NASIKIA KELELE UPENDO CHOIR KIWALAA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 60

  • @tasharosre6026
    @tasharosre6026 5 ปีที่แล้ว +5

    Jamani nimewasikia fountain radio nimewapenda sana mnaimba vizuri sana kulikoo hongereni sana, Mungu azidi kuwainua kiwango cha juu zaidi

  • @gabrielkweka8612
    @gabrielkweka8612 3 ปีที่แล้ว +1

    Nice song..mbarikiwe sana

  • @agreygospeldaniel8380
    @agreygospeldaniel8380 4 ปีที่แล้ว +2

    Huu wimbo mmeimba kwakweli unanibariki sanaaaaaaaaaaaaa.umetimia idara zote.mbarikiwe sana

  • @mariajackson4813
    @mariajackson4813 4 ปีที่แล้ว +2

    Waoooh nimewapenda Mungu awabariki sana

  • @godlovemassawe1322
    @godlovemassawe1322 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awabariki saan kwa wimbo mzurii

  • @priscahedy9981
    @priscahedy9981 ปีที่แล้ว +1

    Waoooo!!!! So amazing...every now and then l keep playing this song🎻🎻🎻🎺🎺🎺

  • @gracekatani3669
    @gracekatani3669 4 ปีที่แล้ว +3

    Huu wimbo nimeusakaaaa! Mzurii

  • @neyjumkisanganz8469
    @neyjumkisanganz8469 4 ปีที่แล้ว +1

    J amani kwaya yetu mungu awabariki maana nyimbo nzuri sana hongereni kwa hatua mlioifikia mwenyenzi mungu azidi KUWAINUA kwa viwango vya juu zaidi

    • @simonjackson8379
      @simonjackson8379 ปีที่แล้ว

      Hello, naomba unisaidie nipate nyimbo zao

  • @innocentmria1920
    @innocentmria1920 4 ปีที่แล้ว +2

    Nmeupenda sana huu wimbo

  • @neemabahati6864
    @neemabahati6864 2 ปีที่แล้ว

    mungu awabaliki sana

  • @1xbetBooking
    @1xbetBooking 4 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana Jamhuri ya watu wa Kiwalaa Moshi Mbokomu

  • @alenmsheri3274
    @alenmsheri3274 4 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU awabariki Sana mpovizuri sana

  • @kenedyabbas4968
    @kenedyabbas4968 ปีที่แล้ว

    Safi sana mungu awatie nguvu

  • @danielmaleko4938
    @danielmaleko4938 4 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo mzuri sana kwa kweli

  • @manyeshamaria2712
    @manyeshamaria2712 4 ปีที่แล้ว +2

    I like it

  • @robinedson
    @robinedson 5 ปีที่แล้ว +3

    Mbarikiwe wana na binti za Mungu... Wimbo mzuri sana

  • @Moshi-ql9gr
    @Moshi-ql9gr 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awaabariki sana pamoja na mwalimu
    wenu kuimba ni kusali Mara mbili

  • @EvelineKilango-co1vc
    @EvelineKilango-co1vc 7 หลายเดือนก่อน

    Mnanibariki mnoo Jaman Mungubawatunze na kuwabariki

  • @heavenmakundi7480
    @heavenmakundi7480 ปีที่แล้ว +1

    Iv mpaka Leo video hazijatoka kweli

  • @linahmushi2352
    @linahmushi2352 5 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo ni mzuri sana mbarikiwe

  • @renathamponda791
    @renathamponda791 3 ปีที่แล้ว +2

    My day and night song and i feel blessed though this song

  • @TullySwai
    @TullySwai ปีที่แล้ว

    Nice song wow

  • @alphayomogunde7828
    @alphayomogunde7828 ปีที่แล้ว

    Wasikiza kutoka jamuhuri international show ground Ngong Rd Nairobi Kenya. Blessed.

  • @sarahnkya4357
    @sarahnkya4357 2 ปีที่แล้ว

    Have are Good song God bless

  • @alphayomogunde7828
    @alphayomogunde7828 ปีที่แล้ว

    Mnaimba kama kwaya moja kutoka Magutu Tanzania, Kule Sirare.?. Mbarikiwe sana. Kutoka Nairobi Kenya.

