Habari? Mimi ni mtumiaji wa Gesi kwenye gari kwa miaka miwili sasa. Interview fupi haijajumuisha mambo mengi sana kuhusu gesi hiyo, ambayo imeleta maswali mengi hapa kwenye comment chache nilizosoma. Kwanza gesi inayotumika ni aina gani?kuondoa hofu kwa watumiaji. Pili faida na hasara za kutumia gesi kwenye gari. Mwisho ni uwezo au nguvu (Pulling) ya gari unapotumia gesi kwenye gari unaongezeka au kupungua. Sijajua muuliza maswali au mtu waliyepata kueleza ndio mlikosa. Ahsante.
Technology inakua sana . kwa.wale wa mtwara nadhan mnaziona Lory za Dangote kwa sasa nyingi zina mitungi ya Gas zinatumia. Ivo hata wale wa diesel mnaweza watafuta Dangote management mtwara wawaambie wanafanyaje. Its not new things
Nashaur 1. wataalam wa hii wawe na IPR (Intellectual Property Right) ili kulinda taaluma yao. 2. Vituo vya kuweka gesi viwe vingi hadi mikoani. 3. Umma tupewe elimu, hususan wamiliki wa magari.
Nilisikiaga Iran Magari yao yanatumia Gas like 10 years ago msi mnajuwa sie tulikuwa nyuma kidogo mfano train ya umeme ndio tunaanza soon lakini wenzetu walianza kitambo lakini mbeleni kwa kweli tutaamia kwenye Gas pia hata china kuna mji awayataki magari ya petroleum wao ni gas tu au Tz kwa sasa kupikia ni gas kwa asilimia kubwa🙏🙏🙏
Pia tushukuru Mungu nchi yetu tumebalikiwa na Gas mfano mwengine Magari ya kubeba cement ya Dangote pia wanatumia gas kwa mfanya biashara yoyote kwake ni furahaa coz atasave hela nyingi yaani tuchukuwe 25000x30=x10=7500000 kwa miezi kumi kwa mtu anaye juwa kusave ni lazima apate maendeleo mfano kwa mda huo unao uwezo kununuwa kiwanja cha kupima nje ya mji mfano kibaha au kwengine believe that na mwaka wa pili ukaanza ujenzi mwaka wa 3 unaamia kwenye nyumba yako pia ukitaka ramani nicheki au ntakutajia website utazikuta ni bure au pia nenda kwenye Instergram account yangu ni (Ibrahimkingstone) utazikuta napenda watu waendelee
Kiwango hicho tunaitaji wadau pamoja na selikali ili kuwez kutizam kama fulsa itakayoweza kukuza na kuleta maendeleo makubwa katika taifa pia Kuwait wafanya biashala ya petrol nawo wawez kufafanuwa ni jis gani iweze kufany ili iselet hasala kwao pia kwa selikali pia kwa wananchi kijumla
mie nafkiri bwana dereva wa uber usije kujisahau mara kwa mara pia uwe unaangalia (fire extinguisher) yako kama ipo imara likitokea janga lolote la moto.
Huu mfumo wa gesi ni mzuri sana kwa mazingira Pia. Itakuwa vizuri Kama watautangaza ili jamii watumie mfumo hii. Sababu inachangia Pia kupunguza marazi ambayo jamii inapata kutokana uharibifu wa mazingira.
Sasa hivi nikipanda Taxi au Uber nitakuwa namuuliza Dereva kama anatumia gas au Mafuta, kama ni gasi nashuka maana unaweza kukuta kama mko jikoni hivi mnatokota ah ah
Ni gesi ya aina gani kwanza ?, Sio tu gesi ,gesi mnawapa watu hofu Muuliza maswali tafadhari hii interview inabidi uiludie au uende kwa hao wanaofunga huu mfumo ili watu wapate kuelewa zaidi
Kwann Tz musitengeneze kiwanda cha kutengeneza magari yaani otamatic yake ni gesi na sio mafuta, tfdhl comment kwa ushauri zaidi, au taaluma zaidi inahitajika?
M bado mfumo wao ingewezekan mtung usikae butini ningeunga mkono lakn bado natafakar itapendeza sana kama japan wakizileta zenye mfumo huo tu huu wa kbongo bongo mmmh vp usalama wake lakn nafas bado inachukuliwa na mtungii
Ninavyojua gesi ukiibeba lazima ukitaka kuitumia usubili mda wa dk kadhaa ndo itumike kwa sababu ya mtikisiko,sasa je unapoendesha gari manake mtikisiko upo mkubwa sana hususani kwenye matuta,hiyo hali ipoje kitaalamu kulingana na huu mfumo huu wa gari?
