BMCC Ebenezer Choir Ft Boaz Danken_Watu Wanasema Mimi Nani (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
  • Na Uzima Wa milele ndiyo huu, wakujue wewe, MUNGU wa pekee wa kweli na YESU Kristo Uliyemtuma Yohana 17;3.Je! unamjua Yesu Kristo ni nani kwako binafsi? Katika Mathayo 16:13 Yesu aliwauliza wanafunzi wake watu wanamjuaje, na mwishoni aliwageukia haohao wanafunzi wanamjuaje. Aliyemjibu alimjibu kwasababu Mungu alimfunua Yesu ndani yake, Acha Yesu ajifunue ndani yako umjue na kumwabudu kibinafsi, na Hivyo utapata ujasiri wa kumuhubiri, kumuimba na kumkiri YESU mbele za watu. Maana ukimuonea aibu mbele za watu yeye atakuonea aibu mbele za Baba wa Mbinguni.
    Location: Recorded at TAG-BMCC Church, Mwanza Tanzania
    Music arranged & Directed by Aman Victor Gyunda
    First Keys: Aman Victor Gyunda
    Second Keys: Michael Chadi
    Third Keys: Eliya Yohana
    Forth Keys: Joseph
    Basist: Evance Gregory
    Drums: Nehemiah Barashikwa
    Lead guitar 1: Joseph Kasomo
    Lead Guitar 2 : Eric Chitungo
    Saxaphone: Dickson Maige
    Backvocals: BMCC Ebenezer Choir
    Event Coordinated by Kelvin Charles
    Audio Captured by B&W_Productions, Sadock Elias
    Mastered & Mixed by B&W_Productions, Sadock Elias
    Video Captured by SP Visual
    Sound Engineer: Lusekelo Mwakyoma (EUN Audio)
    Lights by SP Visual

ความคิดเห็น • 202

  • @samkulley4030
    @samkulley4030 2 วันที่ผ่านมา +4

    Sio siri huyu ni zaidi ya nabii.. 🙌🙌
    Nani kama wewe Yesu❤️

    • @samkulley4030
      @samkulley4030 2 วันที่ผ่านมา

      Wimbo wa baraka sana 2025🙌

  • @jamesmwaluma898
    @jamesmwaluma898 วันที่ผ่านมา +3

    WIMBO HUU NI INJILI TOSHA ...BEING BLESSED FROM KENYA

  • @DanielDaudi-b6l
    @DanielDaudi-b6l 2 วันที่ผ่านมา +2

    Hakikaaa mmefanya kazi njemaaa mungu awape kibali zadii🎉

  • @ErnestJosephat
    @ErnestJosephat 5 วันที่ผ่านมา +2

    Aaaaah HALLELUJAH Nimebarikiwa sana !!Ahsanteni kwa kutubariki hakika wanaotaka kumjua Yesu waje kwa huu Wimbo kunajibu

  • @wambuichege7610
    @wambuichege7610 5 วันที่ผ่านมา +2

    Wimbo una bariki

  • @doreenmeena3837
    @doreenmeena3837 4 วันที่ผ่านมา +3

    Home sweet home. great job! GLORY TO GOD!

  • @EmmanuelMfello
    @EmmanuelMfello 4 วันที่ผ่านมา +3

    JESUS upako wa ajabu sana

  • @careenjones6971
    @careenjones6971 5 วันที่ผ่านมา +2

    Tukutane mbinguni wana wa Mungu. Tusikubali kukosa wapendwa .

  • @athanasjingu2002
    @athanasjingu2002 6 วันที่ผ่านมา +3

    Good song be blessed

  • @JohnsonEjidy-zo4fo
    @JohnsonEjidy-zo4fo 5 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu awabariki sanaaaa

  • @Michaelilukumay-o4h
    @Michaelilukumay-o4h 5 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu ni nani upepo na bahara yamtii yamtii haleluyaaaaaaaaaaaaaa jehofha

  • @Richard1fashion_tz
    @Richard1fashion_tz 5 วันที่ผ่านมา +2

    Hakuna Mungu mwingine, Mungu awabariki mno nabarikiwa sana na wimbo huu kweli Mungu ni Mungutu habadiliki tangu mwanzo na sasa niyeye pekee anadumu milele.

