PART 2: UPAKO mwachie MWAMPOSA usituletee kwenye UISLAM hatutaki kabisa.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 180

  • @abdulkarimisihaka2145
    @abdulkarimisihaka2145 วันที่ผ่านมา +5

    Alhamdulillah namuomba ALLAH atupe umli mrefu wenye manufaa kwetu na kwawaja wake
    ALLAH kuzijidishie shekhe kishik

  • @mickdad8309
    @mickdad8309 2 วันที่ผ่านมา +29

    Mungu akupe maisha marefu we ndio shekhee unaefaa kweny nchi yetu kishki upendagi unafk hakika we ni muislam wa kwel

  • @omarbinabou6207
    @omarbinabou6207 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    ❤❤Allah akupe maisha marefu Shekh wetu kipenz❤❤

  • @ShabaniMkumba-i9y
    @ShabaniMkumba-i9y 2 วันที่ผ่านมา +17

    Shekhe kishki nakuonbea mwenyez akulinde na akupe maisha marefu inshallah

    • @ShabaniMkumba-i9y
      @ShabaniMkumba-i9y 2 วันที่ผ่านมา +1

      Mana we shekhe wetu tunae kuamini kwa imani yako umebadilisha mioyo yetu

    • @mwanakombopopo5117
      @mwanakombopopo5117 2 วันที่ผ่านมา +1

      Amiin Amiin Amiin

  • @FrankieFrank-e4e
    @FrankieFrank-e4e วันที่ผ่านมา +2

    Mimi ni mkiristor sema nakukubali sana kishiki enderea kusimamia ukweli huu sio uislamu tunaoujua viva kishiki ❤❤❤ one love

  • @husseinmongolare3417
    @husseinmongolare3417 วันที่ผ่านมา

    Shukran sheikh kwakukemea ayo mambo ya upotofu mutume wa mungu hajatufuza ayo mambo hayamo katika dini ya uislamu

  • @AishaKitundu-zr3kv
    @AishaKitundu-zr3kv 2 วันที่ผ่านมา +4

    Sheikh kishk allah akulinde inshaallah utuongoze waislam ambao tunababaishwa na hawa watu kisa matatizo yenu alhamdulillah unantuelimisha hatuwaamini allah awagamize asituharibie watoto weth ambao wanakua yaallah

  • @makendemakende
    @makendemakende 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Kishki ndio aliebaki na msimamo ☝😎🎯💯‼️✔️

  • @nishawangaiwangai9765
    @nishawangaiwangai9765 วันที่ผ่านมา +1

    Shekh kishki hapendi ujinga katika dini Masha allah allah atupe mwicho wema in sha allah 🙏

  • @Muhindojamaldin-r1r
    @Muhindojamaldin-r1r 2 วันที่ผ่านมา +5

    ❤❤❤walai sheikh shukran kwa kazi unayo ifanya Allah akulipe kilalaheri barakallaw fikum alhamdulillah ya rabbiy

  • @Ommywhity7
    @Ommywhity7 2 วันที่ผ่านมา +2

    Asante Sana shekhe kishiq Mungu akulindee uzidi kuilinda Dini Na kutufungua machoo❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @bashirbaristo7294
    @bashirbaristo7294 วันที่ผ่านมา +1

    Very true sheikh Kishki. MashaAllah Ajaab

  • @MzamiluMhofio
    @MzamiluMhofio วันที่ผ่านมา

    Wallah sijaona shehe kama ww nchin hapa au kwa kuwa sijazungunga sana mungu akizidishie umri pamoja na iman uzidi kutulingania maana siai bado wachanga nakupenda sana shekh mung anikutanishe na ww siku moja kabla sijafa

  • @AthumaniMasudi-o6m
    @AthumaniMasudi-o6m 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Allah akupe maisha marefu shekh kishiki

