ASANTE CLARA LUVANGA/MSIKIE AKITOA MANENO MAZITO BAADA YA KUPATA CHANGAMOTO NYINGINE NCHINI SPAIN.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 52

  • @francismselemu4328
    @francismselemu4328 ปีที่แล้ว +8

    Hata wanaume wapo wenye sauti na sura za kike. Mungu aendelee kumfungulia mafanikio Clara

  • @fatmasuleiman3885
    @fatmasuleiman3885 ปีที่แล้ว +9

    Mmh! Dada sauti km kaka Allah fundi kwa umbaji mwenyezimungu akusaidie ktk safari yako ktk maisha💚💚🙏

  • @lilamaganga2690
    @lilamaganga2690 ปีที่แล้ว +7

    Watanzania Tujiheshimu na tumpe support Mtanzania Mwenzetu

  • @jamesmwita2995
    @jamesmwita2995 ปีที่แล้ว +8

    Huyu dada ukiachana na sauti hata sura yake ya kiume

  • @checkchannel3876
    @checkchannel3876 ปีที่แล้ว +5

    Huyu mchezaji ametulia na ana akili nzuri. Huenda akafika mbali zaidi.

  • @femidayahaya4882
    @femidayahaya4882 ปีที่แล้ว +7

    MashaAllah Sister Crala...i wish you all the best.

  • @Wish_Tv
    @Wish_Tv ปีที่แล้ว +5

    dah dada Anasauti yakubembeleza mtoto mkali flani ivi

  • @ayoubsalehayoub999
    @ayoubsalehayoub999 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah hakika wewe nimrembo nakukubali sana mungu aweke wepesi katika kazi zako

  • @ChrictiaMapendo
    @ChrictiaMapendo ปีที่แล้ว +4

    Hakika nimekuwa nime ku Miss kwenye timu yetu tuna kutakia mafanikio kwenye chagamoto mpya

  • @PanchoValentino-wh7wt
    @PanchoValentino-wh7wt ปีที่แล้ว +1

    Clara luvanga Anajua saana Bolii ⚽⚽💚💛🖐️🦵💪⚽🔝

  • @johnrobert6540
    @johnrobert6540 ปีที่แล้ว

    Uyo mwana umwe sematu nikakituu kadogotu turipishana Uyo dume bwana

  • @stephensandiko6049
    @stephensandiko6049 ปีที่แล้ว +1

    Huyo ndy wa kuowa cheza kwanza ukimaliza

  • @kulthummohamed101
    @kulthummohamed101 ปีที่แล้ว +1

    Achen kumxem dad wa watu hajajiumb mwenyew kwumbw na allah

  • @samirelhiad1243
    @samirelhiad1243 ปีที่แล้ว +4

    💛💚💛💚💛💚💛💚

  • @saimontipaa6887
    @saimontipaa6887 ปีที่แล้ว

    Samahan lakin huyu ni mwanamke kwl?

  • @rutimarlon
    @rutimarlon 2 หลายเดือนก่อน

    Ivi ni mdada uyoo acheni utani

  • @harunayman
    @harunayman ปีที่แล้ว +4

    ❤❤

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 ปีที่แล้ว +4

    Clara💚💛💛

  • @zubedahamis2346
    @zubedahamis2346 ปีที่แล้ว +3

    Ila Clara sauti😂😂

  • @EnockSDady
    @EnockSDady ปีที่แล้ว +3

    Huyu dada sauti mbona ya kiume

  • @bashirumkopi2638
    @bashirumkopi2638 ปีที่แล้ว +1

    Waliompekua Clara walikuwa sahihi 🙌

  • @MichaelSungura95
    @MichaelSungura95 ปีที่แล้ว

    Nilijua nimaskio yangu ila duuh sauti na muenekano duuh mungu fundii

  • @mealsbymana6561
    @mealsbymana6561 ปีที่แล้ว +3

    💛💛💛💚💚

  • @finiaskalist747
    @finiaskalist747 ปีที่แล้ว +1

    Kila la kheri clara🔥

  • @damianmcba9525
    @damianmcba9525 ปีที่แล้ว +1

    Team nzima kila mtu alikuwa mwanangu,,, duu km mwanamme

  • @faidhacute
    @faidhacute ปีที่แล้ว

    Hee huyu sauti sura aisee even muonekano pia

  • @labouriche8782
    @labouriche8782 ปีที่แล้ว +1

    mhhh

  • @aziziabeid6052
    @aziziabeid6052 ปีที่แล้ว +1

    All the best best best

  • @MichaelSungura95
    @MichaelSungura95 ปีที่แล้ว

    Sina tatizo na uwezo wake

  • @Oswadymsigwa
    @Oswadymsigwa ปีที่แล้ว +1

    ❤❤

  • @yakubumatula
    @yakubumatula ปีที่แล้ว

    hongera sana mchezaji

  • @AbdulMakuka-s6w
    @AbdulMakuka-s6w ปีที่แล้ว +1

    Saut mkomao

  • @nawatakiyakilalakheriwashe6624
    @nawatakiyakilalakheriwashe6624 ปีที่แล้ว

    Kila la kheri dada

  • @gervas58
    @gervas58 ปีที่แล้ว +1

    Mbona hakuna sauti

  • @yakubumatula
    @yakubumatula ปีที่แล้ว

    hongera sana mchezaji

  • @mdetetv6050
    @mdetetv6050 ปีที่แล้ว

    Huyu ndiomaana walimvua nguo kwenye ukguzi maana hata mim nisingeamini

  • @iddymsusa7217
    @iddymsusa7217 ปีที่แล้ว

    DADA YAKE NA KIBU HUYOOO,,, wamefanana balaah

  • @abdallahdullah8642
    @abdallahdullah8642 ปีที่แล้ว +1

    C dume hili au ndo Tom boy.

    • @RoseMunisi-fy1sq
      @RoseMunisi-fy1sq ปีที่แล้ว +1

      Aliyemuumba hakukosea kumuamba alivyo

    • @haidhabushiri9558
      @haidhabushiri9558 ปีที่แล้ว

      Allah ndo kamuumba

    • @abdallahdullah8642
      @abdallahdullah8642 ปีที่แล้ว

      Hakuna ambacho hakikuumbwa na Allah Ata ibilisi kaumbwa na Allah

    • @albertkadyanji9722
      @albertkadyanji9722 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@abdallahdullah8642sasa kama unalitambua ilo kwanini una mdhihaki

  • @haidhabushiri9558
    @haidhabushiri9558 ปีที่แล้ว

    Nilijua mpira kaacha

  • @ImanueliMwakajinga-ry8ig
    @ImanueliMwakajinga-ry8ig ปีที่แล้ว

    Huyu nae ajui kufanya interview muachie tu alwatani

  • @عبداللهالعازمي-ع3ش
    @عبداللهالعازمي-ع3ش ปีที่แล้ว

    Dume hasa

  • @nawatakiyakilalakheriwashe6624
    @nawatakiyakilalakheriwashe6624 ปีที่แล้ว

    M

  • @aziziabeid6052
    @aziziabeid6052 ปีที่แล้ว

    All the best best best

  • @yasintamichael-bg9fk
    @yasintamichael-bg9fk ปีที่แล้ว

    🙆🙆🙆 Sina neno

  • @umalqasimalhamhami6707
    @umalqasimalhamhami6707 ปีที่แล้ว

    Jaman mm nilifikilia wakiume kumbe mdada ❤❤