  • @praiseandhymns6924
    @praiseandhymns6924 5 วันที่ผ่านมา +3

    Goooosebumbs

  • @victormajenge1396
    @victormajenge1396 5 วันที่ผ่านมา +3

    Hakuna Mungu mwingine kama wewe aleluya, Amen.

  • @bettyisaack209
    @bettyisaack209 5 วันที่ผ่านมา +3

    Halelujah! Huyu ni mfalme wa dunia aliyekuja kuwakomboa watu na dhambi zao!

  • @zaunyayo
    @zaunyayo 10 วันที่ผ่านมา +13

    Jibu la swali ambalo wengi wamekuwa wakijiuliza kuhusu YESU, limebebwa kwenye wimbo huu... Sasa ulimwengu wote pokea jawabu hilo kwa Jina La YESU🔥🇹🇿

  • @EVFrankThadeo
    @EVFrankThadeo 6 วันที่ผ่านมา +2

    Kwakweli Utukukufu ni kwa Bwana kwa kazi hii njema 🔥

  • @Napegwamkumbo
    @Napegwamkumbo 5 วันที่ผ่านมา +2

    Nimebarikiwa sana na wimbo huu mmbarikiwe sana watumishi wa Mungu

  • @savio_the_greatmanh
    @savio_the_greatmanh 9 วันที่ผ่านมา +4

    I've just realized how deeply The Choir and Min Boaz are dedicated to evangelizing through song🙏. Thank you for simplifying the scriptures 📖 and making them more relatable. May GOD continue to anoint your work ✨, guide you in wisdom 💡, and use you as a vessel to touch many lives ❤.

  • @carolwakanyi1047
    @carolwakanyi1047 3 วันที่ผ่านมา +2

    From tiktoc to here someone like my comment

  • @eliufoosimonchuri4160
    @eliufoosimonchuri4160 6 วันที่ผ่านมา +3

    What a song. Wimbo umejaa neno, theology tupu, melody nzuri, vocals, instruments etc. Bwana awabariki sana.

  • @dantez_keys
    @dantez_keys 9 วันที่ผ่านมา +14

    Only Boaz Danken and Bcc Ebenezer Choir should touch this comment 😢😢

  • @TAGUpatanishoTv
    @TAGUpatanishoTv 6 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu awabariki Sana.🙏

  • @halizoni255-justin
    @halizoni255-justin 9 วันที่ผ่านมา +4

    Huyu ni Yesu aliyeniokoa nikiwa mtumwa mkubwa wa Dhambi na leo amenifinyanga upya.❤

  • @Willytalkpodcast
    @Willytalkpodcast 9 วันที่ผ่านมา +4

    upako wa ajabu umeikalia nyimbo hii, namtukuza Bwana Yesu

  • @AmosMalendeja
    @AmosMalendeja 7 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu wa kuabudiwa milele na milele

  • @timoliiisaya3824
    @timoliiisaya3824 8 วันที่ผ่านมา +2

    Barikiwa sana brother modekeai see you brother keep it up and all of you did a great job in the name of Jesus

  • @ReginaMburi
    @ReginaMburi 6 วันที่ผ่านมา +2

    Kabla yako hajawahi kuwepo MUNGU mwingine
    Na hata baada yako kamwe Hatakuepo MUNGU mwingine,
    Uko mmoja tu hivyo ndivyo🙏
    Baraka za Kimbingu zisipunguke kwenu

  • @gideongerald2846
    @gideongerald2846 9 วันที่ผ่านมา +4

    Mtunzi wa wimbo huu nampa heko nyingi lakini bassist kanikosha pia kila kitu ni kizuri 👏👏👏👍 wimbo ni 🔥

