BARBARA anena 'Unapokuwa na nafasi ya kutafuta kisasi: SAMEHE' ni baada ya MANARA kufunguka MAZITO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 155

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 3 ปีที่แล้ว +34

    Mungu akulinde manara riziki popote Wenda mungu kuna kitu anakuepushia sema alhamdulillah

  • @florencebudoya3814
    @florencebudoya3814 3 ปีที่แล้ว +12

    Mungu akulinde Manara.

  • @ahamadtvonline7546
    @ahamadtvonline7546 3 ปีที่แล้ว +13

    Mungu atampa riziki zenye kheir na yeye,,,manara we got your back bro

    • @shabanimuhammad2228
      @shabanimuhammad2228 3 ปีที่แล้ว

      Kama kaonewa povu la nini

    • @ahamadtvonline7546
      @ahamadtvonline7546 3 ปีที่แล้ว +1

      @@shabanimuhammad2228 lazima atoe povu mana katumiwa miaka sita,halafu bro usifagilie Sana mwenzio kupata matatizo,,,huezi jua kesho yako,

  • @frederickkimweri1899
    @frederickkimweri1899 3 ปีที่แล้ว +16

    Nilichopenda ni kwamba tumejua mengine ambayo tulikua hatujui kwa hiyo tuna ya kujifunza kwenye maisha

  • @noelkisonga5534
    @noelkisonga5534 3 ปีที่แล้ว +15

    Babra ana roho mbaya

  • @olaismoses5186
    @olaismoses5186 3 ปีที่แล้ว +8

    Manara safi sanaaa uko riziki mungu ndio anagawa na haipatikani simba pekee japo kuwa mimi pia ni simbaa sema pole kwa uliyoyapitia mwenyezi mungu akutie nguvu usonge mbelee

  • @joanejoel159
    @joanejoel159 3 ปีที่แล้ว +22

    Jaribun kutofautisha shabiki wa timu na mpenzi wa timu. Manara anaweza akawa mpenzi wa simba na sio shabiki

  • @julianamushi3392
    @julianamushi3392 3 ปีที่แล้ว +15

    Hivi mnajua ngozi nyeupe inatuzarau san yaani wanajiona wao ndo top kibiashara

    • @jacobnorbertchenga9465
      @jacobnorbertchenga9465 3 ปีที่แล้ว +1

      Manara na Barbra si weupe wote Broh

    • @maikodaudi6918
      @maikodaudi6918 3 ปีที่แล้ว +1

      @@jacobnorbertchenga9465 🤣🤣🤣 Amesahau kwamba hata manara pia ni ngozi nyeupe

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 3 ปีที่แล้ว

      @@jacobnorbertchenga9465 🤣🤣🤣🤣 hivi ni kweli

    • @worldwide9207
      @worldwide9207 3 ปีที่แล้ว

      Anaongelea uyo muhindi modeoj

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 3 ปีที่แล้ว

      @@jacobnorbertchenga9465 Punguza utani Bro! Ngozi nyeupe gani wakati ni mweupe kwasababu ya ulemavu wa ngozi

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 3 ปีที่แล้ว +13

    Mwanamke huyu amezaa kweli! Mhhhhhhh aache roho mbaya

  • @shammyngude5060
    @shammyngude5060 3 ปีที่แล้ว +2

    Yupo Sahihi. Huyo mwanamke ana roho mbaya sana .

  • @subiraboi9397
    @subiraboi9397 3 ปีที่แล้ว +10

    Mungu yupo pamoja nawe alhajj wetu eti wwe na simba mbona n mzizi wataelewa tu

  • @richmelody984
    @richmelody984 3 ปีที่แล้ว +5

    Wahind Wana roho mbaya

  • @johnsonbagambi1908
    @johnsonbagambi1908 3 ปีที่แล้ว +3

    Manara mim binafs nakukubali sana

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 3 ปีที่แล้ว

    Mimi nipo upande wa manara bhaana 💪🔥

  • @ains1122
    @ains1122 3 ปีที่แล้ว +14

    Yeye anaweza kusamehe, yeye inabidi atubu kwa Mola na sio kusamehe maana kadhuru wengi mwanamke huyu hasidi

