This song has been a blessing to me this end quarter of the year I listen to it everytime every day. I play it everywhere I go. Indeed God has been Good. This far He has been Ebenezer. Mungu ni mwema.
What a blessing song...!!Moyo wangu unamtukuza Bwana kukuona anakutumia kwa namna ya ajabu Dada Lily...nikikuona hivi nakumbuka nilikuona tukiwa bado wadogo sana tukiwa mikumi Morogoro!! ni kweli Mungu alikutambua na alikuchagua kutumika katika hiyo nafasi,Mungu akuzidishe,akubariki na aendelee kuinua huduma iliyo ndani yako...Hakika Mungu wewe ni mwema!!!
The song is just woooow and uplifting....Whenever i listen to it i cant stop dancing and being filled with joy.....When you say 'oooh oooh' and the instrumentals are awesome
On this Sunday morning, indeed Yeye ni mwema. Thanks for the beautiful song, the Lord be with you and expand your ministry Woman of God! +1 subscriber.
Who is here 2024, God is still good 🔥
Am here
2020 anyone?🔥🔥🔥🔥❤
tuko hapa
Blessings
Hallelluyah...bwana yesu nimwema milele..am blessed.Neema ya yesu iwe juu yenyu daima.
Ubalikiwe sana Mtumishi wa Mungu
Aproaching the year of the mighty hand of God💪💪💪
Who is here 2022 Nov come on sing this song with me
The voice ...the song ..aah i just love this song ,i feel blessed listening to it
May God bless you dear
Wow, powerful song.....hakika wewe no mwema Dad
Ameen and Ameen hallelujah Hallelujah... Mungu akubariki sana.
Hongera sana dada mungu akubari wasalimie morogoro
Powerful song..A.witness of God's goodness.
Hakika Mungu WETU nimwema huwa sichoki kusikiliza huu wimbo be blessed mwalimu Lili
safi sana Dada lily umetukonga mioyoo kwakwel Mungu wewe ni mwema barikiwa mtumishi wa mungu
This song should hit a million views akii❤❤❤
Hakika Mungu ni mwema.wimbo mzuri sana...Sifa kwa BWANA WETU...YESU
her voice ❤️... our God of praises. Utabaki mwema
Wewe ni mwema Yahweh💃💃💃
MUNGU wangu hakika wewe ni mwema nitakusifu milele
Ameen and Ameen kweli Mungu ni mwema
Ubarikiwe Dada nyimbo zako nyingine hatuzipati!! Jamani
Zinakuja hivi karibuni kabisa kabisa... AMEN
Hakika mungu n mwema. Mum Lily God bless you more for blessings me today.
Hatuna mwingine zaidi yako Yaweh!
Wewe ni mwema Baba...Mungu wetu wa Israel akuzidishe rafiki,tunakuombea
george zachayo Asante my friend, God bless you
My favorite ZAZA of Tanzania from Tose days at Mzumbe i have never stopped loving you say hi to gift...........
Ezam Clouds hahhaa thank you, bless you👌
Ha ha ha ha bless you dear wangu... Zimefika kabisa kabisa
How can people dislike God's song..
Powerful ministry
❤love you twin💪🏿🔥 Mungu azidi kukuinua Lily Max❤
woow! nzuri sanaa hakika Mungu akubariki sana mtumishi.
Wewe ni Mwema Mungu, Amina Hongera sana Dada
Am from Uganda but I love shawahi Gospel music God bless Africa
Lovely song. Hakika yeye ni mwema. Massive love from Kenya. O ho ho
dada lily umetisha Mungu aendelee kukuinua zaidi
Real Worship And Praises Are Coming Back To Kenya, No More Celebrity Worship
kazi nzuri inabariki +254....inuliwa kwa huduma yako
For me, there is just something about that bass guitar that makes you not stop dancing
This song has been a blessing to me this end quarter of the year I listen to it everytime every day. I play it everywhere I go. Indeed God has been Good. This far He has been Ebenezer. Mungu ni mwema.
Glory to God hallelujah... Truly Mungu ni mwema kabisa kabisa... Ubarikiwe sana
Ooooh Lord! Even this hard time of corona bado wewe ni mwema🙏🙏🙏🙏
What a blessing song...!!Moyo wangu unamtukuza Bwana kukuona anakutumia kwa namna ya ajabu Dada Lily...nikikuona hivi nakumbuka nilikuona tukiwa bado wadogo sana tukiwa mikumi Morogoro!! ni kweli Mungu alikutambua na alikuchagua kutumika katika hiyo nafasi,Mungu akuzidishe,akubariki na aendelee kuinua huduma iliyo ndani yako...Hakika Mungu wewe ni mwema!!!
Emmanuel Msimbe Ameen Atukuzwe Mungu
Mungu Awajidishe Maladufuu
A'm realy enjoy it. Yani Nimejazwa Roho. Huhuuuuu 🙌🙌🙌 Realy Mungu ni Mwema
Barikiwa sana dada
Mungu ni mwema, Na huu nao ni wema wake kwako, Hongera sana dada yangu. Mungu akupandishe toka utuku hadi utukufu
Ameen and ameen asante sana Pastor
Kweli Bwana ni mwema!!! 🙌🙌🙌 Ushuhuda ninao!
