sijui wanachoimba ila nimeona yesu kristo wakati wanateswa ila kiukweli huwa nawapenda sana hawa ndugu wanavyocheza yani hata kama hujui ila utachezesha tyu kichwa au mguu au hata kidole hongereni sana wagogo mungu awabaliki ingawa sijui wanachokiimbq
Kwa kweli wagogo wanajua kuimba hadi Raha. Mimi SIO mgogo lakini najisikia utamu kusikiliza wagogo. Nipeni like jaman
Najivunia kuwa mgogo ❤❤😂😂😂😂😂😂😂
Wagogo tunajua kusifu Mungu. Mbarikiwe sana,tuaomba kazi nyingine mpya❤
Wimbo ukumboneza sanaa,mlugutwe sanaaaaaaa
❤❤sandenyi waiko so wimbo wuwu mswanu waiko,nyemo mbahaaaa
Wagogo wayangu mbeka mukumhota yee,😊😊😊
Huu wimbo nimeupenda sana. Endelea kuimba hizi zenye radha ya asili.
Wagogo ni hatari tupu Katika kuimba twende na hii huu mwaka 2024 na ukawe mwaka wa baraka kwetu sote.
Hamonga saana muwaha😂
Huu nimeulewa kuliko ule wa timotheo,maana zote ni nzuri ila mmoja lugha siielewi nawaunga Mkono pale pa timotheo tu☑️👏
Kwakweli mmeimba vizuri. Kwa ala za muziki, wagogo ndio wenyewe. Huo ndio ukweli.
Hakika mkutano ulifanyika mbinguni mungu atukuzwe milele amen
Tunaendelea kujivunia utamaduni wetu ♥️♥️♥️♥️Yosese wanyedodoma kukuno konochalelwa
Mbarikiwe sana nimewaelewa sana kwa kweli wagogo tunajua yaani tunajuaaaa kuimba na kucheza
Hapa nimewaelewa Sana. Mwenyezi Mungu awabariki Sana na mkadumu katika kumtumikia. Hakika hatawaacha wala hatawapungukia.
Munaimba vizuri sana...kwa kuboresha nyimbo zenu wekeni tafsiri ili iwafikie wengi zaidi
Nyimbo hizi za kimila za kigogo ni nzuri
Nimeipenda sans MUNGU awabaliki
Wimbo ukwinjila mbaka na munhumbula
Mima kigoji
Mbarikiwe Sana ndugu zangu wa mima galacha kutoka pande za dodoma wiraya chamwino kata ya ikowa kwa Alfa mungu awe nanyi
Cholo mota hambe ku wulanga
Chitume zono zinojeye
Tutashangili hata mbinguni
Tutende yapasayo 👏👏👏
Mwene Nye chigogo chiswanu nkuuu 2:06
napenda sanaaaa
Akani hapa naupenda wimbo huu hee hee natikisa kichwa taratibu mpaka raha
Safi sana yo asili yetu ai
mwaha yawalugute wembi na wabochezi
Nihatar sana nakumbuka mbali sana
sijui wanachoimba ila nimeona yesu kristo wakati wanateswa ila kiukweli huwa nawapenda sana hawa ndugu wanavyocheza yani hata kama hujui ila utachezesha tyu kichwa au mguu au hata kidole hongereni sana wagogo mungu awabaliki ingawa sijui wanachokiimbq
Safiii Mungu awabariki
nasikia raha sana
Wimbo upo bomba sana
Hongereni sana
Walume kamonga wagogo
Nyemo anyee Mulungu Yalumbwe mbeka WanyaMima Wimbo Auno Mwimbaa Kamonga Wina nhunizo Ikangayeee.
hongereni sana
Halo nzurii!!
Achooo! Mligutwe mno mno wanya Mima!
Khaaa Mulugwee mno mno wahembi Muwaha Mulungu yatize tamadamu zileche kwagijilila. Nalugutwa mno mno.
Napataje album ya nyimbo hizi.
Langa Muwaha Mulungu yawalugute sana kwa wimbo mswanu.
Alewaa! Baho baho! Agwee!
Mko vizur mima yetu nawapenda san
mubalikiwe sana
Muwaha yalumbwe
Wimbo mswanu yayagwee
Nahuliciza du masaa manne! Langa Mulungu yawataze na uwaluguta mno mno!
Hiyo hiyo wanyausi, chili wagogo
Hata nikifa Leo basi siku yakuzaliwa nitaomba ni mgogo kabisa nene mbukwa winje aixeeee
Mliviswanu wangu wa idodoma
Nice
Magundenyi wanya mima kalbuni xana chibogolo
Of course utamaduni ni kitu cha kujivunia especially kwa sisi watoto wa rural
Amen
Nyimbo napenda sana
Alumbwee muwaha
Kaaa swanu yeee
Hiyohiyooo
Ukwenda weze kihulichiza du kah!
Hii nyimbo hatal
Magundenyi wanyausi
Nitume Mimi bwana,nabarikiwa Sana na nyie wagogo wayangu
7
Wimbo unojile sana.
Haleee sande yiiii cikanze kilombela
Naomba Mawasiliano yenu ya simu
Uwii cha mota akuno
Ameen
❤❤❤
Rahaaa
❤❤❤❤❤2024
Ayi nyemo
Minga mnojile
❤
yarumbwe mponyi
Mwaha yalumbwe xana
Nyemo munomuno
Jsili haachi asili yake,Acha tujivunie.
❤️❤️❤️❤️❤️❤️
mubalikiwe
wagogo n atar
Mbarikiwesana
Achooo
Cilugutwe kononze nakuulanga yaye🙏
😘😘😘😘😘😘
Kukaya
Amen
Hiyohiyooo
❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Jamani mm mda wote nabarikiwa Sana na hii kwaya mlungu yawataze
Amen
❤️❤️❤️❤️❤️❤️