2023 mara yangu ya kwanza kusikilkza huu wimbo hapa kwa kila like ya hii comment ntakuwa nakumbushwa ujumbe pia kurudi kusikiliza, na ikiwa nimepumzishwa jina la BWANA ni jema.
Oh sasa nyimbo hizi zanipa msisimko wa ajabu. Zimetungwa na kuimbwa kwa mahadhi yaliyo bora ajabu. Natamani kufika mbinguni nikashuhudie uzuri huu wa ajabu na nikale matunda matamu ajabu huko jijini Yerusalemi. Mbiu SDA Choir mmebarikiwa. Nawaombea kupaa zaidi katika huduma hii. DAN WANYOIKE - Kutoka Kenya.
Waimbaji wote wapendeza. The ladies are giving a very nice solo voice. My fellow Gentlemen; you are superb. Missing to be part of You. Tanzanian brethrens you are blessed. This is fantastic.
Hongera sana Mbiu SDA Choir. Mmekuwa baraka kubwa kwangu. Kwa wimbo mnaniitisha kuzidi kumwamini BWANA YESU. Ameahidi kuja kunitwaa kwenda makao ya amani. Mungu awe nanyi daima.
MUNGU AWABARIKI CHOIR YA MBIU,YOUR SONGS ARE A BLESSING TO ALL OF US.HUU WIMBO HASWA UMEIMBWA KIAJABU SANA.SIFA NA UTUKUFU NI KWA MWENYEZI MUNGU WA MBINGUNI.
Que Dios les bendiga a todas las personas que se dedican con alegría a alabar a Dios Todopoderoso que en este momento les está mirando desde el cielo, muy pero muy contento recibiendo la alabanza de su pueblo.
Mnafanya vizuri Mbiu Ila ongezeni program za maombi na kujifunza neno la MUNGU na moja ya ombi lenu iwe kila kitu kifanyike kwa utukufu wa MUNGU, Mbarikiwe sana.
hakika nimepokea kitu katika hii nyimbo. Mungu awabariki na kuwalinda maana apa shetani katandikwa kwa abari njema ya mbinguni na mazuri yaliyopo. nice and best
OOH! God i pray for these brothers and sisters to have slot in Heaven. They are true definition of Heaven, Beauty and Gospel. Yes, they might not know but they are a blessing to the community. So AMAZING to listen them over and over again.
2023 mara yangu ya kwanza kusikilkza huu wimbo hapa kwa kila like ya hii comment ntakuwa nakumbushwa ujumbe pia kurudi kusikiliza, na ikiwa nimepumzishwa jina la BWANA ni jema.
😂
Mimi sio msabato Ila nawapenda sana wasabato munajua kuimba mno
Takuja kuwatembelea apo Tandale Mungu akipenda 🙏🙏
Kazi safii watoto wa magufuli,, WanaMbiu you never disappoint 💕💕 💕 watching you from Kenya. Blessings!!
Oh sasa nyimbo hizi zanipa msisimko wa ajabu. Zimetungwa na kuimbwa kwa mahadhi yaliyo bora ajabu. Natamani kufika mbinguni nikashuhudie uzuri huu wa ajabu na nikale matunda matamu ajabu huko jijini Yerusalemi. Mbiu SDA Choir mmebarikiwa. Nawaombea kupaa zaidi katika huduma hii. DAN WANYOIKE - Kutoka Kenya.
Waimbaji wote wapendeza. The ladies are giving a very nice solo voice. My fellow Gentlemen; you are superb. Missing to be part of You. Tanzanian brethrens you are blessed. This is fantastic.
Best of praise music God bless you 🙏🏼
Nawapenda!! Mungu awajalie nguvu ya roho mtakatifu mmuinue kokote ulimwenguni pasipo majivuno Amina!!!
nyimbo zenu wasabato zinanifariji sana nazipenda
Amin
kazi nzuri sana mbiu,hamjawahi kutuangusha kanisa la waadventista wasabato ulimwenguni kote.safi sana
Amin
Ok
Pls vol one night habari njema na hallelujah pls naitaka hauko you tube
@@joselynebenjamin9080 3ou
Amen
nawapenda sana wana mbiu sda am from kenya mungu azidi kuwabariki
Mungu awabariki wapendwa kwa kweli nyimbo zenu zinabariki, Mungu azidi kuwatumia apendavyo.
