JINSI YA KUPIKA PIZZA -KISWAHILI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024
- Sosi ya pizza
Mahitaji
Mkebe mmoja wa nyanya 280z/794 gms
Nyanya za kawaida mbichi kiasi gram 800
Vitunguu thom kiasi chem 4/5
Mafuta ya halizeti vinjiko 2 vikubwa
Sukari kijiko 1 kikubwa au zaidi
Chumvi kijiko 1 kidogo
Pilipili mannga 1/2 kijiko kidogo
majani ya zaatari/saatari makavu na mabichi kama utapenda
Kwa Unga wa pizza
Unga wa ngano vikombe 3 1/2 - 437gm
Maji ya vuguvugu kikombe 1 - 250ml
Sukari vijiko 2 vikubwa
Chumvi kijiko 1 kidogo
Hamira vijiko 2 1/2 vidogo ( gms 7)
Mafuta ya halizeti vijiko 2 vikubwa
OKA PIZZA MARA YA KWANZA MOTO 400F/260C kwa dakika 5 , halafu endeles kwa dakika 7/8
Jinsi ya kupika nyanya mbichi (blanching) • How to Blanch Tomatoes
FOR ENGLISH VERSION PLEASE PRESS THIS LINK th-cam.com/video/jaVpnAVSYCQ/w-d-xo.html
Aroma of Zanzibar mashaallah dada upo vizuri kwenye mapishi,imekolea cheese hadi raha
Ahsante sana lakini nyie wataliani mnaniua kwa vyakula vizuri,
Wawooooo...asantee dada nataman kukutembelea siku moja...Ila kwa sas niko dubai nikija tnz nitakutafuta
Ahsante sana lakini mie sipo TZ nipo America
Uyoga!
nakupenda dada, unafundisha vizur mpaka mtu anaelewa big up to uuu
Sanaaaa she's really a good teacher
Nam
Wazanzibar kwa mapishi 😋😋😋 mashaallah adi huku Omani wanasifu vyakula vya zanji
Princess Salmah Tz sana nam ni mmoja wapo ninatamba na mapishi ya aroma of zanzibar napenda sana kufatilia hivi vipindi Mashaallah zanzibar one
nimechelewa kuona hii rec,but it made me crazy , im salivating mhh masha Allah shukriyaaa
Pole sana, lakini better late than never
Asante habibty,nimependa sna
Pizza Maasha'Allah yaani u r inspire me...siagizi tena nje...unafanya inaonekana rahisi kufanya..najaribu In Shaa Allah..yaani.wewe ni mpishi and half Maasha'Allah
Ma Sha Allah Hongera kwamafunzo shukran ya habibty
Shikamoo, mama. Your Kiswahili is absolutely beautiful, so pure Mashallah.
Ahsante sana dear
Mimi nlivyokuja huku italy nlikua hata sijui kupika sema nimejitahidi kujifunza hadi sasa hv imekua hobby yangu nakumbuka mara kwanza kupika chapati ilitokaje ngumu,😂😂😂siku nkakutana na channel yako ndo nikajifunza siku hyo chapati ilitoka laini nilifurahi hadi ss hv najua kupika chapati!
Ni jitihada na interest ukiwa nayo. Nashkuru kujua nimekusaidia kidogo. Mie siwezi kukosa chakula cha nyumbani atleast once a week . Thank you for your wonderful support dear
Mariam's Lifestyle yaan mm sasa jam siku yakwanza no licheka chapat ndogo alafu ngumu hatala
Vipiukofesbook
Unafanya Italia sehemu gani?
Hellow dear...naomba unitajie cheese nzuri!
ahsante sana kwa kutufundisha jinsi ya kupika napenda sana kanuni zako za mapishi na unavyo pika
Ahsante sana
mashaal 👍
I like
Napenda mapishi yko cku nikijua kupika vitu hv mume wng atafurah sana
Shukran sana جزاكم الله خيرا و احسن الجزء
Thanks so much without your support I would have been lost ( without this video) shukran
Glad I could help, thank you for your support
@@aromaofzanzibar amfromlondonamverypleasedtoseeyourcookerylessenoihavetoseeaverytimeweeldone
Shukran jazzakallahu lkheri
Mashaallah mapishi yako mazuri sana ndio tunapenda sisi wa omani mungu akupe afya
Ma shaa Allaah.nimeipenda pizza.ukhty Aroma .shukran Allaah yaatikil Afyah.
mashaallah mashaallah mapishi ya pizza nimependa mno mie napenda sana piza
Shukran sana Hongera sana kwa Mapishi bora barikiwa.
