Tamisemi yaeleza mfumo mpya wa ajira, uhamisho wa walimu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 20

  • @stellacharlesmuhitira8609
    @stellacharlesmuhitira8609 3 ปีที่แล้ว

    Hongera serikali kwa mfumo huo mlioanzisha nimeupenda walimu wamehangaika sana

  • @florangunda3405
    @florangunda3405 3 ปีที่แล้ว

    Asànte mungu wa mbinguni ,,u uhamisho tuwafate waume zetu na familia zetu...

  • @getruderg.luhende6430
    @getruderg.luhende6430 3 ปีที่แล้ว +1

    Mmmh!hapo kuhusu suala la walimu wanaojitolea mnakaribisha RUSHWA....

  • @fredrickashery5415
    @fredrickashery5415 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwahali hiyo vijijini hakutakuwa na walimu wengi watajihamishia mijini

  • @jabilingandule6621
    @jabilingandule6621 3 ปีที่แล้ว +1

    Leo nimemuelewa sana hata kama alikuwa muunga juhudi aendelee anamaono sana

  • @johnmwambasi2299
    @johnmwambasi2299 3 ปีที่แล้ว +1

    Mifumo Ni mizuri lakini ya kuzingatia wanaojitolea Ni uongo huo

  • @jamesnyamhanga9110
    @jamesnyamhanga9110 3 ปีที่แล้ว

    Kwenye uhamisho hapo nimepakubali ila mzizingatie swala la umiaka ya mtu kwenye ajira jamani

  • @leotena8456
    @leotena8456 3 ปีที่แล้ว

    Kwani miaka yote mlikua wapi

  • @evaristlucas6338
    @evaristlucas6338 3 ปีที่แล้ว

    Kila siku mfumo wapi madenimissi

  • @Tariqxxtenations
    @Tariqxxtenations 3 ปีที่แล้ว

    Bora mlivoeka hivyo

  • @loemaiddi3744
    @loemaiddi3744 3 ปีที่แล้ว +1

    Acha kutufigisu kama hayo unayajua inakuwaje wahitimu wa 2019 wameajiriwa wakati 2016 bado

  • @emmanuelkurwa3096
    @emmanuelkurwa3096 3 ปีที่แล้ว

    Kama application zinafanyika online aliyejitolea mfumo unamtambuaje

  • @frankhoffa8356
    @frankhoffa8356 3 ปีที่แล้ว

    Ah namwona dugange hapo

  • @rednekastephano237
    @rednekastephano237 3 ปีที่แล้ว

    ETI NN

  • @minskbelarus7255
    @minskbelarus7255 3 ปีที่แล้ว

    WANANCHI Digital......UWAMISHO NDIO NINI?🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄 Kweli nyinyi ni Wanahabari?

    • @rusasamorrice7181
      @rusasamorrice7181 3 ปีที่แล้ว +1

      Serikali iwe makini na mfumo huo vinginevyo kuna Halmashauri zitabaki bila walimu.Ni vizuri.

    • @michdevis
      @michdevis 3 ปีที่แล้ว

      @@rusasamorrice7181 yaan watashangaa nusu ya waalim wameomba kuhama tatizo serikal haijafikiria kabisa nasubir huo mfumo uanze

  • @rednekastephano237
    @rednekastephano237 3 ปีที่แล้ว

    ETI NN