mungu awabariki sana! kwa kutubariki kwa nyimbo za kutia nguvu ili wote tukaze juhudi wa kufika pale
Hongera sana Mbiu SDA Choir. Mmekuwa baraka kubwa kwangu. Kwa wimbo mnaniitisha kuzidi kumwamini BWANA YESU. Ameahidi kuja kunitwaa kwenda makao ya amani. Mungu awe nanyi daima.
kazi nzuri sanaaa...Mungu azidi kuwabariki...you know i love you guys
Mji ni mzuri!!!! washangaza!!!! ukiwa pale ni furaha tele
Asante mbiu kwaya. Kazi nzuri,hiyo key board nimekubali safari hii kiukweli.
mko vizur Mungu awabarik mkaimbe na mbinguni
Ameeen and Ameeen katika jiji lile Jerusalem ❤❤❤❤
Nyimbo inabariki kila msafiri anayengojea marejeo ya Yesu ambayo yamekaribia sana
I love you mbiu with your sololist da happy nataman siku moja tuimbe wote
Who's from Mombasa listening to these grate voices
Here🙌
E
Me
Like your songs, they rilly insipires me
@@uwamahorojirber7126 gv good
MUNGU AWABARIKI CHOIR YA MBIU,YOUR SONGS ARE A BLESSING TO ALL OF US.HUU WIMBO HASWA UMEIMBWA KIAJABU SANA.SIFA NA UTUKUFU NI KWA MWENYEZI MUNGU WA MBINGUNI.
Waooo huo mji mzuri nataman tusikose ukoo
Safari yenu next yafaa iwe Kenya kwetu hapa.
Mungu awabariki kwa kazi mnayoifanya
Mbarikiwe kwa wimbo mzur na wenye ujumbe mzur
Yaan mbiu choir hamjawahi kuniangusha🙏🇹🇿
Barikiwa kwa nyimbo nzuri
Ninabarikiwa sana na nyimbo zenu nzuri nawapenda Mungu awabariki mzidi kwenda mbali 💞💞
Kazi Nzuri imejaa upako na baraka tele.
Amen best song 🎇🎇🎇🎇🎇🎇 God bless you mbiu choir.
mungu awabariki sana kwa kazi njema,tukutane yerusalemu .
Mbarikiwe makamanda wa yesu
The veterans in the ministry.barikiwa
Waoooo i love you a lot,,,,mnanibarik kwa thanaaa,,,,
Hongeren sana Mungu azd kuwabariki.
Amina. Mungu Awabariki sana. Mwende mbali.
Mmbarikiwe waimbaji na mungu awaongoze siku zote Amen
Mbinguni ni mahajabu when shall we meet there?Amen 🙏
Mungu awabariki wasafiri wenzangu mwende mbali.
Mungu awajalie nyinyi nyote na muendelee kukusifu milele na milele
Que Dios les bendiga a todas las personas que se dedican con alegría a alabar a Dios Todopoderoso que en este momento les está mirando desde el cielo, muy pero muy contento recibiendo la alabanza de su pueblo.
mbiu mbarikiwe kwa kazi ya Bwana
Nyimbo nzuri,na pia mmependeza sasa.
Glory to almighty God for the wonderful work you a doing.may you be blessed abundantly.as we are waiting patiently for his second coming of our lord
Nikweli kabisa kuna matumaini kwawanao mjua Mungu.
Mungu awabariki sana mmoja wenu asikose kuingia mji huo waajabu.
Nami nautamani humji waajabu.
Kweli mwapendeza sana,kweli tu wenye dhambi.
Ameen mubarikiwe nyimbo zenu nizaupako
Asanteni saaana kwa wimbo mtamu sana tena wakunimbusha nyumbani
May God bless you for the goood job you're doing, nyimbo zenu tamu sana🙏🙏🙏💯
Mbiu you've always be the best choir .May God bless you people
THERE IS ONLY ONE MBIU CHOIR IN THIS WORLD...
GOD BLESS YOU RICHLY
Mnafanya vizuri Mbiu Ila ongezeni program za maombi na kujifunza neno la MUNGU na moja ya ombi lenu iwe kila kitu kifanyike kwa utukufu wa MUNGU, Mbarikiwe sana.