  • @ramadhaniraphael6955
    @ramadhaniraphael6955 2 วันที่ผ่านมา +6

    Barikiwa sana shekhe we ndo muislamu wakweli

  • @AllyHassan-e2m
    @AllyHassan-e2m 2 วันที่ผ่านมา +2

    Mtoto Yule kama anaonqozwa na watu wazima nyuma yako mwenyezi munqu amuonqoze inshaallah mkamilifu ni Allah ahsante Sana kipenzi sheikh wetu Allah atuweke uzidi kutupa elimu

  • @SadamSarita-t7z
    @SadamSarita-t7z 2 วันที่ผ่านมา +6

    Asante sana shekhe wetu mungu akulinde kale katoto nikahuni mungu atamdhalilisha

  • @omargargaar5611
    @omargargaar5611 2 วันที่ผ่านมา +1

    Allah akuhifadhi sheikh Nurdini Kishki Wallah umeni furahisha umeongea ukweli wa haki lillah Allah akulinde na shari za wanadamu na majini MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah

  • @bobaiddi9599
    @bobaiddi9599 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Alla akujalie umri mrefu shekhe kishk

  • @Hashim-p4d
    @Hashim-p4d 2 วันที่ผ่านมา +2

    S ❤A ❤ W alhamdhulillah mm nashkuru mungu kunipa nafsii yakumuamini yeye na mtume wetu SAW ❤ na vitabu vake 😢 na ndungizangu wengine mungu awaepushe na fitnaa hizi inshaallah 😢

  • @mwinyiothman5106
    @mwinyiothman5106 วันที่ผ่านมา +1

    Shegh wangu uko vyema sana njaa hao zinawasumbua sana hao

  • @HusseinLilacho
    @HusseinLilacho วันที่ผ่านมา +1

    piga nyundoo hzoo shekhee

  • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
    @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 วันที่ผ่านมา +4

    Maa shaa Allah! Kishki kaanza kuwaradd MASUFI....
    TUNAMUOMBA ALLAH AKURUDISHE KATIKA MANHAJ YA AHLUSUNNAH WAL JAMAAA...!!!

    • @ZogoMtaani
      @ZogoMtaani 2 วันที่ผ่านมา

      Kuna mafungamano gani kati ya kufanya biashara ndani ya msikiti na usufi .

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 วันที่ผ่านมา

      @@ZogoMtaani Mmmh! hyo sijui...
      I think hata masufi wanajua kuwa hauruhusiwi ila wanakaza ubongo tu!

    • @dottomoshi8324
      @dottomoshi8324 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@ABUUBAAZNYUNGU-j4xhujui halafu una comment

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 17 นาทีที่ผ่านมา

      @@dottomoshi8324 Sijui nini?

  • @AhmednoorJama
    @AhmednoorJama วันที่ผ่านมา

    Sheikh Nurdin ALLAH akulinde,akuhifadhi na kukupa umri mrefu ili undeleee kuwaumbua hawa wanaotaka kuichafua dini ya ALLAH

  • @ramahkesh9360
    @ramahkesh9360 2 วันที่ผ่านมา +3

    ALLAH AKUHIFADHI SHEKH WETU❤

  • @JumaRashidi-g4g
    @JumaRashidi-g4g วันที่ผ่านมา

    Mashaallah shekhe kishk Allah akujaalie uzima tuendelee kupata elmu Toka kwako

  • @omarymbwana9798
    @omarymbwana9798 2 วันที่ผ่านมา +2

    Allah akulipe kheri shekh Nurudin Kishki

  • @NuhuM-s1x
    @NuhuM-s1x วันที่ผ่านมา +1

    Mashaalha mungu akuzidie ilimu

  • @SakinaHassan-xc2in
    @SakinaHassan-xc2in 2 วันที่ผ่านมา +4

    SHEKH KISHKI SIMAMA USIOGOPE WAAMBIE UKWELI MM NAENDELEA KUMUOMBA ALLAH NDIYE MPONYAJI NA QUR_ANI YAKE NDIO TIBA BORA ALHAMDULILLAH