Aroma mashallah vyakula vyako vizuriii you are the best wallahi ❤❤❤
Shukran 🙏🏽😘🌹
Kwa hayo majina ya viungo umeniacha!. Huku bara hivyo viungo vya kitaliano tutavipata kweli.Ila kiukweli cjawahi kula pizza,nitajaribu cku moja.ahsante kwa muongozo.
Shukran habibty, nimefurahi Kwa mapishi ya pizza nitajaribu in shaa Allah, Allah akufanyie wepesi na akutilie barka ktk kazi yako.
Shukran dear, Amin kwetu sote
Assalam aleikum warahmatullah wabarakatuh. Jamany we dada nakupenda snaaa. Jikon kwangu unanisaidia sana . MashaAllah nashukur, mungu akubariki❤❤❤
Aleikum Musalaam, ahsante sana kwa support
Asante Dada kwa upishi mzuri na pia kwa mafundisho mazuri. Pia nomejifunza zaidi
Tamu sana yaano hata sijaonja. Asante sana kwa muonyesho mzuri nitajaribu hii yako naona itakua sawa
Thanks for the recipe, I tried it and it was lovely and nice!
Alhamdulilah, glad mme emjoy pizza yenu
Mashallah...u inspire many...may Allah continue to give u good health tuzidi kufaidika zaidi
Ahsnate, shukran and Min kwetu sote dear
love your cooking.umenifunza mapishi mazuri.God bless the work of your hands.
Ahsante dear , amin kwetu sote
I'm your favorite subbie..I just love what you do and the fact that you share to the world...Thanks a lot
Thanks for your love and support
mashaAllah shukran
Aromaa of zanzibar mabrouk napenda sana kutizama mapishi natamani nipike lakini siwezi nashindwa kwa maradhi tu nilijaribu kalmati zashira siku moja shape kutowa zikatoka vibaya basi mtoto alionja akanambia mama nimeshiba hakutaka tena kuzila etii shape zatisha jamaani nabakia kuchekaa lakini texture ilitokea nzuri basi sasa nawengine tuchekeni sote loh alhamdillah thanks alot sistet
Ahsante sana for your support x pole sana kwa misuko suko ya kaimati lol, kweli umenichekesha. It takes time to get them into nice shape at least umejaribu
Bismillakh mashallakh tamu tamu wow 💋💋
Nakupenda Sana dada nimejifudisha mengi kutokana na mafudisho yako yaupishi nimetayarisha Leo naimetokea vizuri Sana thank you dear mungu akuongezee nguvu mingi hongera Sana
Amin, ahsante sana. Nashkuru
Nilikosea Mandi ya ng'ombe,dada natamani niwempishi mzuri,mungu akujalie kila lenyekher
Inshallah nitajitahidi nilete haraka
You are a good cook and thanks for your time
Thank you for your support dear
MashaAllah, i just love what you do, you have been blessed with gifted hands...
Thanks
Asalamu aleykum warahmatulahi wabarakatu mashaaAllah ajaaabbb na mimi nataka😍shukraan kwa kutuilimisha Allah akujaaze kheri amiin
Aleikum Musalaam, Amin kwetu sote
Muviza.chakor
Habithi.za.kiswahili
i love cooking and your channel has really helped me a lot thank you Allahu bariq
Thank you Nasser, I am glad I could help. Amin
This is a must try .Thanks for sharing 🇰🇪
Mashallah dada asante sana
Mashallah tabarak Allah
amaizing!!!!!!
