Dada Shuna Asante saana kwa kutuelimisha na kutufundisha. leo nimejaribu kutengeneza Kalmati lakini zimetoka nueupe Kama mkate. Je nimekosea wapi? Baada ya kukanda unga nimeucha uumuke Kama 2hrs
MashAllah nice.. Naweza weka ndimu kiasi ama, ndimu zinasaidia kuwa crispy ama?,btwn yogurt, cornstarch ama ndimu ipi ndio best, kindly assist.. You are so kind and best in explanation.
Hello Shuna’s kitchen, kwanza natanguliza shukran nyingi sana kwa elimu unayotupatia. Ila naomba tip please. Kila nikipika kalimati zinanyonya mafuta; huwa ninakosea wapi. Please naomba ujuzi😊. Nazipenda sana ila sijazijulia kuzipika. 🙈
hi dear, asante sana. Jaribu kufuata vipimo kwanza unga wako usiwe mwepesi sana na uupige vizuri upate kua wa kuteleza au wa kuvutika ili ukichoma zijishike na zisiweke nafasi za kuingiza mafuta..jaribu moto usiwe mdogo sana
Nmeiona video yako uliopika maandazi swali kwanini hujaweka baking powder na ukipika bila baking powder unaweza kutengeneza maandazi ya kukaa hata zaidi ya siku tatu
Mashaallah shukran. Ramadan Mubarak 🎆🕋
Ramadhan Mubarak, shukran dear
Mashaa Allah❤
Jazakillah khayra ukhty
I tried yesterday and they turned out great ma sha allah ! thank you !
Mashalllah naic
Shukran hbbty ramadhan karim wa saum makbul
Mashaallah...shukran ramadan kareem
Ramadhan Mubarak dear
mashaAllah, shukran
Asante nimepika kwakufata maelezo yako yani zimetoka pambeeee💃💃💃💃🙏
Maashaallah
Ok shukran sana habbty
Mshaallah
Mashallah luqaimat tamuuu 😍😍😋😋😋😍😍😘😘😘
Shukran habibty Jazzakullah kheyr 🤲🏼🤲🏼😘😘
Waiyyak
Absolutely
Nzuri mashaallah tabarakallah
Mashaa Allah
Mashaallah pongezi kwa mapishi.
Yummmmmmmy Mashallah Allah ibarik
ameen shukran
Kazi nzuri
Lovely 😋
Kumbe syo lazima yogurt 😋😋😋😋
Masha Allah
Shukraan aunty nzuri kwa kahawa wakati huu wa ramadhan MashaaAllah
afwan
Shukran sana 💗
Umzma
@@khadijaalawy8372 mzm vp na u?? Pacha wangu ee
Salam alekum mashaallah
Mashallah
Ma"Sha"ALLAH 😋😋😋😋😋😋😋😋
Aslm alkm shuna chakula yako tamu sana
Shukran
afwan
Mashallah nzuri sana ramadhani Kareem
Nice
Maashaa Allah ahsante Sana dada nayakubali mapishi yako Allah akubarik
MashaAllah ahukran
Barikiwaaa
Nimejaribu jana ni tamu..shukran sanaa
Thanks you so much i will try it
Asante Sana. Najaribu recipe hii Leo.
I'm impressed! ❤️
Masha Alla dda then umsafi
Mnatusaidia xana
Shukran @shuna's kitchen nishajua kutengeza shira ilinipa taabu sana.. MashaAllah
afwan dear
naomba nisaidie shira ni nini?
naomba nisaidie shira ni nini na unatengezaje?
@@veronicamalley1737 shira ni sukari na maji, unaweka maji kikombe kimoja na sukari kikombe kimoja then unaipika dakika 9 kwa moto wa kawaida
MashaAllah I’ll try again , mine has always backfired
Shukran Shuna wetu Allah akujaze kheri juu ya kheri.Ameen.
ameen yarabbi shukran sana
Amiin
MashaAllah shukran sis
Ramadhan kareem
Ramadhan Mubarak dear
Mashaallh nimependa dada🥰🥰🤤
ashntes sana shoga yangu kesho mungu akipenda nitajaribu 🙏🏼🙏🏼🥰🥰🥰.
Shukrani dada we love you 😍
Thank you dear for the love :)
Dada Shuna Asante saana kwa kutuelimisha na kutufundisha. leo nimejaribu kutengeneza Kalmati lakini zimetoka nueupe Kama mkate. Je nimekosea wapi? Baada ya kukanda unga nimeucha uumuke Kama 2hrs
Shukran Shuna ⭐🌙🕌
afwan dear
Thanks
Asante sana habbty kesho ntapika Inshaallah niombe Mungu
😘😘😘
They look very nice mashallah..🍝❤
Shukran habity ngoja nipike nimtumie mama yangu leo 😍Swaum njema mpz!
asante
Asante, nimejifunza lakini je, siwezi kupika kaimati bila Shira? Wengine hawapendi sukari nyingi kwenye vyakula.