  • @floridakimario274
    @floridakimario274 ปีที่แล้ว

    Nzuri sana

  • @kenedyabbas4968
    @kenedyabbas4968 ปีที่แล้ว

    Safi sana ujumbe nimeupata

  • @martinimoshi9046
    @martinimoshi9046 5 ปีที่แล้ว +2

    Muzid kubarikiwa nanyimbo zur mnoo

  • @gloriadunstan7190
    @gloriadunstan7190 5 ปีที่แล้ว +3

    I really love this song they sing like Sda!!!stay blessed

  • @neemabahati6864
    @neemabahati6864 2 ปีที่แล้ว

    mubalikiwe sana

  • @angelkamugisha1722
    @angelkamugisha1722 3 ปีที่แล้ว

    Nice song .....be blessed🙏🏾🙏🏾

  • @hellenmremi4862
    @hellenmremi4862 4 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa

  • @ezamnzava3334
    @ezamnzava3334 4 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo mzuri sana. Nilidhani SDA kumbe KKKT. I like it.

  • @godblessmrema9679
    @godblessmrema9679 3 ปีที่แล้ว

    It is amazing song🥰

  • @justusnyangaya2772
    @justusnyangaya2772 4 ปีที่แล้ว +1

    Tamu saanaaa

  • @innocentg.2733
    @innocentg.2733 4 ปีที่แล้ว +2

    Mbona mumepost nyimbo chache

  • @pantaleoally9951
    @pantaleoally9951 4 ปีที่แล้ว +1

    Jaman mbarkiwe sanaaaa video yake haijatoka

  • @charismamsoffe7600
    @charismamsoffe7600 3 ปีที่แล้ว

    Insipiring!

  • @ayaotheboss9516
    @ayaotheboss9516 5 ปีที่แล้ว +2

    Yaani huu wimbo unanibariki sana siku ya kwanza kuusikia niliurudia km Mara zote maana nikisema niihesabu ni Mara nyingi sana mmbarikiwe wana na binti za Mungu.

  • @mrsdeborahurio
    @mrsdeborahurio 4 ปีที่แล้ว

    Wow! Good job.. AS IF SDA CHOIR . BE BLESSED!

  • @nivesndunguru6999
    @nivesndunguru6999 5 ปีที่แล้ว +1

    can't get enough of this song,,,

  • @rarlietmanyasa1877
    @rarlietmanyasa1877 4 ปีที่แล้ว

    I desire to see, am blessed with this song

  • @maryjosephat9668
    @maryjosephat9668 4 ปีที่แล้ว

    Amazing song

  • @TullySwai
    @TullySwai ปีที่แล้ว

    I wnt tu see my lord jesus

  • @eveliusjohn9761
    @eveliusjohn9761 4 ปีที่แล้ว +1

    Hakika Bwana Mungu ameongea na watu wake kupitia vinywa vya waimbaji hawa.

  • @emmyjohn4719
    @emmyjohn4719 ปีที่แล้ว

    Nauhitaji huu wimbo plz

  • @hypolitusmogambiombati3577
    @hypolitusmogambiombati3577 4 ปีที่แล้ว +4

    Yaani song ilitoka 5 months ago eti leo ndio naisikia kwa status ya mtu.

  • @davidmisiwa4622
    @davidmisiwa4622 5 ปีที่แล้ว +4

    Huu wimbo nimeutafuta saaaana nashkru Leo nmeupata ntapataje album ??? Npo Tz

    • @TAISONIMTWANGE-fb5vv
      @TAISONIMTWANGE-fb5vv ปีที่แล้ว +1

      Nikita kuudaurod naandikaje mpendwa

    • @davidmisiwa4622
      @davidmisiwa4622 7 หลายเดือนก่อน

      Nenda kwny Vidmate andika jina la huo wimbo then download

  • @saimonshirima6275
    @saimonshirima6275 4 ปีที่แล้ว +1

    Hakika ujumbe umefika

  • @martintsimao3354
    @martintsimao3354 3 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏

  • @jeftageorge7234
    @jeftageorge7234 5 ปีที่แล้ว +2

    Nimesikiliza huu Wimbo nikahisi kama nipo mbinguni daa MUNGU awabaliki

  • @neemaibrahim7239
    @neemaibrahim7239 5 ปีที่แล้ว

    Glory to God

  • @andyanderson2880
    @andyanderson2880 4 ปีที่แล้ว

    I love the the choir since the time of Aoko salvinas

  • @robinedson
    @robinedson 5 ปีที่แล้ว +2

    Mbarikiwe wana na binti za Mungu... Wimbo mzuri sana

    • @jackinemush7976
      @jackinemush7976 4 ปีที่แล้ว +1

      Nakupenda mama yangu jenifa mush kwakweli umejitaidi sana zaidi ya sana

    • @TAISONIMTWANGE-fb5vv
      @TAISONIMTWANGE-fb5vv ปีที่แล้ว

      Nikitaka kuudaurod naandikaje