AJIRA ZA WAALIMU NA MAAFISA AFYA KUTANGAZWA FEBRUARI - WAZIRI MCHENGERWA - “ELFU 23 WATAAJILIWA”...
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 24 ม.ค. 2025
- AJIRA ZA WAALIMU NA MAAFISA AFYA KUTANGAZWA FEBRUARI - WAZIRI MCHENGERWA - “ELFU 23 WATAAJILIWA”...
serikali inatarajia kutoa ajira 23,000 za Walimu na Maafisa Afya hivi karibuni ambapo tayari wizara imeshapata kibari cha kutoa ajira hizo.
Hayp amebainisha na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) Mohammed Mchengerwa akiwa mkoani Morogoro wakati akifunga Kikao Kazi cha Makatibu Tawala Wasaidizi Elimu na Maafisa wa Elimu wa Halmashauri zote nchini, ambapo
waziri Mchengerwa anasema tayari serikali imetoa ajira za Ualimu kwa mwaka 2022/23 jumla ya walimu 13,130 waliajiriwa na kupangiwa kazi katika maeneo mbalimbali hapa nchini, huku akifanikiwa kuwapandisha madaraja walimu 227,263 pamoja na kuwalipa walimu wa ajira mpya stahiki zao.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
Eee Mungu tukumbuke,,,,,tunakupenda mamaaa samiaa
Kipindi cha Samia ni kipindi cha neema kwa walimu na watu wa afya. Kila mwaka sasa wanapata ajira za kutosha.