Ooooow!!! Nice one mbiu be blessed choir i daily listen to your music nd videos plz upload more it blesses more. Listening from Doha
Nawaombea mungu aenderee kuwanemesha kwa maubili matamu
Mbiu SDA choir may God bless you. You really bless me.
Nyimbo mzuri sana nauliza tu Kuna dada apa anaimba kwa both choirs mbiu and salasala
Aky nimekuzwa sana na uu wimbo sana thanxs
nabarikiwa sana sana nanyi mbiu mungu na azidi kuwainua katika viwango vya juu
Great message,uplifting.... From Kenya SDA community
Watching from kenya, Adventist for life
kwa hakika Mbiu mmekuwa baraka kwa ulimwengu. peperusha bendera ya BWANA hata ajapo. MTOBESYA, ZACHARIA
Nimewakubali aisee, one of the best
Mbiu mbarikiwe sana
Wonderful song, wonderful style of singing the song,, be blessed Mbiu Choir
Mnanibariki sana kwa nyimbo zenu murua ,barikiwa sana
Mungu aibariki Mbiu🔥
Wimbo huo ni bora kweli kweli.Barikiwa mno kwa jina la Yesu
My favorite choir hallelujah Amen
hakika nimepokea kitu katika hii nyimbo. Mungu awabariki na kuwalinda maana apa shetani katandikwa kwa abari njema ya mbinguni na mazuri yaliyopo. nice and best
Kila siku tutakuwa vijana, natamani sana kufika jijini Yerusalemi
Me to
I like this song every day I must play this sweet song
Listened to it a thousand times
Mungu awabariki Mbiu,
What a wonderful song, May God shower His blessings to these souls.
Wimbo mtamu mbiu nataman asiwepo hata mmoja wakuzeeka muimbien bwana ama hii ndio kwaya itakuwapo mbinguni🤔🌹🙏🏻
mbiu mbarikiwe sana
A very niice song it gives me hope for God's kingdom be blessed
my best...be blessed for the good work
Ilove this choir it has done a tremendous job to spread the good news of the kingdom in east africa
Kazi nzuri. Nawapenda Sana.. Salimia apilo opiyo Justin..
Mji ni mzuri na unashangaza walio wengi
Happy nakukubari sana tumeimba wote buhare
Mbarikiwe sana wanambiu kwa kutuinua kiroho kila wakati
Amen amen mji ni mzuri
My all time choir ur voice n the message gives me so much hope I can't miss heaven for anything else nataka nizunguke Katikaka jiji jerusalemu
Mnaimba poa napenda nyimbo zenu
Mbiu SDA choir never fails me with their songs, they always kills it. much love and be blessed
The man behind these great compositions is Gibson Nguru I hope so.
My favorite choir you always sing very well, nice message and sweet harmonies
Mbarikiwe sana kwakweli watu wa Mungu
I love this group.
you never fail.. you are our leaders, mfano wa kuigwa kila wakati
vijana wenye nguvu tele tamu sana
Wow.. 👏 👏 👏 👏 👏 God bless Mbiu... Looking forward to another meeting in Kibera #CAMPMEETING2020
Mnaimba vizur sana mje muimbe na Mbinguni
Uimbaji Wa kisabato unanifanya nitamani kuitwa msabato.
Umekaribishwa kabisa.
OOH! God i pray for these brothers and sisters to have slot in Heaven. They are true definition of Heaven, Beauty and Gospel. Yes, they might not know but they are a blessing to the community. So AMAZING to listen them over and over again.
Ezekiel from Kenya nawapenda sana kwa nyimbo zenu,wamama wazuri kama kuna yule aja olewa ningependa ni juwe hili tuwaziliane hivi karibuni.
JE TAWI?!!I'm a Catholic but napenda sana nyimbooo zenu wapendwa jitahdn kuapdate nyimboo ili tulio mbali tubarikiwe distance istitutengenishee
WELCOME to our adventist world
Amen be blessed
Jitahdn kuapdate nyimboo
Ni SDA ndugu
@@mariajohnfelix8018 yes mpndwa ,napenda nyimbo zao
Ameen be blessed mbiu choir for your good work.
Amen barikiwa sana
Lack words to express how I feel to your songs may God bless you my SDA family
Jamani mbarikiwe sana
May our great God bless you nightly for the good job.
Amen wimbo unanibariki