  • @tnumber7556
    @tnumber7556 38 นาทีที่ผ่านมา

    Swadakita sheikhe wetu

  • @tikob8484
    @tikob8484 2 วันที่ผ่านมา +1

    Sheikh kishk mungu akupe uumli mrefu sheikh wangu

  • @RisasiRisasi-uj8fk
    @RisasiRisasi-uj8fk วันที่ผ่านมา +1

    Shekh kishiki nimekuelewa ahsante kwa kutuelimisha dini ya kweli

  • @hippmanismail9420
    @hippmanismail9420 วันที่ผ่านมา

    Allah SWT akulinde Sheikh Kishik

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 2 วันที่ผ่านมา +1

    Allah akulipe sheikh wangu

  • @abubakaranwar337
    @abubakaranwar337 2 วันที่ผ่านมา +3

    Sheikh kishiki mwenyezimungu kulinde Mimi nakupenda sana wewe ni mtu mkweli

  • @SaraBashiru
    @SaraBashiru วันที่ผ่านมา

    Safi sanaa simama imara kutetea dini 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @rajabumsuya-hg8jd
    @rajabumsuya-hg8jd 2 วันที่ผ่านมา +4

    Naam shekh,,swadakta

  • @NauriaKhamis-mz4il
    @NauriaKhamis-mz4il 2 วันที่ผ่านมา +1

    Faman shuq shuq fahuwa yy......na walivyoibuka Mpk huyo anae semekana ni shekhe wa mkuu wa mkoa ............#🎉❤🎉umewaweza manyau nyau wote😂😂😂mabrouq

  • @SadamSarita-t7z
    @SadamSarita-t7z 2 วันที่ผ่านมา +7

    Mazinge analeta uhuni namuweka pembeni siwec tena kuxikilixa mawaidha yake anatupoteza waislam

    • @rizosharama2991
      @rizosharama2991 2 วันที่ผ่านมา

      We kichwa chako hakina uwezo kumuelewa Mazinge ..

    • @paulkamula9117
      @paulkamula9117 2 วันที่ผ่านมา

      Huo wakati wote haukujua mazinge ni muongo..

    • @paulkamula9117
      @paulkamula9117 2 วันที่ผ่านมา

      Wote ni hali moja uislamu ni ushirikina...

    • @SadamSarita-t7z
      @SadamSarita-t7z 2 วันที่ผ่านมา

      Sina uhakika ila muhuni yuledogo et anatunia ndimu60 kumuangamixa maanayake ni nini!!!?!???!

    • @SadamSarita-t7z
      @SadamSarita-t7z 2 วันที่ผ่านมา

      Hakielewi vp wanatuletea mambo gan

  • @NtuyenaboAssuman
    @NtuyenaboAssuman 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Assalam Aleikum Warhamatullah, Watu hawa wamedjalib kuingia kwetu Rwanda na Dawa zawo za FK tukawatowa mbaya sana

  • @JamalAmr-nn9pm
    @JamalAmr-nn9pm วันที่ผ่านมา +1

    Hawa akina mazinge nao sijui njaa mtume wetu anasema mwisilamu tuombe mwisho uwe mwema Leo tunashangaa kuona waisilamu Leo tunageuka kama walakole hata Mimi sijasoma sikubaliani ujinga huu

  • @omarbaabad2706
    @omarbaabad2706 วันที่ผ่านมา

    Shekhe Nurdin uko sahihi na ukweli utadumu uongo utabainika muda siyo mrefu

  • @MuhammadMuhammad-gr2qv
    @MuhammadMuhammad-gr2qv 2 วันที่ผ่านมา +4

    MAZINGE NDIE MWALIMU MKUBWA WA MATAPELI HUWAFUNDISHA HAWA VIJANA KUFANYA UTAPELI. NAKUMBUKA MWAKA WA 1994-1995 ALIWAHI KUJA MOMBASA KENYA NA KATOTO KIMOJA AKIITA SHEKHE SHARIFU. ALIO ONGEA UZUSHI MWINGI NA UONGO WAKUTUNGA KUMUHUSU YULE MTOTO NA KUTAPELI WAISLAMU WA KENYA PESA NYINGI SANA. ALLAH ATAWAFEDHEHESHA MADHWALIM WOTE

