Nyimbo zimejaa upako wa kweli vizazi na vizazi zidi kunyenyekea kwa mungu wa kweli akupaye upako heshimu Sana rafiki yangu wako pastor Ezekiel Charles m mwashinga
Mtumishi mungu azidi kukupa kibali, nabalikiwa sana hasa pale ambapo mda wote unatembea umeshika bible mkononi, wengine tunagopaga kutembea na bible kuogopa matendo yetu hayafanani na tulichokishika
Check out this arrangement by a group named THE STAR CHORALE from Kenya you will too love it and maybe mfanye collabo moja kali ya huu wimbo tena..it really blesses
Nitembele baba mwaka wa 2024 kwa jina lako
Baba nitembelee leo jamani nimechoka na mateso mimi natamani nipate kazi😢😢😢
Back in 2014,we had a Congress and we were dancing this song....Am now 21 yrs old.God is good
Unapowatembelee vijana wengine na Mimi apa baba usinisahau
Very encourage song 🙏🙏🙏
Unapowakumbuka wengine, usinisahau Baba.
Unapotembelea wababa wengine na baba yangu usimsahau akurudie mungu yadunia yamemzidi anasau mapaka familia
Mungu wetu ni mwema akika ataiona familia Yako nakuombea pia🙏
It's 3/7/2024:but still remembering how in 2013 I used to sing this song so that my mom won't die 💔💔
So many memories to this song. How is your mom dear
Unapo mtembelea pastor mwasote Nani pastor mwamba usinisahau Niko hapa t a g ngome ya yesu mwambene
Nimeskia hii sauti deep down my spirit ndio maana nko hapa...nitembelee leo mungu
Unapotembelea wamama wengine na mama angu usimsahau anayaoyapitia yametosha
Very blessing
Mungu nitembelee kwa hali ya ndoa, kazi na kifamilia eeh mungu wa mbinguni kwa Jina la Yesu 🙏🙏🙏
Pia NAMI ukanitembelee Kwa ajili ya ndoa yangu na watoto,
Unapotebelea pst amani nami pstJustine nitebelee
Kweri umlungu atutemberere mana magonjwa yaajabu yameibuka leo bila yeyehatuwezi kazi njema mpendwa mwasote
Nitembele eh bwana
Baba nitembeleee Leo nipate kazi 😢😢
So blessing song ata mimi Jehovah nitembelee nikakuabudu
Kama unataka wimbo huu uwe mwito wa simu yako..Send skiza 7581234 to 811...
Bwana Yesu nitembelee nyumbani na kazini
Nabarikwa sana na huu wimbo,mungu akuinue katika viwango vingine tena
Amani in this song your were in the spiritual realm
O Lord I pray u visit and show up me
Nyimbo zimejaa upako wa kweli vizazi na vizazi zidi kunyenyekea kwa mungu wa kweli akupaye upako heshimu Sana rafiki yangu wako pastor Ezekiel Charles m mwashinga
Mungu nitembelee na unikinge dhidi ya vizuizi vyote vinavyoweza fanya nisikuabudu bwana
Ooh lord remember me🙏🙏🙏🙏🙏🙏
This song is touching my heart..tutembelee baba wa mbinguni
Na Mimi Francis Unitembelee na Familia yangu! Nahitaji kukuona bado!
Mungu atukumbuke maana tumemkosea sana tena Sana dhambi ni nyingi ila atukumbuke
Kweri mungu atutembereee tunamhitsji nyskati zote hata wakati tukiwa na raha au tukiwa matatizoni
Mungu tembelea jamii yangu na mipango yangu nifaulu
Huwa napenda sana nyimbo zako, balikiwa
2024🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Nitembelee baba nitoe kwenye kuuza bar niheshimishe mungu wangu kama ulivotembelea paulo na sila gerezan
Kabisa Grady musa Mungu akutembelee
Ataminakuombeasizhiisafaribilamunguhatuezi
Haki be blessed mutumishi unanibariki sana too
Baba tembelea boma letu siku ya leo usilisahau hakika tunanayo yapitia baba usitusahau..