Very nice pizza,I really like it
Mashaallah dada upo vzuri kwenye mapishi 👌🏾pizza imekolea cheese hadi raha
Najitahidi, na chukula nikipenda lazima nikijue kupika vizuri . Ahsante
Chiz zinapatikana sanasana wapy
I agree with you daa your right
Mashaallah hapa nimekupata vzr mm nilikua unga naukanda na maziwa ya unga bt hii naona ninafuu
Pizaa ni maji tu na mafuta
Ni sawa kabisa organo ni zaatar😘
Asante kwa mapishi ya pizza
Asante daa kwa mapishi
mashaa allah. Inaonekana tamu sana. Ntajaribu hii recipe
Inshallah
waaoh jaman nice and lovely.....nilikumis nusu nipande ndege bila pasport 😂😂😂😂😘
Haha , ahsante karibu hata bila passport
mash Allah
Wooow very nice and simple to make
Mashalah 😍😍
shukran
shukuran jazakaallahu khayra
Nimependa jins ya kupika pizza asante
Shukran
Mi mgazidja soilihi mohamed naka paris.nakupendra sana
Asante sana
shukran aroma mungu akuhifadhi
Amin kwetu sote
Good 👍 job my sister l love it
Shukran 😘
mashallah I tried your recipe imetokea just right.Normally my dough hua dry but this was soft hata siku ya pili haiku kauka kua mgumu.Though nime badilisha kidogo recipe by adding a few things.Shukran and may you be blessed
Awesome, good to know that it worked well with you. I always encourage people to add their own twist to the recipe just use the base. Thanks for taking time to share your feedback. Have a wonderful weekend
Nimependa venye unaelezea. Asante sana. Lakini tafadhali pia angalia Hio translation kwa video. Its hilarious
Thanks hiyo translation ni auto by Google 🤣🤣
Mashaallah u have nicely cooked l like your style Allahmudulilahi
Thank you so much 😊
Shukran sana nimejaribu imetokea vizuri
Sasa natamani pizza😋😋 Asante!
Surely homemade pizza is superb
Mashaallah ni dhattar
Sawa my dear nitaenda kuitafuta iyo bizari ya talion
Masha Allah yummy
I love that tray for cooking pizaa .i have always requested my mum to buy for me but i never got till now. But i love to cook .i enjoy it veey much.
I hope you get the tray soon
In shaa Allah Ameeen
MashaAllah MashaAllah yummyyy Allah ebarik mikono yako
Amin
mashaallah najifunza mengi kupitia mapishi yako dada mungu akuweke wallah
Shukran, amin kwetu sote
asante mama kwa sadaka yko allah akulipe ujira wko ww sio mchoyo nakupenda sna.
Mashallah aroma you are the best i swear ❤❤😘😘
Shukran for your support 😘😘
Very delicious😋 thank you I gonna try
Dada Niko hapa 🥰🥰🥰
beautiful !! I tried it today for supper.
Thanks a lot 😊
Thanks am going to try....i was scared👍👍
Why scared, this is very easy
Masha Allah
Kweli Anti unajua kuelekeza hadi mtu ambaye hana idea anajia::::Shukrani
Mashaallah mpishi hodariiiiii Allah akujaalie uzma tuendelee kujfunza mengi big up yumma
Amin , shukran
Nc
Thanks soo much nilikua naingoja sanaaa pizza
MashaaAllah nimejaribu family ime enjoy, shukran habibbty Alahibariqfiii♥.
Alhamdulilah
Shukran sanaaa yaani umetusaidia wanawake wenzio , Allah akulipe kwa kila mda ulo utumia kutujuzaa mapishii♥♡♥ahsante kwa kunijibu nimefurahi
Shukran, wewe pika ufurahi na family yako
@@aromaofzanzibar Ahsante kwa mara ya pili umenifanyaa mpishi /mama bora kwa mapishi na milo ilo mitamu na yenye kuvutia , shukran sanaaaa♥.
umekua malkia njozi aunty fathiya nasema rohoni jana natamani pizza kujua kupika mara nyingi nkipa haiwi perfect lkn inshaAllah tomorrow ntapika for my family.
Inshallah dear, this time itakua nzuri
Hongera mamy jmn upo vizur jikon had rahaaaa mapishi yak yapo amazing sawaaa mama ntakuja zenji,nimeeenda sana keki
Asante
wow mashallah like it
tnx Mamy wangu
Yummy!😋❤
Actually l really love ur voice, the way u talk😊and ur dishes
thanks for pizza receipe i will try it
Miss you aroma of Zanzibar
I miss you all too
MaashaaAllah
Asant sana my dear
Thank you for this.
Nice I like it
nzuri hyo nmeipenda
upo vzr mashaallah
Shukran sana
Dada unapika kwa jiko aina gani ili pizza kuiva nakupata hiyo Brown
Ok shukran habibty nilikuwa nimekosea sore kuandika
Its OK dear, nilikua sijafaham
Mashallh mashallh mashallh.
nice presentation , nimetafuka kiswahili cooking saaana. +254
kevix mabia ahsante sasa ushafika, karibu
nice
Thanks