Kixha akauliza....ni k2 gani ungefanya kando na mpira...dada akajib kwa upana kwamba ....angekua mwanaxheria kixha alwatan kauliza kwa nn xx uliingilia mpira na xio....axema dada yetu...kwa xabab mm xijatokea kwa famili ya kitajir nime tokea kwa famili duni....na kawaida famili ya kimaxikin inategemea kipaji ili itafute pexa.... Hivyo ndivyo nilivyo elewa kwa kifu
Mulikuwa wapi siku zote hizo tunahangaika na wengine wakati tulikuwa tunatamani tupate wa kwetu? Sasa msije mkapote sasa muwahi kutuwekea matukio yetu ili tufurahi.
Hongera sana club kubwa mmebuni Jambo nzuri sana 💪💪💪💪
👏👏👏👏💛💚💚💛🇹🇿dada yetu ongera upo sehemu salama
Precious so beautiful and Good player🤗 wananchi we love you💚💛🖤
Mpenja asant kwaajili y huyu kijana aisee👍👍🙌🏼🙌🏼tumelamba dume
Interview nzuri... More credit kwako presenter uko flexible kulingana na audience wako... Big up sana✊
Reo wakwanza like zenu wananchii
Lakini sio Reo andika Leo ndio sahihi
Unaharibu kiswahil
Naitwa haj kutok singida naishukur uongoz w yanga kw kumuajir mtangazaj w mpenja tv
Like ushapata ila, Sio Reo na wewe.
@@munawwarbashir2680 lllll
Nimekusoma kiongozi wangu 🙏🗝️🗝️🗝️🗝️🔑💛💛💚⚽⚽⚽3
Naingoja kwa hamu sana interview ya Irene Kisisa
Nice interview from great presenter of YANGA TV
Abdul-Aziz waambie maboss wanunue maik nzr aloooo mtangazaji wet uko vzr watueke maik nzr yenye nembo 🥱🥱🥱
Wana nchiiiiiii feisaliiiiiiiii goliiiiiiiiiiiiiiii
I like how she laughs 😁
Hivi ndivyo channel yetu tunataka iwe na zaidi ya hv , haipoi hongera mtangazaji wetu Alwatan
Haya ndo mambo tunataka sisi wananchi aisee Safi sana kijana wetu🔰🔰🔰🔰🔰
Aisee hii yanga sasa ya level nyingine kabisaaa 💛💛💛💚💚💚💚
Our Queen too much love and we do expect more from you.
Uko vizuri Kk hongera zako
Precious 💚💛💚💛 Alwatan safiii sanaa
Alwatan Abdulraziz Umeanza Vizuri sana
Wow mambo mazuri ndo haya sasa
Hivi ndo vitu napenda kuon mm 💚💛💚
Haya ndio mambo napenda kuona Mimi 💛💚
Yaani Yanga TV imepata mtu, subscriptions zimefika 200k in just 2 days😅
Ilikuwa na ngapi before? Maana mimi sikusubscribe?
@@fredma21x ilikuwa na 194k na sasa ni 201k
Nimeipenda hii interview
Mtuweeke maiki zenye nembo ya YANGA.ITAPENDEZA SANA💚💛💚💛
Itawekwa huu mwanzo tuu
@@rehemaabdullah7606 Inshaalaah.
Nikweli aisee itapendeza sana nembo ikitembea
Daaa!! Haluatani mamb yampenja yak yanga kazi mzuri San nakubal San kaz yako
🎤 ndo inatuangusha tumieni ya nembo ya yanga au zile ambazo sio za kuonekana sana ila mengine 100%
Imeeleweka kk itafanyiwa kazi inxhah Allah....yanga kubwa
Nimependa yanga tv mimi ni mwananchi
Vzr san yang tv
Wow wow wow!!JUST WOW!!!
