HAWA HAPA WACHUNGAJI WALIOFUKUZWA KAZI KKKT DAYOSISI YA KONDE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 พ.ย. 2024
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 49

  • @markmwandu6358
    @markmwandu6358 2 ปีที่แล้ว

    My brother Mr Mwalusamba God is Emmanuel forever Mr Mwakijungu Mr Mwakyeja give heart in this world we have more troubles than peace

  • @catherineangela8770
    @catherineangela8770 3 ปีที่แล้ว

    Mungu shuka nipande maana hiii halii ilikuwa Ccm na chadema Leo tunashuhudiaa wachungaji Wa kkkt na maaskofu wao wakionyeshana ubabee mungu ingilia kati maana kondoo zako tayali wamezipotezaa sema na mioyo ya waumini sema moyoni mwao mungu tenda miujiza kwahili liishe mungu wangu

  • @dannyessau3869
    @dannyessau3869 3 ปีที่แล้ว +2

    Jipen moyo hili litapita kazi. Ya mungu ni wito wito wenu adui ameona mafanikio kainua vita tutashinda maombi na iman tutafika kananii .

  • @mwasisobajohan7641
    @mwasisobajohan7641 3 ปีที่แล้ว +1

    kazi kweli kweli

  • @Faraja2023
    @Faraja2023 3 ปีที่แล้ว

    Haaa kumbe uchungaji ni ajira nilikuwa sijui,ogeni ghadhabu ya Mungu ni Kali mnoo mnachokifanya sasa mnaweza dhani ni sahihi kumbe hatari

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwani hiyo ni kazi au ni utumishi wa mungu aliokupa au ni biashara ya uchungaji

    • @saimonijonas4356
      @saimonijonas4356 3 ปีที่แล้ว

      Ni kazi kama kazi zingine,ndo maana wanalipwa mshahara..

    • @priscilarkahindi9126
      @priscilarkahindi9126 3 ปีที่แล้ว

      Aki si nimeshangaa sana mm,eti kufutwa kazi,how sasa,uchungaji ni wito sio eti wameajiriwa,daah makubwa aya

    • @linnamlay3643
      @linnamlay3643 3 ปีที่แล้ว

      @@saimonijonas4356 kweli Kaka maana hata wakipangwa kwenda kuanza makanisa au wakipewa sharika zisizokuwa na pesa wanaanza malumbano

    • @agricolamwageni5471
      @agricolamwageni5471 3 ปีที่แล้ว

      Yaani Mungu atusamehe eti wamefutwa kazi mi najua kuna kusimamishwa huduma ili ujirekebisha sa uchungaji ni kazi kha

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 3 ปีที่แล้ว

      @@saimonijonas4356 kumbe Mbingu hao wasahau

  • @jamessichimata36
    @jamessichimata36 3 ปีที่แล้ว +2

    Sasa mtu mmoja kawafukuza watu kibao kwanini asijiuzulu yeye ili hawa wengi waendelee kufanya kazi ya MUNGU?

  • @bamdogobetwel6230
    @bamdogobetwel6230 3 ปีที่แล้ว

    Mtazamo wangu, Dayosisi ya Konde irudi ilipoanzia (Mano). Makao makuu yakirudi mano nitawapa kitu kingine mfanye.

  • @justinekubilungokolo9083
    @justinekubilungokolo9083 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwanzo wa kugawanyika au kumegeka kwa kanisa ni huu, haya yaliyofanyika yanafanyika serikalini kwa kaisari, lakini sasa yameingia KKKT msifurahie hili ni pigo, fungeni na kuomba ili Mungu aweke wazi hali hii SIYO NZURI. EEEE MUNGU ISAIDIE DAYOSISI HII MUNGU SIMAMA UJITETEE MWENYEWE

  • @ushindimwaisakila1882
    @ushindimwaisakila1882 3 ปีที่แล้ว +1

    Kazi ipo

  • @hurumaashely5598
    @hurumaashely5598 3 ปีที่แล้ว

    Haya yote anayoyafanya Mwaikali Mungu atamlipa

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 3 ปีที่แล้ว

    Siku Yesu Kristo akirudi ataikuta Imani ya Kweli Hapa Duniani????

  • @josephmusagasa5566
    @josephmusagasa5566 3 ปีที่แล้ว +1

    Kanisa,kanisa,kanisa ndugu zangu,upendo umekwenda wapi? Mmekuwa watu wa migogoro,hamuaminiani,umekuwa walafi wa Mali na madaraka,hivi Kristo alikuwa hivi mlivyo sasa?

  • @petermwanyondo5370
    @petermwanyondo5370 3 ปีที่แล้ว

    Hapo wanao endelea nakzi nawalio simamishwa kzi hamna mtu msafi lilikuwa swal lakisamwana Kisha kupanga mikakati yakufany kzi yamungu

  • @gradnessshitindishitindi4881
    @gradnessshitindishitindi4881 3 ปีที่แล้ว

    Mweeee Atupokile Mbilita, na mama Ikuka duuuh

  • @LucasLucas-sj6fg
    @LucasLucas-sj6fg 3 ปีที่แล้ว

    Mwakihaba ndiye aliyetengeneza ndama.....Haruni 😭😭

  • @sengakijumiletv8125
    @sengakijumiletv8125 3 ปีที่แล้ว

    Dayoss inasogea taratibu itaenda mpaka Tunduma mwisho itavuka Zambia maana haina breki.