  • @AbigailKibona-o6q
    @AbigailKibona-o6q 5 วันที่ผ่านมา +2

    Hii nyimboo ni hatari Kuna mungnikoo mkubwaa Sanaa 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @fabianpeterlutubija6649
    @fabianpeterlutubija6649 6 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu azidi kuwainua zaidi na zaidii

  • @axsasweti7634
    @axsasweti7634 5 วันที่ผ่านมา +4

    Uhalisia pekee wa Kristo Yesu umejaa kupitia huu wimbo❤God bless all the team🎉

  • @praiseandhymns6924
    @praiseandhymns6924 5 วันที่ผ่านมา +1

    Glory to God for this gifts and ministry
    .May God heal our hearts through this song

  • @natsonzephania604
    @natsonzephania604 6 วันที่ผ่านมา +2

    Hongera sana kwa kazi njema may God bless you

  • @abiudmichael
    @abiudmichael 6 วันที่ผ่านมา +4

    Bonge la Wimbo Kweli Mungu ni Mkuuu ndio maana Fadhili zake na Busara zake Hazichunguziki maana anatenda Mambo Makuu kila Siku. Mbarikiwe sana ❤❤❤❤❤❤❤

  • @nimfakalinga2702
    @nimfakalinga2702 10 วันที่ผ่านมา +8

    Hakuna kama Mungu, hakuna mwingine, hayupo milele. MUNGU AWABARIKI KWA NYIMBO HII YENYE MAMLAKA YA KIUNGU.

  • @PeaceGeorge-z8z
    @PeaceGeorge-z8z 10 วันที่ผ่านมา +6

    Hallelujah 🙌 Utukufu ni kwa Yesu " Akiongea ana hekima maneno yake yanaingia mpaka moyoni" 😀😀

  • @halizoni255-justin
    @halizoni255-justin 9 วันที่ผ่านมา +5

    ❤❤❤ Mimi nasema Yesu ni Mungu❤❤.
    Mungu awabariki, huduma yenu ni kubwa mno.

  • @Giftmollelzephania
    @Giftmollelzephania 10 วันที่ผ่านมา +5

    This is the best song kai 🤗🤗 glory to Jesus . Sir Kelvin nasikia uandishi wako nauona apa kabisa Mungu awabariki jamaniii ✊✊✊

  • @glorymkude8485
    @glorymkude8485 10 วันที่ผ่านมา +5

    POWERFUL🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤‍🔥 NANI KAMA YESU🥰🥰

  • @nimfakalinga2702
    @nimfakalinga2702 10 วันที่ผ่านมา +5

    Huyu ni nani? Upepo na bahari vyamtiii. Nani kama wewe YESU

  • @manasekingu9550
    @manasekingu9550 10 วันที่ผ่านมา +5

    Mbinguni, duniani na kuzimu hakunaga kama Mungu huyu YESU.
    NI ALPHA NA OMEGA.
    Tuseme amen

  • @pendolukumay7820
    @pendolukumay7820 10 วันที่ผ่านมา +4

    Waoooo,,, very powerful song
    Thanks Lord for your grace

  • @houseofintercession
    @houseofintercession 9 วันที่ผ่านมา +4

    Very powerful 👏 🙌🏽

  • @happynessgirosi5671
    @happynessgirosi5671 9 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu ni wewe peke yako 🧎‍♀️🧏‍♀️🙏😍

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 3 วันที่ผ่านมา +3

    Amen 🙏

  • @timotheosanga6119
    @timotheosanga6119 9 วันที่ผ่านมา +2

    2030 Song For real I'm appreciating creativity,melodies, music and every thing contained in
    Bwana awabariki sana

  • @ElizabethLwomeleza
    @ElizabethLwomeleza 10 วันที่ผ่านมา +5

    Hakuna kama MUNGU wetu haleluyaa 🔥🔥🙌🙌

  • @mariam_kelvin
    @mariam_kelvin 10 วันที่ผ่านมา +7

    Powerful powerful wuuuuuuuuuuuu!!

