ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Naipenda hiyo combination ya Steve na Ndaro😂😂Humu Kenya hatuachi kucheka😂😂😂😂😂
Kumekucha jamani Kama wewe ni shabiki wa ndaro na Steve angusha like yako hapa
Kusema kweli hawa jamaa wawili Huifanya video kuwa yenye ladhaONE LOVE FOREVER❤❤😂😂
Ndaro na Steve big combination kama na wewe unawakubali twende pamoja
🤣🤣🤣🤣😂 Ndarooo na Steve mweusi 🙌🏼❤️❤️❤️
Ndaro na steve ni wauni sana❤❤❤❤😂😂😂😂
Huyu jamaa anaeongea na demu Anatema point mtupuu 🙌🙌🙌
Ndio mana nampenda mbwela
Vp
wangapi wanapenda Stevu akilitaja Jina fatuma 😂😂😂😂😂😂
mjinga sana😂
Kali ya mwaka one love from Kenya 🇰🇪.
Kipaji kikuzwe na kutunzwa, sapoti kutoka Kisii, Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Bia mm mkisii babu
Mbwela anajua sanaa
Kisii pia bro
Mkisii ni mkisii😂
Pia mimi kutoka kisii,kumbe tuko wengi😅😅😅
Nawakubali sana .... unyamaaa sana😂
Napenda huyu Steve sana kabisa, nitajiskia raha sikumoja Niki kutanana nae katika maisha yangu, ça sera parmi mes jours heureux
Napenda combination yenu❤❤❤
Hilo cheko la Steve mwishoni 😂😂😂❤
Mwamba amenikumbusha mbali sana mapenzi yaliponiswaga kama ling'ombe na demu alikuwa anajibu hivi hivi baada ya muda alikuja kuomba msamaha dah mapenzi na umaskini ni noma
Na ulivyo ukamkubali
😆😆😆 mungu awajaliye mema hapa duniani na kesho ya khera 🙏🙏 nawapenda saana Steve na ndaro🖤♥️😟🥺
Hapo mmecheza poa sana sana ,, Inafunzo sana nimepongeza,,From Kisumu Kenya
Nameipenda hiyo fatuma wewe😂😂😂😂😂
Ndoa bila pesa si ndoa. Wadada mtatuua. Kenya tuna shida kama Tanzania.
Kenya wapi? Shenzi
Jamaa yuko on point kabisa😢
❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂kweli mapenzi bila pesa wachache sanaaa watakuamini but pesa muhimu
Jamaa naye analia kabsa,mpaka huruma
@@aldomtate575jamaa anajua kuact kulia had huruma😢😂😂😂😂😂
Huyu jamaa ana penda sana kulia 😢
Bab veep hujui kulia ni kipaji wee pewa hata milion hapo uone unaweza kulia bila sababu
Daaaah! Jamaaaa anapoit😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Steve umeona muite ndaro fatuma Tena unaongeza kiss juu Aki waniua 😅😅😅😅😅😅😅
Wakwanzaa😂😂😂
Kbs
Good job steve mozes afu nafurahi kuigiza na mbwla
Steve & the company, you are doing quite great works. Kenyans are seriously following. Hajra et al. are a great blend
Fatuma wewe 😘ontrend😂😂😂😂😂
Fatuma ww mwaaa🤣🤣
Wanawake wa ivi honyo sana unamsaidia ikikwama siku moja anakuacha kwenye Natasha, akitendwa uko ndo anakukumbuka sasa😢😢
Umetishaass mwamba steeeeeeveeeee
Amadi kijicho ayuko tena
Uyu mrembo ❤c kubali kaka yangu tuwe jamii nyuma Safi sana
Steve anatak apew nafas waende wawili 😢😂😂
Omg ma_homeboyTalented guys
Hio busu la fatuma nani kamfunza mwehu steve😂😂😂
Nawapenda
😂😂😂😂ndaro bana🇧🇮
Wa Kwanzaa naombaa like zanguu😂
C'est nous le congole nous sommes là avec vous
Okay
Nice,enjoyed
Huyu jamaa wa husina anajua sana
Hongereni
Nice 😂😂😂😂
Ndaro wew ni mwamba nakuamin sana bro one ❤❤❤❤ forever
Fatuma Wewe na Kiss juu😂😂😂😂😂
Stivu mwehuuu😂😂😂😂
😂😂😂😂 napenda vituko za Stive na ndaro👏👏
Wa kwanza ni mm sema siku comment kitu
Me nataka kuigiza bhn naon nina ki2 nta fika mbali au mnani shaurije
Steve amie siti ya nyumaaa 😂😂😂
Jehovah wa milima😂😂😂😂😂
Et hajasubili papoe😂😂😂😂
Nawakubl sana
