Jamii ya Wapemba nchini Kenya Yamshukuru Mheshimiwa Rais William Samoei Ruto- Makala ya Kwanza.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 35

  • @salimmachila5736
    @salimmachila5736 ปีที่แล้ว

    Historia nzuri sana ..huo msikiti tungependa tuone zaidi

  • @innocentman5954
    @innocentman5954 2 ปีที่แล้ว +1

    Asant sheikh Istambul, nakushkr sana

  • @hamisikalama1286
    @hamisikalama1286 2 ปีที่แล้ว +2

    Jambo zuri Sana Mimi nikiwa jirani yao hapa Kona ya shimoni niliamka nikiona tayari wapemba vizuri tu

  • @suleimanngare6707
    @suleimanngare6707 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukran sana kwa maelezo mazuri yenye history kuntu 🙏🙏👌🤝

  • @Sidik-d7e
    @Sidik-d7e ปีที่แล้ว +1

    ASSLAMALAKUM I AM PROUD OF PEOPLE OF PEMBA WHO LIVING IN KENYA 🇰🇪. PEMBA PEOPLE ARE TOO KINDER MY ALLAH ALWAYS BLESSED THEM I AM LIVING IN 🇬🇧 LONDON BUT I AM ORIGINAL FROM KENYA 🇰🇪 MOMBASA. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @stambuliwash.abdillahinass8123
      @stambuliwash.abdillahinass8123  ปีที่แล้ว

      Maa shaa Allah! Blessings to you too.

    • @Sidik-d7e
      @Sidik-d7e ปีที่แล้ว

      JAZAKALLAH AMEEN AMEEN AMEEN REMEMBER ME IN UR DUA MY LOVELY JOMBA FROM KENYA 🇰🇪 UR SON SIDIK FROM 🇬🇧 LONDON WS ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ 🙏 ❤ 💙 ♥ 💖 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @umsoud3306
    @umsoud3306 ปีที่แล้ว

    Allaah Kariim ghafuur Rahhim

  • @abuuimraanazenjibar2490
    @abuuimraanazenjibar2490 ปีที่แล้ว

    Nimefurahi sana

  • @chinaboyzanzibar5328
    @chinaboyzanzibar5328 ปีที่แล้ว +1

    ASSALAAMU ALEYKUM I AM PROUD OF OUR LOVELY PRESIDENT RUTO OF KENYA 🇰🇪 MY ALLAH ALWAYS MAKE HIM HAPPY WITH HIS LOVELY FAMILY BECAUSE HE HELP PEMBA PEOPLE WHO LIVING IN KENYA 🇰🇪 TO GIVE THEM RIGHT TO LIVING IN KENYA 🇰🇪 MY ALLAH GIVE OUR LOVELY PRESIDENT RUTO LONG LIFE INSHALLAH I LOVE OUR PRESIDENT RUTO FROM BOTTOM OF MY HEART ❤️ 💙 💜 💖 💗 💘 ❤AND I AM ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @suleimansharjy9890
    @suleimansharjy9890 2 ปีที่แล้ว +6

    Nimefurahishwa sana na historia hio lakini Naamini kuna mengi ambayo Mzee wangu Sheikh Stambuli atakuja kujazia,hadi leo kuna jamii kubwa ya Wagunya kisiwani Pemba hasa Kaskazini.hii yote ni dalili ya wazi kuwa Pwani ya Pemba na Pwani ya Kenya zina muingiliano wa kidamu Mamia ya miaka nyuma.

    • @stambuliwash.abdillahinass8123
      @stambuliwash.abdillahinass8123  2 ปีที่แล้ว +1

      Ni kweli.

