Off course Salama this is what we need to watch....I am still great fun of master T, of Dj show....back in the days.....it was awesome time...he was a pioneer to local music bongo flavour.....he made a way....thanks Soo much for bringing him on your show....great show.... great time yah stonetown for life....hongera Sana salama...awesome show it is reminiscing....back to 90's....Asante sana
Salama fani yako umeitendea haki. Hongera. Nimefurahi mno kumsikia Taji akiwa na mitazamo chanya ya maisha baada ya yote aliyopitia akiwa mtoto. Nilibahatika kuwafahamu wazazi wake na kisa hicho kiligusa wengi. Mungu Azidi kukubariki Taji, wengi wajifunze kwako.
🍁Asante sana Salama kwa kutupatia darasa huru... karibia kila siku nikitizama vipindi vyako najifunza mengi. Shukrani kwa brother Taji Lihundi kwa hiki alichokizungumza kimetuponya wengi sana.🍁
Kama umeangalia Part 1&2 na labda tumeongea mambo ya msingi ambayo yamekugusa chanya, nashukuru!! Ahsante Salama kwa ukaribisho. Wewe ni nyota!! Nakutakia mafanikio zaidi na zaidi. Najua sometimes sio rahisi. Usichoke. Kwa watazamaji, maoni yenu chanya ni muhimu. Tuna vijana wanaojitahidi kutuletea bidhaa nzuri na bora zaidi. Wabunifu. Wengi hawajasoma kivileee lakini Mwenyezi Mungu kawajalia ari na vipaji. Tuwape moyo. Huwa naona tatizo ni kukimbilia kukosoa na sio kuelekeza. Mngejua JITIHADA ambazo Salama anaweka kukamilisha kipindi kimoja, mngempigia salute!! Tujenge. Kama kuna jambo nimesema limekukwaza, haikuwa nia yangu ni mawazo yangu na yamepishana na yako. Mtazamo tu. Mbarikiwe. Singo yetu "Cool Down" Nally ft Taji unapatika humu TH-cam, search 'Chugaprincess Cool Down' Maisha mafupi, yafurahie.. Taji
INDEED ...PEOPLE HAVE INTERESTING AND GOD-FEARING LIFE BACKGROUND STORIES..I HAVE LISTENED TO THAT PART AND HAVE GOT GOOSEBUMPS. HIS SURVIVOR WAS GOD'S PLAN
To his respect for Bro Taji, i created today his Wikipedia profile to honor his legacy and history before he passes away. As anyone can contribute more
The interview was great, I really enjoyed it! Please ask your guest(s) to silence their device(s) the vibration was coming through the mic, it was annoying!
Shukrani kwa interview nzuri, nimejifunza 1. Inabidi kukubali mawazo ya vijana hasa uliowazidi ya flow katika dislike 2. Kujiamini 3. Technologia ni njia sahihi ya kufanikiwa kimaisha hasa katika zama hizi
Life is about being tougher than what it brings to you. Prepare yourself for super battles, lows in life that make you nothing! Pray! Believe! Get up, stand up! Fight for your Life!
Kwa kweli Taji (a.k.a Master. T) ulinitesa sana miaka ya 1994 - 95 na DJ shows sessions. They were fabulous kaka. Nilikuwa nanyang'ana na Sister zangu radio kukusikiliza wakati wao waliokuwa wakipenda kumsikiliza Esma Kidogo n Hadija Kopa kwa Taarabu. Hongera sana kamanda Taji. Keep the Star shinning bro.
