Jinsi ya Kutengeneza Video kwa kutumia AI : inatakiwa Picha moja tu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • Kutengeneza video kwa kutumia AI ni mada inayokua kwa kasi siku hizi. Katika video hii, urajifunza jinsi ya kutengeneza video kwa kutumia AI bila kurekodi videowala ku edit video, na yote kwa kutumia simu yako tu na muda kidogo sana. Video hii inalenga kuwapa watazamaji wangu mbinu rahisi za kutumia AI katika kutengeneza video. video za kupost tiktok, kupost TH-cam, au kupost Facebook na sehemu yoyote ile.
    ai , chat gpt , Jinsi ya kutumia AI ,Kutumia AI Jinsi ya kuedit video kwenye simu jinsi ya kuedit video kwenye computer vinei tv Vinei.
    Kuedit video Jinsi ya kutengeneza video tiktok how to make money on tiktok tiktok tanzania Adobe panther.

ความคิดเห็น • 40

  • @meboncent9868
    @meboncent9868 ปีที่แล้ว +3

    See You, Nakuona kaka unazidi kukumbia safi sana

    • @Vinei
      @Vinei  ปีที่แล้ว

      pamoja sana

  • @funnyboy369
    @funnyboy369 ปีที่แล้ว +6

    Leta mada nyingi kuhusu chat GPT na AI utapata subscribers wengi..mimi mwenyewe natumia chat GPT naenjoy sana..

    • @MISSTOURISMLINDISECOND
      @MISSTOURISMLINDISECOND 6 หลายเดือนก่อน +1

      Gpt ndo nini

    • @SpearTZ
      @SpearTZ หลายเดือนก่อน +1

      @@funnyboy369 bro naomba namba yako tafadhali🙏🏾

  • @Jersonjhn
    @Jersonjhn 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nakubali sana❤

  • @MonicaChitela
    @MonicaChitela 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nice one

  • @AlexMaige-yf8bd
    @AlexMaige-yf8bd ปีที่แล้ว

    Hapo broo nakupa salute,

    • @Vinei
      @Vinei  ปีที่แล้ว

      pamoja kaka

  • @majdiabdulrahmani-gv7zl
    @majdiabdulrahmani-gv7zl ปีที่แล้ว +1

    Safi sana

  • @AdamEvarist-xb5je
    @AdamEvarist-xb5je 8 หลายเดือนก่อน +1

    Sanaaa

  • @user-kh5gd7zh9n
    @user-kh5gd7zh9n ปีที่แล้ว

    Unyama san zungu mzia ai utapata following nyng knm

  • @PainBoyFitness
    @PainBoyFitness ปีที่แล้ว +5

    Bro naomba somo juu ya ku creat thumbnail kali❤

    • @Vinei
      @Vinei  ปีที่แล้ว

      soon kaka

  • @salumually4213
    @salumually4213 ปีที่แล้ว +1

    Unyama

  • @hitboytz2554
    @hitboytz2554 ปีที่แล้ว +2

    Thanks bro

    • @Vinei
      @Vinei  ปีที่แล้ว

      pamoja

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 ปีที่แล้ว +1

    Asante Sana je lazima niwe na laptop

    • @Vinei
      @Vinei  ปีที่แล้ว

      hapana

    • @ringoclever7208
      @ringoclever7208 2 หลายเดือนก่อน

      Nataman kujua nifundishe

  • @comedyskillsTz
    @comedyskillsTz 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hilo app linaitwaje mbon silion playstore naomba nisave hapo nitumie jina lake

  • @samjm7330
    @samjm7330 ปีที่แล้ว

    Good

  • @RammyAthuman-ys7yf
    @RammyAthuman-ys7yf ปีที่แล้ว

    Good is very simply

  • @leoncealex7343
    @leoncealex7343 4 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba unijibu. App inaitwaje? Nimeenda play store na kuandika AI lakini siioni. Nisaidie

    • @Vinei
      @Vinei  4 หลายเดือนก่อน

      Tazama video

  • @SpearTZ
    @SpearTZ หลายเดือนก่อน +1

    Broo naomba namba yako🙏🏾

    • @Vinei
      @Vinei  หลายเดือนก่อน

      0624741607

  • @limo_7
    @limo_7 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wadau vip kuhusu copyrights... nahitaji kufahamu kama AI husika wanaweza ku-claim copyright

    • @Vinei
      @Vinei  8 หลายเดือนก่อน

      Hawafanyi hivyo , japo kuna baadhi ya AI sites wanaweka maelezo kwenye sheria zao kuwa ukitumia kitu bila kulipoa na usipotoa credit wanaweza kukupa copyright

  • @joelalphoncebanka-ky6yu
    @joelalphoncebanka-ky6yu 5 หลายเดือนก่อน +1

    Goid

  • @professormk3162
    @professormk3162 ปีที่แล้ว

    Kaka vip nahitaji unifundishe kutengeneza video kwa kutumia hii chatgpt nikulipe shling ngap naomb namb yako

  • @Msoker
    @Msoker ปีที่แล้ว +1

    Inagoma kaka

    • @Vinei
      @Vinei  ปีที่แล้ว

      weka desktop mode

    • @comedyskillsTz
      @comedyskillsTz 10 หลายเดือนก่อน

      Jina ala app

  • @_DigitalGeniusTV
    @_DigitalGeniusTV ปีที่แล้ว

    Vp hio VPN type mchongo

  • @JulianaSamwel-zo8sb
    @JulianaSamwel-zo8sb 5 หลายเดือนก่อน +1

    Namna ya kupost picha ikawa na filter

    • @Vinei
      @Vinei  5 หลายเดือนก่อน

      Kivip

  • @kakaziller
    @kakaziller ปีที่แล้ว +1

    Uo mgongo sasa

  • @MaikoMgaya-ne3ty
    @MaikoMgaya-ne3ty 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mwana unatumia VPN

    • @Vinei
      @Vinei  6 หลายเดือนก่อน

      Hapana