    • @ramahkesh9360
      @ramahkesh9360 2 วันที่ผ่านมา

      EWAAA MWAKA HUOHUO MIAKA1996 ALIKUJA MWANZA TANZANIA PIA NA ICHO KITOTO WALIJIZOLEA PESA SANA KWENYE MIHADHARA😢😢😢

    • @aishamuhammad7785
      @aishamuhammad7785 2 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@ramahkesh9360kishehe Sharifu😂

    • @ramahkesh9360
      @ramahkesh9360 2 วันที่ผ่านมา

      @@aishamuhammad7785 ewaaaaaa🤣🤣🤣

    • @MohamedJongo-n9e
      @MohamedJongo-n9e วันที่ผ่านมา +1

      MAZINGE KASHAPIGA HELA HAPO NAE HAELEWEKI

  • @allysalim7638
    @allysalim7638 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunasimama na Sheikh kishki washirikina na matapeli hwana nafasi katika uislamu

  • @SangiwaMsangi-x4x
    @SangiwaMsangi-x4x 2 วันที่ผ่านมา +1

    Hawa masharifu nimatapeli ndio walikua chanzo chakuritadi waisilam nyamwage rufiji shekhe kishk anajuaa

  • @abdoumadiousseni4835
    @abdoumadiousseni4835 วันที่ผ่านมา

    Huyu mazinge sio yule alikuwa ana sema mtume wakwanza alio njega hôtel ni mwanposa haya sasa mbona anatetreya mabo ya mwamposa au kule kwa mwamposa alikuwa hapate hela huku anapata hela 😅😢😢

  • @yusafbayu7016
    @yusafbayu7016 วันที่ผ่านมา +1

    Na sheikhe huyu kishki ata tukanwa ata pingwa kwa sababu si mtu wa maulidi subiri uta sikia ma sheikh wa kubwa wana unga mkono kale ka bwana mdogo

  • @BilaliKasim-v6d
    @BilaliKasim-v6d วันที่ผ่านมา

    Mwenyew uliwai kuwa na mazing akikupigia domo msktn wakukubali kisha watoe sadaka Acha roho kubwa mangapi umeyafanya mbn umewasomea dua watu lakin majibu chwee

  • @ochuMay05
    @ochuMay05 วันที่ผ่านมา +1

    Tuitetee Dini Yetu ya Islamu na tuwafichue wanafiq wanaotaka kutuchafulia Dini yetu..

  • @MbarakSoud
    @MbarakSoud 2 วันที่ผ่านมา

    Bismilaahi rahmani raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana kua mwislam dini iliyoo nyookaa na isiokua na shaka juu yake alhaamdulilaah uislam raahaa sana alhaamdulilaah uislam ni njiaa iliyoo nyookaa na isiokua na shaka juu yake alhaamdulilaah ukweli unaaumaa waaambie ukweli mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu takbir alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaamdulilaah alhaamdulilaah alhaamdulilaah wape ukweli wape ukweli haaaoooo wanafki wakubwa

  • @khalfanali5719
    @khalfanali5719 2 วันที่ผ่านมา

    Asalamu Aleykum sheikh kishki mpe naswaha Mazinge ndie anae changia huyo kijana kutapeli watu

  • @eddieeddie2755
    @eddieeddie2755 2 วันที่ผ่านมา +2

    Vyuo vya maulidi ndio vinatuletea mabalaa ktk dini, Alhamdulillah kwa kuwakimbia, eti Masharifu utapeli mtupu.

    • @NuruJumanneHamimu
      @NuruJumanneHamimu 2 วันที่ผ่านมา

      Maulidi imekufanya nn achaa mambo yakiuwahabii , maulidi imehusianann hapooo mauli Azimisho ya mazz yamtume na kumrehem kosalake nn achen kufatakumbooo

    • @BakariHassan-p6z
      @BakariHassan-p6z 2 วันที่ผ่านมา +1

      Muongoooo ​@@NuruJumanneHamimu

    • @eddieeddie2755
      @eddieeddie2755 2 วันที่ผ่านมา

      @@BakariHassan-p6z 😁😁😁 jamaa Muingo.