Shukran dada Allah akujalie afya wewe na familia yako
ameen yarabbi, shukran sana
Nimependa sana na nikasoma kitu kimoja
😋😋😋
Habari, nitapata wapi white sugar Dar???
😍😍
❤
Are they crunchy?
Nimejua kupika sababu yako. Nakuelewa zaidi mungu akubarik
waiyyak. Shukran dear
ameen yarabbi asante
Asante madam tumeipenda video,madam nakuomba sana tufanyie video ya red velvet cake
in shaa Allah dear
MashAllah nice.. Naweza weka ndimu kiasi ama, ndimu zinasaidia kuwa crispy ama?,btwn yogurt, cornstarch ama ndimu ipi ndio best, kindly assist.. You are so kind and best in explanation.
Kaimati taamu asante
Maa shaa allah
Nitajaribu na mie
Ma sha Allah So yummy dear shuna
MashaAllah
could you use regular milk instead of coconut milk?
yes you can replace coconut milk with whole milk. Thanks for watching :)
Salaams for jow long u kept dough to raise
until doubled in size (approximately 30 minutes to hour, depends on the weather or temperature
@@ShunasKitchen thank you
Aa Shuna hope u OK,mbona mm nkifanya huwa zaharibika pls niambie prblm iko wapi pls.Shukran n Ramadhan Karim
Waalaykum Salam dear, zinakuwaje ? na umefata recipe hii hii?
Aa hope u ok Dear,huwa zinatoka na mafuta n nzivurujika zte.
Si lazima yogurt?
Sio lazima unless uwe mtu wa kupenda crunchy
@@aishamselem8615 thanks dia
si lazima yoghurt na hizo pia zimetoka crunchy pia
Hello Shuna’s kitchen, kwanza natanguliza shukran nyingi sana kwa elimu unayotupatia. Ila naomba tip please. Kila nikipika kalimati zinanyonya mafuta; huwa ninakosea wapi. Please naomba ujuzi😊. Nazipenda sana ila sijazijulia kuzipika. 🙈
hi dear, asante sana. Jaribu kufuata vipimo kwanza unga wako usiwe mwepesi sana na uupige vizuri upate kua wa kuteleza au wa kuvutika ili ukichoma zijishike na zisiweke nafasi za kuingiza mafuta..jaribu moto usiwe mdogo sana
Mimi ningependa kaimati yangu iwe crunchy wit Shira sio soft ntafanyaje
Eka cornstarch kama kijiko kimoja but itategemea na how much kaimati unafanya.
yoghurt inasaidia kufanya ziwe crunchy
Thanks
Tried this Leo, Lakini zimetoka ngumu kidogo. Inaweza kuwa shida ni nini .
ngumu mpaka ndani au crunchy tu nje?
@@ShunasKitchen crunchy nje tu
ndio zilivyo my dear haziko laini maalum yke ni crunchy
Nimeipenda unaweza kuwek shila y nje
ndio unaweza
Km huna samli je siagi yafaa dada?
kama huna si lazima kuweka, siagi inaweza kuzifanya ziwe laini na si crunchy
@@ShunasKitchen hicho kipimo cha unga hivyo vikombe vinanichanganya. Ni robo kg au nusu kg ulifanya hapo ?? Kwa unga tuu
niliweka kipimo kwa grams pia
Kuiva ndani ndio hunichanganya mtu hujua aje?
hazichukui muda mrefu ndani zipo fluffy na hazishikani, moto ukiwa wa kiasi, by the time nje zimepiga hiyo rangi basi na ndani zimewiva
Habari mbona sijaona ukiweka baking powder na m Mara nyingi nikipika haziwi kavu zinakunywa sana mafuta nisaidie hapo.
huweki baking powder. kama zinakunywa mafuta hakikisha unga sio mwepesi sana na moto sio mdogo sana
Nimependa
Unapata wapi saffron
madukani dear sana maduka ya wahindi corner shop
Shuna's Kitchen oh sorry am in Nairobi been looking for a long time
Pp
Nimehipenda dada
shuna uo unga ni nusu au robo
Nimejaribu leo lakini zimemongonyeka jikoni
Sijui nmekosea wap😭
🤣
pole dear, labda vipimo ulizidisha maji unga ukawa mwepesi? jitahidi kufata vipimo
Habari naomba link ya group lako la WhatsApp
Unga wa kilo moja unatoa kalimati ngapi za biashara
Nimeipenda Ila Nina swali
unaweza kuuliza my dear
Shukraan habbty
afwan dear
Nmeiona video yako uliopika maandazi swali kwanini hujaweka baking powder na ukipika bila baking powder unaweza kutengeneza maandazi ya kukaa hata zaidi ya siku tatu
Kama utayakanda vizuri na utapata unga mzuri yanakaa ndiyo na baking powder sio lazima my dear ila kama unapenda unaweza kuweka
Asante sana
Mashalllah naic
Maa sha Allah
Mashaallah
Mashaa Allah
Mashallah
Mashallah
Mashaallah
Mashallah
Mashaallah