Bwana asifiwe nimekuwa nikisumbuliwa na mambo mengi,ufahamu,nasahau,kila siku najikuta uwezo wangu unashuka kila kitu kinakuwa kigumu kwangu nakataliwa kwenye uimbaj wangu chuki kila mahal yapo mengi nikieleza simalizi Familia nzima kila mmoja ana tatizo lake wengine wamekata tamaa ya kuomba nimebaki mimi na mama yangu nina amini kupitia shuhuda za watu walioponywa na maombi ya mtumish wamungu mungu atatukumbuka na kututendea Amen
Pole sana ndugu, hata mm nilipitia hiyo hali naelewa jinsi inavyoumiza Nikushauri tu kwamba kuanzia sasa weka pembeni kwanz kila maombi ambayo ulikuw unaomba alafu shika ombi moja tu hili ambalo Mwalimu amesema la tafuta uhusiano na Mungu kwanza kwa kutafuta uso wake kwa kuweka mahitaji yako yote nyuma omba ombi hilo tu utaona Mungu ataanza kukuonyesha nini cha kufanya na shida iliyopo na jinsi ya kuzitatua.
Mungu muumba mbingu na nchi nisaidie kwa damu ya yesu niponye mwili wangu imechoka na kulidiwa rudiwa na magonjwa leo na ponda kesho narudia makataa nahitaji uponyaji wauhasia🙌🙌🙌
Mungu wa mbinguni ktk Kristo yesu akuongeze zaidi ili tupate chakura cha kiroho kisicho chakachuliwa kupitia mwalimu wetu na yesu azidi kukutumia kwaviwango vya juu zaidi asionekane yeye Bali wewe ulie muita ktk jina la yesu Amen
Yeremia 29.11... Mawazo ya AMANI ( ya kukufanikisha,ndani yake kuna matumain) ,Isaya 55.8....,11 Mawazo ya MUNGU cio mawazo ya wanadamu( hayafanani) .. mawazo ya MUNGU yapo juu sanaa,njia zake ( mikakati)... Hallelujah... NENO huja au hugeuka km wazo ukilifanyia kaz lzm litakufanikisha,
Yesu walinde na watt wetu sote katika jina la Yesu kristo aliyehai
Asante yesu kwa kuwa amesikia maombi kutoka moyoni ee yesu usiondoke moyoni mwetu ukatupe mawazo yalio mema
Umestahili YESU
Mungu asante kwa kunifundisha leo.asante kwakufungua fikira zangu na mawazo yangu.
Mungu angilie kati mzunguko wa mawazo yangu na miladi yangu nisizunguke bali nisonge mbele
Hili neno lote la leo ni langu kabisaa jamani Mungu anatisha 😢yani mpaka naogopa majibu yangu yote nimepata leo
He is” a man of God”
Watu wa Mungu kuna wanaotuma ujumbe hapo Yesu wanaandika kwa herufi ndogo nikosa Yesu nijina Kubwaaa sana
Ujumbe huu Mwalimu ni wangu pia,Mungu ni rehemu
Ameni napokea Kwa jina la yesu
Nimepokea muujoza wangu namshukuru Mungu ❤
EE MUNGU BABA KANIFANYE MWANAO NIYASIKIE MAWAZO YAKO UNAYO NIWAZIA KILA SIKU AMINA 🙏🙏
Mwaka Huu 2025 ni mwema kwangu sitazunguka mlima huu tena. Amen AMEN 🙌🙏
Bwana asifiwe nimekuwa nikisumbuliwa na mambo mengi,ufahamu,nasahau,kila siku najikuta uwezo wangu unashuka kila kitu kinakuwa kigumu kwangu nakataliwa kwenye uimbaj wangu chuki kila mahal yapo mengi nikieleza simalizi Familia nzima kila mmoja ana tatizo lake wengine wamekata tamaa ya kuomba nimebaki mimi na mama yangu nina amini kupitia shuhuda za watu walioponywa na maombi ya mtumish wamungu mungu atatukumbuka na kututendea Amen
Pole sana ndugu, hata mm nilipitia hiyo hali naelewa jinsi inavyoumiza
Nikushauri tu kwamba kuanzia sasa weka pembeni kwanz kila maombi ambayo ulikuw unaomba alafu shika ombi moja tu hili ambalo Mwalimu amesema la tafuta uhusiano na Mungu kwanza kwa kutafuta uso wake kwa kuweka mahitaji yako yote nyuma omba ombi hilo tu utaona Mungu ataanza kukuonyesha nini cha kufanya na shida iliyopo na jinsi ya kuzitatua.
