Sakina SDA Youth Choir - Furaha Ajabu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 17

  • @loycemgonja2634
    @loycemgonja2634 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa msimwache Bwana katika maisha Yenu yote ujana wenu una faida kubwa

  • @abrahambungei8591
    @abrahambungei8591 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sakina youth nawajua sana tuliimba nanyi 2015 nlikuwa mariado school

  • @adelauledem621
    @adelauledem621 7 ปีที่แล้ว +2

    Oh hallelujah n Ameen..so blessed song

  • @maungomubita7981
    @maungomubita7981 7 ปีที่แล้ว +1

    Outstanding! The singing is beautiful and the joy and enthusiasm of the singers is just captivating and elavating! Thank you for a job well done!

  • @costantinemwelemi8905
    @costantinemwelemi8905 8 ปีที่แล้ว +2

    wao, ni nzur, nimewakubali kwa viwango vya juu

  • @jamesmaeda196
    @jamesmaeda196 5 ปีที่แล้ว

    Nice vocals, vocalcords zenu mmezitumia vizuri sana.

  • @jumapilichangarawe3455
    @jumapilichangarawe3455 7 ปีที่แล้ว +1

    Bwana azidi kuwaangazia nuru za uso wake na kuwalinda mnapoendelea kumtukuza kupitia uimbaji. Ninawaombea pia awawezeshe kushinda dhambi hatimaye siku moja ufae kuimba wimbo mpya katika makao ya milele-ndani ya Yerusalemi mpya juu mbinguni.

  • @salimmasatu5191
    @salimmasatu5191 8 ปีที่แล้ว

    mungu andelee kuwatia nguvu ktk kz hiyo ya uimbaji mko vzr

  • @rockmhina8145
    @rockmhina8145 8 ปีที่แล้ว +1

    ni nzur kwakeli mme jitaidi mnooo

  • @magamborashid1595
    @magamborashid1595 8 ปีที่แล้ว +1

    VIJANAS WENZANGU MMEFANYAVIZURI, BWANAASHUKULIWE

  • @mukamambeba7966
    @mukamambeba7966 8 ปีที่แล้ว +1

    wow...nawapenda sana nyie watu!

    • @mukamambeba7966
      @mukamambeba7966 8 ปีที่แล้ว

      amina nitakaribia,mbarikiwe sana.

  • @abrahambungei8591
    @abrahambungei8591 5 ปีที่แล้ว +1

    Nawajua akina Chiba na Israeli na ken

  • @floriananyevu3771
    @floriananyevu3771 7 ปีที่แล้ว +2

    it's ma prayer too nikuwe hapo pia, be blessed aki, where can I get ur CDs aki

  • @samsonthomas5546
    @samsonthomas5546 8 ปีที่แล้ว +3

    So sweet

  • @deboralalika4481
    @deboralalika4481 6 ปีที่แล้ว +1

    Nataman kama nn!