Muripuko wake uyo atamufupa hamutapata siku yamulipuko yake jamani musisubutu kumwiga Mana muzungu aliyitengeneza kwa njia yamavuta magesi yakupika musitamani kabisa
Huyu jamaa nimesoma nae. Mdogo wake na James milinga. James Milinga alikuwa Kichwa sana kipindi hicho mwaka 2010. Ila kwa taarifa nilizonazo ni kwamba James Milinga amefariki. +255 693 732 226 nitafute humu ndugu yangu Milinga
naimagine serekali inasubiri mufunge wengi kisha ndo inatangaza kila mwenye gasi atakuwa anahujumu uchumi anaetaka kuendelea na mfumo wa gasi alipie kodi ya gasi
Uko nyuma sana ya muda ndugu yetu. Mfumo huo ulifanyiwa majaribio katika magari ya serekali haswa baadhi ya wizara. Na wanao fungu ni chuo cha DIT ambacho kimeruhusiwa kufanya hivyo. Kwasasa maroli mengi sana ya dangote yamefungwa huo mfumo. Gari ndogo nyingi za biashara zina huo mfumo na ukumbuke gas ni yetu wemyewe kutoka mtwara.
Huo mtungi wa gesi kwa kweli ni mzigo na unachukua nafasi ya kueka mizigo huko nyuma ...maboresho zaidi yanahitajika kwa kweli
Habari?
Mimi ni mtumiaji wa Gesi kwenye gari kwa miaka miwili sasa.
Interview fupi haijajumuisha mambo mengi sana kuhusu gesi hiyo, ambayo imeleta maswali mengi hapa kwenye comment chache nilizosoma.
Kwanza gesi inayotumika ni aina gani?kuondoa hofu kwa watumiaji.
Pili faida na hasara za kutumia gesi kwenye gari.
Mwisho ni uwezo au nguvu (Pulling) ya gari unapotumia gesi kwenye gari unaongezeka au kupungua.
Sijajua muuliza maswali au mtu waliyepata kueleza ndio mlikosa.
Ahsante.
Naomba wewe utujibu hayo maswali ili tujifunze, Asante
Uko vizuri
ANAESOMA KOMENT KAMA MM LIKE TWENDE SAWA😀
Zinakusaidia nn izo like
Gtl
@@nissarhussein4887 oplo
Jamb Jinn
Hii technologia imeanza kutumika ulaya tangu 80's. Sisi tu waafrica tunachelewaga sana kufikiwa na technologia za kigeni
Technology inakua sana . kwa.wale wa mtwara nadhan mnaziona Lory za Dangote kwa sasa nyingi zina mitungi ya Gas zinatumia. Ivo hata wale wa diesel mnaweza watafuta Dangote management mtwara wawaambie wanafanyaje. Its not new things
Woow namimi nahitaji matangazo ya kazi zangu.
Nashaur
1. wataalam wa hii wawe na IPR (Intellectual Property Right) ili kulinda taaluma yao.
2. Vituo vya kuweka gesi viwe vingi hadi mikoani.
3. Umma tupewe elimu, hususan wamiliki wa magari.
Wazungu wanayo tayari
Vituo kuwa vingi inategemea na idadi ya wateja wa system hiyo kwanza
Jamaa noma sana
Naiona hiyo biashara ya mfumo wa biashara ya Gas za magari kuwa kubwa zaidi miaka michache ijayo
Ila serikali yetu itaweka kodii izo ADI gesi tutaiyona chungu bro
Nakubali philipo .. IST yetu naona imenoga.
Nilisikiaga Iran Magari yao yanatumia Gas like 10 years ago msi mnajuwa sie tulikuwa nyuma kidogo mfano train ya umeme ndio tunaanza soon lakini wenzetu walianza kitambo lakini mbeleni kwa kweli tutaamia kwenye Gas pia hata china kuna mji awayataki magari ya petroleum wao ni gas tu au Tz kwa sasa kupikia ni gas kwa asilimia kubwa🙏🙏🙏
Pia tushukuru Mungu nchi yetu tumebalikiwa na Gas mfano mwengine Magari ya kubeba cement ya Dangote pia wanatumia gas kwa mfanya biashara yoyote kwake ni furahaa coz atasave hela nyingi yaani tuchukuwe 25000x30=x10=7500000 kwa miezi kumi kwa mtu anaye juwa kusave ni lazima apate maendeleo mfano kwa mda huo unao uwezo kununuwa kiwanja cha kupima nje ya mji mfano kibaha au kwengine believe that na mwaka wa pili ukaanza ujenzi mwaka wa 3 unaamia kwenye nyumba yako pia ukitaka ramani nicheki au ntakutajia website utazikuta ni bure au pia nenda kwenye Instergram account yangu ni (Ibrahimkingstone) utazikuta napenda watu waendelee
Kijana big up Sana.