    • @eddieeddie2755
      @eddieeddie2755 2 วันที่ผ่านมา

      @@NuruJumanneHamimu mimi si wahabi na wewe kataa maulidi, nyinyi na Maswahaba nani anampenda Mtume (s.a.w) ?

    • @saidsheha1336
      @saidsheha1336 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@NuruJumanneHamimuww ndo unafuata mkumbo mana mnajifany mnaielew dini kuliko nyinyi man mnafany uzushi

  • @ShannyBrowntz
    @ShannyBrowntz วันที่ผ่านมา

    Kishkiiiii Utapigwa Mawee sanaaa Unagusaaa Mipango ya Watuuu Utagombana na Mashekhee wengiii Sanaa

    • @faudhiaamour1914
      @faudhiaamour1914 วันที่ผ่านมา

      Kheri kupigwa mawe kuliko kuacha uislamu udhalilike waislam wapotoshwe kheri kuilingania dini ya Allah sw isimame na kuzilinda Sunnah za mtume wetu Muhammad s a .w hata mm Niko radhi kupigwa mawe kwa ajili ya Allah sw na mtume wake s.a w

  • @getajo1153
    @getajo1153 วันที่ผ่านมา

    Sharifu wangu wa Kongowe anazidi kutrend! 😂😂 nimepita pale leo ndo kwanza kunatapika... Maisha haya bana...

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mwambiye kweli japo chungu asituchafuliye uislamu mjinga mmoja mshirikina mkubwa

  • @BilaliKasim-v6d
    @BilaliKasim-v6d วันที่ผ่านมา

    Kweli mashekh sasa wamekuwa wanafiki kishiki mwenyew nimnafik huombea watu dua nakujikusanyia mapesa kibao wivu tu

    • @msafiriduwiya7765
      @msafiriduwiya7765 วันที่ผ่านมา +1

      WAFUASI WA mafuta ya upako dawa ishawaingia

  • @LabiloWabikongo
    @LabiloWabikongo วันที่ผ่านมา

    allah akuhifadh

  • @othumanlorenzo260
    @othumanlorenzo260 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    hAsalam aleykum,Tunaomkubali na kusimama na sheikh katika hili tuweke like hapa kuonyesha solidarity na sheikh Nordin Kishki na kukwaza na utetezi usio wa kiislam wa akina Walid na Mazinge.

  • @chrispinrafael3831
    @chrispinrafael3831 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mimi ni mkirito uwa nakukubali shehe

  • @mwaminkalikwera5038
    @mwaminkalikwera5038 วันที่ผ่านมา

    Mungu azidi kukulinda

  • @Bless-b.DL-babyofficial8769
    @Bless-b.DL-babyofficial8769 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kuna wakati uliwai kuzungumzia kuusu afande sele mimi nimekua mtu wakwanza kukataa ambayo uliosemaga kama mtaa soma duwaah baada ya week mbiya afande sele atakua amefari ila mpaka sasa afande yupo. Anyway kwahili ambalo umeongea kuusu hili Aisee wenye KHakili wameskia HAKUNA UPAKO KWENYE UISLAAM

  • @jamaljuma-jw4pz
    @jamaljuma-jw4pz 2 วันที่ผ่านมา +2

    Mimi pia sina elimu ya kuunga mkono upande wowote ila nahitaji kwa za kukaa kitako kama ninavyokaa kitako kuangalia mpira au wanasiasa ili kjifunza kwanza dini yetu tukufu ili ALLAH atupe uongofu

  • @fay9687
    @fay9687 วันที่ผ่านมา

    Allah kasema haita simama qiyama mpaka tufuate mila za makafiri ndio hizi sisi tunawafuata kina mwamposa na manabii wa uongo

  • @arafathswaleh
    @arafathswaleh 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mazinge ni chawa

