JuuAfrika Tamasha - Nyandira Mgeta Morogoro
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 17 ส.ค. 2016
- Graphics & Video production
+255 717442088, +255 767442088, +255 693355528
Ni tamasha la watu waishio milima ya Uluguru litakalofanyika kijiji cha Nyandira Mgeta wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro.
Tamasha hili linashirikisha vijiji visivyopungua tisa. Lengo la tamasha hili ni kuhamasisha, kulinda, na kutunza utamaduni na sanaa za kabila hili la Waluguru. Tamasha litafanyika septemba 2/3 2016.
Waluguru oyeeeeeeeeeeeeee mpo wapi wa ukae
Tobaa miangu
Nene nabaha gwege ulikwani
@@lawranceseverine7894 Toba choni kwani gwege si mluguru bae😂😂
Mi nabaa
@@mkazilakwamchilloh3563😂😂
monyimba Nene nowautsa monyimba nene
Ukaye ghendo
Umanevwiwotzo nitenda
Nimependa
wamwikira genge wameona eheeee imwana imanye pfawotzomte🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉nda😂😂😂😅😅😅😊😊😊😊
Jamani mmnimemuona kakangu anacheza mpeta
Ndugu yangu naomba nitumie mbeta nikumbuke chidigwo gweee
hapana chezea mbeta kumbe kwa mmbea gwegwe.
Nafurahi sana nikisikia nyimbo za kinyumbani haswa nipo huku nje kwa muda mrefu
såna ngoma ya Kina mama ni mafunzo makubwa.mmmmwawoooo
Habari nzuri za kuelimisha. Utamaduni wa kupendeza. Walihuru zingatieni utamaduni huu.
menikumbusha mbali jamani.kwetu huko.uhuuuuuuuu penda sana
ukae kunoga
mse tudawale
Waluguru oyeeeeee ukae kunogha
Pinga mbeya simwing'a jambo eheeee
Apana chezea
Ukae kwamta ng'ani
vinogha
Watsengele wanyikila ghenge oiya eee ah oiyaaa ee imanye vyantenda wanitoa la ligumi buuu😅
Lo vibwali lugaluga mwemwe
Mlolese vibwali lugaluga
luga hiyoooo.oyoooo
Nyandira moja hiyo
Napenda sana ngoma za nyumban home boy moro one
Aisee nimefurahi sana kuona mama latifa na vaileth
Nakubl waukae mlamka
Ukae kumenoga
Hiyo ndio Bongo Flava sasa.. Chezea Kichuya gwe gwe..!
muhimu kisha bara vara kwani huko wamesaulika sana.kisha vyakula vingi zinatoka milimani.hongera kaka kwa kuwatembelea kijijini kwetu.toa msitizo barabara.
Bwakila sio mtu wa mchezo mchezo..!
Good idea,creation and symbol of certain culture
Ukae kinogha kwakweli
Iko poa sana. Ne nopenda jama!!!
Safi sana waukae
Bint madunda
Wacha weeee moro town stand up
Karibu mlali
Ukae kunogha kwakwer
😂😂😂 Eti kwaiyo mwonyimba Nene home uko Adi raha
nimeipenda sana zisheni umalufu tujegeutamadun
Nimependa sana kukumbuka tamaduni zetu
Hii mbeta ndio ngoma na alama yetu warugulu, sasa siku hizi kuna ngoma hata hazieleweki
Kumbe waruguru tupo wengi
@@mkazilakwamchilloh3563 🤣🤣 ww ulizani uko peke yako ndugu yangu
@@modestsharia5431 ndio hivyo tena huku tulipo tuko wachache
Wapi huko ulipo ndugu
@@modestsharia5431 nipo Boston Massachusetts
Ukae kumenoga
Ukae kunoga wakuru
ombeni