  • @felixkateofficial.jam5736
    @felixkateofficial.jam5736 10 วันที่ผ่านมา +5

    Sasa ulimwengu wote pokea jawabu la swali ambalo limekuwa gumzo sana kwenye dini zetu🔥🔥🔥🙌🇹🇿

  • @perucebuhomaosward8512
    @perucebuhomaosward8512 7 วันที่ผ่านมา +2

    Baraka nyinginyingi zimiminike kwenu

  • @beatricesadath8455
    @beatricesadath8455 10 วันที่ผ่านมา +4

    Yesu ni mfalme wa milele yoteeeee

  • @nestorytelesphory7661
    @nestorytelesphory7661 7 วันที่ผ่านมา +2

    🎉 NZURI SANA.

  • @ANNYCOSMETICSTV
    @ANNYCOSMETICSTV 10 วันที่ผ่านมา +4

    Aminaaaa🙏 mungu awabarikiiiiiii sanaaaa.♥️♥️

  • @perismuthoni5593
    @perismuthoni5593 10 วันที่ผ่านมา +3

    Kazi njema sana,keep shinning Ebenezer choir,

  • @evelynediomed5131
    @evelynediomed5131 10 วันที่ผ่านมา +3

    Hongereni sana, Mungu awabariki kwa Utumishi huu

  • @ombenikasenti1346
    @ombenikasenti1346 5 วันที่ผ่านมา +1

    Hallelujah 🔥🔥

  • @innocentpamilla
    @innocentpamilla 10 วันที่ผ่านมา +6

    Nani kama wewe Yesu🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌

  • @Rebeccanathan-f9y
    @Rebeccanathan-f9y 10 วันที่ผ่านมา +5

    Wow wow we glorify you lord🎉

  • @mohamedzuberi3057
    @mohamedzuberi3057 10 วันที่ผ่านมา +4

    Glory to God!

  • @MajalaPhilbert
    @MajalaPhilbert 10 วันที่ผ่านมา +4

    🔥🔥🔥♥️♥️♥️

  • @DanielSamwel-cg2oq
    @DanielSamwel-cg2oq 10 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu awabariki ebeneza na mtumish wa mung boaz mmefa jambo kwa utukufu wa mung,,,❤

  • @Kopenakombeo
    @Kopenakombeo 9 วันที่ผ่านมา +5

    So powerful ❤❤❤

  • @lucasroica8443
    @lucasroica8443 9 วันที่ผ่านมา +3

    Hongereni sana wana ebenezer... 🔥

  • @laurentmaswila4142
    @laurentmaswila4142 10 วันที่ผ่านมา +3

    Huu wimbo ni injili ya ukombozi hakika

  • @TriplyWander
    @TriplyWander 10 วันที่ผ่านมา +5

    Kazi nzuri sana watumishi wa Mungu

  • @happymhinga1213
    @happymhinga1213 10 วันที่ผ่านมา +4

    Hongereni Ebenezer ❤

  • @stannygeorgesp1479
    @stannygeorgesp1479 7 วันที่ผ่านมา +2

    Powerful ❤❤❤❤❤

  • @Africaunfolded
    @Africaunfolded 8 วันที่ผ่านมา +2

    Hakuna Mungu mwingine 🔥, you people are going into places soon.

  • @sylvesterkwembe3686
    @sylvesterkwembe3686 10 วันที่ผ่านมา +3

    Best gospel song 2025 and beyond💪🇹🇿👍

  • @edwardgodfrey8656
    @edwardgodfrey8656 10 วันที่ผ่านมา +5

    Bassist 🔥🔥

  • @dantez_keys
    @dantez_keys 9 วันที่ผ่านมา +4

    Mungu mkuu😢

  • @eliezerrutabanzibwa4406
    @eliezerrutabanzibwa4406 6 วันที่ผ่านมา +2

    Wimbo wa baraka sana utukufu ni mwingi sana ❤❤❤❤❤

  • @AgnesJosephBikwato
    @AgnesJosephBikwato 9 วันที่ผ่านมา +4

    Aaaaaameni 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @GloriaPaul-n6b
    @GloriaPaul-n6b 9 วันที่ผ่านมา +3

