TAZAMA MAAJABU YA MWANAJESHI KIPOFU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ม.ค. 2025
  • UP SOUND GWARIDE,…..MEJA JENERALI MABELE AMESEMA HAYO WAKATI WA KUFUNGA MAFUNZO YA JKT OPERESHENI SAMIA SULUHU KIKOSI CHA RUVU AMBAPO PAMOJA NA MAMBO MENGINE AMESEMA JESHI HILO HALITOI AJIRA LINATOA MAFUNZO KWA VIJANA ILI KUILINDA NCHI ,…MEJA JENERALI RAJAB MABELE,…MKUU WA JKT.
    AKIFUNGA MAFUNZO HAYO MKUU WA WILAYA YA KIBAHA SARAH MSAFIRI AMESEMA BAADHI YA MAFUNZO YA JKT YAKIWEMO YA UJASIRIAMLI YATUMIKE KAMA DIRA KWA VIJANA KUJIMWAMUA NA UMASKINI KABLA NA BAADA YA KUPATA AJIRA,….SARAH MSAFIRI,…MKUU WA WILAYA YA KIBAHA….
    KAMANDA WA KIKOSI CHA 832 KJ KANALI PETER MNYANI ALISEMA VIJANA 3994 WALIANZA MAFUNZO HAYO JUNI 21 NA WALIOHITIMU WALIKUWA 3856 NA WAMEPATIWA MAFUNZO MBALIMBALI YA KIJESHI NA UJASIRIAMALI,….UP SOUND MAFUNZO,….INSERT,..KANALI PETER MNYANI,….KAMANDA WA KIKOSI CHA 832 KJ RUVU,…JOHN JOSEPH,...MS

ความคิดเห็น •