😂😂😂😂😂😂Hajra umrembo mashallah 😍 ❤❤❤❤
Oyaaaa steven nisalimie hamad kijicho😂😂😂😂😂😂😂😂
Big up wakuu
Nakupenda San komedi Zak naitaji kufanya nae kazi
Eeeeh wanangu kazi 5ty
Fatuma wewe 😂😂😂
Jehova😂 wa milima na mabonde
Mwanamke konyo sana aiseee jamaa nimemhurumia san aisee 🙁
Pole kaka msamin mama yak kaka uyo mwanamke hakupend anapenda hela t
Mbwela 🔥
Oooh my brother be strong you will get ur type who will love u for who you're not money but which is inside you
Ila Steve mchokozi 😂😂😂
Noma san
Ngoma Kali
Hii imeenda
😂😂😂😂...Tutafte hela wanangu 😂😂😂
Ila nyie jamaa bana mnaweza sana asee
Mbona walalamika oyaa 😂😂
😂😂😂😂
Tutafute maokoto wanaumeeeee!! fatuma ww
kitu kizuri sana kutoka kwa ndaro na Steven ni atari
Steve😂😂😂
AM-J GUNDI FROM USA 🇺🇸
Hawa jamaa Steve na Ndaro ni wabunifu sana,yaani wachekesha sana
Yaan ndaro na stev nikiw na mawazo nikiwaangalia tu mawazo yote yaisha jamn😅😅
Fatuma wewe 🤣🤣
Ila steve ganzi sana bro 😂😂😂😂😂
Hongera kwakazi jamani
We ndro wew huyo dem wawp mbna anapenda gari sitv muombee ndro naumuonekamawewe nimwanaume 😂😂😂😂rakini hapo unabk😂😂😂😂t
😂😂
Jamaa huyo Mbwela ameongea Kwa hisia Kali sana. Km vile kweli
Awa wajama nihatari
Eti nioshe 😂😂😂
Axa mbona Stiven leo umemuharibia mwanao ivo😅
Steve my bro kwa kipaji chako nakuandikia LTD huna mpinzan na huez drop kweny uchekeshaj🌿🌿🌿
suite sltp!!
Hawa ni vichwa from oma
Daaah napenda saana kuchek wataarammhhh
😂😊
Hahahaaa
😂
Ndaro na steve nawakubali sana
Wakwanza naombeni like zangu hata moja
Hilo busu la fathuma la nibamba kweli😂😂😂
Uyo jamaa mgeni anajua balaaa yan
kikubw ni kupamban 🎉😂😢
Nawapenda bure mbwa nyie
Nipo Moçambique nakubali sana
Top top wote nipo na wew
Stive wewe ni chef kabisa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Naipenda hiyo combination ya Steve na Ndaro😂😂
Humu Kenya hatuachi kucheka😂😂😂😂😂
Kumekucha jamani Kama wewe ni shabiki wa ndaro na Steve angusha like yako hapa
Kusema kweli hawa jamaa wawili
Huifanya video kuwa yenye ladha
ONE LOVE FOREVER❤❤😂😂
Ndaro na Steve big combination kama na wewe unawakubali twende pamoja
🤣🤣🤣🤣😂 Ndarooo na Steve mweusi 🙌🏼❤️❤️❤️
Ndaro na steve ni wauni sana❤❤❤❤😂😂😂😂
Huyu jamaa anaeongea na demu Anatema point mtupuu 🙌🙌🙌
Ndio mana nampenda mbwela
Vp
wangapi wanapenda Stevu akilitaja Jina fatuma 😂😂😂😂😂😂
mjinga sana😂
Kali ya mwaka one love from Kenya 🇰🇪.
Kipaji kikuzwe na kutunzwa, sapoti kutoka Kisii, Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Bia mm mkisii babu
Mbwela anajua sanaa
Kisii pia bro
Mkisii ni mkisii😂
Pia mimi kutoka kisii,kumbe tuko wengi😅😅😅
Nawakubali sana .... unyamaaa sana😂
Napenda huyu Steve sana kabisa, nitajiskia raha sikumoja Niki kutanana nae katika maisha yangu, ça sera parmi mes jours heureux
Napenda combination yenu❤❤❤
Hilo cheko la Steve mwishoni 😂😂😂❤
Mwamba amenikumbusha mbali sana mapenzi yaliponiswaga kama ling'ombe na demu alikuwa anajibu hivi hivi baada ya muda alikuja kuomba msamaha dah mapenzi na umaskini ni noma
Na ulivyo ukamkubali
😆😆😆 mungu awajaliye mema hapa duniani na kesho ya khera 🙏🙏 nawapenda saana Steve na ndaro🖤♥️😟🥺
Hapo mmecheza poa sana sana ,,
Inafunzo sana nimepongeza,,
From Kisumu Kenya
Nameipenda hiyo fatuma wewe😂😂😂😂😂
Ndoa bila pesa si ndoa. Wadada mtatuua. Kenya tuna shida kama Tanzania.