  • @fredrickgitonga1972
    @fredrickgitonga1972 วันที่ผ่านมา

    😅😅 ata waislam wakina mwamposa wao sai wow

  • @FranceThomas-ug2ed
    @FranceThomas-ug2ed วันที่ผ่านมา

    MUNGU AKULINDE

  • @RamadhanBakari-xz7bu
    @RamadhanBakari-xz7bu 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Shekh wali mtetea babu wa loliondo sasa hivi babu yuko wapi shekh tuko pamoja piga 🔨

  • @OmarMuhammad-h7l
    @OmarMuhammad-h7l 2 วันที่ผ่านมา

    Allah akuhifadhi waambie ukweli

  • @AliTax-bp4xc
    @AliTax-bp4xc 2 วันที่ผ่านมา

    Mungu akuongoze utueleze ukweli na uwazinduwe waliohafilikaa

  • @JjnutSudu
    @JjnutSudu วันที่ผ่านมา

    Kuna shekhe mmoja alikuwa anaonesha uchawi msikitini mbele yako na ulikuwa unachekelea, Leo mtu anajiita sharifu mishipa ya koo inakutoka. Tatizo lenu wivu, unafki na ubinafsi umewajaaa.

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 วันที่ผ่านมา

      Kwani Kuwazinduwa Watu Kwa yafanywayo na Wachawi/Matapeli ni Dhambi/Haramu?!

  • @lazarimanal3415
    @lazarimanal3415 วันที่ผ่านมา

    Huwezi kuamini isipokuwa mwenyee Akiliiii

  • @SaraBashiru
    @SaraBashiru วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂 manyau nyau

  • @SwaleheRajab
    @SwaleheRajab 2 วันที่ผ่านมา +1

    Uyu kijna akija mtaan kwangu fimbo

  • @sharifuteacher5025
    @sharifuteacher5025 2 วันที่ผ่านมา +1

    ETI WATU WANASEMA HUYU SHEKEH WA MJINI SIJUWI AWAJASOMA KUA MTUME MWENYEWE KATOKA KATIKATI YA JIJI KUU LA MAKA ITAKUWA KHALIFA KISHI KUTOKA KARIYAKOO

  • @dottomoshi8324
    @dottomoshi8324 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa sheikh Zubeir bakwata msimamo wake ni UPI akiwa kama kiongozi wa juu

  • @Abdulshabani-nl8xk
    @Abdulshabani-nl8xk 2 วันที่ผ่านมา

    Subuhana.llah kinacho sikitisha ni kua zama.hiz kika akikosea haambiwi kwa ustaarabu wala.upole je kwani Allah alipo.mwambia mtume musa nenda kwa firauni.kwa lugha laini na.useme nao maneno laini je mbona hatuwalinganii kwa upole ila ni.maneno makali ataachaje kwa kulaaniwa na.kufokewa Allah awape mashekhe njia.nzury na lugha safi za kumfanya aogope.

  • @rashidmngongo8526
    @rashidmngongo8526 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hapo ni uelewa kama ni zaidi wewe unavoelewa usilazimishe kila mtu akufuate wewe unavoelewa cha muhimu toa Elimu kama tiba hizi ni haramu na uharamu wake unakujaje ikiwezekana mjadiliane Kwa hoja lakini sio kama unavofanya

  • @OthmanIbraheem-g4v
    @OthmanIbraheem-g4v 2 วันที่ผ่านมา

    Mwamposaa unakubarikaa karibiaa nchi nzimaa alafuu wewe ndy sheikh unayeheshimikaaa sanaaa wallah wabillah watallah
    Ilaa kwenye kuupinga huoo upako na unakataaa haliakua munaita upako na kwenye qurani yetuu hakuna
    Unazinguaaa acha njaa nawe ushaanza angalia pesa sasa siku hizii😢😢😢