Precious 🔥🔥🔥 , Daima mbele nyuma mwiko
Jana tu subscribers walikuwa 199k- Leo 201k great move young African
Umetisha kaka
Basi Jemedary na hili jambo atalipinga tu 😃😃😃😃
hahhhahha mbwa yeye
Safii saana yanga 💚
Yanga fans in Africa 🇹🇿
Yes Gari and Ifufu. Wanakula food ya uhakika ohohoi
Kazi iendeleee💚
Apa sasa burudani iyendeleee ongela kwake aleyekuleta kwawana nchiii
Yani me nasubil wakicheka name nacheka afu sielewi nachek nn 😂😂😂 ila yote kwa yote naipenda yanga tu
Kwa ufup kk...alwatan kauliza meng ya kumchekexha yule dada yetu....kauliza mguu gani atumia kupanda kitandani,🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂kumbe
Kixha akauliza....ni k2 gani ungefanya kando na mpira...dada akajib kwa upana kwamba ....angekua mwanaxheria kixha alwatan kauliza kwa nn xx uliingilia mpira na xio....axema dada yetu...kwa xabab mm xijatokea kwa famili ya kitajir nime tokea kwa famili duni....na kawaida famili ya kimaxikin inategemea kipaji ili itafute pexa.... Hivyo ndivyo nilivyo elewa kwa kifu
Nic alwatani azizi
Idea nzuri sana aisee interview ni nzuri
Abdulu piga interview na mary saika middle yà ball
Bonge la mchezaji haswaa💚💛💚💛🙏🙏🤔💚💛💚💛💪💪😀
Uko vizuri kk
Aiseee. Swahili is our mother tongue
Yanga tv ni 🔥🔥
Superb interview
Yanga bingwa 22/23
Much lov
Nimeipnda hii
Wanaijelia wamamjua daimond na zuchu 😂😂😂😎
Alwatan hongera👏👏...uko free xana yaani umemuimbixha mtoto🤣🤣
Yanga ni motoo
nzuri sana Yanga
Hii yanga raha sana
yanga juu juu zaid
Yani yanga mmefanya kitu kizuri sana
i love it. very nice
Ila hii ps jmn mm ni mwananch wananch nipeni hii ps japo sijui ngeli nitajua mbele kwa mbele
Nakubali mwamba
😂😂😂 i lke her voice especially when she laugh
Wooow
Gudi sana
Her laughter is so mwaàh hahahaha 😆
Ma baby precious❤️
Interview nzuri sana hii
Poa sana yanga yangu
Pisi ya ndakwe😊😊
Good job
Umeua
Lete Mudhungu au siyo😂😂😂❤❤❤
Amazing
Nice
Great job.
Wakwanza
Kazi nzuri sana
There's ugali there 😂😂😂 ada inaongea 🙌🙌
Abdul tan Abdul Aziz wa Mpenja Tv kwani ni yanga employer?
Nice 😍 mtangazaji nime muelewa😥😐
Vzuri sna
Nampenda huyo mwananchiiiiiiiiiiiiiiiii nampataje?
😘😘😘 kana aibu fulani aisee
Ilove you her so much Precious
Wale ambao mlikuwa mnakwepa umande hapo sasa.
good
🔥🔥🔥🔥
Good
We are young Africans forever
Ila pisi kalii bas tu
Al_watan hapo kilio chetu sisi ni maiki tu iwe na nembo yetu au zile zisizo zakuonekana
Good job aluwatan
Mulikuwa wapi siku zote hizo tunahangaika na wengine wakati tulikuwa tunatamani tupate wa kwetu? Sasa msije mkapote sasa muwahi kutuwekea matukio yetu ili tufurahi.
"swahili is our mother tongue" eish!
Hhaahahha........
WEKA SUBTITLES ZA KISWAHILI
😀😀😀😀😀😀😀😀
Usijali Zitawekwa
Sasa English hiyo huielew🤔
@@ramadhanmaisa788 Binafsi naelewa but naongelea wabongo wengine wanaopenda kuelewa lakjni lugha ni tatizo.
@@andrewmagelewanya5124 Wabongo wengi watapit hewa,,nawazungumzia.
Ushauri anapohojiwa wa swahili language subtitle ya English language iwepo na anapohojiwa wa English language basi Subtitle ya Swahili language iwepo.
Daima mbele nyuma mwiko
Adi rahaa💛💛💚💚
Taping goal aliwafunga Mtibwa nafikiri kama anapasia hivi
Waoo
Safii
💛💚💚💯