  • @farahanafarer7588
    @farahanafarer7588 3 ปีที่แล้ว +14

    Barbra tuache umevuruga sasa wewe changamsha Simba sasa😳😂

    • @georgembunda9233
      @georgembunda9233 3 ปีที่แล้ว +2

      uyo sister ni mduanza sana,foolish

    • @sumaiyamunisi5228
      @sumaiyamunisi5228 3 ปีที่แล้ว +2

      @@georgembunda9233 amemuachia simba tuone ss

    • @sghdrdhidf7603
      @sghdrdhidf7603 3 ปีที่แล้ว +2

      Uyu babra mshenzi sana na shetani

  • @mbembelatv
    @mbembelatv 3 ปีที่แล้ว +7

    Siwez kusimama na ngoz nyeupe yyt hasa dhidi y manara uyu uyu ninayemjua mimi, never

    • @tatunjenje2426
      @tatunjenje2426 3 ปีที่แล้ว +1

      Yani ww kama mm cwezi kisimama na ngozi nyeupe hasa hasa muhindi

    • @mbembelatv
      @mbembelatv 3 ปีที่แล้ว +1

      @@tatunjenje2426 hakika🙌🏼 hao sio watu

  • @mawereremawe1171
    @mawereremawe1171 3 ปีที่แล้ว +1

    Umaaarufu wa kudumu ni matokeo wa ya kazi nzuri zinazoonekana kama JPM.

  • @josephinehassan9132
    @josephinehassan9132 3 ปีที่แล้ว +8

    Sasa msemaji awe uyo uyo dada yanu😁

  • @itNeza
    @itNeza 3 ปีที่แล้ว +12

    Babra sijawahi Kumuamini Anaonekana Mtata.

  • @hamisiilishura7893
    @hamisiilishura7893 3 ปีที่แล้ว +2

    Kazi kweli

  • @elizabeththomas2460
    @elizabeththomas2460 3 ปีที่แล้ว

    Haji yk sahihi

  • @adolphmwangoje2887
    @adolphmwangoje2887 3 ปีที่แล้ว +6

    Simba yetu inpotea jmn kwa warabu hawa upuuzi tu 🙄

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyu Dewji si kuna wakati ali isusa simba. Wahindi kwanza na football wapi na wapi. Wa kashabikie cricket na swimming ndio michezo yao

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 3 ปีที่แล้ว +1

    Boya uyo analiwa na Mo anajifanya hana maneno mengi yeye ndo bora kuliko Manara

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 3 ปีที่แล้ว +4

    Dewiji atuachie simba yetu, tutapata wafadhili wengine,, ondoka na babra

  • @danieldeogratus1683
    @danieldeogratus1683 3 ปีที่แล้ว +6

    TafSIRI: Unapokua na uwezo wa kulipiza: Samehe

  • @allysalimsalim4965
    @allysalimsalim4965 3 ปีที่แล้ว +4

    Kademu na mo wamechafua hewa tz yanga inafurahia kuona hili

  • @msanifgdf615
    @msanifgdf615 3 ปีที่แล้ว +1

    Leo ndio nmejuwa maana ya ule msemo wa ngombe wa maskini hazai..Tajir mwenye hela Amemfukuza kaz mfnyakaz wake kisa kawa maarufu kuliko yy. Hiki ni kisa kilichotokea hko Afrika Tanzania

  • @idayamataifakey7813
    @idayamataifakey7813 3 ปีที่แล้ว +4

    Huyu mwanamke ana rohoo mbaya sana duu

  • @aloyce.kalamu6307
    @aloyce.kalamu6307 3 ปีที่แล้ว

    Nikwar manala nimunafiki2 kaka

  • @b0bzero583
    @b0bzero583 3 ปีที่แล้ว +4

    Tafuteni camera inarekodia cm camera resolution

  • @shabanramadhan2628
    @shabanramadhan2628 3 ปีที่แล้ว

    Yes

  • @hailinhelen4675
    @hailinhelen4675 3 ปีที่แล้ว +2

    Manara ni simba na simba bila manara sio simba wll call 📞 u back...

  • @ibrahimmkasha5123
    @ibrahimmkasha5123 3 ปีที่แล้ว

    Sio sahihi hana uwezo wa uongozi

  • @zabibuamissi1141
    @zabibuamissi1141 3 ปีที่แล้ว +2

    Manara abakiye kimya

  • @boballymote7586
    @boballymote7586 3 ปีที่แล้ว +2

    Kiukweli hapo ina onesha ugomvi si simba na yanga ugomvi ni azam na mo manara ana tafuta rizki yake mo haku takiwa ugomvi wao na azam wa bishara kumuingiza manara

