HISTORIA YA WERRASON|UTAJIRI WAKE NI BALAA| UFALME NCHINI KONGO|WENGE MUSICA|Radi Ibrahim Nuhu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • #werrason #koffiolomide #kongo
    #Ibrahimnuhu
    #diamondplatnumz
    HISTORIA YA MAISHA YA WERRASON
    Kama wewe ni mpenzi wa muziki wa soukus basi huezi kosa lifahamu jina la nguli wa muziki huo, aitwae werrason au the king of the forest,igwe of the jungle,wengine humuita ya ngiama
    Kwa sisi tuliozaliwa karne ya 19 tunamfahamu vizuri sana bwana huyu, katika kipindi chake aliteka mashabiki wengi barani Afrika na duniani kwa ujumla,hadi kupitia interview ya CNN alitambulika kama mfalme wa muziki wa Afrika kwa mwaka 2006
    Kwa jina lake la kuzaliwa anaitwa Noel Ngiama Makanda,mtoto wa theo musoko na albertin mukala,alizaliwa mwaka 1965 katika sikukuu ya christmass huko moliembo kijiji kilichopo magharibi mwa demokrasia ya Kongo mjini Kikwit katika wilaya ya kwilu .
    Werrason amezaliwa katika familia yenye watoto wa nne ,yeye akiwa watatu kuzaliwa ,kaka yake wa pili ni mchungaji,
    Ameanza kujifunza mziki akiwa bado mdogo kabisa,waswahili tunasema hata mbuyu ulianza kama mchicha,basi werrason akiwa na umri wa miaka 8 akaanza kujihusisha na kuimba kwaya katika kanisa la protestant huko cebenzo Kinshasa, lakini pia Werrason hakuwa mwimbaji tu,alikuwa anapenda sana maswala ya ndondi,basi katika umri wake huo mdogo alijihusisha na martial arts,na akiwa na umri wa miaka 12 akaibuka mshindi katika moja ya shindano kubwa lililoandaliwa na tokea hapo likazaliwa jina jipya ,watu wakamuita Tarzan,mfalme wa msitu
    Werrason anatambulika kwa tabia ya kuchukua
    Radi Ibrahim Nuhu

ความคิดเห็น • 10

  • @leonardchoma3765
    @leonardchoma3765 11 หลายเดือนก่อน +1

    Werrason ni mtu mwema Sana ukilinganisha na JB Mpiana.

  • @asmakigahe3198
    @asmakigahe3198 3 ปีที่แล้ว +1

    Big up sana 👏👏💪♥️🔥🔥🔥

  • @mbarouksattar5281
    @mbarouksattar5281 หลายเดือนก่อน

    Werason Ngiama Makanda Hapigi Muziki Wa Soukous Ndugu Msimuliaji......

  • @asmakigahe3198
    @asmakigahe3198 3 ปีที่แล้ว +1

    Nice story ❤️❤️🔥🔥🔥

  • @alabakongo7973
    @alabakongo7973 3 ปีที่แล้ว +2

    Bravo bravo 👏

  • @richgambi6694
    @richgambi6694 2 ปีที่แล้ว +1

    Ipo njema Sana mm nauliza wellason na koffi nani anakiwango kikubwa kimziki

    • @radiIbrahimnuhu
      @radiIbrahimnuhu  2 ปีที่แล้ว

      Wote wakubwa lakin Km wangeshindanishwa ningempa koffi,...(mauzo,tuzo,mafanikio,hamasa yake kwa mashabiki-ana nguvu ya ushawishi zaid,mkongwe zaid kadumu muda zaid..) Lakin wote wakali sana