Ndugu hayo ni mawazo yako tu,wala hakuna kitu kama hicho na suala la uchungaji sio la kifamilia,kama angelikuwa hajaitwa tusingeona tunayoyaona MUNGU akiyatenda maana MUNGU hajidhihirishi kwa watu ambao hajawaita na pili sio watoto wote ila ni mmoja tu kati ya wengine ambao ni kweli kabisa MUNGU amemwita,pia ingelikuwa wamechaguana bado tusingemwona MUNGU akijidhihirisha,tatu kwa kukusaidia tu tambua kabisa siku hizi kuna usaliti mkubwa sana hata makanisani, unakuta unaanzisha kazi kwa machungu makubwa na mateso mengi halafu from no where wanatokea watu kuiharibu kirahisi....sasa na MUNGU kwa kuliona hilo huwa anaandaa mtu mapema wa kusimama na kazi hiyo,sasa haijalishi atatokea wapi, halafu kwani ikitokea mtoto wa Mtumishi yeyote wa MUNGU,akarithishwa kazi ya mzazi wake na MUNGU kwani kuna shida gani?,ikiwa MUNGU kapenda hivyo?, shida ni mtazamo tu, halafu wakati mwingine ni vizuri ukatafuta mtu anayehusika na kumwuliza kuliko kuyaongea bila kuwa na uhakika wa kinachoongelewa na pia usipojua sababu ni kheri ukanyamaza mpendwa usije ukamkosea MUNGU.
@@erickmutungi8792 umetoa maelezo marefu sana lakini nilichokisema kiko sawa kabisa. Kwanini asiende kufungua kazi mpya? Pia kuna wito wa aina mbalimbali wengine wanaitwa na wazazi wao ili kulinda maslahi yao
Kipi kizuri arithi kazi njema au wabaki kusema watoto wa wachungaji wameharibika? Angeimba bongo fleva mngesema vibaya .sasa anafanya jteba bado ni baya jamani? Tumwogope Mungu na tuzidi kumwombea afanye vizuri zaidi.
Mimi ningependa hata kama watoto wake wote warithi kazi ya baba yao. Uchungaji ni wito siyo ajira. Pia mchungaji Magembe kafungua makanisa mengi sehemu mbalimbali na kaweka wachungaji Sasa sijui kama nako kaweka watoto wake.
Mch Yohana Mungu akubariki sana. Kwa ujumbe mzuri. Kutukumbusha nyakati tulizonazo
Magembe yoahana MUNGU akubariki
Amen ubalikiwe kwasomo nzuri
Mungu wa Mbinguni akubariki sana Mtumishi
Barikiwa baba
Mungu akubariki Sana huwa nainuliwa Sana na masomo yako, Asante Sana
Ubarikiwe mtumishi hakika nabarikiwa na injili hii,naomba mwendelezo wa Somo hili Kwa mambo manne yaliyobakia
kha we naweeeeee
Ameni
Ameen mtumishi wa MUNGU barikiwa Sana
Nimebarikiwa sana na somo zuri, mchungaji Yohana, naomba tumia au tafsiri kwa kiswahili ili tubarikiwe zaidi, amen 🙏🙏🙏
Ubarkiwe sanaaa mtumishi, Yesu akupake mafta zaidi na zaidi
MUNGU AKUBARI SANA MTUMISHI kwa ujumbe mahususi!
Ubarikiwe sana mtumishi
Hongera sana pastor kwa somo zuri Mungu akubariki.
Bwana ahendelee kuwa funuliya ili sisi kizazi chaleo tupate kupona.
Amina mtumishi mbona Kama vile umenyoa kidunia maana wengi husema mungu ansangalia moyo sihukumu Ila Kuna andiko msifuatishe namna ya dunia hii au
Umemwangalia vibaya, mbona amenyoa vizuri tu
Na iyo Pete kubwa tunaogopeshana
Ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu
HALLELUYAH
Amen
Amen amen 🇦🇺
😮
Tnabarikiwa sana
A brilliant man of God. Son of pastor Magembe (majembe).
It's Magembe not Majembe
😂😅🎉❤😂😮😅
Vua iyo pete pia usiweke mkono mfukoni itoshe kusema ubarikiwe kwa kumtumikia MUNGU
Kwa hiiyo kanisa TAG GCC ndio limekuwa kanisa linaloongozwa na familia tupu. Baba mchungaji, mama na mtoto ni wachungaji wasaidizi.
Ndugu hayo ni mawazo yako tu,wala hakuna kitu kama hicho na suala la uchungaji sio la kifamilia,kama angelikuwa hajaitwa tusingeona tunayoyaona MUNGU akiyatenda maana MUNGU hajidhihirishi kwa watu ambao hajawaita na pili sio watoto wote ila ni mmoja tu kati ya wengine ambao ni kweli kabisa MUNGU amemwita,pia ingelikuwa wamechaguana bado tusingemwona MUNGU akijidhihirisha,tatu kwa kukusaidia tu tambua kabisa siku hizi kuna usaliti mkubwa sana hata makanisani, unakuta unaanzisha kazi kwa machungu makubwa na mateso mengi halafu from no where wanatokea watu kuiharibu kirahisi....sasa na MUNGU kwa kuliona hilo huwa anaandaa mtu mapema wa kusimama na kazi hiyo,sasa haijalishi atatokea wapi, halafu kwani ikitokea mtoto wa Mtumishi yeyote wa MUNGU,akarithishwa kazi ya mzazi wake na MUNGU kwani kuna shida gani?,ikiwa MUNGU kapenda hivyo?, shida ni mtazamo tu, halafu wakati mwingine ni vizuri ukatafuta mtu anayehusika na kumwuliza kuliko kuyaongea bila kuwa na uhakika wa kinachoongelewa na pia usipojua sababu ni kheri ukanyamaza mpendwa usije ukamkosea MUNGU.
@@erickmutungi8792 umetoa maelezo marefu sana lakini nilichokisema kiko sawa kabisa. Kwanini asiende kufungua kazi mpya? Pia kuna wito wa aina mbalimbali wengine wanaitwa na wazazi wao ili kulinda maslahi yao
Kipi kizuri arithi kazi njema au wabaki kusema watoto wa wachungaji wameharibika? Angeimba bongo fleva mngesema vibaya .sasa anafanya jteba bado ni baya jamani? Tumwogope Mungu na tuzidi kumwombea afanye vizuri zaidi.
@visionofeagle1329 kwa hiyo wewe ndio una funguo za wokovu?