This season was lit my sister, The guests were amazing yaani kiufupi umeupiga mwingi sana msimu huu, Mapungufu yapo machache sana ukilinganisha na season zilizopita ila tuseme tu ukweli yaani tumevuna madini sana kwenye huu msimu. My top three episodes ni 1. Adamu Mchomvu jamaa aliupiga mwingi sana 2. Top In Dar (TID) Hii ilikua best sana 3. Hapa Mchungaji Hananja na DJ Ally B Hawa watu walitupa comedy lakini yenye ujumbe mzito sana Hopefully tutakua na msimu bora zaidi ujao,
Salama kuna huyu kijana anaitwa Diana Chando. Tunaomba mtupe uwanja wakumjua anawakilisha taifa kwenye ngazi za juu sana kwa marais mbalimbali. Watu kama sisi tunatamani kujua safari yake. Muiteni uwanjani
This season was lit my sister, The guests were amazing yaani kiufupi umeupiga mwingi sana msimu huu, Mapungufu yapo machache sana ukilinganisha na season zilizopita ila tuseme tu ukweli yaani tumevuna madini sana kwenye huu msimu. My top three episodes ni
1. Adamu Mchomvu jamaa aliupiga mwingi sana
2. Top In Dar (TID) Hii ilikua best sana
3. Hapa Mchungaji Hananja na DJ Ally B Hawa watu walitupa comedy lakini yenye ujumbe mzito sana
Hopefully tutakua na msimu bora zaidi ujao,
Salama apewe maua yake anaupiga mwingi sana 💥🔥💯hakuna show yake hata moja nimeikosa
Recap nzuri sana 👍
The number one presenter 😊
Ya Rose Muhando🙌🏿
Fanya uolewe mama angu Salama na sisi wanao wengine tupate wadogo zetu
We need to hear fredy vunja Bei story
Very Smart Thanks 😊
first comments
Creativity Dada 👏👏🎉
Salama mbona hamna episode mpya hivi recently
From 254🇰🇪🇰🇪
Salama kuna huyu kijana anaitwa Diana Chando. Tunaomba mtupe uwanja wakumjua anawakilisha taifa kwenye ngazi za juu sana kwa marais mbalimbali. Watu kama sisi tunatamani kujua safari yake. Muiteni uwanjani
I see 👀 like ZUHURA YUNUSI 🙌🏽👍🏼🩵
millard ayo anakuja lini?