    Amina sana watumishi wa mungu

  • @AnnastaziaJeremiah-ch3vx
    @AnnastaziaJeremiah-ch3vx 9 วันที่ผ่านมา +2

    Wow wow powerful massage I received in Jesus name ohooo alhelluhaya glory to Jesus

    • @bmccebenezerchoir
      @bmccebenezerchoir  9 วันที่ผ่านมา +1

      Amen receive according to your faith in the name of Jesus

  • @raphaelmusyoki9692
    @raphaelmusyoki9692 9 วันที่ผ่านมา +3

    Hakuna mungu mwingine

  • @malifedhamachimu4882
    @malifedhamachimu4882 8 วันที่ผ่านมา +2

    Uwiiii ameeeen amen

  • @Millieykitawa9652
    @Millieykitawa9652 10 วันที่ผ่านมา +5

    Just fire🔥🔥 nice song,

  • @VicentJohn-e6c
    @VicentJohn-e6c 8 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu awabariki hakika wimbo huu umeniomgezea kitu ki Iiman

  • @winifridalaswai1921
    @winifridalaswai1921 10 วันที่ผ่านมา +3

    Hallelujah Hallelujah Hallelujah Jamani🎉

  • @juliuskizito8929
    @juliuskizito8929 10 วันที่ผ่านมา +3

    Barikiwa sana

  • @k-eddy4937
    @k-eddy4937 9 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu awabariki sana

  • @gladyruta7244
    @gladyruta7244 10 วันที่ผ่านมา +5

    Best song 🎉🎉🎉

  • @lovenesswalter6650
    @lovenesswalter6650 8 วันที่ผ่านมา +2

    Mbarikiwe mnoo

  • @monicakuziwa4434
    @monicakuziwa4434 8 วันที่ผ่านมา +2

    Oohhhh haleyuyaaaa Wewe ndie kristo

  • @joshjoseph7479
    @joshjoseph7479 10 วันที่ผ่านมา +3

    Woow sound 👌

  • @Sadockjosasadockjosa
    @Sadockjosasadockjosa 9 วันที่ผ่านมา +1

    Wowo MD amani maua yako Mungu akutunzee 😂❤

  • @KesiaJohn-c8f
    @KesiaJohn-c8f 10 วันที่ผ่านมา +3

    Beuty

  • @anyimikebaraka494
    @anyimikebaraka494 8 วันที่ผ่านมา +2

    Amina Amina MUNGU awabariki sana

  • @dorahmbeveta-jh8ej
    @dorahmbeveta-jh8ej 10 วันที่ผ่านมา +3

    ❤❤🔥🔥🔥

  • @nurunjeje8404
    @nurunjeje8404 9 วันที่ผ่านมา +2

    Nice song

  • @teacher-CLINTON-MUZIK
    @teacher-CLINTON-MUZIK 8 วันที่ผ่านมา +2

    Hallenlujahh

  • @MichaelKangeta-lt2gh
    @MichaelKangeta-lt2gh 9 วันที่ผ่านมา +2

    MULUNGU WANGA ❤❤❤

  • @esthersilas6580
    @esthersilas6580 10 วันที่ผ่านมา +4

    5:00

  • @furahalameck5227
    @furahalameck5227 10 วันที่ผ่านมา +5

    ❤❤❤

  • @GetrudeMonje-rg7is
    @GetrudeMonje-rg7is 10 วันที่ผ่านมา +3

    Hallelujah

  • @EmmanDyson-mk3kn
    @EmmanDyson-mk3kn 10 วันที่ผ่านมา +4

    🙌🙌

  • @PastorMwakansope
    @PastorMwakansope 9 วันที่ผ่านมา +2

    Waooho!!😊

  • @AdolfPatrick-l4o
    @AdolfPatrick-l4o 8 วันที่ผ่านมา +2

    Glory to God