Kenya wapi? Shenzi
Jamaa yuko on point kabisa😢
❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂kweli mapenzi bila pesa wachache sanaaa watakuamini but pesa muhimu
Jamaa naye analia kabsa,mpaka huruma
@@aldomtate575jamaa anajua kuact kulia had huruma😢😂😂😂😂😂
Huyu jamaa ana penda sana kulia 😢
Bab veep hujui kulia ni kipaji wee pewa hata milion hapo uone unaweza kulia bila sababu
Daaaah! Jamaaaa anapoit😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Steve umeona muite ndaro fatuma Tena unaongeza kiss juu Aki waniua 😅😅😅😅😅😅😅
Wakwanzaa😂😂😂
Kbs
Good job steve mozes afu nafurahi kuigiza na mbwla
Steve & the company, you are doing quite great works. Kenyans are seriously following. Hajra et al. are a great blend
Fatuma wewe 😘ontrend😂😂😂😂😂
Fatuma ww mwaaa🤣🤣
Wanawake wa ivi honyo sana unamsaidia ikikwama siku moja anakuacha kwenye Natasha, akitendwa uko ndo anakukumbuka sasa😢😢
Umetishaass mwamba steeeeeeveeeee
Amadi kijicho ayuko tena
Uyu mrembo ❤c kubali kaka yangu tuwe jamii nyuma Safi sana
Steve anatak apew nafas waende wawili 😢😂😂
Omg ma_homeboy
Talented guys
Hio busu la fatuma nani kamfunza mwehu steve😂😂😂
Nawapenda
😂😂😂😂ndaro bana🇧🇮
Wa Kwanzaa naombaa like zanguu😂
C'est nous le congole nous sommes là avec vous
Okay
Nice,enjoyed
Huyu jamaa wa husina anajua sana
Hongereni
Nice 😂😂😂😂
Ndaro wew ni mwamba nakuamin sana bro one ❤❤❤❤ forever
Fatuma Wewe na Kiss juu😂😂😂😂😂
Stivu mwehuuu😂😂😂😂
😂😂😂😂 napenda vituko za Stive na ndaro👏👏
Wa kwanza ni mm sema siku comment kitu
Me nataka kuigiza bhn naon nina ki2 nta fika mbali au mnani shaurije
Steve amie siti ya nyumaaa 😂😂😂
Jehovah wa milima😂😂😂😂😂
Et hajasubili papoe😂😂😂😂
Nawakubl sana
😂😂😂😂😂😂Hajra umrembo mashallah 😍 ❤❤❤❤
Oyaaaa steven nisalimie hamad kijicho😂😂😂😂😂😂😂😂
Big up wakuu
Nakupenda San komedi Zak naitaji kufanya nae kazi
Eeeeh wanangu kazi 5ty
Fatuma wewe 😂😂😂
Jehova😂 wa milima na mabonde
Mwanamke konyo sana aiseee jamaa nimemhurumia san aisee 🙁
Pole kaka msamin mama yak kaka uyo mwanamke hakupend anapenda hela t
Mbwela 🔥
Oooh my brother be strong you will get ur type who will love u for who you're not money but which is inside you
Ila Steve mchokozi 😂😂😂
Noma san
Ngoma Kali
Hii imeenda
😂😂😂😂...
Tutafte hela wanangu 😂😂😂
Ila nyie jamaa bana mnaweza sana asee
Mbona walalamika oyaa 😂😂
😂😂😂😂
Tutafute maokoto wanaumeeeee!! fatuma ww
kitu kizuri sana kutoka kwa ndaro na Steven ni atari
Steve😂😂😂
AM-J GUNDI FROM USA 🇺🇸
Hawa jamaa Steve na Ndaro ni wabunifu sana,yaani wachekesha sana
Yaan ndaro na stev nikiw na mawazo nikiwaangalia tu mawazo yote yaisha jamn😅😅
Fatuma wewe 🤣🤣
Ila steve ganzi sana bro 😂😂😂😂😂
Hongera kwakazi jamani
We ndro wew huyo dem wawp mbna anapenda gari sitv muombee ndro naumuonekamawewe nimwanaume 😂😂😂😂rakini hapo unabk😂😂😂😂t
😂😂
Jamaa huyo Mbwela ameongea Kwa hisia Kali sana. Km vile kweli
Awa wajama nihatari
Eti nioshe 😂😂😂
Axa mbona Stiven leo umemuharibia mwanao ivo😅
Steve my bro kwa kipaji chako nakuandikia LTD huna mpinzan na huez drop kweny uchekeshaj
🌿🌿🌿