  • @Creative1studios1
    @Creative1studios1 3 ปีที่แล้ว +3

    Kimemuuma

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 3 ปีที่แล้ว +1

    Wahindi wabaguzi saaaana

  • @esthersimon4427
    @esthersimon4427 3 ปีที่แล้ว

    Wahindi wabaya sana wanachuki

  • @emmanueljoseph2576
    @emmanueljoseph2576 3 ปีที่แล้ว +1

    Manara kakurupuka kwa hiyo anataka kutuambia hakuna hata zuri moja alifanyiwa na Simba aende huko mropokaji tu

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 3 ปีที่แล้ว

    Huyo zungu koko a achane na manara wetu

  • @leahally4618
    @leahally4618 3 ปีที่แล้ว +5

    Awa wahindi sio ipo siku tutasikia timu yetu ya Simba ipo India😂😂😂😂

    • @kennyrogers4734
      @kennyrogers4734 3 ปีที่แล้ว +2

      Umeona Eeeeh alafu watu wanajifanya kumtetea Mo wajinga sana

    • @leahally4618
      @leahally4618 3 ปีที่แล้ว +1

      @@kennyrogers4734 wanaroho mbaya

    • @subiramussa1428
      @subiramussa1428 3 ปีที่แล้ว +1

      😃😃😃😃

    • @kennyrogers4734
      @kennyrogers4734 3 ปีที่แล้ว +1

      @@leahally4618 Wasi wasi mkubwa Babra chakula cha Mo

    • @leahally4618
      @leahally4618 3 ปีที่แล้ว

      @@kennyrogers4734 meonaeee

  • @fatmaali4921
    @fatmaali4921 3 ปีที่แล้ว

    Wanawake ni watu fitina sana hawapewi majukumu makubwa coz sie ni wafitinishaji hiyo ndo kawaida yetu haswaa

  • @raujohn8238
    @raujohn8238 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwanini kama halikuwa Anataka kusame hasinge kakimya

  • @gracemamuu5937
    @gracemamuu5937 3 ปีที่แล้ว

    Mimi kama mwana saikojia naamini maneno ya Manara 80%japo kapanik kidogo which is very okay ila ningemshairi asiongee sana otaonekana kama anatafuta huruma kutoka kwa mashabiki

  • @zahorsalum663
    @zahorsalum663 3 ปีที่แล้ว +7

    Hata aseme nn.haji tunampenda kuliko yyt simba kakuza .klabu yetu.natayari.kaigawanya tm yetu..huyu mwanamke.

  • @wivinemwamini9110
    @wivinemwamini9110 3 ปีที่แล้ว

    Amesema mengi weyesurisikiya

  • @jorgettemwajuma5428
    @jorgettemwajuma5428 3 ปีที่แล้ว

    Mbona mwanzo haku ya sema

  • @agreyaloyce432
    @agreyaloyce432 3 ปีที่แล้ว

    Tofauti kati ya mpenzi na mapenzi ya mpira ni vitu mbili tofauti bro hi game ya mpira inataka akili mingi kila jambo linataka time sababu hakuna siri chini ya juwa

  • @saadmgendi8537
    @saadmgendi8537 3 ปีที่แล้ว

    Manara ndo tafsiri halisi ya club kuwa habari kuu Africa na dunia nzima na utani wake na wapinzanzani ndo umeipeleka viral miles #Simba SC kuwa ndo Club inayofuatiliwa zaidi duniani na haijalishi aliongea nni lakin mnapaswa kujua nini Manara feels.

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 3 ปีที่แล้ว +1

    Aache ufala uyo Babra si aseme tu Mo anakula mzigo ndiomana plesha hana

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 3 ปีที่แล้ว +4

    Hii club ishakuwa ya waarabu tu kwahiyo mimi naona watoe bech lote la ufundi na wachezaji wawe waarabu ....

    • @hapi6113
      @hapi6113 3 ปีที่แล้ว

      Wahindi wanaroho mbaya sana 😂😂😂😂😂😂

    • @sumaiyamunisi5228
      @sumaiyamunisi5228 3 ปีที่แล้ว

      @@hapi6113 sana wana ubinafisi saana warabu

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว

      @@sumaiyamunisi5228 IMEHUSU NINI WARABU NA UGOMVI WA HAJI NA BABRA???? LAZIMA MUJUWE WARABU NI NANI NA WAHINDI NI NANI NI WATU TOFAUTI.