    • @allysaid5800
      @allysaid5800 2 วันที่ผ่านมา +6

      unajua unachokiongea au umelewa

    • @Alithoya-qr7di
      @Alithoya-qr7di 2 วันที่ผ่านมา

      Amekurupukwa kutype badala ya kuskiza kwanza​@@allysaid5800

    • @LatifaCharles
      @LatifaCharles วันที่ผ่านมา

      @@allysaid5800uyu mmoja wa wafuasi wa mwamposa wala usimshangae

  • @MuslimYouthman
    @MuslimYouthman 2 วันที่ผ่านมา

    Na lishehe lingine liko linampepelea kabisa UPUMBAVU huu unaletwa kwenye uislamu

  • @AsiahAbdallah
    @AsiahAbdallah 2 วันที่ผ่านมา

    Njaa mbaya jamani jamaa aende akafanye kazi na mwamposa

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 2 วันที่ผ่านมา

    Wote wale wanaosema tumepona wametengenezwa tu ili kuuza utapeli wao sisi tupo nyuma yako waislamu bongo dini inaharibiwa kweli na watu wale

  • @Abu.mucyo7
    @Abu.mucyo7 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Warekebishe matapeli

  • @badruhote4607
    @badruhote4607 2 วันที่ผ่านมา

    Mfundishe masharifu feki, kwanza hatuyataki hayo mafuta yake,aache kuibia watu.

  • @yusrtv2622
    @yusrtv2622 วันที่ผ่านมา

    Muongeaji kaongea na sipingi lakini swali je ukisema bibilia nikitabu lakini qur.an nibora kuliko bibilia je Kwa kauli hiyo je qur.an itakuwa bibilia Sasa kusema maji haya nizaidi ya upako je itakuwa upako hayo ni maneno TU sheikh nurdini ww nishekhe mm nakuamini nakuoenda Sana nakufatilia Sana

  • @jumannematimbwa559
    @jumannematimbwa559 วันที่ผ่านมา

    Kuna machawa wanamtetea na ni maarufu yote tamaa ya pesa

  • @OmarySalehe-u3y
    @OmarySalehe-u3y 2 วันที่ผ่านมา

    Sawa sawa endelea kumkamata huyo mshirikina sharif firdaus na yeye alete kitabu kama yeye msomi

  • @khamisjuma3760
    @khamisjuma3760 2 วันที่ผ่านมา +1

    Lakini sheih wangu tunakufahamu kwanini usimfuwate Sheh mwenzenu mkaa kaa pamoja mkafahamishana jinsi mambo yalivyo kuliko kuzugumza kwenye midia

    • @veronicamokiwa4315
      @veronicamokiwa4315 วันที่ผ่านมา

      Sawa kabisa

    • @kassimabussa6583
      @kassimabussa6583 วันที่ผ่านมา +1

      Hata akikanao chini hawaelewi

    • @rajabuidd45
      @rajabuidd45 วันที่ผ่านมา

      Hapo katumia busara kuwafunza na wengine maana hapo hajaongelea kuhusu mashekh

  • @ziadamuhunzi6210
    @ziadamuhunzi6210 2 วันที่ผ่านมา

    Sio kama ana husda tunakosea waislam wnzangu na mara kadhaa tunasisitizwa kufuata maneno ya sheehe wako ispokua usifuate matendo yake hivo basi mimi na ww ni nanii kama anaetoa elim ametuzid elimu

  • @MakameMufadhil
    @MakameMufadhil วันที่ผ่านมา

    Yambiyeeeeeeee hayooooo

  • @SakinaHassan-xc2in
    @SakinaHassan-xc2in 2 วันที่ผ่านมา

    SHEKH WANGU MM NIKO NA WEWE KILA UTAKACHOKISEMA NITAKIFATA ALLAH AMEKUPA NURU KUMBUKA KUNA WATU WSLIKUWA WANAMPINGA MTUME MUHAMMAD VIPI WEWE KISHKI SIMAMA KAMA MTUME MUHAMMAD TUPO PAMOJA NAWE