  • @timothymoshi3946
    @timothymoshi3946 3 ปีที่แล้ว +1

    Uamuzi wa kuhamisha makao makuu ya dayosisi ya konde haukufanywa na askofu aliepo hivi sasa.ulifanywa na haalmashauri kuu ikiongozwa na maaskofu wawili waliotangulia.

  • @thelivingwordchannel9027
    @thelivingwordchannel9027 3 ปีที่แล้ว

    Kumbe ni ajira na sio utumishi.Haya makanisa ya kitaasisi ni shida tupu.

  • @isabelastanley1156
    @isabelastanley1156 3 ปีที่แล้ว

    Nashangaa

  • @emmanuelshavunza4314
    @emmanuelshavunza4314 3 ปีที่แล้ว

    Jamani ya kweli haya? Kaka zangu hao nawafahamu miaka yote Kaka Mwalusamba,, na huyo wa kwa Mwakunja,, ni watumishi wa KKKT miaka yote,, Kuna shida gani? Mungu awatie nguvu kaka zangu.

  • @joycejoel783
    @joycejoel783 3 ปีที่แล้ว +3

    Wachungaji kusema ukweli mumekosea sana, acheni kujitutumua mnachokifanya ni dhambi mbele za Mungu. masoma Biblia gani? Askofu anahaki ya kuwasimamisha kwa sababu mnachokifanya ni kinyume na maadili ya uchungaji! Tafakarini!! Yesu akija leo mtakua wa geni wanani? Mungu awasaidie

    • @priscilarkahindi9126
      @priscilarkahindi9126 3 ปีที่แล้ว

      Daaaah uchungaji ni wito,mbona tena kuna kufutwa kazi?makubwa

  • @sakinamohamedi2396
    @sakinamohamedi2396 3 ปีที่แล้ว

    Hayo majina ni hatari

  • @sebastianmichael4031
    @sebastianmichael4031 3 ปีที่แล้ว

    Yanayoendelea hayafurahishi, hivyo kusamehe ndio njia pekee yakuondokana migogoro. Kwani kwa kufanya hivyo mnakuwa mmepinga adui shetani.

  • @LucasLucas-sj6fg
    @LucasLucas-sj6fg 3 ปีที่แล้ว

    Waasi....🤣🤣🤣🤣🤣

  • @walawioutreach4055
    @walawioutreach4055 3 ปีที่แล้ว

    mtu wa mshahara si mchungaji aonapo mbwa mwitu hukimbia na kuacha kondoo,na kondoo wengine ninao ambao si wa zizi hili kabisa nao nawaita.

  • @masanjaelias5829
    @masanjaelias5829 3 ปีที่แล้ว

    kanisa limekua kama clabu ya mpira khaaaa mnauharibu ukristo vitu gan hiv jaman

  • @goodluckulimboka8117
    @goodluckulimboka8117 3 ปีที่แล้ว

    Mbona ni kama askofu ameusahau mwenendo wake wa injili....anatenda KWA mwili sana kuliko kutenda rohoni zaidi??....Mwaikali anazipeleka wapi imani na roho za waumini wa hizo sharika ambazo wachungaji wamefutwa kazi...viongozi wa makanisa mbona kama wameanza kusahau wito wao?

  • @samuelngogo5572
    @samuelngogo5572 3 ปีที่แล้ว

    Wachungaji wanawake bible imeandikwa wapi aibu tu

  • @stephenwakunyala4004
    @stephenwakunyala4004 3 ปีที่แล้ว

    Pambana Mwasamsoga maana ndiyo wakongwe Itete yenu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 ปีที่แล้ว

    Uasi wao ni nini

  • @Producervbaddset
    @Producervbaddset 3 ปีที่แล้ว

    Mwaikali hajitambuiiiii

  • @francisosward6930
    @francisosward6930 3 ปีที่แล้ว

    Jamani 🤣🤣🤣🤣🤣🖕Kibaru kina ota nyasa

  • @francismtela4967
    @francismtela4967 3 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe umungu MTU umetawala hata makanisani. Hivi watumishi wa Mungu mnatangaza habari njema zipi ? Yesu alimjua yuda kuwa ndiye wa kumsaliti ! Mbona hakumfukuza ? Au mnachukulia uaskofu ni taasisi yenu. Kanisa ni Mali ya Kristo ! Kwa nini kujipa umungu MTU ?

    • @priscilarkahindi9126
      @priscilarkahindi9126 3 ปีที่แล้ว

      Nashangaa tena bila aibu

    • @janegeogre3234
      @janegeogre3234 3 ปีที่แล้ว

      maajabu

    • @atupegemwakahesya617
      @atupegemwakahesya617 3 ปีที่แล้ว +3

      Hapa yalitakiwa maoni huru ya Wakristo wote. Siyo kundi la Wakristo wachache. Sasa moto unawaka na kuunguza hata majani mabichi. Hii siyo sawa. Sasa hapa cha msingi ni kuomba toba mbele za Mungu kwani malumbano yanayoendelea sasa hayana afya kiroho. Lugha ya kuwafuta kazi Wachungaji hayaleti afya Kiroho.