeleka huku daah basi daaah🙌
Gomakali Sana ..ngosha umeua Sana kazi nzuri..atae ikataa uyooo mnafiki
kazi ya Kwendwa naitwa Juma Haji Babu J nipo Pemba 🎉🎉😂❤😂 ahaaaaa chinoo big up man 😂😂😂❤❤
Huu wimbo nimeusikiliza mara+100 zaidi hapa maskani kwangu,hii ni zaidi ya ngoma kaka....Chemistry yenu imenoga kama ya mavoko rich,kijana chino BORA MBINGUNI TU haya mapenzi yalishindikana kweli tokea bustani ya Edeni.👋
Uyu chino kuimba ni zero kutunga zero kucheza A
Finally they come up with new style hard rap inside amapiano beat,they kill it,great creativity
Kali sana. Live long to continue producing good music GOAT.
Mziki bora Etiezo judoka congo
Ngoma 😂😂😂❤❤❤❤ kali sanaaaaa sanaaaa ngoshaa ulikuwa unachelewa wapi kaka kweli kwa ngoma hiii chino aliki imekuwa sanaaa nakubali wakubwa kaz good
Inaonekana Faridi amegundua kwamba amapiano inalipa naona kashahamia uku ss😢 mamae mchezo na hela nn ungekaa tu ukacmamia micngi😂
director katisha sana ideal ya video, sema wana hamjacheza sana humu tushazoea vibe kali
Namuona fid akifuata nyayo za Casper nyovest,humu utatisha sana
Fid Q we ni fundi real appreciate to you
Mzee Mbuzi Hujawahi kudisapoint 🔥🙌
This legendary called Fid_Q never expire 👑👑👑🔥
A rapper who can flow on each beat💯
Tukichanganya Hip hop na Amapiano kuna mziki mzuri utazaliwa special kwa kizazi cha 21g
Hii combination mbona kama imetik hivi. Ngoma kali sana
Meeeeen dis kid has been gifted 4rm God...matter of tym
Niko drinks nimependa hii song ..I will always follow you
.kumbe inawezekana hiphop amapiano 🔥🔥🔥🙌
Ndugu yangu Farid, innalillah wainna ilaihi rajiun
Ngosha kama ngosha Ngoma Kali mzee
🎉🎉. Ooh jaman haya maish rafiki ang ndokaifany hyo kaz lakini nyimbo nzur
Chino wanaman ⚠️
ngoxha umeielewa mapiano noww, Big up😊😊
Ngoshaa Kila time una tupa kazi safii upo❤❤❤
Ngosha wana maniii