  • @voiclove8153
    @voiclove8153 วันที่ผ่านมา

    Ila kishik umewapiga vibaya Hawa matapeli WANAOTAKA kuangusha din yetu wanataka wawez kama kuhanimusa au kiboko yawachawi kweny uislam 🤣🤣iv hawa wanaojiita mashekh kutoka tanzania walioweng wamecharuka sana mbn nchi zingine haya mambo hakuna kweny uislam jamn ee Allah tusaidie

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 2 วันที่ผ่านมา

    UISILAMU UMEVAMIWA KWA KWELI,
    KIASI MTU HUELEWI NA YUPI ANAYESEMA KWELI NA YUPI ANAYEDANGANYA,
    HALAFU KILA MMOJA ANADAI NDIO YEYE ANAYEFUATA HAKI NA HAPO HAPO ANASOMA AYA NA HADITHI KUKAZIA HUKMU MADAI YAKE.

  • @mohamednoti1401
    @mohamednoti1401 2 วันที่ผ่านมา

    Sheikh piga kichwani hao bado wanapumua😅😅😅

  • @BofuMlanzi
    @BofuMlanzi วันที่ผ่านมา

    Mazinge kila kukicha yeye na Bibilia tu, mifano ya elimu yake anaitoa kwenye biblia sasa imemuathiri. Mwamposa akiingia kwenye shimo la Mbulu kenge na yeye ataingia. Sharifu huwasomea watu dua bure hawezi kuuza maji dini haiuzwi. Je mtume gani aliwauzia watu maji?

  • @husseinbakromar5865
    @husseinbakromar5865 2 วันที่ผ่านมา

    Mbona usimkabili ukampa nasaa dini zimekua mashindano kila mmoja ajua lake vijana wengi wamekosa madili mbona Ummah wazidi kuangamia!! Badala ya msikitini kuongea na mutembe kuongoza Ummah

    • @Alithoya-qr7di
      @Alithoya-qr7di 2 วันที่ผ่านมา

      Ajibiwe kama vile yeye huchukua video mama zawatu akiwapost Kila mahali akiwamwagia maji na kuwapa mafuta ili Kila mtu askie

  • @yusafbayu7016
    @yusafbayu7016 วันที่ผ่านมา

    Sema mim siwa elewi wa Tanzania iweje kale ka toto mkape na fasi na mic kamjibu sheikhe kama huyu nyie adabu hamna yule mtoto msimge mpa na fasi bana. Eshima kwa viongozi wetu ina bidi isi mamiwe

  • @GodfreyOsward
    @GodfreyOsward 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lugha anayojua Allah ni kiaarabu tu?

  • @OmarySalehe-u3y
    @OmarySalehe-u3y 2 วันที่ผ่านมา

    Sharifu firdaus kaumbuka kichwa chini

  • @SaraSara-i1l
    @SaraSara-i1l 2 วันที่ผ่านมา

    Yaani njaa ni mbaya sana mfumuko wa dini serikali au bakwata kazi zao nini??😢

  • @fundimagari5825
    @fundimagari5825 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kuna kitu kimoja sisi waislam tunaferi ni kuwa na masheikh wenye kufundisha itikadi zao katika dini yetu...
    Kama kuna mtu muislam anatibia watu na watu wanatoa ushuhuda ya kwamba wanapona shida ipo wapi?....labda wafundishwe ya kwamba hii rukya maana yake ni zinguo ......nini maana ya zinguo ni matibabu ya kisheria...katika uislam tiba sahihi ni kufanya hivi na vile ndio maana nzima ya kuelimishana ...kusoma quran sahihi sio lazima pale sio msikiti ....hata mtume wetu muhamad s.a w kiarabu alifundishwa na malaika....mambo ya tiba ni karama za allah sio usheikh....ila masheikh mnaweza kutoa muongozo kwa hawa watoa tiba ...msipinge kila kitu mwisho mtakuja kukufuru bure.....wakati wanakuja hawa mitume na manabii awakuwa na elimu yeyote ,,na kulikuwepo wasomi kama wewe sheikh wangu kishk,,,,lakini Mungu anampa mtu amtakaye ....wapeni njia za haki za kufanya tiba kupitia dini yetu...msiwasimange.