GARI la ajabu linalotumia Mafuta kidogo kuliko pikipiki, huendeshwa kwa umeme na mafuta,hii ni balaa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 9

  • @bellam.vyampi5528
    @bellam.vyampi5528 4 หลายเดือนก่อน

    Natamanii kujua zaidii hybrid ya Honda insight 2012

  • @tanzaniacarschannel6975
    @tanzaniacarschannel6975 2 ปีที่แล้ว

    Ila Bongo bwana... hybrid system toka Toyota Prius gen 1 mpaka gen 5 mpaka sasa ni zaidi ya 20 yrs back... Then prius ndO ikazaa Toyota aqua or prius C.. then ndo zikaja hybrid kibao.. hybrid kuna plug-in na normal/Traditional hybrid car...pia hybrid ipo njema zaidi kwenye stop and go roads (kama maeneo yenye foleni kwakua regenerative braking mechanism ndo inafanya kazi muda mwingi..but high way range ya mafuta ina pungua kidogo.. changamoto ya hybrid ni kujua kutunza hybrid battery... hybrid battery haitaji joto kali so kuna feni imewekwa ambayo inafanya kazi ya kupoza betri so hii feni kama filter yake ikijaa vumbi basi ventilation itapotea kwenye battery na battery vita over heat...na hii ndo huwa chanzo cha battery kufa. Ila battery yake ni very durable kama tu ukizingatia ventilation ya battery..

  • @Qqambaa
    @Qqambaa 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbona Kenya zipo kibao

  • @dalumunisi5158
    @dalumunisi5158 2 ปีที่แล้ว

    Hata Toyota filder inafanya hivyo vyote

  • @SUNDAYMRGAMINGTZ
    @SUNDAYMRGAMINGTZ 2 ปีที่แล้ว

    Ni manual au auto?????

  • @japhetshirima8697
    @japhetshirima8697 2 ปีที่แล้ว

    Issue ya battery sasa 😅

  • @yuzlongodfrey
    @yuzlongodfrey 2 ปีที่แล้ว

    Ulaya zipo nyingi tuu kuna Audi turbo diesel cc 1200 au hata 1600 zinaenda had 25km kwa lita... pia ishu sio mafuta tuu... usalama upo? Safety issues ni muhimu sana

  • @mosesmahinya9654
    @mosesmahinya9654 2 ปีที่แล้ว

    Gari ya 2000na mpka leo ipo kwenye taste mhhhh

  • @TradersEasyWay
    @TradersEasyWay 2 ปีที่แล้ว

    hapo hakuna kipya maana Toyota wana aina hiyo ya gari tangu kitambo. Labda bongo ndiyo hayapo.