SABABU ZA PUTIN KUPIGANA PEKE YAKE UKRAINE BILA KUHITAJI MSAADA WA WASHIRIKA WAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 มิ.ย. 2023

ความคิดเห็น • 40

  • @emanuelmaraki9758
    @emanuelmaraki9758 5 วันที่ผ่านมา

    Yuko na mchina na mkorea na muiran nawengine wamejificha nyumba ya paziaa

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 8 วันที่ผ่านมา

    Mbona umepotea mdogo wangu

  • @KilimbikeHaji-iy2fm
    @KilimbikeHaji-iy2fm 3 วันที่ผ่านมา

    Haoo ni mashoga tu wasio jielewa wapige hao mashoga

  • @amos3202
    @amos3202 10 หลายเดือนก่อน

    B

  • @duvaboy
    @duvaboy ปีที่แล้ว +5

    swala ni kwamba hata nyinyi watangazaji hamjajua target ya putin ni ipi pale ukrain sio kwamba hawezi kumsambalatisha ukrain kwa masaa ya kuhesbu hapana..putini kuna kitu anataka kijae kwenye 18 zake..ukrain anasema yupo vitani lakin urusi anasema yupo kwenye oparesheni maalum na ndo mana anatumia vikundi vya kukodi

    • @angelomalimi2444
      @angelomalimi2444 ปีที่แล้ว

      Liongo tu wewe tupe idadi ya warusi waliokufa ukrein na vifaru vilivyo haribiwa na magari unaongea ujinga tu Ulaya na marekani watu wao wanakula kuku kwa mlija warusi wanahofu duniani

    • @duvaboy
      @duvaboy ปีที่แล้ว +2

      @@angelomalimi2444 😂😂😂 mazumbukuku shida pole sana braza..lakini kaa ukijua kua vita imo ndani ya ukrain sio urusi...na yameungana mataifa yasiyo pungua 30 ili wamtandike atoke wameshindwa ..na mwanaume kasimama peke yake haitaji msaada ..wewe unazijua kuku tu 😂😂😂

    • @abdullahmanalex2306
      @abdullahmanalex2306 ปีที่แล้ว

      ​@@angelomalimi2444Acha umama wewe

    • @user-lv1ki7nn7t
      @user-lv1ki7nn7t 8 วันที่ผ่านมา

      Mashoga utayajua yanajitekenya afu yanacheka yenyewe eti watu warekani wanakula kuku ,mbwa mkubwa wewe kama haujui kitu kaa kimya uyo mkuu wa nato mwenyewe anakiri kua urusi anazalisha silaha za kimkakati hatari mara tatu Zaid ya silaha za nato na ulaya yoote acha ujinga wewee Russia kwenye vita ni kama samaki akiwa kwenye maji urusi ana uwezo mkubwa saaaana kama haujui kamuulize Hitler aliishia wapi kama sio urusi hao mbwa wako wa ulaya walishakwenda na maji tulia kama ulivyo unyolewe na putini mbwa

  • @omarothman6608
    @omarothman6608 ปีที่แล้ว +1

    Daah Russia kiboko mwakahuu mashoga wanaisoma namba😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @amenyemwansile6919
    @amenyemwansile6919 9 หลายเดือนก่อน

    Amehitaj msaada ila marekani imezitishia nchi zitakazo mssaidia zitakiona cha moto

  • @nassoromussa2423
    @nassoromussa2423 10 หลายเดือนก่อน

    Na aliyosema sasa hivi yametimia...nchi za NATO zinataka mzozo uishe!

  • @kassim1262
    @kassim1262 ปีที่แล้ว +1

    Atasaidiwa nanani kwamfano hao washirika wake anaowategemea rafiki wastor tu co kijeshi mchina hapeleki jeshi lake Ukraine kwasababu yeye mwenyewe yupo ktk foleni anasubiri zamu yake ifike ingizwe ulingoni na Taiwan India hawezi kupeleka jeshi kumsaidia Urusi kijeshi cos hawezi kumkera Uingereza Brazil sote tuelewa hapeleki jeshi lake kumsapot Urusi Iran pia kwambali labda Korea na Belarusi.

  • @AbuuGalas-fl1ij
    @AbuuGalas-fl1ij ปีที่แล้ว

    Broo leo nimekubali kutokana na habari yako

  • @rogerslwitiko3915
    @rogerslwitiko3915 ปีที่แล้ว +1

    Putin anavunja records za Watangulizi wake km Vladimir Lenin,Leon Trotsky na Joseph Stalin na kuandika historia yake mwenyewe

  • @MohammedKimweri-pp5op
    @MohammedKimweri-pp5op ปีที่แล้ว +1

    Urusi ni taifa kubwa, ni nchi yenye eneo kubwa duniani na ni nchi inayo uthubutu na maamuzi yake

  • @kafwimbimilambo8556
    @kafwimbimilambo8556 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa

  • @najimmaalim976
    @najimmaalim976 ปีที่แล้ว

    Hawezi kutaka msaada kwasababu hadi sasa urusi hajatumia jeshi lake anatumia asikari wakukod kwaio hakuna shida anayopata urusi ikibid atafanya ivo

  • @toyimwamedi6460
    @toyimwamedi6460 ปีที่แล้ว +1

    Awapige baba .wanarohombaya.putine wapige baba

  • @CitoFrancoise-kt4pg
    @CitoFrancoise-kt4pg ปีที่แล้ว

    Kweli urusi ni shuja

  • @user-tl7vy6rt3g
    @user-tl7vy6rt3g ปีที่แล้ว

    putin juuuu

  • @wadudi2741
    @wadudi2741 14 วันที่ผ่านมา

    Sijakusukia mudamrefu

  • @irovyairovya2333
    @irovyairovya2333 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna nchi aggressive kwa vita duniani kama urusi

    • @angelomalimi2444
      @angelomalimi2444 ปีที่แล้ว

      Imeshindwa vita urusi mwaka mzima anahangaika

    • @michaeldjunior1023
      @michaeldjunior1023 ปีที่แล้ว +1

      How about US

    • @irovyairovya2333
      @irovyairovya2333 ปีที่แล้ว

      @@angelomalimi2444 anahangaika na nani? Na uyo anaehangaika nae kati yao nani anabondwa?

    • @irovyairovya2333
      @irovyairovya2333 ปีที่แล้ว

      @@michaeldjunior1023 US stori tu anavamiaga weak countries kama oraq libya yemen, afghanstan na bado anachangia na washirika

  • @saidamour877
    @saidamour877 ปีที่แล้ว

    hamna kitu

  • @jimmyselejimmysele2821
    @jimmyselejimmysele2821 ปีที่แล้ว

    🎉

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 ปีที่แล้ว

    Halaa Putin 😊

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 ปีที่แล้ว +1

    Putin anatakiwa kufahamu ezi za ujerumani hakupigana namataifa mengi kiasi hicho akubali usaidizi tuimalize vita

    • @Beautiful-Place
      @Beautiful-Place ปีที่แล้ว

      Akubali nini na usikute hataki kumaliza vita ili Ulaya na marekani waendelee kuteseka huku anamega maeneo ya Ukraine! Unajua unapopigana pekeyako alafu ukawa na nguvu kushinda adui yako unampiga unavyotaka Kama anapesa mfukoni hizo ukizitaka unachukuwa tuu! Lakini ukiwa na wasaidizi watakwambia ebu muache twende amepigika.

    • @asantembise6
      @asantembise6 ปีที่แล้ว

      Huyu kiumbe nikatika watu ambao namuombea sanaa miaka mingi katika uhai wnguuu...mungu amlindee

    • @drankoiddy1953
      @drankoiddy1953 11 หลายเดือนก่อน

      @@asantembise6ebwana eeeh!! Tuko pa1 ktk hyo Dua

  • @user-os5yj5no9w
    @user-os5yj5no9w 11 หลายเดือนก่อน

    Uongo mtupu hadi sasa ameshashindwa. Na ameshindwa. Ukilipua gesi ndani huku akiwa na wewe upo NDANI ni uwendawazimu. Kwahiyo Hawezi kufanya hivyo.

    • @user-lv1ki7nn7t
      @user-lv1ki7nn7t 8 วันที่ผ่านมา

      Lete wewe ukweli nyie ndio mlioolewa na mashoga wenzenu uko wa marekani ,mbwa wewe shabaha ya urusi sio ukreni shabaha ya urusi ni nato na marekani acha ujinga ndio mana anawapiga mdogo mdogo bila ata kutumia nguvu kubwa wakati huo mataifa Yako yoote ya mashoga ya ulaya na marekani yanajikanyaga pale ukreini wanapigika kweli kweli Tena wanachaniana kupigana na nchi Moja na bado wanashindwa hivi hili nalo linahitaji degree mbwa wewee kaolewe nao kama vipi sisi wanaume wa shoka tutasimama na Russia na putini mpaka mwisho

  • @kassim1262
    @kassim1262 ปีที่แล้ว +1

    Atasaidiwa nanani kwamfano hao washirika wake anaowategemea rafiki wastor tu co kijeshi mchina hapeleki jeshi lake Ukraine kwasababu yeye mwenyewe yupo ktk foleni anasubiri zamu yake ifike ingizwe ulingoni na Taiwan India hawezi kupeleka jeshi kumsaidia Urusi kijeshi cos hawezi kumkera Uingereza Brazil sote tuelewa hapeleki jeshi lake kumsapot Urusi Iran pia kwambali labda Korea na Belarusi.

  • @abuuloti-zf6pu
    @abuuloti-zf6pu ปีที่แล้ว

    Avulumishe nyuklia maghalibi wanamsadia ukrein wapo weng sana