Utakuta mtu unamuheshimu kwa muonekano wake ije sasa saa yakuongea lol ananikata stim kwe R anaweka L jamaniiii hasa baadhi ya wasaniii khaaaa Africa ...Afika kweli Taji kaongea ukweli hasa tuipende lugha yetu aibu sana hii
suala la kuzingatia matamshi ni kero kubwa pia huaribu ladha ya lugha yetu adhimu ya kiswahili. ndugu watangazaji na watanzania wenzangu tupende kujifunza kupenda vyakwetu. wako katika ujenzi wa taifa SODOKA✊🏾
Je umeagiza GARI 🚘🚗nje ya nchi na unahitaji huduma ya clearance ya gari lako( Clearing & Forwarding ) kwa uharaka na BEI NAFUU ila unawaza Clearing Agent ⚓️🚢gani atalitimiza Hilo? Basi ondoa shaka na karibu nikuhudumie. Tazama baadhi ya bei zangu za kutoa magari bandarini 🚢Dar Es Salaam (Local) aina ya *TOYOTA* km ifuatavyo.. Kama aina ya gari uliyoagiza haipo kwenye orodha usisite kuniuliza📞Pia wateja wa mizigo ya AIRPORT 🛫/ CONTAINER & MAGARI🚗 yanayokwenda nje ya nchi ( TRANST ) mnakaribishwa..... ------------------ Kwa wateja waishio Dar Es Salaam utafikishiwa gari lako mpaka ulipo BURE na kwa wateja wa mkoani utalipia gharama ya Dereva kutokana na umbali uliopo kutokea Dar Es Salaam kama ukihitaji kusafirishiwa, Asante 1: IST old - 850,000/= 2: HARRIER New-1,000,000/= 3: HARRIER Old-950,000/= 4: RAV 4 - 950,000/= 5: RAUM - 850,000/= 6: SPACIO - 850,000/= 7: PASSO - 800,000/= 8: VITZ - 800,000/= 9: PREMIO - 850,000/= 10: ALTEZA - 850,000/= 11: SUBARU - 850,000/= 12: CARINA - 850,000/= ---------------------------------------- Gharama hizi zinahusisha malipo ya 1: Port Charges 2: Shipping Line 3: Walfage 4: Agent Fee 5: Plate no ---------------------------------------- ☎️DM/Piga/Text 0653953900 / 0742996876 ☎️Whatsapp +255 653953900 📧 Email: charlessabikazi@gmail.com 📢Marketing by @cairo_promotions 🏢Company: Mofaz movers 📍Location: PSSSF Tower, Samora Avenue Dar es salaam, Tanzania *NB: Triangle & Fire Extinguisher 🧯 BURE *NB: KUAGIZIWA GARI NI BURE 🙏 *NB: KUAGIZIWA BIDHAA CHINA 🇨🇳 NI BURE🙏
th-cam.com/video/X7ONvSSKZLs/w-d-xo.html 👆👆👆👆👆👆👆 Kama ni muoga usifungue hii video😨 Tazama jinsi Kafara inavyotolewa hadharani watu wanachinjwa mbele ya camera 😭😭inatisha nimekuwekea video
Off course Salama this is what we need to watch....I am still great fun of master T, of Dj show....back in the days.....it was awesome time...he was a pioneer to local music bongo flavour.....he made a way....thanks Soo much for bringing him on your show....great show.... great time yah stonetown for life....hongera Sana salama...awesome show it is reminiscing....back to 90's....Asante sana
Salama fani yako umeitendea haki. Hongera.
Nimefurahi mno kumsikia Taji akiwa na mitazamo chanya ya maisha baada ya yote aliyopitia akiwa mtoto. Nilibahatika kuwafahamu wazazi wake na kisa hicho kiligusa wengi.
Mungu Azidi kukubariki Taji, wengi wajifunze kwako.
🍁Asante sana Salama kwa kutupatia darasa huru... karibia kila siku nikitizama vipindi vyako najifunza mengi. Shukrani kwa brother Taji Lihundi kwa hiki alichokizungumza kimetuponya wengi sana.🍁
Hadith yake binfsi ya wazazi wake imenigusa mno imekua moja ya kipind kilivhonivitia zaid kutoka kwako .... Ahsante sanaaaaa
Salama unajua we ni mzuri sana, kuna namna una tabasamu mpaka raha😊😍
When salama meet her Guru/Godfather ,anabehave Sana aisee anahoji kwa adabu mpk Raha,angefanya hivi kwa wote ingekua Raha sana
Hatuna watu kama hawa tena wamebaki wachache sana! Mungu akulinde mdogo wangu ili yale unayodhani muda umeisha uje uyafanye. Amina.