    • @sumaiyamunisi5228
      @sumaiyamunisi5228 3 ปีที่แล้ว

      @@salimsaid7200 na maanisha wahind kin Barbara Hahahahah

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว

      @@sumaiyamunisi5228 Ok

  • @ibrahimmkasha5123
    @ibrahimmkasha5123 3 ปีที่แล้ว

    Na msimshabikie hii imeonekana kuna ukweli anaihujumu Simba

  • @linusngowi9771
    @linusngowi9771 3 ปีที่แล้ว +2

    Miyayuso

  • @josephbonephace5554
    @josephbonephace5554 3 ปีที่แล้ว +2

    Vimeumana

  • @mponejawillson1453
    @mponejawillson1453 3 ปีที่แล้ว

    Huyu kahaba wa mo kanikera sanaaa

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 3 ปีที่แล้ว

    Hawa nao wasikere na pesa zao

  • @khamismgalla1670
    @khamismgalla1670 3 ปีที่แล้ว +1

    Iko kitu na hilo jibu

  • @razackmfilinge5794
    @razackmfilinge5794 3 ปีที่แล้ว

    Tukutane maskin jeuri wajamen kama wanasimba sisi as Hajmanara🤣

  • @zanarttz4335
    @zanarttz4335 3 ปีที่แล้ว

    UBINADAMU KAZI MANARA NI MKWELI

  • @aishanasri7561
    @aishanasri7561 3 ปีที่แล้ว

    Hakuwa sahihi wanfeket wakayamaliza

  • @MussaAlly-t6m
    @MussaAlly-t6m 10 หลายเดือนก่อน

    Wahindi wanachoyo sana

  • @edwardmbonika5102
    @edwardmbonika5102 3 ปีที่แล้ว +6

    Manara kama bado unaipenda Simba nunua petroli nenda kachome Simba

  • @swedially4911
    @swedially4911 3 ปีที่แล้ว

    Mbona ss washabiki tunasafiri na kuisaport Simba KWA pesa zetu? Yeye Manara analipwa kuisaport Simba.

  • @hakizimanafiston3589
    @hakizimanafiston3589 3 ปีที่แล้ว +1

    Manara uko mwanaume asikutishe

  • @mkombevuai5988
    @mkombevuai5988 3 ปีที่แล้ว

    Manara hamia Yanga wahindi wanaroho xzkorosho

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 3 ปีที่แล้ว

    Nani kamuondoa jamani

  • @Sppah697
    @Sppah697 3 ปีที่แล้ว

    Barbara inatamkwa Babra!

  • @buyukubwa9713
    @buyukubwa9713 3 ปีที่แล้ว

    Ukiishatoka umetoka sasa maneno yanasaidia nini Naangalia alipotoka senzo manara ulivyotukana mpaka nikasema senzo mbaya leo wewe senzo alitoka akajiendea unaongea sana leo wewe nimekuheshimu na kupenda maneno yako sasa napata wasiwasi

  • @ibrahimmkasha5123
    @ibrahimmkasha5123 3 ปีที่แล้ว

    Tatizo sio mwanamke wala mo mwanaume jasiri niyule anaemudu hasira zake Haji kakosea sana na kaikosea Simba na haipendi Simba huyu jamaa ni mtu hatari

  • @aishanasri7561
    @aishanasri7561 3 ปีที่แล้ว

    Ila gombaneni mkimaliza mtuachia Simba yetu kama mlivyoikuta Mana mnakela jmn badiliken

  • @josej9888
    @josej9888 3 ปีที่แล้ว

    Mwisho wasimba unakaribia, Na Mo siku akitakiwa kuiachia Simba itakuwa vita maana atawadai Pesa nyingi Sana.

  • @jenywalker5246
    @jenywalker5246 3 ปีที่แล้ว +3

    Hii barabara irudi india....🙄

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 3 ปีที่แล้ว

    Akawe msemaji Wa azam

  • @salu_jux2364
    @salu_jux2364 3 ปีที่แล้ว

    Chawa t

  • @sanurikibaya3254
    @sanurikibaya3254 3 ปีที่แล้ว +2

    Haji nikama demu aliyeachwa namtu anayempenda kwahiyo lazima haji atepete

    • @subirajohn728
      @subirajohn728 3 ปีที่แล้ว +2

      Nyie mnaotetea ujinga kujipendekeza kwa matajiri wajanja wajanja mwishowake mtapigishwa magoti

    • @mbembelatv
      @mbembelatv 3 ปีที่แล้ว

      Huelewi lolote bora unyamaze t

    • @omanss268
      @omanss268 3 ปีที่แล้ว

      Wewe nawe sijuhi umeandika NN?