Kazi Nzuri Hivi ikipata ajali si lazima ilipuke hii
Habari ndo hiyo
Uwezekano wa kulipuka ni mdogo.kuliko petroli
Safi 🙏🙏
Uber na IST nyingi zinatumia gesi siku hizi
Magari ya Dangote nayo, yanatumia Mfumo wa gesi.
Hayajaanza
Nilisha ikuta mbeya nsalaga pale Isha anza kutestiwa
Wenyewe wanajua au maana hiki ni kifungo ujue ni uharibifu wa brand za makampuni ila congratulations kwa waTanzania wenzangu ubunifu ndio maisha
Huyu muongo mafuta ya 40k kwa uber that's not really,uber sio rahisi kutumia mafuta ya elfu 40,kwa trip town sio kwa ist
Kabisa
Unajua wateja wake anatega wp anafanya kazi masaa mangapi kwa siku? Je anatumia uber tu au na bolt. Wajuaji sana wabongo.
@@chax255 kama unaongea bila ya experience ya haya mambo,kunyamaza ni bure
Wewe ndio muongo mafuta 40 machache.
@@najifa2012 kama tukifanya umeshinda kutakua na tatizo gani
Kiwango hicho tunaitaji wadau pamoja na selikali ili kuwez kutizam kama fulsa itakayoweza kukuza na kuleta maendeleo makubwa katika taifa pia Kuwait wafanya biashala ya petrol nawo wawez kufafanuwa ni jis gani iweze kufany ili iselet hasala kwao pia kwa selikali pia kwa wananchi kijumla
Hiyo miyungi ya gas imethibitishwa ? Temperature yetu ni kubwa hakuna hatari yakuripuka?
mie nafkiri bwana dereva wa uber usije kujisahau mara kwa mara pia uwe unaangalia (fire extinguisher) yako kama ipo imara likitokea janga lolote la moto.
Ipo sku haina jna atajuta
Tanzania Raha sana sihami mm😀
@@borntown6945 😀😂🤣
Huu mfumo wa gesi ni mzuri sana kwa mazingira Pia. Itakuwa vizuri Kama watautangaza ili jamii watumie mfumo hii. Sababu inachangia Pia kupunguza marazi ambayo jamii inapata kutokana uharibifu wa mazingira.
Hilo limtungi tuuu mie limenichosha kbs
Bila Shaka anaua biashara ya petrol
Naona mwaka mmoja uliipita mlitoa hii story ya magari ya gas
uwo mtungi si unauwa shock up
GAS Nihatari kwa maisha mwanadamu.
Mh! kwa ninavyo ifaham ges huo mchezo siwezi kuufanya hata kidogo
Ni aidiya mzr bt ni hatari zaid cz ges km ges haitaki miki miki ni bidha inatoitaji utulivu sn
Hatari ya patrol je, zote ni nishati nomaaa na hatari sana
Hamna chochote mzee hata petrol ni hatar
Hakun nafuuu...zote n hatari
Watakuuwa bro
Tatizo tz serekal haitaki kuchangamkia fursa ..gesi ipo. Lkn hawataki kutumia .. vitechnologia vidogo tu vinawashinda...lkn tunasikia..watu wanamaelim kibao sijui ya nn
Ndio mnagunduwa Leo mbona kitambo na sheli zame zipo ubungu
Mmmmmh makubwa
mtawaua njaa waarabu
Mambo ya ges syo yakuzoea yanahtaj umakn sana
Thats danger
So danger
husda danger ya nn hapo
Tofaut yake na petrol ni nn?😁
Sasa hivi nikipanda Taxi au Uber nitakuwa namuuliza Dereva kama anatumia gas au Mafuta, kama ni gasi nashuka maana unaweza kukuta kama mko jikoni hivi mnatokota ah ah
Anaokoa 25,000/=kwa simu 1,
Kwa wiki anaokoa 175,000/=
Kwa mwezi anaokoa 700,000/=
Iko sawa lkn soko la mafuta bd liko wazi
Kwa mwaka 9000000
@@mussaabdiel9797 Tanzania tuna ges ya kutosha itasaidia kutengeneza Soko la gasi yetu
Gesi yetu itatusaidia Sanaaaaaaa....ni mapema mno hila Mungu atusaidie Sana...tunahitaji Sana Elimu....
*Nikajua SABUFA kumbe gesi*
Saf Sana
Ni gesi ya aina gani kwanza ?,
Sio tu gesi ,gesi mnawapa watu hofu
Muuliza maswali tafadhari hii interview inabidi uiludie au uende kwa hao wanaofunga huu mfumo ili watu wapate kuelewa zaidi
Brother brother tupo pamoja
Pia gesi ni environmentally good hai leti pollution . Gari kati kati ya mji zote ibadilishiwe kwa gesi.