Amen Amen Amen!!
He's one of the most humble people you'll ever meet
This guy is a guru these minds are the ones we need awesome Dada Sakama God bless you for this content
Hii interview nilikuwa naisubiria sana. Namkubali sana Taji.
One of the best interview, msalimie Taji Liundi mwambie nampenda sana sana
"Mafanikio yako Ni kujitahidi Sana kupunguza Madhaifu yako" Taji liundi
Kama umeangalia Part 1&2 na labda tumeongea mambo ya msingi ambayo yamekugusa chanya, nashukuru!! Ahsante Salama kwa ukaribisho. Wewe ni nyota!! Nakutakia mafanikio zaidi na zaidi. Najua sometimes sio rahisi. Usichoke.
Kwa watazamaji, maoni yenu chanya ni muhimu. Tuna vijana wanaojitahidi kutuletea bidhaa nzuri na bora zaidi. Wabunifu. Wengi hawajasoma kivileee lakini Mwenyezi Mungu kawajalia ari na vipaji. Tuwape moyo.
Huwa naona tatizo ni kukimbilia kukosoa na sio kuelekeza. Mngejua JITIHADA ambazo Salama anaweka kukamilisha kipindi kimoja, mngempigia salute!!
Tujenge.
Kama kuna jambo nimesema limekukwaza, haikuwa nia yangu ni mawazo yangu na yamepishana na yako. Mtazamo tu.
Mbarikiwe.
Singo yetu "Cool Down" Nally ft Taji unapatika humu TH-cam, search 'Chugaprincess Cool Down'
Maisha mafupi, yafurahie..
Taji
Maisha Mafupi, Yafurahie
i like that
Nimejifunza sana, ahsante kwa chaguo nzuri za za watu mnaowaleta,kuna faida kubwa Sana kwa watu waelewa
One of the best interviews...... I always loved Taji but today I got the real insight of his life
INDEED ...PEOPLE HAVE INTERESTING AND GOD-FEARING LIFE BACKGROUND STORIES..I HAVE LISTENED TO THAT PART AND HAVE GOT GOOSEBUMPS. HIS SURVIVOR WAS GOD'S PLAN
To his respect for Bro Taji, i created today his Wikipedia profile to honor his legacy and history before he passes away. As anyone can contribute more
Fantastic interview my lovely sister,,big up,l like it.
The interview was great, I really enjoyed it! Please ask your guest(s) to silence their device(s) the vibration was coming through the mic, it was annoying!
Leo Salama ako na adabu nzuri sana, hata vile vijembe vyake ameviwekachini
My sister nilikuwa nasubiri kwa hamu sana hii interview
My Sunday completely thank you Salama
Salama kiboko umemtafuta bro t
Shukrani kwa interview nzuri, nimejifunza
1. Inabidi kukubali mawazo ya vijana hasa uliowazidi ya flow katika dislike
2. Kujiamini
3. Technologia ni njia sahihi ya kufanikiwa kimaisha hasa katika zama hizi
So beautiful nakumbuka nilikuwa nawasha radio only kwenye kipindi chake master T he's really good man,remain blessed
Nice interview salama
More than Strong Taji SALUTES! Nimeumia mwanzo but nimepata ujasiri na nimejifunza sana. Kila la kheir.
Life is about being tougher than what it brings to you. Prepare yourself for super battles, lows in life that make you nothing!
Pray!
Believe!
Get up, stand up!
Fight for your Life!
Salama haujawahi kukosea my sister
Kwa kweli Taji (a.k.a Master. T) ulinitesa sana miaka ya 1994 - 95 na DJ shows sessions. They were fabulous kaka. Nilikuwa nanyang'ana na Sister zangu radio kukusikiliza wakati wao waliokuwa wakipenda kumsikiliza Esma Kidogo n Hadija Kopa kwa Taarabu. Hongera sana kamanda Taji. Keep the Star shinning bro.
Ha ha ha ha ha ha hizi story huwa nasimamishwa na kuhadithiwa!! Nilikuwa hata sijui nasababisha rapsha!! 😁😁🔥🔥
Nike Mhagama alivaa viatu vyako haswaaaaaa
Taji the great💪💪💪
Dah… samahani. Sio sahihi. Nakataa kabisa kuitwa au kudhaniwa hivyo. Master T; inatosha.