    • @emmanueljoseph2576
      @emmanueljoseph2576 3 ปีที่แล้ว

      😂kweli

  • @salimusafuko8594
    @salimusafuko8594 3 ปีที่แล้ว

    Nashauri mo amuoe babra waunde timuyao

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌

  • @mgeningogomeloathuman7230
    @mgeningogomeloathuman7230 3 ปีที่แล้ว

    mnaomuunga mkono Manara nendeni naye mkaanzishe klabu yenu

  • @mamjubran774
    @mamjubran774 3 ปีที่แล้ว

    Simba timu kubwa na itaendelea kuwa kubwa zaidi hata kama manara hayupo.Haya mambo ya msemaji wa klabu si yameanza miaka ya ivi karibuni tu.Simba hata kama haina msemaji wa klabu bado itaendelea kuwa kubwa tu.

  • @godwillmanyaki7816
    @godwillmanyaki7816 3 ปีที่แล้ว

    Ndo shida ya kuwapa wanawake madaraka mambo ndo huwa hivi.. move on brother...

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 3 ปีที่แล้ว

    Uyo Godfrey kibaraka wa Mo tu hana lolote

  • @happymrema6728
    @happymrema6728 3 ปีที่แล้ว

    Babra acha roh mbay

  • @ericklaura7511
    @ericklaura7511 3 ปีที่แล้ว

    Barbara ni Ng'ombe, mademu wa sampuli yake huwaga wanafeli sana, kijiba cha roho, ANYWAY SHE GOD SOMETHING TO OFFER AS LADY and that is only thing that is giving her power to lead chaos in Simba football club, let her not forget men too can probably tired of offer 😂😂😂

  • @karyori69
    @karyori69 3 ปีที่แล้ว

    utakuwaje Simba halafu utangaze bidhaa za Bakhresa bidhaa shindani za METL mdhamini mkuu wa Simba? Wacha upumbavu!! Elimu duni inakusumbua...!!

    • @subirajohn728
      @subirajohn728 3 ปีที่แล้ว

      Upumbavu wake nini? Kwa kuwavumilia janja janja !

    • @subirajohn728
      @subirajohn728 3 ปีที่แล้ว +1

      Hivi alichozungumza bado ujaelewa au Kwa sababu wana nywele za kihindi!

    • @eddy4998
      @eddy4998 3 ปีที่แล้ว +1

      Yani ww pumba

    • @ramadhanmhina1925
      @ramadhanmhina1925 3 ปีที่แล้ว +1

      Huyu naye asamehewe tu

    • @zenahussein2242
      @zenahussein2242 3 ปีที่แล้ว

      Sasa aache pesa si usengerema huo. MO acha achanwe tu

  • @charleskuyeko1660
    @charleskuyeko1660 3 ปีที่แล้ว

    Katika hili pamoja yote aliyotendewa kama ni kweli au siyo kweli angenyamaza tu kwani pengine huko mbele umuhimu wake ungeweza kuonekana tena akapewa kutumika tena Simba.

    • @ramadhanirama6636
      @ramadhanirama6636 3 ปีที่แล้ว

      Kwan hata km amesema umuhim wake hautaonekana???

  • @isikesamike
    @isikesamike 3 ปีที่แล้ว

    Hakuwa sahihi. Alipoona Barbara hamzingatii why hakwenda kwa Mo kumpa mrejesho kuwa Barbara hampi ushirikiano? Naye alikuwa na lake jambo tu. Ajiendee tu maana Simba ni kubwa kuliko yeye.

    • @ramadhanirama6636
      @ramadhanirama6636 3 ปีที่แล้ว

      Umeckiliza toka Mwanzo au hauna mb???

    • @razackmfilinge5794
      @razackmfilinge5794 3 ปีที่แล้ว +1

      Hapana naweza kumtetea pia manara kwamba na yeye yuko after money like huyo mdhamini pia ili kumfikia yeye pia lazma awe hvyo

    • @razackmfilinge5794
      @razackmfilinge5794 3 ปีที่แล้ว

      Hyo milard naye tumchunguze vzuri

    • @razackmfilinge5794
      @razackmfilinge5794 3 ปีที่แล้ว +1

      Kama wanasimba

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 3 ปีที่แล้ว

    Huyo zungu koko a achane na manara wetu

  • @samwelipima3795
    @samwelipima3795 3 ปีที่แล้ว

    Tumejua mengi juu ya mo roho mbaya Sana lakini tulifumbwa macho akapambwa sana kumbe hamna kila kitu kigwangala aliwahi kusema kuhusu no watu wakapinga mo yupo kwa masilahi siyo kwaajili ya Simba wa vile alikua manji tu