Wimbo huu jamani unaitwaje wa mwisho...Bila Yesu
Mungu muumba mbingu na nchi nisaidie kwa damu ya yesu niponye mwili wangu imechoka na kulidiwa rudiwa na magonjwa leo na ponda kesho narudia makataa nahitaji uponyaji wauhasia🙌🙌🙌
Hili ni ombi langu nipokee uponyaji wa magonjwa nakataa kujiridiarudia kwa magonjwa kwa Jina la Yesu
Namshukuru mungu kwa neema ya siku ya leo kuna mzigo ulikua moyoni mwangu lakini kupitia maombi hayo nimepona
Ameeen
Mungu anipe kufanyia kazi somo hili vya tosha nilivyozunguka.
Mungu ingilia kati mawazo yangu namna ya kufikiri kwangu. Inatosha kuzunguka milima hiii. Nirehemu tu nimechokaaa😭😭😭😭🙏🙏
YESU nimwema
Yesu atusaidie kwakweli
Ameen tupo pamoja
Jina la BWANA WETU YESU KRISTO LIHIMIDIWE MILELF NA MILELE
Amen
Unastahili yesu unatahili
Yesu nakutukuzaaaa umeniponya SIFA NA HESHIMA NI ZAKO JEHOVA
Sifa na utukufu apewe Bwana
Mungu wa mbinguni ktk Kristo yesu akuongeze zaidi ili tupate chakura cha kiroho kisicho chakachuliwa kupitia mwalimu wetu na yesu azidi kukutumia kwaviwango vya juu zaidi asionekane yeye Bali wewe ulie muita ktk jina la yesu Amen
Ameeeen
Ameen 🙏
Amina
❤
Hallelujah 🙌
Ameen
Namba ya M-Pesa inayoishia na 633 imefikia kikomo cha kupokea pesa. Nmetuma sadaka mara mbili miamala inaferi.
Kaa Kwa muda Fulani jaribu Tena kutuma
Ni Kwa sbb muda huo wengi mnakuwa mnatuma
Au jaribu tigo na eatel pia zipo hapo zinapita
Jitahidii utume siku inayofuata Ubarikiwe 🎉🎉
Ni muda sana kama miezi mitatu sasa kila nikijaribu inaniambia imefika kikomo kupokea.
Hata mimi pesa imegoma
Chukua Ile nyingine Mpya,,....
Moshi mnakuja lini
Emungu nisaidie nishinde mizunguko hiyo
2Kor.......Kuna mawazo ya Shetani pia lengo kumkwamisha mwanadamu wa kwanza
EE YESU PIGANA NA WATESI WANGU
Nimechukuru MUNGU nilikuwa nikisikiya kitu kinatembe kwenye ubavu ila leo nimeskiya nimepona niko salama
Jina la BWANA libarikiweeeee
Kama unazunguka nje inamaanisha na moyoni unazunguka pia, daka hiyo itakusaidia 😂
Yeremia 29.11... Mawazo ya AMANI ( ya kukufanikisha,ndani yake kuna matumain) ,Isaya 55.8....,11 Mawazo ya MUNGU cio mawazo ya wanadamu( hayafanani) .. mawazo ya MUNGU yapo juu sanaa,njia zake ( mikakati)... Hallelujah... NENO huja au hugeuka km wazo ukilifanyia kaz lzm litakufanikisha,
Team ya Mana tunaomba video ya leo TH-cam please naona imetolewa wengine ndio tumetoka kazini tunataka tuendee naona video imetolewa. Asanteni
Video ipi imetolewa?
Maana ya Leo ndo hii hapa tunaangalia
Ya jana na juzi pia zipo bado
Ipo bado @azarani
Amen.🙏🏻
Amen
Ameen
Amen
Amen