HISTORIA YA MAISHA YA MBILIA BEL|CLEOPATRA WA AFRIKA|MALKIA WA RHUMBA ALIYEMKATAA WAZIRI WA GABON
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 พ.ย. 2024
- Leo nimekuandalia makala ya Malkia wa rhumba duniani, mwanamuziki mkongwe aliyependwa na anayeendelea kupendwa hadi hivi leo,si tu na watu wa rika lake bali hadi vijana wasasa,mkongwe huyu anafahamika kwa jina maarufu kama mbilia bel lakini kwa jina lake halis anaitwa marie Claire mbilia mboy
Mwanamama huyu alikonga nyoyo za watu na kuvuka hadi mipaka ya Afrika,hata Miriam Makeba wa South Afrika anayeitwa mama Afrika aliyekuwa kinara wa muziki katika miaka ya 60 hakufikia idadi ya mashabiki wengi aliyokuwa nayo mbilia bel katika miaka ya 80 .
Ukiachana na ukuu wake katika muziki ,jambo moja analokumbukwa nalo ni kukataa kuolewa na waziri katika serikali ya nchi ya Gabon iliyopo Afrika ya kati.
Mbilia bel alizaliwa mwaka 1959 huko jijini Kinshansa
Mwanamama huyu alijifunza muziki baada ya kuvutiwa sana na sauti ya babu yake aliyekuwa bingwa wa kuimba,wakati bibi yake alikuwa mcheza ngoma maarufu kijijini kwao na vijiji vya jirani,na mbilia bel akavirithi vipaji vyote hivyo.
#sendtip #0784869051
#mbiliabel #werrason #koffiolomide
#diamondplatnumz
Sawa sawa
Asante kwa historia yako fupi ya Mbilia Bell, Ila kuna maeneo umetuingiza chaka, Mbilia Bell aliachana na Tabu Ley 1988 na siyo 1983, Alindoka na kwenda Gabon huko aliolewa na mdogo wa Rais wa Nchi hiyo kwa masharti ya kutojihusisha na masuala ya muziki, Mbilia alishindwa masharti na kutimkia ufaransa huko alikutana na mpiga solo nguli Rigo star akatoa album yake ya kwanza akiwa nje ya Afrisa Internationally iitwayo Phenomene, Baada ya Mbilia Bell kuondoka Afrisa Internationally Tabu Ley alimtafuta mwanadada Beyou Ceil kuziba pengo la Mbilia akatoa album ya kwanza bila Mbilia Bell iitwayo Ebouroumoukoue.(1988).
Felix magulu
🙏🙏
Uko vizuri baba
Huyu ni Gwiji la Musiki anakubalika Dunia Nzima aiseee Acha tu!
Background music Sio nzuri
Sawasawa asante kwa kusikiliza,nitaubadilisha
Asante sana......ningependa historia ya simaro lutumba..Sam mangwana,,lakassa ya mbongo..didi kinwani,wuta Mayi..plizzz
Sawa sawa,nimekupata vizuri
Asante Sana Ndugu yangu kwa hii ujumbe ya kihistoria ya penzi Langu kimuziki dada yangu kipenzi Mbilia Bel . Mimi hapa kutoka nchi ya Ugeremania. Mungu Akubariki una Sauti Safi sana inasikika sana kwa Sauti inaitwa kwa kikimombo (Laud and clear). Asante kutoka kwangu.
Asante saaana,Mungu akubariki
much much love you maman camarade ya bomwana
Asante sana
Asante pia
Marie clare
Jamaa jongo kichizi
Uko vizuri " felex nikweli una kumbukumbu.hata mm nakumbuka hivyo
bilia belle
Please research well and give accurate information...it's a shame to be corrected by your viewers
Thank you..
Mi nilijua amefarik 😣
Mzima
Cleopatra yule alikuwa wa wapi!
Kuna wa Greece na wa Africa. Wa Greece mtoto wa Alexander the great. Alikua queen mwenye mamlaka makubwa ,wa Africa(Egypt) alikua mzuri.
So ni km lugha iliyotumika na mashabiki kutaja sifa nyuma ya jina(ni yule mzuri). Natumai umeelewa concept
Asante kwa comment,asante kwa kutazama
Malkia wa misri/egpty
Cleoptra ye ni malkiya wa pale misri
Sasa hivi ako Kwetu Kenya anakula ugali na tunafurajia sana
Cleopatra ni mwafrika sijui unamaanisha nini ukisema Cleopatra wa Afrika
Cleopatra...the princess of macedon
Macedon iko located in greece
Though kulikua na Cleopatra queen of Egypt (point ni wapenz wa Mbilia Bel walimuita hyo Nick name mt wao
Kwahyo kama nikiwajibia. Naeza sema Cleopatra mzuri ni yule wa Africa...,wakimuita Cleopatra t,pia kuna binti wa Alexander the great..mwenye legacy kubwa zaid
@@radiIbrahimnuhu oh samahani si kujua hio , hata nimefanya utafiti wangu nikapata kuwa yule Cleopatra ,firauni wa Misri , ni wa kizazi cha Ugiriki