Tajiiii😘😘🔥🔥🔥🥰🥰🥰🔥🥰🥰🥰🥰
Amazing stuff
Nakupenda bure salama
Taji na Lissu pia wote walisoma shule ya sekondari ya Ilboru😁
Utakuta mtu unamuheshimu kwa muonekano wake ije sasa saa yakuongea lol ananikata stim kwe R anaweka L jamaniiii hasa baadhi ya wasaniii khaaaa Africa ...Afika kweli Taji kaongea ukweli hasa tuipende lugha yetu aibu sana hii
NAKUPENDA SANA SALAMA MIMI NI SHABIKI AKO NI MWANA SIMBA MWENZAKO ILA NIMTU WA KAWAIDA HUWEZI NIPA NAFASI YAKUJA KWA KIPINDI CHAKO?
suala la kuzingatia matamshi ni kero kubwa pia huaribu ladha ya lugha yetu adhimu ya kiswahili. ndugu watangazaji na watanzania wenzangu tupende kujifunza kupenda vyakwetu.
wako katika ujenzi wa taifa SODOKA✊🏾
ameongea Kiswahili kilichonyooka ….nimependa sana na nimefurahi.
Je umeagiza GARI 🚘🚗nje ya nchi na unahitaji huduma ya clearance ya gari lako( Clearing & Forwarding ) kwa uharaka na BEI NAFUU ila unawaza Clearing Agent ⚓️🚢gani atalitimiza Hilo? Basi ondoa shaka na karibu nikuhudumie. Tazama baadhi ya bei zangu za kutoa magari bandarini 🚢Dar Es Salaam (Local) aina ya *TOYOTA* km ifuatavyo.. Kama aina ya gari uliyoagiza haipo kwenye orodha usisite kuniuliza📞Pia wateja wa mizigo ya AIRPORT 🛫/ CONTAINER & MAGARI🚗 yanayokwenda nje ya nchi ( TRANST ) mnakaribishwa.....
------------------
Kwa wateja waishio Dar Es Salaam utafikishiwa gari lako mpaka ulipo BURE na kwa wateja wa mkoani utalipia gharama ya Dereva kutokana na umbali uliopo kutokea Dar Es Salaam kama ukihitaji kusafirishiwa,
Asante
1: IST old - 850,000/=
2: HARRIER New-1,000,000/=
3: HARRIER Old-950,000/=
4: RAV 4 - 950,000/=
5: RAUM - 850,000/=
6: SPACIO - 850,000/=
7: PASSO - 800,000/=
8: VITZ - 800,000/=
9: PREMIO - 850,000/=
10: ALTEZA - 850,000/=
11: SUBARU - 850,000/=
12: CARINA - 850,000/=
----------------------------------------
Gharama hizi zinahusisha malipo ya
1: Port Charges
2: Shipping Line
3: Walfage
4: Agent Fee
5: Plate no
----------------------------------------
☎️DM/Piga/Text 0653953900 / 0742996876
☎️Whatsapp +255 653953900
📧 Email: charlessabikazi@gmail.com
📢Marketing by @cairo_promotions
🏢Company: Mofaz movers
📍Location: PSSSF Tower, Samora Avenue
Dar es salaam, Tanzania
*NB: Triangle & Fire Extinguisher 🧯 BURE
*NB: KUAGIZIWA GARI NI BURE 🙏
*NB: KUAGIZIWA BIDHAA CHINA 🇨🇳 NI BURE🙏
🔥🔥
nice
Tundu Lissu ni Jembe wakubali au La. Jamaa amefanana na Jembe
th-cam.com/video/X7ONvSSKZLs/w-d-xo.html
👆👆👆👆👆👆👆
Kama ni muoga usifungue hii video😨 Tazama jinsi Kafara inavyotolewa hadharani watu wanachinjwa mbele ya camera 😭😭inatisha nimekuwekea video
Salama haujawahi kukosea my sister