Mi naona kwa watanzania sis tutakuja kulipuana na ges
Kabsa tunapenda sana kuiga
👏😀
Hii ipo sana China
Kwann Tz musitengeneze kiwanda cha kutengeneza magari yaani otamatic yake ni gesi na sio mafuta, tfdhl comment kwa ushauri zaidi, au taaluma zaidi inahitajika?
Reginald Mengi alikua na mpango huo na tayari alishaufanyia majaribio ila isivyo bahati roho yake ikaacha mwili
Uko nje ya Tz?
@@emmanuelbitungwa766 hapana
Ana save 175k kwa week ambayo ni 700k kwa mwezi 🤯
Ahh we 😁 iyo esabu yake ya mdomoni tu
Sasa hiyo si hatari jamani bahati mbaya ukipata ajari hiyo gesi ikapasuka itakuwaje
Tatizo ulikimbia chemistry 😂
M bado mfumo wao ingewezekan mtung usikae butini ningeunga mkono lakn bado natafakar itapendeza sana kama japan wakizileta zenye mfumo huo tu huu wa kbongo bongo mmmh vp usalama wake lakn nafas bado inachukuliwa na mtungii
Ninavyojua gesi ukiibeba lazima ukitaka kuitumia usubili mda wa dk kadhaa ndo itumike kwa sababu ya mtikisiko,sasa je unapoendesha gari manake mtikisiko upo mkubwa sana hususani kwenye matuta,hiyo hali ipoje kitaalamu kulingana na huu mfumo huu wa gari?
Gas ni tofauti boss sio zote zinafanana
Tuulize sisi waendeshaji ma gas tankers
@@davieabsonvlog2656 hii hailipuk kirahisi sio
Wole wako usije ukaingiwa nyuma kisawa sawa uta shangaa na mlepuko
Naona Sasa tunaendelea
Kitakachokikuta m simo
Vp huu mfumo hta kweny mabasi inawezekana au ni gar ndgo tu🙄🙄
Kwenye mabasi inawezeka,ila gharama yake kubwa ,
Ikitokea umepata ajali naikatokea rikeji vip hautokei Moto.
Hata petrol ikitokea likeji kwenye ajali ni moto unawaka
UKO VIZURI KWA MAELEZO🙏
Muripuko wake uyo atamufupa hamutapata siku yamulipuko yake jamani musisubutu kumwiga Mana muzungu aliyitengeneza kwa njia yamavuta magesi yakupika musitamani kabisa
Du nimekubal
Naogopa gesi nisije nikalipuka vifaa vyingi vinaweza kusababisha moto
VP kuhusu madharayake rakini
Gas ni nzuri,ila nawaomba wajaribu kumodify mitungi wa gas,waubadili shape unachukua nafasi kubwa sana.
Gari yako
Kiboko kabisa
Hii itatusaidia xana kupunguza gharama za petrol kupungua chamsingi huyo mwenye hiyo knowledge afundishe na mafundi wengine asiwe mchoyo
Mmmh ganda la ndizi
Naijua nchi yangu huu mfumo ukishawekwa kwenye magari mengi tu bei ya gas inapanda
poa dogo umejitaidi
Huyu jamaa nimesoma nae. Mdogo wake na James milinga. James Milinga alikuwa Kichwa sana kipindi hicho mwaka 2010. Ila kwa taarifa nilizonazo ni kwamba James Milinga amefariki. +255 693 732 226 nitafute humu ndugu yangu Milinga
Hii nayo siyo uhujumu uchumi? Nahisi hii taarifa si njema...ngoja tusubiri.
naimagine serekali inasubiri mufunge wengi kisha ndo inatangaza kila mwenye gasi atakuwa anahujumu uchumi anaetaka kuendelea na mfumo wa gasi alipie kodi ya gasi
Hapana
Sio uhujumu uchumi,
Kwasababu gas na petrol zote zinalipiwa kodi
Acha roho mbaya kama makufuli
Uko nyuma sana ya muda ndugu yetu. Mfumo huo ulifanyiwa majaribio katika magari ya serekali haswa baadhi ya wizara. Na wanao fungu ni chuo cha DIT ambacho kimeruhusiwa kufanya hivyo. Kwasasa maroli mengi sana ya dangote yamefungwa huo mfumo. Gari ndogo nyingi za biashara zina huo mfumo na ukumbuke gas ni yetu wemyewe kutoka mtwara.
@@burudaniasili6824 oh kumbe! Kweli niko nyuma sana (katika hili) Sikujua hilo, nashukuru nimejua.
Tatizo gas station hakuna Mimi no mdau pia
Kuna kampuni ambayo inahusika kuweka mfumo mzima wa gas na pia ukitaka kujaza gas inapoisha unawasiliana nao.
Tatizo tz serekal haitaki kuchangamkia fursa ..gesi ipo. Lkn hawataki kutumia .. vitechnologia vidogo tu vinawashinda...lkn tunasikia..watu wanamaelim kibao sijui ya nn