How I love this song so touching
Nitembelee baba usiku wa leo...yalonishinda I surrender unto you lord my God... be blessed mtumishi wa mungu its really a blessing song❤❤❤
Ameen🙏
Thank you pastor amani huu wimbo uwa unanibariki sana
Bado naedelea kusemaaaa unitembelee leo
Remember me God 🙏🙏😭😭😭
Baba tembelea mawazo yangu..
I like the prayer in this song. It uplifts me. God bless you Amani
Hata mimi nitembelee baba
muna akutembelee na mungu atutembelee pia
God thank you for this ministration
Mtumishi mungu azidi kukupa kibali, nabalikiwa sana hasa pale ambapo mda wote unatembea umeshika bible mkononi, wengine tunagopaga kutembea na bible kuogopa matendo yetu hayafanani na tulichokishika
Amen
2025 Tutembelee baba🙏
Naomba nitembelewe leo na mungu kwa maisha yangu....🙏🙏🙏🙏
Love it ❤️
Natamani unitembelee Leo Yesu Kristo Mwana Wa Mungu Aliye Hai
God bless you servant of God more grace... But nipee download yake
Tutembelee leo na hili janga tuokoe amen
Nitembelee hii 2024
Ututembelee baba na usikie maombi yetu
2025 tutembelee ❤❤❤
Mungu ukitembea tembelea wandugu walionizalisha baadaye wakanidharau na kuniachia majukumu
Nitembelee Yesu
Wanikumbusha mbali
Baba wetu wa mbinguni nitembelee Mungu
Amen barikiwa kwa nyimbo nzuri
Nitembelee na mimi Bwana mwaka huu2021
Listening to it right now 🙏🙏🙏💃
Barikiwa
Nyimbo Zina upako barikiwa mtyumishi
Anina paul
Amen ,mungu tutembelee wakati wa shinda na furaha barikiwa sana
5yrs later I'll be successful my God won't hand me over to death,,Amen
Good song good message
Love your song so mùch.
I like the song its a torching we are lifted with the song i bless u Aman
2nd May 2023,,bwana nitembelee leo yale ninatopitia yametosha
Upako wa wimbo huu umedumu sana
how i wish ningepata favour in the eyes of God i want to serve him like never before
Kama unataka wimbo huu uwe mwito wa simu yako..Send skiza 7581234 to 811...
Tutembelee mungu🙏
Check out this arrangement by a group named THE STAR CHORALE from Kenya you will too love it and maybe mfanye collabo moja kali ya huu wimbo tena..it really blesses
Can you give me their Contact please
Am here today after my pastor Ev.Ezekiel has been taken to Jail please God fight for him
😂😂😂Aty what?😂😂
Unapotembelea wengine NAMI usiniache
Amen God bless you tutembelee leo mungu .
Hello mtumishi halleluyah.. Naomba hii wimbo kudownload
Renewit
Touching song... i love it❤❤Be blessed Amani
Unitembeleee siku hiii ya Leo mungu wangu
Kabisa
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Kweli kapisa baba tutembelee
may the Lord visit me today
Be blessed man of God
Amen. Nitembelee Mungu baba
Kama unataka wimbo huu uwe mwito wa simu yako..Send skiza 7581234 to 811...
Good job papa😅
nitembelee leo
Nitembele bwana wa MBINGUNI Mwala Huu Wa 2024Kama ulivio watembelea paulo na sila mule geresani
Nitembelee na mimi MUNGU
God praise you
Inspiring.making the same prayer.
In the presence of God there is fullness of joy
Nice song
I like this song🙏🙏 God should lift you higher than mountain "Amani"
I like this song is nice to me pst
Powerful songs
Pia Mimi Baba unitembelee hapa ninakutumania Tu wewe
Nimemsikia Bwana.
Kama unataka wimbo huu uwe mwito wa simu yako..Send skiza 7581234 to 811...
Ameen tutembelee baba
still listen 2024
Sitapiga magoti juu ya miungu mingine
A very touching song
haleluhya haleluhya haleluhya
tutembeleh naili janga lakolona mungu
Nitembelee Baba
I'm really inspired by this song❤️
Kama unataka wimbo huu uwe mwito wa simu yako..Send skiza 7581234 to 811...