    • @allylassuh4947
      @allylassuh4947 ปีที่แล้ว

      Kwly kabisa hata marhum babu yangu alitokea rasini akafika mpk pemba akamaliza kila kitu chake huko huko mpk umauti wake

    • @MohamedMgwami-nw6bl
      @MohamedMgwami-nw6bl 2 หลายเดือนก่อน

      Wapemba kila utakapokwenda utawakuta,na hawachelewi kuoa na kuunganisha familia moja na nyingine

  • @MuhammedAliOmar-c9u
    @MuhammedAliOmar-c9u หลายเดือนก่อน

    Wazanzibari ndio sisi na mwambao na visiwa ndio kwetu Africa mashariki

  • @umsoud3306
    @umsoud3306 ปีที่แล้ว

    الحمدلله رب العالمين

  • @asaduallah2532
    @asaduallah2532 2 ปีที่แล้ว +2

    Mzee wangu nataka uchambuwe kwa undani kuhusu historiya ya wpemba

  • @mpendakiswahili3053
    @mpendakiswahili3053 2 ปีที่แล้ว +1

    Lakini mbona serikali inapuuzilia maslahi ya wapwani!!!!

  • @ericmaniraho2260
    @ericmaniraho2260 ปีที่แล้ว +1

    Muafrika kupata citizen ya uraya ni 5 years.lakini ukiwa afrika ni shida.afrika wanachukia wafrika.

  • @mombasa7
    @mombasa7 ปีที่แล้ว +2

    Basi Hawa ni washerazi! Wali ishi Kenya kabla ya Kenya kuwa Kenya! Baada ya mkanda wa pwani kupewa Kenya watu wote wanao ishi pwani wapemba, wamsubiji, na wanyasa walikua na haki kupewa uwanachi!

    • @binramaah3848
      @binramaah3848 ปีที่แล้ว

      Hapana si washirazi washirazi wako,hawa walitoka Pemba zamani sana

  • @alphayoagoi9959
    @alphayoagoi9959 2 ปีที่แล้ว +1

    shukran sana ndugu yangu. Mola akueke inshaallah. ila n'na swafi. Likoni maeneo ya Shell Beach, mwaka 2000 kurudi nyuma. mlikuwa na gofu la kale lilikuwa ufukweni mwa bahari.ila kwa sasa jengo hilo alipo tena na mahali pake pamejengwa jumba la kifahari. swali langu ni je! huenda maeneo haya yalikuwa makazi ya jamii flani?

  • @saidkhamis8229
    @saidkhamis8229 2 ปีที่แล้ว +2

    KAMBALU AL JAZEERA(RANGI YA KIJANI)HADI KUITWA PEMBA.

  • @asilasaidsalim6138
    @asilasaidsalim6138 ปีที่แล้ว

    Hapo kuna tofaut Kati ya kicheka mkwaju na kicheka mkwaju kichaka mkwaju ni Mana take ni kipori bakora yan ito sehemu 8likua una kipori ndio kipori wapemba waita kichaka kwaiyo sivo alivosema kicheka mkwaju haiwez jus kichaka Mana mean ni tofaut

  • @dylankanyubi3700
    @dylankanyubi3700 ปีที่แล้ว

    Twakaribia jamii ya Wapemba nchini Kenya ukanda uo huo wa pwani mwa Afrika Mashariki ni nyumbani kwenu. Mpaka leo ninashindwa mbona bado tuna mipaka hii ya ukoloni ambayo ni bandia.

  • @binramaah3848
    @binramaah3848 ปีที่แล้ว

    Hiyo historia nya washiraz si ya wapemba

  • @RashidHaroun-c2j
    @RashidHaroun-c2j 2 หลายเดือนก่อน

    Wapembaaaa 😂

  • @khamismaulid6839
    @khamismaulid6839 2 ปีที่แล้ว

    Sebu vyangu tabishwa kwani ajuae ajua

  • @suleimanomar5823
    @suleimanomar5823 ปีที่แล้ว

    hapana shekhe Mna ya Pemba su tafutaji ume kufuru historia inasema MAna ya Pemba ni wasafiri walio Potea baharini wakawa hawaoni nchi kavu sasa wakapanda mlingoti juu wakaona dalili ya eneo la nchi kavu aakamwambia nahoda pemba kulia kwakwako kila akienda Pemba kulia mpaka walipo fika kwene kisiwa hapo Pemba wakaishi kwa matumaini wakfanyia mzaha kumbe ilepemba pemba ilikuwa inatupeleka hapa Hapo ndio ikajulikana na kupatikana jina Pemba.

  • @mombasa7
    @mombasa7 ปีที่แล้ว

    Wapemba walikuja lini Kenya?