PCP umekua sana ndugu yangu Ifakara mziki upo mikononi mwako usiache kusapoti sanaa na kipaji hiki cha Enoplat kila la kheri naondoka na wewe ni movie mzee umetisha sana
Kuna jambo la kujifunza kwenye kufanya promotion huyu dogo hana hata Account Boomplay ingawa ni mtandao maarufu tz Charles fanya ufungue digital platforms.................!
Dogo anajua sana mpaka anaboa🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌
Waooh nimeisaka mpaka nimeipata like kwangu bac
Emmatrice hapa Wana wekeni like nyingiiii natuma nauli
Oy enoplat n unyama family yangu unafanya poa changu yangu ukija mngeta mwez wa suta itakua fresh man Wana tutakua tumeshatimba apo man
Kali sanaaaa
Ni unyama eno kaua na bro pcp ujawah kosea Kila hatua dua 👍
Baba unajua had unaboa, pcp ongera Kaz nzur
PCP umekua sana ndugu yangu Ifakara mziki upo mikononi mwako usiache kusapoti sanaa na kipaji hiki cha Enoplat kila la kheri naondoka na wewe ni movie mzee umetisha sana
kaza tu pacha unaweza sana mwanang san labla atoee mchawi
Good job wa ndumbuli
ni swala la muda tu kaka pesa ipo mbele hapo #PCP 🙏🙏🙏🙏
Kazi nzuri dogo
Yap bro festo up kb
Noma sana
Jamaa anakipaji napenda sana Sauti yake na Mianguko yake.............Certified a Hit.
....
Why nimechelewa kumfahamu huyu EnoPlat (MagicBoy)
Akun wa kukupinga enoplat
Natamn litokee colabo lko n gambe ticha
Ifakara moja❤
Bonge la ngoma
Mtoto njoo dsm kwenye mziki
Nakubali
Chumaaa😀🙌
Nakupal kaza
Enoplat🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Pcp🙌🏾
Wakali wakikutana hakuna kitakachoharibika
Dude kubwa msanii mkubwa director mkubwa🙌🙌🙌💥💥💥💥👊👊👊👊
Baba unajua mbaka uanboa🔥🔥🔥
Kaziiiii
Fire
Brother PCP 👐🔥🔥🔥
👊👊👊
Kaliiiii
👍👍💯💯
Balaaaa
Mzigo huo
Kuna jambo la kujifunza kwenye kufanya promotion huyu dogo hana hata Account Boomplay ingawa ni mtandao maarufu tz
Charles fanya ufungue digital platforms.................!
Kaz kubwa san🔥🔥🔥
Uyoo jinii
Ngoma kari sana
😅magisu
Safi sana. Kazi nzuri!
Noma 🔥
🔥🔥🔥
Gud job brother
Good job wa ndumbuli