Nice one ....waoooo!!!
The 574 views are mine. i listen to this song, not less than 5 times in a day. God bless you Lily Max and take you to another level of annointing.
Oow... God bless you dear... Ameen and ameen hallelujah
Woooyo!.!.!.! That's what I am talking about!!
Tanzania!! It's about time!
The song is just woooow and uplifting....Whenever i listen to it i cant stop dancing and being filled with joy.....When you say 'oooh oooh' and the instrumentals are awesome
Glory to God hallelujah hallelujah... God bless you dear thank you
Ninakusifu Mungu wangu wewe ni mweema. Powerful song.
Amen ubarikiwe mama
Hakika Mungu ni mwema my darling wiii @lilymaxofficial, Mungu akuinue kila siku maana wewe ni mtu mkuu mnoo
Hongera sana dadaang mungu akuinue zaid na zaid,nakupenda saaaana
Lovely song and fresh everyday. Wewe ni mwema baba
barikiweee saaana
Iyeeeeeee...hiii ni njema sana..can't wait in DSM da lily ur blessed
More grace 🙏🏿
Be increased my sister, we are blessed by you, nice song...
Psalmist Blessings thank you so much mwaya, glory to God!
Psalmist Blessings thank you so much!! Glory to God!!
Thank you so much dear
Wajina unaimba nimekukubali na mm nitakuwa ivyo
am happy 😄 for you Ccy Lily Mungu akuinue zaidi.
Something super for the kingdom advancement
Wooow amaizing
Love this song I can't stop listening to it
Wew ni mwema kila sikuuuuuuu
In 2020 March the song still so fresh.
Hata kwa hali hii ya wasiwasi na hofu kwa ajili ya mkurupuko Wa virusi vya corona ulimwenguni Mungu ni mwema
Madam nakusubiri dar yan .....I will be their
Woow, you are so blessed sister Lily. Kweli MUNGU ni mwema sanaaa, uzidi kuinulwa ktk huduma yako!
Dorcas Kyungai ameen and Ameen Asante sanaa
hakika mungu ni mwema we love sister lily
hata nikiplay mara 5 kwa siku najikuta sichoki .be blessed
Thank you so much... God bless you
wel done my sis...God b with yu
Sekela Moses Ameen, Asante sanaa
Powerful,2021.. can't listen to enough of this,MUNGU ni Mwema nina shuhuda.
barikiwa Lili
ooooh wewe ni mwema baba....I love what I see.....go go gooo Lily...
stella Kashaga glory to God dear, Asante sanaaa
Kweli Mungu ni mwema, I love you sis lily.
Delilah Ritte thank you dear 💖
Nyimbo tamuu sanaaaa
nakufurahia sana sana dada mtumishi Lily Max Mungu akutumie viwango na viwango kwa utukufu wake.
Mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu.Nimeupenda sana wimbo
uko vizuri aseeeee
Wooow.... Unanibariki mpenzi, hiki ni kipaji toka mda mumy tulikiona toka shule, Mwenyezi Mungu azidi kukutia nguvu katika yote. Blessed
Big one step madam Glory Glory, keep it up
wow God bless you
this real cul.......
indeed yeye ni mwema
Good music Love it
Asante mamy...nice song
lovely keep it up gigi
Hiiii nyimbo Ni Mwah hhhh
Amazing Yesu akupandishe
Uko juu dada
Still jamming in 2021. Wewe ni mwema, Yahway.
Yap saf
WAJINA LOVE U SO MUCH NAPENDA VILE UNAIMBA MUNGU AKUINUE ZAIDI MY DEAR
Kweli Ako Mwema Baba
Kabisaa kabisa ameen
On this Sunday morning, indeed Yeye ni mwema.
Thanks for the beautiful song, the Lord be with you and expand your ministry Woman of God!
+1 subscriber.
Kwa mara ya kwanza ndo nakuskia na nimependa unavyowapeleka watu uweponi
Still powerful in 2019
Glory to God hallelujah
SIster Lilly the Music is a blessing
HONGERA SANA WAJINA MUNGU AKUPE VIWANGO VIKUBWA ZAIDI
Powerful praise there
This tune is mega. It is a song that is being sung in churches in a great way. Kwanza my team loves it so much. God bless you more and more
AMEN glory to God 🙏🙌
Wewe in mwema Baba
Who's watching this in December 2020
waoooo ur blessed dia, groly to God 4u
My favourte praise song
Niceeeee!!
Beautifully done...😍😍😍😘
This is my favorite praise song, bless you lady and every body concerned there
Ameen and ameen thank you
Mungu ni mwema
Woooooow! Powerful.
May GOD increase you Lily so that you can reach out to more people and minister an overflow to there lives.
Anna John thank you dear 😍😍