RAIS MAGUFULI ALIVYOTINGA KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS 2020.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024
- All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz
Mungu atakusaidia utapita mimi kiloho safi yani kwangu umepita 👌👌
Tunakupenda
Asante Sana Rais wetu
Mungu akutangulie Mzalendo wa nchi yetu.
Amiina
Love my Magufuli. God bless you all
Amiina
Zetu dua upate ushindi wakishindo ccm oyeeeeee magufuli woyeeeeeeeee
Kula yangu chukua kabisa
Baba kula unenepe kidogo
Huyu baba basi tu
Viva
Vp wapo wengine watakwenda kama wakati wa kikwete au full stop
Hivi ulikuaga wapi miaka yote! Utapita tena kwa kishindo Mkuu. Wasio kupenda wameze wembe tu.